Ajitambue kwanza ktk kuvaa hijaabu ya kisheria (baibui na jilbaabu, na gloves, na niqaabu na soksi) ikiwa yeye Muislamu wa elimu ya Uislamu na matendo mema. Yuko uchi kwamujibu wa Uislamu kisha anakataa kupeana mkono!.
@@omondiowino7875 Kufanya kosa kusikufanye uhalalishe kitu kilichokatazwa. Kwa hiyo hata kama Kuna siku mwanaume alimshika mkono mwanamke basi ni jukumu lake kutoendeleza hilo jambo Kwa kuwa limekatazwa. Na hivi ni tofauti na Ukristo ambapo ukivunja sheria moja basi unajihalalishia kuvunja nyinginezo.
Ushikane mikono,mshikane migumu,au msishikane, ni porojo na kujilisha upepo uhuru wa kweli unapatikana kumjua Mungu ktk Yesu kristo aliye Bwana na mwokozi wa ulimwengu wote
Kwanza KABISA tazama waziri amevaaje na Sheria za MUNGU zimekataza wanawake kuvaa mavazi ya KIUME torati iko wazi , lakini pia UTAMADUNI wa waarabu na hata afrika na Sheria za MUNGU mwanamke hajaumbwa kuwa kiongozi
Ni jambo la kawaida sana kwa Waislam kuto salimiana kwa jinsia mbili kwa kushikana!hiyo inatokana na kuwaheshim na kuepuka matamanio ya kibinaadam!nchi nyingi zenye uhadilifu wa Iman huwa hawashiki wanawake kwenye kusalimiana hivyo haimaanishi kuwa wamemdharau ni jambo la kawaida kwa Waislam!!
hizi Haki zao wanazo Zipigia Kelele Ndio Zinazo Leta Na Kuongeza Janga La Ushoga Kuongezeka Zaidi Dunian 😢😢😢 Haki Za Kipumbavu sana Yni Ata Kitu Sio Cha Msingi Basi Utoe haki Wapumbavu sna Wazungu Yni Wanataka tuwe Watu wote DUNIAN tuwe Jinsia moja Tofaut Na MUNGU Alivyo Tutofautisha Shenzi Sana Nyingi😢😢😢
Waislamu wa kiume hatushikani mikono na wanawake amao sheria inaturuhusu kuwaoa, ndo unaona kiongozi wa syria ameshikana mikono na wanaume, pia wanawake wakiislamu wanatakiwa kufanya hivyo hivyo
Kushikwashika ni tofauti na kusalimiana (simaanishi ni lazima kusalimiana hivyo ) kama mtu anaona haifai basi poa tu , ila kushikwashika ni vile kama kina diamond wanavyoshikana na kina Zuchu stegini
Hio ni kawaida Sana kwa washika dini mze ,mi niliwahi panda Bajaj ya sheikh mmoja hv siti hazikutosha ,mdada mmoja akataka akae mbele,jamaa akakataa ikabid tubadirishane
Ni lazima haki na uhuru viwe na mipaka kulingana na mila na tamaduni. Ni lazima tuelewe kwamba hawaruhusiwi kushikana mikono na wanawake wasiokuwa ndugu zao.
@@MathaMsumi-l1bunaumia na mabwana zako 🤣🤣🤣🤣Haya nenda kaishi nao waache watu wafate wanacho amini mtaumwa sana na bado haki siku zote inachelewa lkn siku ikisimma hakuna wakuiondoa haiwekani weye upinge alio kuamrisha Mola wako halafu weye usikilizwe rabda na shetani ndio atakua mfuasi wak
Kwani kule kwa vibaraka wa nchi za magharibi kama Saudia, Kuwait, UAE na Qatar mbona hao hao ma waziri wakike kutoka EU hawapewagi mkono na hakuna aliyewahi kulalamika?!?! Kuliko waikosowe serikali ya Israel kwa kuzidi kuishambulia Syria na kazidi kunyakuwa ardhi ya wa Syria,wao wana tizama mumbo ya kipiuuzi.
Nini ajabu hapo ,ni tamaduni za watu na lazima ziheshimike,kwenye kabila langu ni zaidi ya hapo ,sio kushikana mikono tu, mbali mwanamke ambaye sio ndugu yako hatakiwi kukaribia kabisa!
@nasseralhatmi1762 ehhe maana wana wamelikuza wakati huyo mama mwenyewe Wala hajapeleka mkono ,alikuwa wazi hauwezi pokelewa kwa sababu ya Mila na desturi ya upande wa pili
Makafiri lazima walaumu kutokupewa mkono iyo mwanammke sababu kwao wao kumshika mwanammke popote pale ni uhuru na zinaa kwao Kawaida ila sisi waislamu tunawaheshimu wanawake pia tunaepuka zinaa
Ila mmejaa kwenye matamasha ya miziki mnacheza na wanawake hovyo ,mmejaa Kwa mkapa mnangalia Mpira mko na wanawake , ila kuwatukana wenzenu mnapenda ,ninyi hamjioni
Lakini mnakuza mambo hakunyimwa mkono yeye mwenyewe mwanamke alionyesha ustaarabu huo ila hebu angalieni hata mwanamke alivyovaa kama ngurue anavovaa alafu hakuna usawa wa mwanamke wao ni waislam lazima waheshimiwe kwa dini yao wa wazungu wenyewe haki zao hata wanaume kuoana
Yaani hawa wazungu wanalazimisha tamaduni zao zifuatwe na wengine huku wao tyr wamesha Muasi Mwenyezi Mungu wasahau kufuatwa na wao rabda mashetani ndio watafuata mila zao
Hivi hawa wazungu wako?!!! Wanachotaka wao ndio iwe sherpa. Hata sherpa ya Allah iwe chini juu ya sherpa yao. Kwanza wasubiri "there days a numbered". Viongozi wote afrika wakitoka kwenye usingizi mzito kama walivyozinduka wababe wa Sahel ndio hivyo vibweka vyao vitafika ukingoni.
Sio jambo la ajabu!!hayo ni mafundisho ya mtume muhammad صلى الله عليه وسلم.mwanamme haruhisiwi kummpa mkono mwanamke ambaye wanaweza kuowana!! mkono unaruhusiwa kuwapa wanawake ambao sheria hairuhusu kuwaowa,kama mama yako,mama wadogo na mashangazi wako,na dada zako!! hakuna cha ajabu hapo!!cha ajabu ni mwanamke kumpa mkono na kum'busu mme wa watu!!!
Hiyo ni nchi ya kiislamu Sheria ya kiislamu Utakiwi kumshiks mkono mwanamke bila yeye kujistiri alitakiwa huyo mwanamke viganja vyake vya mikono view katika nguzo mfano angevaa vazi ambalo mikono yake aionekani na mavazi aliyovaa huyo mama kiukweli ameenda nchi ya kiislamu amevaa hovyo amezarau utamaduni wa wasriya ajifinze kwa kina condoreza rice alikuwa anavaa kiheshima hata kama ni suit
Huu ni ujinga! Kwa waislam wa kiume kushikana mkono na wanawake wasio mahrim kwao yaani wasiokuwa haramu kuwaoa ."mahrim" ni kama dada, mama,shangazi,bibi,mama mdogo, n.k . Kwa sheria ya kiislam kushikana au kugusana moja kwa moja kwa ngozi ya mwili kama kushikana mikono n.k wanaume na wanawake ambao wanaruhusiwa kuoana ni haramu(hairuhusiwi). Mbona kashikana mikono na wanaume? Kama ingekuwa ni ubaguzi wa utaifa na hao wa kiume si angekataa pia? Kama ni ubaguzi wa kijinsia si angekataa hata asiingie ofisini kwake huyo mmama??! Nani alituambia kuwa salamu ni lazima tupeane mikono? Mbona hata huko kwao (wazungu) hawapeani mikono ???
Sahihi ❤ hizo ni ktk sheria za uislamu baina ya mwanamke na mwanaume
Wanatuheshimisha sana
Sahihi kabisa kwan ni sheria za uislam
Ni sheria ya dini ya kislam mwanamme hatakiwi kumshika mwanamke mkono hususan hao wa Syria wapo vizuri kidini mashallah wala hakuna ubaya hapo
Mashalaah ukuma
Hiyo ni sheria ya dini ya kiisilamu haifai kwa mwanaume kumshika mkono kwa mwanaume au mwanamke ambao ni halali kuwaoa
Nakubali sana
Hujawai Fanya hivyo wewe
Ajitambue kwanza ktk kuvaa hijaabu ya kisheria (baibui na jilbaabu, na gloves, na niqaabu na soksi) ikiwa yeye Muislamu wa elimu ya Uislamu na matendo mema.
Yuko uchi kwamujibu wa Uislamu kisha anakataa kupeana mkono!.
@abdulshakuurmwenda7519 tuanze na wewe hapo ... hujawai msalimia binti au mwanamke yeyote ambaye sio muislamu
@@omondiowino7875
Kufanya kosa kusikufanye uhalalishe kitu kilichokatazwa. Kwa hiyo hata kama Kuna siku mwanaume alimshika mkono mwanamke basi ni jukumu lake kutoendeleza hilo jambo Kwa kuwa limekatazwa.
Na hivi ni tofauti na Ukristo ambapo ukivunja sheria moja basi unajihalalishia kuvunja nyinginezo.
Sahihi kwa waislam njoo Zanzibar utajionea
Sisi waislam atushangai
Nakubali kabisa
Sisi waislam hatushangai mwanamme kumpa mkono mwanamke ni vibaya katka dini
Basi tushayakuza wenzenu 😂
It's respect to me 😂😂 yni spending kushake na watu wegine isipokua family language tu😅😅😅
Wamekasirika
safi sana alichokifanya ni sahihi kabisa
Walikuwa sahihi sana ...
Kila nchi inataeatibu zake, tatizo la wazungu wabadhani kila mtu anaweza kufuata utamaduni wao
Katika sheria ya MUNGU hata katika biblia kupitia torati lilisema mwanamke asivae mavazi ya KIUME Sasa ona waziri amevaaje
Bona amefaa Longi ya Kizungu 😅
@@paschalcharles3617Ila Quran imesema muwe mnavaa magauni msikitini ?
@@marymayeye7947 Nani kakwambia niyakizungu? Historia ya hizo nguo niyazamani saana tangu China na misr
@@paschalcharles3617hiyo suruali aliyovaa ni ya kiume?😂😂😂😂
Kwenye protocol inaruhusiwa hiyo kaka sababu ya kwanza ni
Usalama
Imani za kidini
Ilo mzuri tena sana tuipenda
Mbona Mh Samia anashika mkono
Huyo dada mwenyewe anajua utaratibu ndio maana hakuwa na tatizo
Utata ni nini hapo sasa😅😅
Ata me huw sipend kushikana mkono bwana
Ushikane mikono,mshikane migumu,au msishikane, ni porojo na kujilisha upepo uhuru wa kweli unapatikana kumjua Mungu ktk Yesu kristo aliye Bwana na mwokozi wa ulimwengu wote
Body posture... Definitely siyo mwenzao😮 2:21
Sasa ni utata gani waibuka wakti ni issue ya kiislamu na Kila mmoja ywalijua hilo
Hakuna haki za binaadam zikashinda sheria za mungu
Mimi mwenyewe sipendi salamu zakushikana mikono
BOR UMESEM
LKN LAITI ANGELISEM
MUISLAM INGELETA TAHARUK
Mwenyew sipendiiii sipendiiii kabisaaa
True kama hupendi usisalimiane wale wanaopenda wasalimiane ,na wasiotaka kusalimiana nao waache hakuna mbaya😂😂😂
Kwanza KABISA tazama waziri amevaaje na Sheria za MUNGU zimekataza wanawake kuvaa mavazi ya KIUME torati iko wazi , lakini pia UTAMADUNI wa waarabu na hata afrika na Sheria za MUNGU mwanamke hajaumbwa kuwa kiongozi
Sio sheria za Mungu ni sheria za wajinga wajinga wabinafsi fulani ndo wamekataza, kinachoongoza sio jinsia ni utashi.
Acha uchoko wewe.......esther, Doncaster hawajatajwa kwenye Biblia kwa ukombozi dhidi ya watu kwenye jamii zao
@@godfreymarco629Wewe upo sawa sawa na hawa 🦍🐒🐕💯😂😂😂
Ila ulaya ni ruhusa
Sahihi kabisa
Hatari sana hao Watu
Ni jambo la kawaida sana kwa Waislam kuto salimiana kwa jinsia mbili kwa kushikana!hiyo inatokana na kuwaheshim na kuepuka matamanio ya kibinaadam!nchi nyingi zenye uhadilifu wa Iman huwa hawashiki wanawake kwenye kusalimiana hivyo haimaanishi kuwa wamemdharau ni jambo la kawaida kwa Waislam!!
Umeongea vyema
@@SamwelikazimbayaKitahenga Alivyovaa Sasa
🚮
Asalam alaikum nami nilijuwa hivyo ametekeleza sheria ya dini ya kiislamu yuko sawa
Ni sahihi kutupeana mikono na wanawake kwa sheria uislamu
hizi Haki zao wanazo Zipigia Kelele Ndio Zinazo Leta Na Kuongeza Janga La Ushoga Kuongezeka Zaidi Dunian 😢😢😢 Haki Za Kipumbavu sana Yni Ata Kitu Sio Cha Msingi Basi Utoe haki Wapumbavu sna Wazungu Yni Wanataka tuwe Watu wote DUNIAN tuwe Jinsia moja Tofaut Na MUNGU Alivyo Tutofautisha Shenzi Sana Nyingi😢😢😢
Kwanza Mwanamke mwenyewe muone alivyovaa TU 🚮
@@paschalcharles3617kavaa vizuri kuliko wanawake wenu mnaowashobokea wanamziki ,msijitoe ufahamu
Mbona ni sawa tu Katika imani ya dini ya Kiislamu
Mwislam uyoo bwana kuna mambo mengine unayakuzaaa
Sipendi wayahudi walimuua Yesu kristo hawa watu n wakatili sna
Hawana akili Hawa wazung 😂😂😂wanajijali wao tuu hawajali humbade wapili
Islamic hairuhusu, mbona Zanzibar tu hapo wanaishi hvyo weng wao
Washika dini hawatoi mikono kwa akina mama.....ni utamaduni
😅😅😅😅hakijashikwa mkonoo😅😅😅
aliyosema dj smaa naona yanaanza kutiimia maana alisema watamuondolea vikwazo na hata kumfuta kama gaidi
Kawaida tuu, mambo na dini.
We mama Ukisikia nina uzu usiniguse ndio hiyo sasa
Bushraaa😂😂😂😅😅😅
Jamaa angeshika bakora kama ya nyerere ampe ashike kama anapenda sana😂
Huyo waziri anaonesha shape makusudi ili kumtega jamaa lakin Al Sharaa wap😂
Sasa mke wa wenyewe unamshika mkono Ili iweje
3:21 wame simama the same style mjerumani na mfaranca
Wakristo tatizo dini yeni haina sheria wala mipaka kila kitu ni xawa tuu uo ndo ukweli
Waandishi kwnn hamuongei ukwl kuhusu dini ni muislam huyo kiongoz
Uislam
Iyo ni sheria ktk dini ya ki Islam
Watumishi wasi lazimishe mambo
we sns nawe usiwe unakurupuka hapo ...hakuna utata wowote ..zijue taratibu na desturi za waarabu ....huwez ukamshika mkono mwanamke ambae si mke wako
Mbn hili c utata huyu kiongoz ni mwanaume na ni muislam haruhusiei kidini
Waislamu wa kiume hatushikani mikono na wanawake amao sheria inaturuhusu kuwaoa, ndo unaona kiongozi wa syria ameshikana mikono na wanaume, pia wanawake wakiislamu wanatakiwa kufanya hivyo hivyo
Ilamejazana Kwa mkapa mnagusana na wanawake hovyo, mpo kwenye matamasha ya miziki mnanengua na wanawake
mbona kipind cha corona mlikua mnakataza , na wew mwanamke kushikwashikwa na wanaume ndo nini
Kushikwashika ni tofauti na kusalimiana (simaanishi ni lazima kusalimiana hivyo ) kama mtu anaona haifai basi poa tu , ila kushikwashika ni vile kama kina diamond wanavyoshikana na kina Zuchu stegini
Kaz mnayo km mnahis bora huo utawala mpya
Ushikwe mkono ili iweje, tulia mama dini yetu imekataza
Jaman mgogoro wa PAKISTAN VS AFGHANISTAN mtuletee hapa km mtapata nafas
Hiyo ni sheria ya kiislam hata hapa kwetu huwezi kumpa mkono mwanamke ambae si wako
Sheria ya dini
😂😂😂pale unapotegemea manzuri unakutana na taabu😂
Mwanamke anapewa heshima wap wanasem anabaguliw
Kweny uislam mwanamke hashikani mikono mikono na kila mt tu wnapasw kuelew
Hio ni kawaida Sana kwa washika dini mze ,mi niliwahi panda Bajaj ya sheikh mmoja hv siti hazikutosha ,mdada mmoja akataka akae mbele,jamaa akakataa ikabid tubadirishane
hahahahhaha aisee
Tatutaki shobo jamn mbona mnajipendekeza enyi magaidi wakizungu
Ni lazima haki na uhuru viwe na mipaka kulingana na mila na tamaduni. Ni lazima tuelewe kwamba hawaruhusiwi kushikana mikono na wanawake wasiokuwa ndugu zao.
Wewe haujui uisilamu haukubali kushikana mikono na wanawake ambao shiria inaruusu kumuawa.
Kwa wa kristo ndio litakuwa jambo la kushangaza lakini kwetu waislam n sahihi ni makosa mpa mkono mwanaume ukiwa n mwanamke
Kwanza mnashoboka bure ,huyo mama kwanza hata yeye hajapeleka mkono wake wamesalimiana Kwa ishara inatosha sana
Ila ww unatoa😂
@ce-08 kumpa Nani?
@@emmadora7848 tizama Kwa makini alivyonyanyuwa mkono wake haingukuwa international news kama hange nyanyuwa mkono wake
@@remiomar7154 salam ya mkono kwa mtu wa jinsia tofaut na ww
Dini yake ndio inabana si sheria kwa mwanamke unae weza kumuoa kugusana nae kongozi kwa ngozi angekua kavaa glovzi angempa mkono tu
Kwanza salamu za mikono ni ushenzi pia ni kuambukizana maradhi tu wala ata sio dhambi kutosalimiana kwa mikono
Uyo mwamba inaonekana anamsimamo wa hariyajuu ni hatar mno
Unaweza kuona mambo ni mageni kumbe wewe unayeyaona mageni ndio mgeni haswa mulize kwanza ndio mnutoe habari😂😂😂😂😂
Kwanza KABISA ona waziri amevaaje Kwa sababu sheria ya MUNGU imezuia mwanamke kuvaa mavazi ya KIUME torati ya Musa inasema
Sawa waarabu wa weusi
@@MathaMsumi-l1bunaumia na mabwana zako 🤣🤣🤣🤣Haya nenda kaishi nao waache watu wafate wanacho amini mtaumwa sana na bado haki siku zote inachelewa lkn siku ikisimma hakuna wakuiondoa haiwekani weye upinge alio kuamrisha Mola wako halafu weye usikilizwe rabda na shetani ndio atakua mfuasi wak
Angekuwa..mama yake mzazi angeshika..mkono wake?
Kwahiyo wazungu wanataka Sheria yao iwe juu ya Sheria ya Mungu mkono ni Haram kupeana na mwanamke wa mtu
Niharam kislamu kusalimiana kwa mikono haifai
ni maamuzi yake tu,kama ni dini pia hairuhusu mwanamke kukaa kichwa wazi
Sheria ya dini haijuzu kushikana mikono na mwanamke ambae sie halali yako,hao jamaa wanafata sheria ya dini yao,waacheni sio lazima kushikana 😂
kawaida tu
Halafu hizi haki za binadamu hazina ishu yoyote upuuzi mtupu
kichwa cha habari hakina mbolea kwani kumpa mkono sio jinsia yake
Kwakua ni muislamu
Kwani kule kwa vibaraka wa nchi za magharibi kama Saudia, Kuwait, UAE na Qatar mbona hao hao ma waziri wakike kutoka EU hawapewagi mkono na hakuna aliyewahi kulalamika?!?! Kuliko waikosowe serikali ya Israel kwa kuzidi kuishambulia Syria na kazidi kunyakuwa ardhi ya wa Syria,wao wana tizama mumbo ya kipiuuzi.
Nini ajabu hapo ,ni tamaduni za watu na lazima ziheshimike,kwenye kabila langu ni zaidi ya hapo ,sio kushikana mikono tu, mbali mwanamke ambaye sio ndugu yako hatakiwi kukaribia kabisa!
Kwani mwonekano hata yeye kabana mikono yake
Hivi kwani kimebadilika chochote kwa wowote kwa kutompa mkono?ni sheria ya dini yake ,na je huyo mama kalalamika au waja ndio mnakuza mambo?
😂😂😂😂😂
@nasseralhatmi1762 ehhe maana wana wamelikuza wakati huyo mama mwenyewe Wala hajapeleka mkono ,alikuwa wazi hauwezi pokelewa kwa sababu ya Mila na desturi ya upande wa pili
@@emmadora7848bro umeeleweka sana ila watu wagumu kuelewa
@@emmadora7848 Aaahh huwajui Waswahili?
Kitu kidogo tu wataleta ubishi mpaka wataingiza na Dini ndani ni Malimbukeni tu
#MUISLAM
#SHERIA
Huyo ni kiongozi wa kiislamu, ni haramu waislamu kushikana mikoko na mwanamke, so usishangae kaka.
hakuna lakustaajabu mwanamume haruhusiwi kumpa mkono mwanamke ambae si halali yake ko aache uchochezi.
Makafiri lazima walaumu kutokupewa mkono iyo mwanammke sababu kwao wao kumshika mwanammke popote pale ni uhuru na zinaa kwao Kawaida ila sisi waislamu tunawaheshimu wanawake pia tunaepuka zinaa
Nakubali sana japokua ni waasi lakini hawajasahahu UTAMADUNI wao na MAADILI ya ki MUNGU 🙌
@@paschalcharles3617Sasa na huko misikitini mnakoinamiana kumuonesha mwenzio makalio ndo utaratibu gani?
Kusujudu ni ibada wewe soma quran ata biblia ina thibitisha ilo au hauja fundishwa ilo
Ila mmejaa kwenye matamasha ya miziki mnacheza na wanawake hovyo ,mmejaa Kwa mkapa mnangalia Mpira mko na wanawake , ila kuwatukana wenzenu mnapenda ,ninyi hamjioni
Cha ajabu watu waliokatazwa nchi hii ndio wanaongoza kuwashika hao wanawake hovyo na uthibitisho upo wa kutosha , msiwe mnajihesabia sana haki😂😂😂
Lakini mnakuza mambo hakunyimwa mkono yeye mwenyewe mwanamke alionyesha ustaarabu huo ila hebu angalieni hata mwanamke alivyovaa kama ngurue anavovaa alafu hakuna usawa wa mwanamke wao ni waislam lazima waheshimiwe kwa dini yao wa wazungu wenyewe haki zao hata wanaume kuoana
Yaani hawa wazungu wanalazimisha tamaduni zao zifuatwe na wengine
huku wao tyr wamesha Muasi Mwenyezi Mungu wasahau kufuatwa na wao rabda mashetani ndio watafuata mila zao
Kwanza kwani huyo mama mzungu kalalamika au ni waja mnakuza mambo?
Mwanamke cio mkeo huwezi kumgusa
Hivi hawa wazungu wako?!!! Wanachotaka wao ndio iwe sherpa. Hata sherpa ya Allah iwe chini juu ya sherpa yao. Kwanza wasubiri "there days a numbered". Viongozi wote afrika wakitoka kwenye usingizi mzito kama walivyozinduka wababe wa Sahel ndio hivyo vibweka vyao vitafika ukingoni.
Kaenda kwenye inchi ya dini ya kiislam ni jambo ya kawaida
Sio jambo la ajabu!!hayo ni mafundisho ya mtume muhammad صلى الله عليه وسلم.mwanamme haruhisiwi kummpa mkono mwanamke ambaye wanaweza kuowana!!
mkono unaruhusiwa kuwapa wanawake ambao sheria hairuhusu kuwaowa,kama mama yako,mama wadogo na mashangazi wako,na dada zako!!
hakuna cha ajabu hapo!!cha ajabu ni mwanamke kumpa mkono na kum'busu mme wa watu!!!
Uislam unakataza kupeana mikono na wanawake unaoweza kuwaowa ua mwanamme anaweza kukuowa ni Haram kupeana mikono
Diamond and zuch are typing 😂😂😂😂
Kwani hawajui kua muislam hatakiwi kushika mkono wa mtoto wa kike, maskini hawajui😂
Wanajua sana na ndio maana huyo mama Wala hajapeleka mkono washikane ,ni ninyi waja ndio mnakuza mambo
KILA WATU WANATAMADUNI ZAO TUHESHIMIANE ,MAGHARIBI WANALAZIMISHA DUNIA IFATE TAMADUNI ZAO,MWISHO MACHAFUKO
Hiyo ni nchi ya kiislamu Sheria ya kiislamu Utakiwi kumshiks mkono mwanamke bila yeye kujistiri alitakiwa huyo mwanamke viganja vyake vya mikono view katika nguzo mfano angevaa vazi ambalo mikono yake aionekani na mavazi aliyovaa huyo mama kiukweli ameenda nchi ya kiislamu amevaa hovyo amezarau utamaduni wa wasriya ajifinze kwa kina condoreza rice alikuwa anavaa kiheshima hata kama ni suit
Nipee mkonoo tushindaneee😂😂
Huu ni ujinga! Kwa waislam wa kiume kushikana mkono na wanawake wasio mahrim kwao yaani wasiokuwa haramu kuwaoa ."mahrim" ni kama dada, mama,shangazi,bibi,mama mdogo, n.k . Kwa sheria ya kiislam kushikana au kugusana moja kwa moja kwa ngozi ya mwili kama kushikana mikono n.k wanaume na wanawake ambao wanaruhusiwa kuoana ni haramu(hairuhusiwi). Mbona kashikana mikono na wanaume? Kama ingekuwa ni ubaguzi wa utaifa na hao wa kiume si angekataa pia?
Kama ni ubaguzi wa kijinsia si angekataa hata asiingie ofisini kwake huyo mmama??! Nani alituambia kuwa salamu ni lazima tupeane mikono? Mbona hata huko kwao (wazungu) hawapeani mikono ???
Wazungu wanajuwa vizuri uislam, m/me harusiwi kumshika mkono m/mke anaefaa kumuoa, washaanza propaganda zao
Mambo ya haki sawa 😊
Kufirana wenyewe kwa wenyewe ndio haki sawa hiyo?
Iyo ni sheria ya nchi za kiarabu labda awe nduguyo au mumeo
Sio za kiarabu dini ya uislam imekataza kumpa mwanamke
mkono anaefaa kumuoa
Soma vizur comment yangu
Hawa jamaa vitu vyote vinavyo endana na uislam wanavipinga na kusema haki za binadamu wakati wanajua wanacho kifanya