Jamani hili Gari la Azam balaa, ndani kama ndege. Choo, friji, sanitizer cheki lilivyo kwa ndani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 60

  • @tysodebe8529
    @tysodebe8529 3 роки тому +2

    Kawaida sana iyo

  • @jonathanntare4787
    @jonathanntare4787 3 роки тому +3

    Hiyo Gari haipati Ajari

    • @CamilasJohn
      @CamilasJohn Місяць тому

      We umesikia wapi waongo tutawajua

  • @freadyjackson315
    @freadyjackson315 2 роки тому

    Azam boy

  • @HamisiRamadhan-sw7xy
    @HamisiRamadhan-sw7xy Рік тому

    ❤hamisi

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 3 роки тому +2

    Gari zuri pesa nzuri halafu wanafungwa.

  • @geraldshemahonge6060
    @geraldshemahonge6060 3 роки тому

    Hizo gali tunaziona zimbabwe. Kenda sauz bloo

  • @alansixbert4653
    @alansixbert4653 11 днів тому

    Kwa bei hiyo michina unapata 6 na nyongeza. Benz ni Benz tu. Chuma mjerunani

  • @nzeyimanaabdallah3623
    @nzeyimanaabdallah3623 3 роки тому +1

    Bus la kawaida tu hilo jamani tuacheni ushamba

  • @petertemu7136
    @petertemu7136 3 роки тому +1

    Endeleeni kujivunia basi na uwanjani mnapigwa tu

  • @AnethyDaniel-n4t
    @AnethyDaniel-n4t 6 місяців тому

    Inaenda ruti mkoa gani

  • @jemimabakari
    @jemimabakari 3 роки тому +1

    Haya liingie uwanjani licheze😁

  • @yassinmkwele1527
    @yassinmkwele1527 3 роки тому

    Azam FC balaha zitoo

  • @joycekalembo2225
    @joycekalembo2225 3 роки тому +1

    Linacheza namba ngap!!?

  • @yusuphjilala846
    @yusuphjilala846 Рік тому

    Gari haliche ziiichiziwee

  • @enickosanga4921
    @enickosanga4921 3 роки тому +1

    Tunataka timu yenye chalange sio bei hali kila kitu mnacho wapi mnafeli kua na kikosi bora

  • @kasseraandrew1891
    @kasseraandrew1891 3 роки тому +1

    Watz kwa kusifia tu atujambo mbona ilo basi ni la kawaida tu ndani cha ajabu kubwa sana ni nn?kila siku watu wanaliandika ilo basi

  • @williamtawete4600
    @williamtawete4600 3 роки тому +1

    Sijaona tofauti na magari mengine labda jina la Gari tu ila ndani haijaifikia hata Tahweed ya Mombasa hatari na nusu

    • @R.Dickon
      @R.Dickon 3 роки тому

      G7 za KLM umeziona Ase ishuu

  • @showfive4413
    @showfive4413 2 роки тому

    Hilo bus haliingii kwa Tahmeed hata kidogo

    • @bravin5971
      @bravin5971 2 роки тому +1

      La kawaida sana ndani

  • @FredsonIvan
    @FredsonIvan 3 місяці тому

    Irizar

  • @ayoublupande3987
    @ayoublupande3987 3 роки тому +2

    Azam wanajuwa kuchukuwa vitu somchezo

  • @retusymsiluwova5669
    @retusymsiluwova5669 3 роки тому

    FzEa

  • @Worldunite
    @Worldunite 3 роки тому +1

    Wachezaji wa tz wakipewa huduma km hizi huwa wanajenga viburi na kujisikia matokeo yake wanaharibu viwango via mpira. Isitoshe hili si gari la ajabu ni la kawaida tu

  • @hemedashiraf3721
    @hemedashiraf3721 3 роки тому

    Gari kama ndege timu kama gutaa

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 3 роки тому +1

    Umefanya vyema mtangazaji

  • @lucasfidely3920
    @lucasfidely3920 3 роки тому

    Tim hamnakitu hoyvo

  • @yudadaniel4867
    @yudadaniel4867 3 роки тому +1

    azam ni kama mwanamke mrembo mzuriiii lkn azai

  • @tysodebe8529
    @tysodebe8529 3 роки тому

    Ivyo vioo ni imejensi tu

  • @vl5382
    @vl5382 3 роки тому

    You cannot compare oparanya and musalia/wetangula.the united between wetangula and musalia its a positive thing under luhya which oparanya is afraid of

  • @officialprincedenic8510
    @officialprincedenic8510 3 роки тому

    Ndan ya kawaida Kuna Basi mzee hapa bongo za moto

  • @amonilazaro829
    @amonilazaro829 3 роки тому +1

    Mbna kawaida sana aijaifikia sauli

  • @meshackkiyabo704
    @meshackkiyabo704 3 роки тому

    Hayo huwa hayadumu mwaka tu linakufa

  • @shukurually8769
    @shukurually8769 3 роки тому

    Msijisahaulishe ilondio lile waliopiga nalo picha watu wa yanga

  • @protaskelvin5819
    @protaskelvin5819 2 роки тому

    Hivi na barabara zetu gari itembee usisikie mtikisiko???

    • @bravin5971
      @bravin5971 2 роки тому

      Ni kweli....ndani la kawaida sana kuna basi nyingi za shabiby zimelipita hilo basi kwa uzuri ndani

  • @tundakid1852
    @tundakid1852 3 роки тому +1

    Uku kenya twawacheka tu hamjai ona hii

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 3 роки тому +1

      Kuna club Kenya inabus kama hili ama ndo unajitekenya mkuu na kujichekesha

    • @allymngwaya2831
      @allymngwaya2831 3 роки тому +1

      Hata huku Tanzania yapo mengi tu Ila kumilikiwa na klabu hakuna kwa East Africa.

    • @R.Dickon
      @R.Dickon 3 роки тому

      Nyie labda tahmeed pekee lkn mengine utafkiri kuta za graffiti

  • @foreverhommies1818
    @foreverhommies1818 3 роки тому

    Tatizo ni ushamba

  • @officialprincedenic8510
    @officialprincedenic8510 3 роки тому +1

    Haya mabasi yapo tofaut tofaut hili sio Kama yale wanayotumia klabu kubwa ulaya Kama wanavodai hili la kawaida Sana

  • @yahyabashir7394
    @yahyabashir7394 3 роки тому +1

    Mtangazaji unaongea kiswahili kwa tabu sana.jifunze kuongea

  • @jumayahaya2369
    @jumayahaya2369 3 роки тому +1

    Tunahitaji ubora wa tim sasa sio wamagari au viwanda Tim linavurunda

  • @enocksilungwepondajr9707
    @enocksilungwepondajr9707 3 роки тому

    we have neo bus for Lusaka dymo

  • @manasemwakilasa5931
    @manasemwakilasa5931 3 роки тому

    Gar liwape point 3

  • @amirmohamed2729
    @amirmohamed2729 3 роки тому

    Acheni ushamba wabongo

  • @phaustinmodson1692
    @phaustinmodson1692 3 роки тому

    Kwani Iriza ni benzi

  • @freadyjackson315
    @freadyjackson315 2 роки тому

    Azam boy

  • @vl5382
    @vl5382 3 роки тому

    You cannot compare oparanya and musalia/wetangula.the united between wetangula and musalia its a positive thing under luhya which oparanya is afraid of