MAREKANI YAITISHA URUSI|YASEMA ITAFANYA MASHAMBULIZI YA KUMWAGA DAMU BILA HURUMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 35

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Рік тому +8

    Bila marekani hakuna vita wala magonjwa duniani. No america no war or diseases in the world

  • @mustafamasudi8093
    @mustafamasudi8093 Рік тому +4

    Leten hizo ndege zenu zipigwe zaidi hatujaona kazi ya leopard2, challenger na Abraham 😁😁😁

  • @patrickkagiraneza4336
    @patrickkagiraneza4336 Рік тому +6

    Marekani hawezi akatisha urusi.kwasababu marekani na NATO hawatashinda hii vita...

    • @nasrimbaraka341
      @nasrimbaraka341 Рік тому +2

      Of course

    • @liberatusjackson5045
      @liberatusjackson5045 Рік тому

      Kaliwa tabora labda kwamawazo yako Ila sio USA hajawahiii shonda kwanza niulizee anavikos dunia mzima unakalia hayo madikiteta

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche Рік тому +1

      ​@@liberatusjackson5045marekani ana uwezo kwa urusi

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche Рік тому +3

    Marekani cha mtoto kwa urusi

  • @saidrashid2701
    @saidrashid2701 Рік тому +4

    Anachokifanya urusi ni kuwatia hasara kwanza ndiyo aimalize vita, leteni hizo ndege.

  • @dissymoussa7973
    @dissymoussa7973 Рік тому +3

    Mikwara ya wamarekani

  • @SwaleheAthumaniManyehe-fv5wt
    @SwaleheAthumaniManyehe-fv5wt Рік тому +2

    Vita na magonjwa kiasi kikubwa msababishi ni marekani

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Рік тому +2

    Wanataka waiteketeze Marekani kwa upuuzi wa raisi wao babu Biden

  • @allymtawa-dy4km
    @allymtawa-dy4km Рік тому +1

    Vita bwana dah...!! Yaani watu wanahesabu vifo vya wanajeshi na raia na makazi yao tu, hawahesabu vifo vya viumbe hai vingine na wadudu na kuharibu makazi yao.

    • @duvaboy
      @duvaboy Рік тому

      😂😂😂👉👉

  • @abubakarharuna6712
    @abubakarharuna6712 Рік тому +2

    Weka mambo!

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Рік тому +1

    Leten ziteketwezwe kabla ya kufanya kazi.

  • @lughanojohn4211
    @lughanojohn4211 Рік тому +1

    Kichwa cha habari kinawapamba marekani ALAFU hawana lolote,rekebisha izo mambo za kuwapamba wamarekani hawamtishi URUSI ata siku moja,waingie vitani moja kwa moja na vyombo vyao vya habari viweke wazi,😂😂😂

  • @hudumablack9339
    @hudumablack9339 Рік тому +1

    Hawataweza maana Urusi lazima iongeze nguvu

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Рік тому +1

    Vyombo vya habari vya Magharibi vizuiliwe Africa maana vinatumika kupenyeza agenda za kimagharibi, kuchochea au kuanzisha macjafuko

  • @MichaelMathew-ke6bi
    @MichaelMathew-ke6bi Рік тому +1

    Russia haiogopi vita

  • @rwenenahomechannel1634
    @rwenenahomechannel1634 Рік тому +2

    Hamtoboi.
    Nyinyi ni mashetani.

  • @komumbughuni8301
    @komumbughuni8301 Рік тому +1

    Hawana lolote wajaribu waone na hizo ndege hiyo ndo mwisho wa aibu ya USA😂

  • @kijokasumu
    @kijokasumu Рік тому +1

    nyauuuu anamtisha putin

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Рік тому +1

    UN waondoke amani ipatikane duniani.

  • @aarona.midende1789
    @aarona.midende1789 Рік тому

    Hii vita urusi imeilea Sana na mwishowe itakuwa shida sana kwa urusi.
    Putin maliza kazi mapema vinginevyo subiri ya Sadam Hussein

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 Рік тому +1

    USA na NATO mnafaidika na Ukraine? Hamjui Nanyi mtaadhirika hurumieni Raia hizo Ndege mtazsikia zinapiga Amerika ndo itakuwa mwisho wa Ukraine. USA bila Msaada huwa hashindi vita watasababisha baadhi ya washirika wao kuangamia. Wamerika ingieni Wenyewe Putin sio Gadafi au Saddam Hussein

  • @NOORMOHAMED-sg9lo
    @NOORMOHAMED-sg9lo Рік тому +1

    Wanapiga kelele tu
    Sheria za vita wanazikiuka
    Na hata kabla ya Vita na baada ya Vita pia mazungumzo ya maelewano na Amani wanayakiuka
    Wanajifanya mahayawani na Rais atawageuzia kichaka na pori wapate kuishi kama ni mahayawani
    Mrusi anatizama binaadamu wenye maana sio wasio na maana

  • @joycemoraa2346
    @joycemoraa2346 Рік тому +1

    ➕➕🅰🅰🅰➕➕
    🍀🍀😊😊😊🍀🍀
    📖📖🙏🙏🙏📖📖
    Hatari Sana brother Sasa nimegundua kwamba zelenky ni HATARI kwa watu wa Dunia nzima ni HATARI Sasa Maombi kwa watu wa Mungu katika Vita Ukraine. Lol lap 💃. But Jesus Christ is the best answer no misery 💘

  • @abdallahkhalfan3966
    @abdallahkhalfan3966 Рік тому +1

    Nawaende wakatangaze ushoga uko ndio kazi zao mashoga wakubwa hao USA n mashoga tu

  • @adamchaka-vl7yk
    @adamchaka-vl7yk Рік тому +1

    Acheni propaganda,hivi ninyi Wamerekani mnataka vita na Urusi mbona mnapitia mgongo wa Ukrine na Nato yenu.Pigana mwenyewe.