Amina.ila naomba mwenyekiti Fanuel Tanda... usiendelee kutumia NENO tugeuzie kibao,Tafuta neno na lugha nzuri inayoendana na lugha ya Maadili ya ndani.❤❤❤
Kisa chote cha mateso ya Yesu, kiliitabiriwa.. kina Anasi na Kayafa, walitimiza unabiu, Yuda Iskarioti, na ilikuwa lazima asalitiwe, ateswe, auawe, kisha afufuke... Huwa napata swali kubwa hapa... Hao waliomtesa, watakuwa na adabu yao... Swali, kwa nini waonekane wakosaji...?, maana, bila kuteswa na kufa, kwa Yesu, tusingepata wokovu...
Amina.ila naomba mwenyekiti Fanuel Tanda... usiendelee kutumia NENO tugeuzie kibao,Tafuta neno na lugha nzuri inayoendana na lugha ya Maadili ya ndani.❤❤❤
Amina watumishi mbarikiwe sana kwa uchambuzi mzuri wa Biblia
Mungu azidi kuwabariki watumishi wake. Binafsi huwa nabarikiwa sana na uchambuzi wenu mzuri.
Amina sana na MUNGU aendeleee kiwatumia
Mbarikiwe sana watu wa Baba kw kuchambua vizuri mwongozo wa kujifunza biblia Amina
Amina barikiwa watumishi wa mfalme kwa uchambuzi wa lesson, Bwana azidi kuwatumia nawatakia sabato njema watakatifu wote.
Sabato njema nawafatilia nakuelewa vizuri kabisa nikiwa Belgium nabarikiwa
Tunapoendelea kutenda dhambi tunashagua😢 Baraba badala ya yesu
Somo hili nilaisi kulieleza ,lakini uzoefu aliopitia Yesu ni mgumu mno kuliko maelezo.
Somo la mslaba ama hakika linayeyusha mioyo yetu kabisa.watu wote kimyaa!
Kisa chote cha mateso ya Yesu, kiliitabiriwa.. kina Anasi na Kayafa, walitimiza unabiu, Yuda Iskarioti, na ilikuwa lazima asalitiwe, ateswe, auawe, kisha afufuke...
Huwa napata swali kubwa hapa... Hao waliomtesa, watakuwa na adabu yao...
Swali, kwa nini waonekane wakosaji...?, maana, bila kuteswa na kufa, kwa Yesu, tusingepata wokovu...