Nakupenda sna sheikh Nurdin kishki Allah akupe humri mlefu wenye avya kheri za dunia na za ahera ukakutane na Mtume wetu kipenz chetu bwana Mtume Muhammad s.a.w inshallah ❤
Allah akufsbyiye kila kheri shekhe wetu kishk Nurdn nawashukuru sana mashekhe wetu wote wa Tanzania na Maamuma wote wa tanzania Allah awajsliye kheri na baraka tere kwakutuelimisha .nipo Omn
Mash Allah Shekhe Nurdin Kishki na waislamu wote mlio shiriki ktk kufanikisha hili namuomba Allah awalipe hapa Duniani na kesho mbele ya haki Allahuma Amiin.
Asalam aleykum Shekhe samahan ninatatizo la kuwa na hasira kwa haraka sanah naomba nisaidie nifanye nn ili niwe sawa au nifanye istighfar gan ili niwe sawa tafadhali ni muhimu usipuuze shekhe wallah taufiq
hongera sana shekhe kwa kuanzisha kitu kizuri pia nakushauri tumia ushawishi wako pia kuunganisha waislamu tunakoelekea nikubaya sana ushabiki wa makundi umekuwa mkubwa kuliko ushabiki wa dini
Kabito mashaa Allah hata mimi niliposikia jina lake nimelia kwa furaha kabito Qur'an iwe kifuani mwako in shaa Allah
Amiin
Nafatilia nkiwa Lebanon sheik kishki mungu akujze kheri inshallah 🙏🙏
Nipe mchongo wa kuja Lebanon tafadhali
@@Mauya23 watu wanapendaga to kujitangaza walipo rkn usitegemee kusaidika juu ya hilo nipo Oman ukipenda michongo ipo ukuje to
@@NoorynMuddyMchongo gani wa kazi unapatikana nije kufanya kazi
Ammina ya rabbill allamin allhuma amin
Lebanon? Is not dangerous over there now???
Nakupenda sna sheikh Nurdin kishki Allah akupe humri mlefu wenye avya kheri za dunia na za ahera ukakutane na Mtume wetu kipenz chetu bwana Mtume Muhammad s.a.w inshallah ❤
Ammina ya rabbill allamin allhuma amin kwa sote
Namuomba Allah swt atuunganishe waislamu kote duniani tupendana na kushirikiana na kushikamana ktk njia ya Allah.. Maadui wasipate nafasi kamwe.
faiza hujambo
Allah akufsbyiye kila kheri shekhe wetu kishk Nurdn nawashukuru sana mashekhe wetu wote wa Tanzania na Maamuma wote wa tanzania Allah awajsliye kheri na baraka tere kwakutuelimisha .nipo Omn
Mash Allah Shekhe Nurdin Kishki na waislamu wote mlio shiriki ktk kufanikisha hili namuomba Allah awalipe hapa Duniani na kesho mbele ya haki Allahuma Amiin.
Ammina ya rabbill allamin
Masha Allah tabarakallah nafurahi kuskia kabito kushid😭😭😭
ALLAH akuhufadhi sheikh wetu nurdin kishki nafuatilia nikiwa ughaib nafutrah mpk machoz
Shekih mungu akupe kheri na umri mrefu
Mashallah tabaraka llah Shukran saana sheikh Nurdin 😢❤❤❤
Mashallah mashallah Allah azid kuwapa nguvu biidhin llahi yarraby twamuombea kabito Allah anzidishie mazur
Maashaallah tabarakallah shehewetu Nurdin na Tim yako Yoote na watu wa Quruan Allah awalipe heri napeponi tuwepamoja
Salute haifai kiislamu
Nafauatilia nikiwa omani mashallah mashallah Allah atubariki waislam wote tinaofuatlia mashindano haya n.a. washiriki wote walioshiriki
Ammina ya rabbill
Allah akulipe kheri yarabi ❤❤❤
Nafatilia nikiwa Oman Allah akubariki na washiriki wote inshaallah mwakani tutakuwa pamoja Allah ajaalie salama
Nafatilia nikiwa iraq mashaallah kweli yamependeza sana
Upo sahihi sana shehe matokeo ni kazi ya majaji uislam dini yangu jema 1 thwawabu 10 Alhamdulillah kwa neema
Maashallah shekhe kishiki Allah awafanyie wepesi kila Jambo
Ammina ya rabbill allamin kwa sote
Takbir ndugu tanzania 🇹🇿
Allah Akbar
Allah Akbar
Allah Akbar 🎉
Allahu Akbar
Maasha Allah Allah awalipe pepo ya firdaus Kila alieshiriki kulifanikiaha hili.
Ammina allhuma amin
❤❤❤❤❤
Mashallah
Maashaallah! Mashallah!mashallah
Asalam aleykum
Shekhe samahan ninatatizo la kuwa na hasira kwa haraka sanah naomba nisaidie nifanye nn ili niwe sawa au nifanye istighfar gan ili niwe sawa tafadhali ni muhimu usipuuze shekhe wallah taufiq
Manshaallah, manshaallah, manshaallah
Takbir
hongera sana shekhe kwa kuanzisha kitu kizuri pia nakushauri tumia ushawishi wako pia kuunganisha waislamu tunakoelekea nikubaya sana ushabiki wa makundi umekuwa mkubwa kuliko ushabiki wa dini
Allahu Akbaru kwa kweli nimeliya kwa kuskia lio Pata tiketi ya kwenda umraa😭😭😭
Masha Allah Alafu utaona Mataira yanakuja kusema Mashindano ya Qur'an ni Bidaa! WAPUMBAVU WAKUBWA WOTE WANAO PINGA HAYA Mashndano ya kusoma Qur'an
We hujui kitu FANYA UTAFITI... NYAMAZA
Subhanallah Yaaaa Allah Yaa ALLAH wew ndio mlezi wetuu jmn ALLAH AKBAR
MashaAllah ❤️❤️❤️
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ALLAHU AKIBAR
Manshaa Allah nawafatiria nikiwa omani Takibirii Allahu Akibaru
MashAllah imefurahisha
MashaAllah MashaAllah ❤❤❤❤❤❤
Mashaallah mashaallah ♥️♥️❤️
Nafuatilia.nikiwa.Oman.mashaallah
Mashallah ❤❤
Assalamu aleikumu warahamatulahi wabarakatu
YA JABARI
Shukuran sheikh
Takbirrrr
Allahu Akbar
Mashaallh
Tabarakallah
MashaAllah
Allahuma amiin
Allah ajalie kheri quran isiishie kwenye kuhifadhi na kushindana bali ionekane kwenye TABIA NA MATENDO. Hapo ndipo mafanikio na lengo.
Ammina allhuma amin kabisa ndugu
Kabisa
Sanaaa minemilia alivyotangazwa nimshindi kwa machozi yafuraha, kabito twakupenda
Nikiwa azabaijan nakupata sana shekh Wang kishki
uislamu raha sana hakuna bias ni uadilifu tu
Guran is the best African
Du wewe kweli ni sufi yaani juwa na mvuha vyote si bora? Yaani neema unaikataa?
Acha ujinga wewe
Uji elew kumbe
Kosome na ujifunze kuelewa hotuba ya mtu
tushawazowea nyinyi niwajinga wa mwisho mnakosoa kitu gan hapo
Saadalah., tafakar kabla ya kutoa maneno yako huenda ikakusaidia sana kuongea vitu sahihi
Mashallah
Masha Allah
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah