Amina gani nyie mnapotoshwa 1korintho 11 :5 kila mwanamke anapohutubu ooky kuhutubu maana nini ? Nikwamba anahutubia muhazara au anahubiri ,sisim ni vyombo vyake Bwana ,kipindi cha musa haruni na miriamu miriamu alikuwa nabii pia lakini katika kumsaidia musa , mbona mnatuchanganya mimi binafsi huo uwongo wakusimamia andiko moja la simpi ruhusa mwanamke kufundisha unajua alikua anaeleza nini kwamba usimfundishe Mumeo ndio maana akasema kama unaneno tusubiri nyumbani sio mbele ya kanisa,
Lakini ndugu Kuwa Kiongozi wa Kanisa ndo haitakiwi kama akina Bahati Bukuku,Akina Christina Shusho Wameanzisha yao wameacha Waume zao mmmh hapo kweli kuna Ruhusa
Amen Amen hallelujah hallelujah 🙌🙌🙌
Ameni Mtumishi from Singida Tanzania
Asante mutumishi wa MUNGU suluhisho nikufuataneno
Hawakuelewi Mtumishi,Ongeza Nguvu
Ila Hapo Mch Rangi Unachemsha kukashifu
Kwa kweli tunapaswa kutii neno la Mungu
Amen and amen 🙏
Amen
Amen Ameeen
Amina Amina Sana mtumishi wa Mungu
Ameeen ameeen
Lakin Catholic hawapati Mapepo kabisaa
Amina gani nyie mnapotoshwa 1korintho 11 :5 kila mwanamke anapohutubu ooky kuhutubu maana nini ? Nikwamba anahutubia muhazara au anahubiri ,sisim ni vyombo vyake Bwana ,kipindi cha musa haruni na miriamu miriamu alikuwa nabii pia lakini katika kumsaidia musa , mbona mnatuchanganya mimi binafsi huo uwongo wakusimamia andiko moja la simpi ruhusa mwanamke kufundisha unajua alikua anaeleza nini kwamba usimfundishe Mumeo ndio maana akasema kama unaneno tusubiri nyumbani sio mbele ya kanisa,
Kuhutubu maana yake ni kutoa unabii, na sio kuhubiri wala kufundisha. Mwanamke anaweza kuwa nabii