Rafiki yangu marehemu Athanas Mwesigwa RIP alikuwa mwanafunzi Nyakato SS alibahatika kufika likizo Dar es Salaam akiwa form 2. Aliporudi alitusimulia band ya saboso naye tukamubatisa jina la saboso kwa mapenzi yake makubwa wa Wema Abdallah. Atanas Mwesigwa R.I.P
Still enjoying this music with nostalgia on a regular basis at home and in car ,phone etc. Long live Western jazz and TZ music zilizopendwa including Tabora jazz Chakula kwa Jirani and Dada Asha .
Hizo zilikuwa nyakati zangu nilipokuwa kijana na wenzangu kila weekend tunakwenda kucheza ngoma ya wana saboso mwaka 73. Na huo ndo ulikuwa mziki na mafundisho yetu kwa vijana. Siku hizi na uzee wangu nakaa sebuleni na kukumbuka nyakati zileeeeee!
That soloist again! The rhythm guitar, my God! Who was he? Where are these people? Can we contribute to their families' wellbeing? Like many musicians in Africa they are penniless.
Rafiki yangu marehemu Athanas Mwesigwa RIP alikuwa mwanafunzi Nyakato SS alibahatika kufika likizo Dar es Salaam akiwa form 2. Aliporudi alitusimulia band ya saboso naye tukamubatisa jina la saboso kwa mapenzi yake makubwa wa Wema Abdallah.
Atanas Mwesigwa R.I.P
We zandu asante kwa haya yote kuhusu western jazz band songs.
Hizo ndizo zilikuwa siku zetu za ujana. Nyimbo zenye mafunzo lukuki. RIP Wema Abdallah Maangwa❤❤.
❤❤❤❤❤❤❤
Still enjoying this music with nostalgia on a regular basis at home and in car ,phone etc. Long live Western jazz and TZ music zilizopendwa including Tabora jazz Chakula kwa Jirani and Dada Asha .
Mafunzo nilikua mdogo 10-13 miaka vile napenda muziki sina sauti ya kuimba RIP Mkatsedze Mwanajuma
❤❤❤❤❤❤❤
Hizo zilikuwa nyakati zangu nilipokuwa kijana na wenzangu kila weekend tunakwenda kucheza ngoma ya wana saboso mwaka 73. Na huo ndo ulikuwa mziki na mafundisho yetu kwa vijana. Siku hizi na uzee wangu nakaa sebuleni na kukumbuka nyakati zileeeeee!
❤❤❤❤❤❤❤
weweeeee, rythmn guitar ndio hiyo (our own franco)!
It was my favourite band by then.
Dada asha was a good one also.this was really an orchestra jazz.
Hayo magitaa ya solo na rythm,yamepigwa kwa ufundi mkubwa,big up wema abdalha na shamba ramadhani,
Rashidi Hanzuruni je?
Wakati huo Rashid Hanzuruni alikuwa ameishaondoka. Hapo solo lilikuwa linacharazwa na Wema Abdullah na Shamba Ramadhan.
@@sylvesterjose3286 Yes kweli. Ahsante.
❤❤❤❤❤❤❤
Where is this band currently.please
Bons tempos já lá se foram👌🙏. Recordar é mesmo viver.🇦🇴🇦🇴
❤❤❤❤❤❤❤
Hawa ndio wanamuziki Kweli walitumua vyiao kwa kupitisha ujumbe kwa Jamii siku hizi hamno
❤❤❤❤❤❤❤
Shaddy my man you are indeed prolific!!!! KUDOS MINGI!!!
❤❤❤❤❤❤❤
Vraiment difficile à retrouver...
Mais quels merveilleux souvenirs du Cameroun ! Ceci est certainement chanté en Swahili... (this is French language)
❤❤❤❤❤❤❤
Very nice music or sapphrie
❤❤❤❤❤❤❤
Shamba ramadhani tutakukumbuka kwa upigaji bora wa gitaa la kati, nimesikia jana tu kafariki,
❤❤❤❤❤❤❤
Aah!it reminds saboso at their peak
These were great men
❤❤❤❤❤❤❤
Silizopedwa.
That soloist again! The rhythm guitar, my God! Who was he? Where are these people? Can we contribute to their families' wellbeing? Like many musicians in Africa they are penniless.
Wema abdalha_solo guitar already passed away, shamba ramadhan -rhythm guitar still living at nguruka in kigoma region, he is a Muslim sheikh
I conquer with you
❤❤❤❤❤❤❤
Can you interview shamba ramadhany please?
La propia picadura
Ahsante sana :)
❤❤❤❤❤❤❤
Damn!!!!!! Who used to play that great rhythm for Western Jazz??????
Kulikuwa na Wema Abdalah, Shamba Ramdhan, Hamis Tosha na wengineo, basi mambo yalikuwa ni hatari acha kabisa.
Shamba Ramadhani mpiga rhythm
Those Shamba,Wema and Tosha was Sololist,but Rithim was played by Bindo guy from Tanga
Miaka ya 60s,70 maisha matamu
❤❤❤❤❤❤❤
le hasard fait vraiment bien les choses....je tapais "liza", etc....beaucoup de chance ! merci Shaddy !!!!
❤❤❤❤❤❤❤
Buen tema solo para la gente que sabe gracias
❤❤❤❤❤❤❤
Soukous stars remixed this songs in the 90s
Who was this bass guitarist?,,,,,so fantastic!!!!!
Halfani Sultan then bas guitar
Hizi nyimbo kuna uwezekano wa kuziweka Kwenye CD hili kizazi kijacho wafaidi matunda ya wazee Wao?
Hahahaha
Ili ...
Daa jamani ya kale zahabu
The name of the 2nd song is "Kubadili DINI" not dili. It means " to change religion"
1973
Western Jazz band singers rest in peace.