Akili ya Baba ni GENUIN, Asante sana kwa elimu zinazotolewa na Mch.Mbarikiwa Mwakipesile.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 zimenifanya nijitegemee, yaani nimeweza kuishi bila kumlemea mtu.Uishi milele Mwamba wangu.
Asante sana, mimi pia nimesaidika sana kupitia mafundisho toka kwa mtumishi wa Mungu mch.Mbarikiwa Mwakipesile, kwani leo hii Nina uwezo wa kufanya kazi yoyote ya ufundi kama kujenga, kuchapia, kupaka rangi ,kupiga bati nyumba,kusuka umeme, kufanya kazi zote za fundi Bomba na mengine mengi, Kwa uhalisia hapo kabla sikuweza lolote kwa sababu ujasiri haukuwepo kutokana na kuteswa na shetani kwa magonjwa mengi yaliyodhoofu kabisa namna za kuona inawezekana kuweza ,lakini kupitia injili yake ilinifanya nijiamini sana na kupambana kutokeza vipawa hivi
Watu wa aina yake mbarikiwa wapo wengi sana sema wao hawajajitokeza mpaka wakati wao utakapo wadia.Kwa sababau kila mtu anawakilisha nyakati au taifa.Muhimu ni moja tu katika nyakati zake fanyeni yalio mema kama anavyo wafundisha.Jambo moja la muhimu sana kamawe unapo kuwa na karama za Mungu usijidanganye kwamba upompeke yako.Muhimu sana tena sana katika nyakati zako utende sawa sawa na mapenzi ya Mungu Bila kuongeza wala kupunguza.
Mama mbarikiwe Mungu akupe nguvu.jibu ni kuamini kwake yeye atutiaye nguvu. Thoruba. Upepo.tufani.milima. vyote hivyo ni majaribu.je umesimama!!!. Simmering mbele zake aliye juu.mweza wa vyotee.atapitisha na ili.mmh!! Litapitaaa. Tuko pamoja kwenye maombi.Amina.
Akili ya hiyo Africa haipo tu nafikili mambo yatatokea tu yani ulale kesho una Mali sijui hiyo akili ilitoka wapi mtu kakaa tu kijiweni a nawaza kununua Fuso Sasa hiyo akili duniani haipo kabisa watu wanapiga akili kubwa kupata pesa na bidii ya kazi wewe umekumwa mwalimu mzuri unawapa neno na akili ya kutafuta kwa jasho sio mafuta ya upako hivi ni akili gani wotee duniani hawafikili hayo mambo ila Africa tu.
Akili ya Baba ni GENUIN,
Asante sana kwa elimu zinazotolewa na Mch.Mbarikiwa Mwakipesile.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
zimenifanya nijitegemee, yaani nimeweza kuishi bila kumlemea mtu.Uishi milele Mwamba wangu.
Amina Mama Mchungaji mbarikiwa nawapenda mno jaman MUNGU awatunze sana sana sana
Asante sana, mimi pia nimesaidika sana kupitia mafundisho toka kwa mtumishi wa Mungu mch.Mbarikiwa Mwakipesile, kwani leo hii Nina uwezo wa kufanya kazi yoyote ya ufundi kama kujenga, kuchapia, kupaka rangi ,kupiga bati nyumba,kusuka umeme, kufanya kazi zote za fundi Bomba na mengine mengi,
Kwa uhalisia hapo kabla sikuweza lolote kwa sababu ujasiri haukuwepo kutokana na kuteswa na shetani kwa magonjwa mengi yaliyodhoofu kabisa namna za kuona inawezekana kuweza ,lakini kupitia injili yake ilinifanya nijiamini sana na kupambana kutokeza vipawa hivi
Hongera mama mpambanaji
Ahsante saana kiongozi wetu ulietupatia akili na sio fedha.
Ndio maana tunakupenda sana....
Mwenyezi Mungu azidi kuwapa maarifa mengi katika huduma hiyo aliyowaitia Mungu ...
Waooo mbarikiwe
Mbarikiwe mno mno watumishi wa MUNGU 🙏🙏
Mkikubari na kutii mtakula mema ya nchi.... Kwa ninyi kuwa hivyo siyo ajabu. Hii ni kama wamedi na wajemi. Hongereni sana.
Mama yetu hongera sana
Watu wa aina yake mbarikiwa wapo wengi sana sema wao hawajajitokeza mpaka wakati wao utakapo wadia.Kwa sababau kila mtu anawakilisha nyakati au taifa.Muhimu ni moja tu katika nyakati zake fanyeni yalio mema kama anavyo wafundisha.Jambo moja la muhimu sana kamawe unapo kuwa na karama za Mungu usijidanganye kwamba upompeke yako.Muhimu sana tena sana katika nyakati zako utende sawa sawa na mapenzi ya Mungu Bila kuongeza wala kupunguza.
Onyesha ulichofanya usiwe na wivu na mbalikiwa mch huyu hana wivi
Salty sana kwako Mtumishi wa Bwana Mrs & Mr Rev; Mwakipesile.
Mwakipesile is not rev 😂😂, he is just Mbarikiwa
Mama mbarikiwe Mungu akupe nguvu.jibu ni kuamini kwake yeye atutiaye nguvu. Thoruba. Upepo.tufani.milima. vyote hivyo ni majaribu.je umesimama!!!. Simmering mbele zake aliye juu.mweza wa vyotee.atapitisha na ili.mmh!! Litapitaaa. Tuko pamoja kwenye maombi.Amina.
Simameni sio simmering.
Mungu akubaliki Sana mama
Mungu akubariki sana
Ameeeeeen MUNGU awabariki watumishi wa MUNGU
Akili ya hiyo Africa haipo tu nafikili mambo yatatokea tu yani ulale kesho una Mali sijui hiyo akili ilitoka wapi mtu kakaa tu kijiweni a nawaza kununua Fuso Sasa hiyo akili duniani haipo kabisa watu wanapiga akili kubwa kupata pesa na bidii ya kazi wewe umekumwa mwalimu mzuri unawapa neno na akili ya kutafuta kwa jasho sio mafuta ya upako hivi ni akili gani wotee duniani hawafikili hayo mambo ila Africa tu.
Hongela mama name nilipata akili mulipokuja mafinga kwakweli mbalikiwe munatoa elim kubwasana munguawakumbuke
Mungu awabaliki
Mama Mungu azidi kukubariki wewe ni mama haswa ujuaye kulea, uwe unazunguka kuendesha Semina na mama wachungaji maana wengine wavivu kweli
This is so fantastic!!!
Amina keep up in Lord Jesus 🙏🏼 🙌
Hii imenihamasisha sana, mmewezaje jambo hili
👍
Duuu umeenda nchi zote hizo bila visa
Kwakweli hasisi huku karatu tumesaidika na elimu mbarikiwa mwakipesile Sana Sana!
Safi sana
mutu wamungu ukimtupa jagwani jagwa linageuzwa linakua balaka 💪
Amen Amen
Amen
SASA MSIWAONYESHE SANA HAO SAMAKI, MAANA MIMI SINA MBOGA LEO.
ASANTE MAMA KUPITIA BABA MBARIKIWA MWAKIPESILE,KWA AKILI KUBWA HIYO.
Huyu aliyecomment hapa sio kama namjua hivi?
JPM TUTAENDELEA KUMKUMBUKA DAIMA