The good thing in America stima haipotei.Mimi ninanunuanga mahindi ya githeri mbichi gunia moja once a year.Nduma, ngwaci, kuku na mbuzi mzima kutoka mashambani.They stay for one year in the freezer.I went to Kenya for 3 months and still found my food intact.Meanwhile, nitumie chapo kumi pleaaaase!❤❤❤❤
Nowhere be like home!!! be your self OWEN,you live according to your own principles i love it,kwanza ukikam tena tupikishe ka canter kazima wakuongea waongee zaidi BRAVO! BRAVO!BRAVO.
😂😂😂 haki wakenya wamewashwa na hizo chapo, lakini ulisahao kubeba yellow beans😋 hiyo chapo ukipika na yellow beans, uweke kasaumu na kadania 😋😋 wacha tu😄
Do you my brother!! You know you're trending if my mom in Germany heard about your chapos lol. I enjoy your content especially the visa stuff you advice people about. I Just need to catch up with the sheng for now!!
Hata mimi, nilibeba mpaka mboga za kienyeji, ngwashi, nduma, mahindi, ungai ya sembe, garmers choice sausages, hizo omena ,;tilapia na kadhalika, the list continues, well done 👏 to u and all the patriotic kenyans😊
Kwanza hizo chapo nasitamani unauza nikujie. Usijali maneno yanasemwa . My uncle anapepa hata sweet potatoes. Kama naweza kujua mahali huko. I can come running so fast
Hii nayo si uongo hzi chapati nazo zmetread .At first I spotted them on Treads , Kidogo kidogo nkiwa kwa harakati zngu pale IG nkapatana nazo, 🤣🤣 Kidogo kidogo kufungua X alaaar...napatana na chapati guy still trending huko 🤣🤣🤣🤣🙌🙌 Facebook nayo hko ndo umetamba kama mto wa Moses and The Burning Bush🤣🤣🤣🤣🙌 whueh! Mimi nmecheka yangu yote. But siezi ku-criticize coz you're NOT Trending for the wrong reasons. Kula chapati Bro ni zako.😂😂
Hershys is not the same as cadbury at all the first time i ate hershies i though it wa bitter the others are too sweet theta the problm in america too sweet or too bitter the good thing is ice cream i guess blizards, and cheese steaks
The good thing in America stima haipotei.Mimi ninanunuanga mahindi ya githeri mbichi gunia moja once a year.Nduma, ngwaci, kuku na mbuzi mzima kutoka mashambani.They stay for one year in the freezer.I went to Kenya for 3 months and still found my food intact.Meanwhile, nitumie chapo kumi pleaaaase!❤❤❤❤
Nowhere be like home!!! be your self OWEN,you live according to your own principles i love it,kwanza ukikam tena tupikishe ka canter kazima wakuongea waongee zaidi BRAVO! BRAVO!BRAVO.
Owen, I love your boldness and honesty.Keep it up bro😂
Bro, you are a legend doing legendary stuff. Top shelf stuff.
Nimerepeat hii video mara kadhaa juu watoi wangu wameona hio box ya bluey hapo manyu. Great job bro
Our food taste is everything me am a testimony saa hii nimekula my ngwaci na chai ina slap na hii winter
Chapati wasiozila za washia nini? Tarîa cabaci ciaku tigana na andû.
❤ your video. Nitumie chapo ya kupikwa na jiko.
Haki wewe....Huwa sicomment bt hii imenibaba mbaya 🤣🤣🤣🤣🤣 👍👍💯 hiyo comeback imeweza....
😂😂😂 haki wakenya wamewashwa na hizo chapo, lakini ulisahao kubeba yellow beans😋 hiyo chapo ukipika na yellow beans, uweke kasaumu na kadania 😋😋 wacha tu😄
You have spoken right.Am your silent follower. I love your contents.People will never understand until they are in that situations
Wewe ni mzalendo....enjoy your chaparis
Mimi nilikuwa nachukia njahe nikija home lazima ni bebe😂😂😂
Achana na hao wanapenda kuringa...na machakula ya wazungu....gmo...pride in our African food..
Do you my brother!!
You know you're trending if my mom in Germany heard about your chapos lol.
I enjoy your content especially the visa stuff you advice people about. I Just need to catch up with the sheng for now!!
Hata mimi, nilibeba mpaka mboga za kienyeji, ngwashi, nduma, mahindi, ungai ya sembe, garmers choice sausages, hizo omena ,;tilapia na kadhalika, the list continues, well done 👏 to u and all the patriotic kenyans😊
Mimi mpaka unga ya posho mill iko kwa freezer.All the way from Kenya.Nakula ugali kama ya ushago.
People will always complain about everything. Take a hungry man in and he will complain about the food quality. Its human nature.
😂😂Taste of Africa is different from Europe,mi pia Huwa nabeba mkunde,mchunga,mahindi 😂😂 congratulations 👏 bro.
True Patriot achana na wakenya ni wivu tu nakupenda bure thank you bro kupromote nyumbani October unanihost the next DV winner IJN
Hii nayo nimeipenda! Good job Mkuu.
Hi man .. They don’t don’t value it but its like 3yrs since I last had chapos si u send me 5pcs nijikumbushe …
mtu anapika chapati na pesa yake anazirecord na simu yake anapost kwa channel yake lakini inawauma kwa nyumba zenu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣wakenyaaa.
😂😂😂
Huyu jamaa hunifurahisha sana. Tell them
Mtu asikuambie kuhusu chapo zako Ji nice joo chapo muhimu pata kilo calories mob
Jienjoy bro na machapo no pressure next ukuje nikupikie roho safi
Kula chapo ujienjoy, a taste of home angalau...acha wakuongea waongee
😂😂😂 hizo chapati zimetred kenya mbaya sana
Hata mimi I brought peptang na wet and fry mixed spices am sorted for the year
We are africans and african is our way..lazima tubebe vitu home ...lazima....
Hi which is the easiest way to get a visit visa..what is the procedure.
Walai mimi ukiangalia bad yangu dio utastuka mara njahi,mihogo,nduma,githeri,maovacado na kadhalika😂
Wao am here in Kasarani Kenya. I like the way you advertise your chapati ya kupikwa na rugio chafu
Hiyo ya rugio chafu ndiyo best😎😋😋
You 've got a new subscriber, just love home food, next time i will bring nyama chona😅😅
You are the best, beba kabisa bro
Aaaasiii usiwamind wakenya ni roho chafu wakifika ngambo,, wacha waongee iwatoke
Kenyans can really amaze you .
That video was a good one.Nitumie chapo tusaidiane kupata food poisoning,hahahaa.watching from Indiana.
Hello. Watching from Nairobi
Acha hivyo mi nilibeba miwa zimechongwa...beba kabisa Owen👊🏾 kwanza Chapo za cow boy huslap😂😂
Hizo nilikuwa napika fresh n crunchy peanuts
This chapo watu wamefwatilia sana, Ebu wakutumie ingine.Hadi story za visa wamesahau😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 Bro umeua
Kwasababu ya stori ya chapati nimesubscribe.
Very nice man, tell them !!!!!!!
Kenyan sausages the best in the world
Ooh yes.I buy Kenyan ones!
Kwanza hizo chapo nasitamani unauza nikujie. Usijali maneno yanasemwa . My uncle anapepa hata sweet potatoes. Kama naweza kujua mahali huko. I can come running so fast
Broo Tuko pamoja...anytime ikiisha Niko hapa st louis woria nitaakuundia bure Bro niweke kwa posta pap...
Oatmeal biscuits are very tasty, I always bring some when I return 😋😋
😂😂mkenya mzalendo ,hawaezi elewa
Bro sikuona number ya yule msee wa trucks anabeba kokoto uko Minnesota, please share.
we love you bro
Mpaka omena...kaa omena imefika yues Hadi Mimi nitafika
Hii nayo si uongo hzi chapati nazo zmetread .At first I spotted them on Treads , Kidogo kidogo nkiwa kwa harakati zngu pale IG nkapatana nazo, 🤣🤣
Kidogo kidogo kufungua X alaaar...napatana na chapati guy still trending huko 🤣🤣🤣🤣🙌🙌
Facebook nayo hko ndo umetamba kama mto wa Moses and The Burning Bush🤣🤣🤣🤣🙌
whueh! Mimi nmecheka yangu yote. But siezi ku-criticize coz you're NOT Trending for the wrong reasons. Kula chapati Bro ni zako.😂😂
Bro i support you 💯
You do you,the
rest is not necessary, do what makes you happy .😊
mimi tu asiingilie mahusiano yangu na chapati 😢
Very encouraging, promoting made in Kenya 🇰🇪
😂😂😂 I love it how you blash them with humour 😅
When you freeze chapati they stay fresh for years ,unatoa tu moja and warm in a pan or micro wave
Hello bro siunipate hio job ya chapo
Hershys is not the same as cadbury at all the first time i ate hershies i though it wa bitter the others are too sweet theta the problm in america too sweet or too bitter the good thing is ice cream i guess blizards, and cheese steaks
ushawahi ambiwa ujaribu comedy?...juu weeeee🤣
Mimi nabeba , mpaka chunvi ya mawe, African food ni tamu sanaa
Enjoy your chapos out Kenyan bro. We love you ❤
😂😂😂umenibamba bro...pan na jiko 😅😅.by the way your right.
We in Diaspora we carry anything and everything..
Mimi nilibeba kila aina ya samaki 2boxes to be precise
Hi mundu witu. i make chapo. Niko Wisconsin.
😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣sasa mbona mtu atusi chapati hehehe
Aki this guy makes me laugh😂..So nice marketing our kenyan foods.Our shushus lived on this..and were never sick.......
Thats too much 😅😅😅😅 how did you get through security
Kumbe ilikuwa wewe 😂😂 that's nice
You need to go done in the Guinness Book of Records🎉🎉
Umeamua kufanya comedy😂😂😂😂😂😂
Name jiko iko wapi
U forgot sweet potatos, nduma, sausages and majani chai
Mini nilibeba farmers choice frozen sausage💪💪
Achana nao, hawawezi elewa
People don't understand these things I wish they could just try they will.never stop carrying food from.home
Bro sikosagi chapo kama 100 kwa fridge but napikiwa na mum hapa tu.
Uzalendo at its finnest
Mzee wa chapati 😂😂
no one will understand this until they step out kenya waanze kutumia ujinga za country zingine ndio watajua food ya kenya ni tamu
Wewe Kula Cheney unakula kuongea ni kuongea Tu hawajui😂😂😂😂
am telling you if GOD bless me like this one day i dont know what ill do
❤ true KENYAN
Hi Owen happy new year 😂
The Chapo guy!! Tuma for testing 😂
Taste is everything
Tell them... You're an African and Africa,; Kenya is your business..
Hizi chapati Zina tusumbua I don't know why 😂😂
Mimi nilichekelewa bro nikumbemba nduma mimi nakuelewa bro
😂😂😂
Ungebeba jiko pia na makaa gunia moja
😂😂😂
Bana😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Very interesting guy 😎😅😅
Yaani I can't leave Kenya without food
Rugio chafu haiwezi osheka 😂
ati jiko inafanya chapati itaste different.... This statement should be flagged by community notes 😆😅😆
7:31 😂😂😂😂 you still have sufficient stock
Nothing tastes like things we get from home.
Me too😂😂
Umeni bamba sana😂😂😂 nitumie 40 dollar 😢😢
Hii sasa ni importation sasa lipa ushuru😂😂😂
Silipi :0
Nowadays they allow you to carry chapati at the airport?
Kula chapati bro ata sisi tunakulanga daily na hatusumbuliangwi 😂😂😂😂