NAMNA YA KUPIKA MTORI PART 2.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 47

  • @daudkoroso709
    @daudkoroso709 4 роки тому +1

    Safi Sana. Nimejifunza na Mimi kutengeneza mtori.

  • @modestmkali3436
    @modestmkali3436 4 роки тому +1

    Safi sana😋😋😋

  • @jasdasa6203
    @jasdasa6203 3 роки тому +1

    Asante kwa mpishi ya mtori

  • @mustafaalloo81
    @mustafaalloo81 4 роки тому +1

    Asante sana, very very healthy and delicious

  • @potinaemanuel2552
    @potinaemanuel2552 3 роки тому +2

    Dada jitahd kwenda fasta na pia mziki siyo lazima Ukiwa unatoa SoMo,Unatakiwa Sauti itulie siyo mchanyiko wa Sauti

  • @sallybebzsally8306
    @sallybebzsally8306 3 роки тому

    Nice blender

  • @mariamkakere7853
    @mariamkakere7853 4 роки тому +4

    Hapo umetumia ndizi ngapi n.a. nyama kiasi gani na inaweza kutosha watu wangapi kipenzi?
    umeweka viungo gani kwenye nyama ukiacha vitunguu na hoho vinavyoonekana

    • @jazzymkalitv5535
      @jazzymkalitv5535  2 роки тому

      Nimetumia kichane kimoja Cheney ndizi 10 na kilo moja ya nyama ndugu yangu. Hakuna kiungo kingine zaidi ya hoho, na kitunguu pamoja na chumvi kpnz.

  • @scolasticakalindile5456
    @scolasticakalindile5456 4 роки тому +1

    Vizuri

  • @halimasuleiman2713
    @halimasuleiman2713 4 роки тому +1

    Mimi mtori nilikuwa ni mboga ya mtoriro😄😄😄dah kumbe ndizi na nyama leo nimetoka ushamba nitajaribu kuupika inshaallah unaonesha mtamu😋

    • @jazzymkalitv5535
      @jazzymkalitv5535  4 роки тому

      Umenichekesha sana kpnz changu. Jaribu kupika kisha utujuze, kama umeupenda...😊😊😊

  • @laxahachygreens7289
    @laxahachygreens7289 4 роки тому +3

    Raha ya mtori uwe wa moto chapati iwepo ndimu na pilipili mbuzi na soda pembeni

  • @laxahachygreens7289
    @laxahachygreens7289 4 роки тому

    Mbona tunaona sinki tu humu ndani...ahh

  • @zaharamakota7434
    @zaharamakota7434 4 роки тому +1

    Mimekupenda bure na nimekuelewa kumbe mtori cyo lazima Ndizi bukobaa

    • @jazzymkalitv5535
      @jazzymkalitv5535  4 роки тому

      Ni kweli kbs ndugu yangu, hata viazi unaweza tengeneza navyo mtori.

  • @hannahmkali5722
    @hannahmkali5722 4 роки тому +1

    😋😋😋😋😋

  • @laxahachygreens7289
    @laxahachygreens7289 4 роки тому

    Mmh utazidi kunenepeana....

  • @user-xj6ff5pp7g
    @user-xj6ff5pp7g 4 роки тому +1

    Hi,unatumia ndizi kawaida tu?

    • @jazzymkalitv5535
      @jazzymkalitv5535  4 роки тому

      Nilitumia ndizi mshale, ila waweza tumia ndizi kimalindi na nyinginezo kasoro ndizi kimadu, maana ni ngumu sana.

    • @ngilantekadyuwegeye7388
      @ngilantekadyuwegeye7388 3 роки тому

      Naweza kutumia ndizi za kawaida

    • @jacobss4707
      @jacobss4707 3 роки тому

      @@ngilantekadyuwegeye7388 ndizi za kawaida ndo zipi jmn😁

  • @deborahsaleem1315
    @deborahsaleem1315 4 роки тому +1

    Yammy i miss my home

  • @godfreykajokajr.5934
    @godfreykajokajr.5934 4 роки тому +1

    hauna njia nyingine ya ktengeneza uo mtori wako

    • @jazzymkalitv5535
      @jazzymkalitv5535  4 роки тому

      Unaweza kumenya ndizi Kisha ukachemsha halafu ukapekecha na mpekecho my dear.

  • @wilsonmatunda4937
    @wilsonmatunda4937 4 роки тому +1

    Hii clip haionekani vizuri lakini nakupongeza!

    • @jazzymkalitv5535
      @jazzymkalitv5535  4 роки тому

      Shukrani sana ndugu yangu

    • @jazzymkalitv5535
      @jazzymkalitv5535  4 роки тому +1

      Nimetumia ndizi mshale, ila unaweza tumia ndizi za aina yeyote ile, kasoro ndizi kimadu. Maana hizi ndizi ni ngumu sana.

  • @mockyjohn3528
    @mockyjohn3528 4 роки тому +1

    Mtori wa hivyo wala haunogagi jamani

  • @anjelinamhina9382
    @anjelinamhina9382 4 роки тому +1

    Hajatuambia ametumia ndizi aina gani

    • @jazzymkalitv5535
      @jazzymkalitv5535  4 роки тому

      Ndizi mshale kpnz changu

    • @cynthiadoreen1960
      @cynthiadoreen1960 3 роки тому +1

      @@jazzymkalitv5535 hizo ndizi zimeiva au unakua umeshazichemsha

    • @jazzymkalitv5535
      @jazzymkalitv5535  3 роки тому

      @@cynthiadoreen1960 nakuwa nimezichemsha na maganda yake kpnz changu

  • @laxahachygreens7289
    @laxahachygreens7289 4 роки тому

    Kwani hiyo bleanda shosti mara ya kwanza kuitumia au umezawadiwa?

  • @mockyjohn3528
    @mockyjohn3528 4 роки тому

    Nia yako sio kutuelekeza mtori unavyopikwa, Ila kutuonyesha blenderrrrr