SIMULIZI MPYA: PENZI LA MTOTO WA TAJIRI
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Athumani alijikuta nimetokea mbele ya jumba moja la kifahari. Ilimchanganya kidogo asijue nielekee upande gani . Wakati akiwa katika kujishauri mara gari la kifahari NEW Model lilisimama mbele yake baada ya muda kidogo mlango ulifunguliwa. Alikuwa binti mmoja mweupe akiwa katulia katika vazi la shule siketi yake iliyombana na kuonesha makalio yalivyotulia si masihara.
😢😢kwani watu wanalala simu zikiwa nimetegeshwa UA-cam jamani..haya wacha nisikilize kigogo kipya..Ahsante Anko jay kwa kitu kipya bila kumsahau mtunzi wetu DR.AMBE 😊😊😊tunaenjoy sana
😂😂😂😂
@@dianabrownie1829 😒😒wanicheka sio sister
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂👉👉
😅😅😅 am one of them Without jay sound I can't sleep
Waooh❤❤❤❤❤❤❤ true love.what God has put together no man can seperate them..simulizi taamu nyie😍😍🤩🥰
Shukran anko Jay tupo pamoja kipenzi chetu Allah akufanyie wepesi kwa kila jambo tunakupenda sana zaidi ya sana
Nzur sana hongeren wapendanao anacho kipanga Mungu mwana damu hawez kukipangua glory to God
❤❤❤simulizi murwa kabisa...anko jay asante sana
Mama tajii🎉🎉🎉🎉
From London...❤❤❤❤
Nimeipenda love story ya dr.ambe na msimuliaji wetu anko jay mungu awabariki sana❤❤❤❤❤❤
Masha Allah leo nimewahi Asante anko jy kwakutufurahisha na kwaiyo sauti yako nzuli
Hii imeenda I see ❤❤❤❤❤sikupiri kusikirisa dio kumalisia anko we ni kindume kwa kuunganisha manenos
Asant Ambe❤❤❤❤
Wow upendosiku zote hushinda hongera kwa mtunzi storry😢 nzuri sana. Shukrani anko jay❤
MashaaAllah simulizi ya mafunzo sana wazazi tuheshimu mawazo ya wenetu
Good 👍 san❤❤ tunakupenda Sana mpendwa wetu
Mood on now thank you Anko JAy 🥰😍😍 ur bless my day 🥰❤️❤️
Jamani simulizi ninzuri sana jamani kumbe mapenzi yapo kweli wow
Asante saana Anko jeyi simulizi nzuri tena haina makubwa kwakuwa kunazigine simulizi huwezi sikia na watoto kwa kweli asante from Burundi
Mashallah simulizi mzuri haina matusi❤
Kuna watu ndo wanapenda asa simulizi za matusi mana sijuw wanapenda kujitia izo ham loo!!!
Woow ukipendacho roho hula nyama mbichi mapenzi kikohozi asante anko jay kwa simlizi hii tamu yenye mafunzo ndani yake
Mh mashalah bby boy simulizi tamu sn mungu azidishe kipajii chako
Ni simuriz nzur xn kwel mapenz ya yananguvu ❤❤❤❤❤❤
Big salute to Dr Ambe n mr Jay 🔥🔥❤️❤️❤️🥇
Anko Jay na dr ambe ahsateni sana na hongereni kwa shughuli zenu safi
Utu bora kuliko kitu shukran anko J ❤❤❤❤
Wow am proud of you guys that is true love Mashallah ❤
😂❤❤❤❤
❤❤❤ love story zuri sana saruti kwako Ako jay
Yan kwakweli ni 🔥 🤭😂🤣🤣
Wow,wow I,lve the story
Asante Kwa simulizi ingawaje sijaliskia , Wacha nijieke vizuri, niskie utamu wa simulizi,taratiiiiibu😂
Big up sana anko jay
Mmmmmh, shukran Mr jay
Napenda simulizizako
Thank you Anko Jay may God richly bless you abundantly ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Saaaafi
Mashallwah Mr mabrook
Mr ambe hongera ❤❤❤❤
Shukuran ankojay
Nice story 😘😘😘
Nice story❤❤❤
Anko Jay umejuwa kututeka na simulizi zako aise ni Kutwa na simulizi zako
Asante sana anko Jay kwa kibao kipya ubarikiwe sana ❤❤❤❤
Anko Jay mambo za saizi kaka yetu waendeleaje, leo umejua kutuweza ata salamu akuna leo hope your fine, siku leo imekuwa kuaje kwako?
Nimejifunza kitu Ankojay kwenye maisha. Hongera Sana ww na timu yako nawapenda wote jamani family yako pambana baba usitishwa na walimweng mmen mungu ndio mtetezi wa kila wanadamu tunakupenda Sana ❤❤
leo sijachelewa nikewai japo sijawa wa kwanza❤❤❤❤
Anko jay asante kwa kitu kipy
Daah kweli watu amlali umu ndani anko jay nambie mganga wako maana tusipo sikia sauti yako siku aiendi😂😂
Utu ndio kila kitu asant ank j 😊
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nzuri sana jamanii
Nzur san
Nipo tayari kusikiliza na subiri Anko jay❤❤
Shukurani Anko jay 🙏🙏🙏🙏
Shukran ankojay
Nice job
😅aaahhhaaa😂we Anko kwani mm nimepokea notification let😢,ok sawa nipeni mauwa basi
Sana tu❤❤❤
This one’s gon’ be good i see🔥
Tamu sana🥰🥰🥰
Chombo ichooo nakisubir kwa ham😋🥰
Good one.
🎉
🎉🎉🎉
Ila jamani umaskin mbaya eeeh mungu mpe kila mtu riziki 😢
Amin 🤲🤲❤❤
Kwer mapenz yana nguvu xn salut sna
Asante sana Anko J listening 🎧🎧 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 with much Love ❤❤❤
Asante Anko jy jana nimekuwa sina laha kweli 😢😢😢
lazima uwe huna laha maana kuandika kwenyewe unaandika laha na si raha 😂
Hahahaaaa
Yn kaaaa
Leo nimewahi anko j MUNGU azidi kukutunza anko wetu
Matajiri wengine bwana 😢😢 kaka wawatu hana kosa ila toto lao daaa
Watu washarogwa tunalinda cm kwa simulizi
Kaka unauti Zuri jaman
Naaam ! Mani dio nanza kuskiza story baada ya siku nzima ya kazi 😅😅
Ancojey miss you msela plez
Dr Amber
Fupi ila tamuu anko Jay ❤❤❤
Hope cjachelewa xn team ya ankoj mapesa 😂😂 pamoja ankoj
The only
Duu hii kali ya malezi
Asant San anko jey
Tam sana haina matusi
Habar zako vp leo akuna simuriz😢😢
Uncle Jay penda wewe sana
MTOTO WA TAJIRI jamani ankojay tunamsubili hapa ili afike halafu jutuwe yaliomo🤣🥰🥰🥰
shoga Leo umeniwai
❤❤❤❤❤❤❤
@@mwapendosultan887 🤣🤣🤣umeonaee
@@bertaseverinojacintoseverinoja 🥰🥰🥰
Ankojey tu saidiye na biti lisan sehemu ya 22
Anko j ukitoka kwa athumani nitafutie ya selemani please
yesu awepamoja nawe
❤❤❤mahallah
Leo mapema
Haya mapenzi ni kwenye simuluzi tu kihalisia hakuna😂😂😂
Nimekuwa wa katikati ya mwisho 😜😜😜😜
Haya sasa ngoja tusikilize
Tunataka dayna
Leo nimekuwa wa kwaza😅
Ameen ❤❤❤
Umekitahid kaka
Thanks ankojay 🥰🥰
Thank you too😊
@@ankojay_ 🥰🥰🥰
Wee huyu mdada nimwamba imara😂😂😂😂
Chombo kipyaaa eee❤
🔥🔥❤️❤️
🎉🎉🎉
penzi la dhati hua na mitihani na majaribu pia misukosuko bahama mateso na changamoto nyingi pia mahasidi wabaya wasio penda kuiona Mali ya wapendanao ikielea baharini ila nia yao na mawazo yao mabovu hupenda tuu kuwakatizia na kuifupisha safari
Anko kusema ukweli2 kwenye hii simulizi ulikuwa umechoka saana asee
To be continued
Ni nzur ila malezi mengine yanatumbukia nyongo wazazi mtoto amekaa kama kuku wa mayai
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
97% ni yakusadikika (alinacha 😇🤔🤗🙄🙆😔) LISSA MWALA UKO WAPI, hebu nawe shuhudia haya 💤🙀😿 Looo
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂akili za kushikizwa😂😂😂
Ako j wewe ninoma sana
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥