🔴LIVE: WAZEE WA YANGA WACHACHAMAA/MAGOMA MTOTO MDOGO/KAMA KASHINDA KESI AJE MAKAO MAKUU YA KLABU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024
  • Leo July 17,2024 Mpenja TV Tumefika Makao Makuu ya Yanga Jangwani na tumezungumza na baadhi ya Wazee waliopo kwenye Baraza la Wazee wa klabu hiyo, Kuhusu kile kinachoendelea ndani ya klabu hiyo mara baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa uamuzi wa uongozi uliopo Madarakani, ukiongozwa na Eng Hersi Said ung'atuke madarakani.

КОМЕНТАРІ • 166

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 Місяць тому +17

    Watuachie yanga yetu na hersi haondoki💚💚💚💛💛

  • @DominicBwanali-xl4wj
    @DominicBwanali-xl4wj Місяць тому +16

    Mzee heshima kwako mungu azidi kukupatia afya njema nakuelewa sana kwa uyasemayo

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 Місяць тому +10

    Huku Pemba tuna mjuwa heris tu💚💛💛💚💚💚

    • @user-lq7kv7sx3t
      @user-lq7kv7sx3t Місяць тому

      Mia mia sisi wapemba tuna mtambua heris nawakilisha wapujini woote waaaaaa wiiiii 😂😂😂😂

  • @innocentiBonifas
    @innocentiBonifas Місяць тому +13

    safi sana mzee,,uyo mzee magoma ni kenge mwenye mikia 7

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j Місяць тому +1

      Huyo magoma tutayapiga magoma yake na tutayacheza😅

    • @BenPeter-vp2cy
      @BenPeter-vp2cy Місяць тому +2

      Kumbe mtu mwenyewe tangu miaka ya 90 uko ndio mambo yake

    • @AbrodNsemwa
      @AbrodNsemwa Місяць тому

      😊

  • @cynthiapwani1383
    @cynthiapwani1383 Місяць тому +7

    Duh wazee nyie safi nimewaelewa sanaaa

  • @SadikBakary
    @SadikBakary Місяць тому

    Daaah mzeee wangu mungu akubarik tunawapend wazeee kam ww mzee wangu

  • @anthonylister754
    @anthonylister754 Місяць тому +7

    Mzee Sindano kaongea point sana asee

  • @MalaikaBright-rv6yb
    @MalaikaBright-rv6yb Місяць тому +9

    Mchafuzi huyo kanikeraaaaaa yani wote wapenzi wa Yanga tungane dunia nzima kumtetea Eng Heri wetu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤ mbele kwa mbele
    Ama kweli ya kabwela huyu ni kituko cha mwaka huu.tumseme hadi achanganyikiwe

  • @adolfjosephmwatulo
    @adolfjosephmwatulo Місяць тому +5

    Nmependa msimamo wa wazee

  • @shabanimussa4269
    @shabanimussa4269 Місяць тому +9

    safi sana wezee mwenyezi mungu azidishie umri mrefu amina

  • @user-ly2cz2nb2x
    @user-ly2cz2nb2x Місяць тому +5

    Huyu Mzee yuk vizur jibu zuri sanaa

  • @OmaryzingZing-jd3xm
    @OmaryzingZing-jd3xm Місяць тому +1

    😂😂😂 safi sana wazee Wangu mko vizuli Yanga ni kubwa❤ me J.Naldo apa kutoka Bagamoyo CR7

  • @SalmuWilson
    @SalmuWilson Місяць тому +6

    Huyo magoma tutamdunda❤❤yanga

  • @JuliethMshiu
    @JuliethMshiu Місяць тому +5

    Kweli kabisa kwenye mafanikio kuna Vita,
    Mti wenye matunda unapigwa mawe

  • @SAKINAJUMA-ey8qd
    @SAKINAJUMA-ey8qd Місяць тому +4

    Asante Sana mungu akubariki sana

  • @user-ch2it3qt5z
    @user-ch2it3qt5z Місяць тому

    Mzee Wangu miaka 💯 umeongea umetulia Sana Mungu awe Mwema kwako❤

  • @FeristaPaulo-v7d
    @FeristaPaulo-v7d Місяць тому

    Nimekupenda bure mzee wangu mungu akubariki Amina.
    😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @dentomedicalresourceslimit4602
    @dentomedicalresourceslimit4602 Місяць тому

    Mtangazaji uwe na ADABU. Cha kwanza ni salaam kwa wazee.

  • @user-hk4hk4gd5x
    @user-hk4hk4gd5x Місяць тому

    Masha Allah

  • @abdu36tz68
    @abdu36tz68 Місяць тому +13

    Amna kitu kinaweza tokea

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 Місяць тому +4

    Hizi ndizo mbinu nje ya uwanja. Wanajua kuwa Yanga iko bussy na maandalizo ya usajili na michezo ya ndani na nje na wanataka kututoa kwenye reli. Magoma ni Fisi aliye zoea kuishi kwenye chumba cha mizoga haawexi kuvumilia kuona chumba kile amepewa mwingine. Sisi tunaangalia maendeleo ya timu. Katiba inarekebishika na wala sio msshafu.

  • @HappyJohn-jo8im
    @HappyJohn-jo8im Місяць тому +18

    Watuachie yanga yetu wasituvuruge washaona tumetulia mamluki wameanzaa sasa

    • @ArafaMkomwele-vi2hp
      @ArafaMkomwele-vi2hp Місяць тому

      Mamluki anajua kufuata utaratibu Wala hajatumiwa na klabunyeyote anafuata haki mbumbu mtabaki hivyo hivyo

  • @SalmuWilson
    @SalmuWilson Місяць тому +2

    ❤❤yanga

  • @abdu36tz68
    @abdu36tz68 Місяць тому +14

    Hii nimipango ya kutaka kuimaliza ynga

  • @IborochaWarioba
    @IborochaWarioba Місяць тому

    Hilo lizee mungu asaidie life ata usiku wa leo limbwa hilo kumamake

  • @user-kt3ro2zt5i
    @user-kt3ro2zt5i Місяць тому +1

    Mzee nimekuelewa vizuli sana

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 Місяць тому +1

    Magoma mtoto tu', Hana uzee wwt shida tu' zinamsumbua, hawezi kuwa na rank za kina motisha....🤣🤣🤣

  • @AbshirMubaarack
    @AbshirMubaarack Місяць тому +2

    Hata mm Nashangaa "Yaan Mzee umri wa kina Kapombe,Fabrice Ngoma,Saidoo na Mukwala" Atusumbue wananchii.Aah wapi banaa

  • @user-lq1fm4dj2n
    @user-lq1fm4dj2n Місяць тому

    Safi sana😊

  • @PhilipMwakio-r1z
    @PhilipMwakio-r1z Місяць тому +2

    Wee banaaa eti nani angatuke
    Hapana machezo
    Hersi hoyeee

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 Місяць тому +1

    Washanunuliwa Huyo Mzee Wakolo Watatua Wana Kutuvunjia Hao Ila Hasbillah Waneemalwakiyl ...

  • @mkingakusota
    @mkingakusota Місяць тому +1

    Umeongea pwent mzee

  • @AminaRobert-c7p
    @AminaRobert-c7p Місяць тому +2

    Young Ni kijana asa mzee aanzishe timu yake hii timu Ni ya kijana wa kiafrika ndiyo maana ya YOUNG AFRICA. kila mzee aseme yake yanga itakuwa ya nani tumeangaika na akilimali atusumbue MAGOMA. senge kweliii

  • @aloycekashumba7541
    @aloycekashumba7541 Місяць тому

    Mzee umeongea point sana

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr Місяць тому

    Safi sana wazee wetu

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l Місяць тому

    BUNDI KAHAMIA JANGWANI 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kudadeki

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw Місяць тому +7

    Pesa ya mo inaongea hv hamjiulizi kwa nini wamekuja na neno ubaya ubwela? Hiyo ndo siri mo kashaanza kutoa pesa tutayasikia mengi

    • @user-wd2bc7bf5x
      @user-wd2bc7bf5x Місяць тому

      😂😂😂😂wew hembu waache simba hovyo kabisa mo ameingiaje ? ubaya ubwile Ahmed anasemea usajili huna unachokijua

    • @NurudinZuberi
      @NurudinZuberi Місяць тому

      Amka kumekucha bado umelala uendelee ķuota ndoto za abunuasi

  • @IdrisaKwepu
    @IdrisaKwepu Місяць тому +1

    Kwann asitafutwe popote alipo😅😅😅😅

  • @mustafanassoro-zv8fc
    @mustafanassoro-zv8fc Місяць тому

    Saf sana nimekuelewa sana hyo mzeee magoma njaaaaa hyo nyumba yake yenyewe nyasi

  • @AliMgana-u7r
    @AliMgana-u7r Місяць тому +2

    Ulipofanywa uchaguzi hio mahakama haikuwepo ikaweka pingamizi na hao wanachama walikuwa wapi hadi Leo ndio wanakwenda mahakamani.

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm Місяць тому +3

    Tutaichoma hyo mahakama raisi akiondoka engener kisutu tunaipiga moto hatutaki Usenge kabsa!🔥🔥

  • @idybwoytz8485
    @idybwoytz8485 Місяць тому +2

    Kwa sasa hatuweziii kuludia bakuliiii 🔰🌍🫡

  • @user-eu6sv8qq3x
    @user-eu6sv8qq3x Місяць тому

    Nimekukubali mzeewetu.wewe nimuelewa sana

  • @SadikBakary
    @SadikBakary Місяць тому

    Njaaa nayo sio 😂😂😂😂

  • @BenPeter-vp2cy
    @BenPeter-vp2cy Місяць тому +1

    Njaa zinamsumbua alaf nimeskia hii mara ya 3 mzee hana kadi ya uanachama😂😂😂😂

  • @mohammedhilal1855
    @mohammedhilal1855 Місяць тому

    Dah jmni embu msituvurugeee kabisa sawa eeeh au umeona kiongoz wetu anafaidi au nin sasa nawaomben mtuavhie huyoo binadam plz 😢😢😢

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 Місяць тому +2

    Mzee ameongea point sana

  • @ZulekhaBaksh-ii4fk
    @ZulekhaBaksh-ii4fk Місяць тому +1

    Kweli safari ya Mamba na kenge wapo na kenge mwenyewe mzee magoma mchawi huyo magoma

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 Місяць тому +3

    Huyo jaji ni kolo! Wabunge 19 bungeni WANAKULA Hela jaramu wakati Wamama wanalia maisha magumu, wanauza ndizi na karanga jua Kali, Hela za Kodi zao mnawapa michepuko wa lazima. Hakuna tamko lolote na mnajua ni haramu na Sheria zimevunjwa.
    Mbona mnapenda kuumiza umma mkubwa Kwa maslahi watatu? Hii Nchi mpaka yapatikane mapinduzi kwakweli.

  • @yonazimpombe1160
    @yonazimpombe1160 Місяць тому

    Mmezowea kuwanga lakini hii ni enzi ya teknlojia

  • @Lucasmapela-sq6nw
    @Lucasmapela-sq6nw Місяць тому

    💛💚

  • @saidimwanyiro5147
    @saidimwanyiro5147 Місяць тому

    Magoma mtu wa maana kabisa 😂😂😂

  • @hosseagoodluck1900
    @hosseagoodluck1900 Місяць тому

    Mirija imeziba magoma njaa tele ss

  • @eliathomas8446
    @eliathomas8446 Місяць тому

    Uyu ndo mzee wa Yanga bwana yule boya magoma sijui katoka wapi

  • @josephmwangita7041
    @josephmwangita7041 Місяць тому +1

    Tunaitaji wazee wenyee akili za utuuzima kama Hawa mungu awabaliki wazee wa hovyo wajifuze kwenu hizi ndo busala za wazee Tena kama wpo wapige magoti watubu Kwa mungu

  • @maryammussa2835
    @maryammussa2835 Місяць тому

    Mzee magoma anahangaishwa na njaa tu

  • @Defalausmpokola-t9v
    @Defalausmpokola-t9v Місяць тому

    Mzee uishii tuuu 😅😅😅

  • @EsterEgidius
    @EsterEgidius Місяць тому +4

    Saf sana

  • @kayikumazoya322
    @kayikumazoya322 Місяць тому

    Kumbe ni kijana kwendraa zake

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v Місяць тому +1

    SIMBA WAONYESHE UWEZO UWANJANI SIO NJE YA UWANJA

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 Місяць тому

      Wanaanza kutengeneza migogoro mapema ili wapate kamserereko

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek Місяць тому

    Mmmh jamani hakika elimu ni kitu BORA SANA,hilo debe tupu na wanaomzunguka WATUACHE NA MAFANIKIO YETU WANANCHI,cc na eng.Hersi/eng Hersi na cc,wananchiiiiiiii !

  • @FarajiSinawasa
    @FarajiSinawasa Місяць тому +1

    Huyuu mzeee ni shoga kachafua hali ya hewa

  • @AmonBarongo
    @AmonBarongo Місяць тому

    🙏

  • @jamesmwakila5866
    @jamesmwakila5866 Місяць тому +1

    Mzee huyu kaupiga mwingi sana💚🔰

  • @user-cy6wu9cd7k
    @user-cy6wu9cd7k Місяць тому

    Nadhani hakimu aliyempa ushindi huyo mpuizi ni msimba.

  • @user-be8dw4ck4j
    @user-be8dw4ck4j Місяць тому +1

    Uyo Mzee mchawi na asipo kuwa makini atakufa kweli

  • @IborochaWarioba
    @IborochaWarioba Місяць тому

    Yaani kuna vizee vingine vikiona vinakaribia kufa vinatafuta sababu za kufa nazo

  • @RashidTanga-vt1vz
    @RashidTanga-vt1vz Місяць тому

    Uyo mzee aturie

  • @murijiMohammedy
    @murijiMohammedy Місяць тому

    Achani yanga yetu

  • @user-nm2jq7xo5f
    @user-nm2jq7xo5f Місяць тому

    Yanga itabaki kamayanga daimambele nyumamwiko

  • @salehsemwija2624
    @salehsemwija2624 Місяць тому

    Na sisi vijana hatumtaki sio kijana yule atafute pakukaa hakuna kijana wa vile😅

  • @bahatimshali2731
    @bahatimshali2731 Місяць тому

    Sasa unazungumzia habari ya Simba na umeulizwa kuhusu timu yenu?

  • @user-ch2it3qt5z
    @user-ch2it3qt5z Місяць тому

    Kumb😂nmegundua magoma nd alimwambia fei Toto aseme hers aondoke ili Toto arudi😂 kumb alitumwa na huyu Mzee magoma Siri imefichuka

  • @AbdulmarickLuhoma
    @AbdulmarickLuhoma Місяць тому

    Waache usenge yanga kuyumba wamuache mwamba atuongoze vyema

  • @mohamedkutwambi
    @mohamedkutwambi Місяць тому

    Magoma moto😂😂😂😅😅😅

  • @samwelingasa1638
    @samwelingasa1638 Місяць тому

    Kagoma kaikataa yanga magoma kaenda kuishaki piga like kwa watu wa majina ya gomagoma😂😂😂

  • @GraceMbulu-rp8ko
    @GraceMbulu-rp8ko Місяць тому

    Rais wetu tunampenda ww kama humtaki hama timu

  • @vom84
    @vom84 Місяць тому

    Wazee hao bado ni wafuata upepo tu

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Місяць тому +1

    Wazee yanga hawana pesa ya ugolo😅😅

  • @bakarijuma1827
    @bakarijuma1827 Місяць тому

    Yaani tungekuaga na majini kweli mzee magoma ningemtupia majini kumi

  • @user-dz5jc6pp8e
    @user-dz5jc6pp8e Місяць тому

    TUNAEMJUA MAGOMA JAMANI KAFANYWA CHAMBO MDOGO SANAAAA HUYO ANA UZEE NJAAA KALI ATULIE KAKA ETU

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 Місяць тому

    Safari ya mamba ,kenge wapo😂😂😂😂😂

  • @SalmuWilson
    @SalmuWilson Місяць тому

    Mm kunawatu wanatamani kuibomoa time laminitis hiyo niyanga sio simba

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 Місяць тому

    Makoma kaniharibia siku aise jini saidizi

  • @kayikumazoya322
    @kayikumazoya322 Місяць тому

    Katka safari ya mamba kenge wapo, ukitaka kuwaua kenge wote utawaonea ua mmoja mmoja

  • @ObeidKiwanga
    @ObeidKiwanga Місяць тому +1

    Pamoja sana mmwambie ukweri huyo mzee ajue tena atulie kama njaa wamsagie unga wa ubuyu wampee

  • @JumaJohn-pg9hc
    @JumaJohn-pg9hc Місяць тому

    Nani

  • @anithqpaul3923
    @anithqpaul3923 Місяць тому

    Ili limzee magoma lawezekana nilichawi kwanini linachanganya yangayetu

  • @fj8317
    @fj8317 Місяць тому

    Hizi simba haijageuzwa soko makao makuu ya jengo la simba ni msimbazi na ni katikati ya mji sasa kuna ubaya kugodisha jengo klabu ipate hela

  • @Simonmollelmollel-ce3sk
    @Simonmollelmollel-ce3sk Місяць тому

    Magoma ni mchawi

  • @shabanabdalatupa
    @shabanabdalatupa Місяць тому

    Mzee umeongea magoma hana umri na haki ya kuitwa mzee

  • @ALCADOJAMES
    @ALCADOJAMES Місяць тому

    Tutamfila huyo mangoma tushavulugwa

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 Місяць тому

    Natumai sio wazee wote wa yanga upo na ao mamluki akina kagoma na mwaipopo.

  • @HassanMshamu
    @HassanMshamu Місяць тому

    Njaaa itamuuuuua uyo mzeee

  • @francisjameswadira6917
    @francisjameswadira6917 Місяць тому

    Huyu mzee mtu wa maana kabisaaa

  • @fidelismasaka2735
    @fidelismasaka2735 Місяць тому

    Hapo ni wanahitaji pesa tu sikingine

  • @RamadhanAlly-cf7du
    @RamadhanAlly-cf7du Місяць тому

    Uyo mzee njaa zinamsumbua tu

  • @dicksonngasapa7007
    @dicksonngasapa7007 Місяць тому

    Huyo Hana mandeti ahamie Simba

  • @kiboshokiboshomungumkubwa7789
    @kiboshokiboshomungumkubwa7789 Місяць тому

    Kwanza hata kama ni mwanachama afutiwe

  • @JastinChaula-vc6no
    @JastinChaula-vc6no Місяць тому

    Kaishiwa huyo