Comments Toka za three years back congratulations gado Sahi uko mbali love your eyes too ila mm pia Nina yangu sometimes nakua shy ata kuangalia watu comments hd haya tushukuru Mungu congratulations tena kazi nzuri😘😘😍
Ila tuacheni masihara mie huyu jamaa nampenda sana halafu yupo katika uhalisia sana. napenda kipaji chake, anavyojiamini na alivyo mkweli. Keep it up bro.
gabo jamani yupo juu sana namkubali sana haswaa kwaile movi yake ya bado natafuta aisee naipenda Ile sidii sichoki kuitazama alicheza vizuli sana zama weka kipande kidogo cha bado natafuta
Nikitumana bongo movie...lazima niseme nataka ya Gabo👄💋💕💖
anajua akifanyacho...lots of love all the way from kenya
Comments Toka za three years back congratulations gado Sahi uko mbali love your eyes too ila mm pia Nina yangu sometimes nakua shy ata kuangalia watu comments hd haya tushukuru Mungu congratulations tena kazi nzuri😘😘😍
Ila tuacheni masihara mie huyu jamaa nampenda sana halafu yupo katika uhalisia sana. napenda kipaji chake, anavyojiamini na alivyo mkweli. Keep it up bro.
Yes men at work lv uuu broo gabo,
Salim Ahmed Issa (Gabo Zigamba) unajuwa Kaka. Hongera Sana
Mungu Mkubwa kweli ukijishusha anakupandisha. Respect sana Gabo
bab lon angalia move yake inaitwa bado natafuta utamkubali tu yaani ni nomaaa
Heshima sana( GABO ) unaweza brother
Hi gabo wala hauringi kaka gabo sema unafanya kazi nzuri na ukiona unasemwa ujue wameona kunakitu unawzidi
baba waje vizuri utawatengua miguu wanao kufatilia maisha yako
Nakukubali Sanaa Broo #Saleem_Ahmad #Gado
Mm pia nampenda macho yko
Gabo zigamba is the best artist in Tz hakuna zaidi hata wanaomfananisha na Duma tupa kuleeeeee
Mm ndo nakupenda bure nakukubali sana
Nakupenda sana nikweli jamani hata mm mwanzo nilikuwa namkubar sana singo mtambalike
Habiba kweli kabisa alinikosha sana kwenye ile move
yupo vizuri sana Gabo anajua sana
napenda sana gobooo your one ni million
hongera Kaka gabo
Nice interview
hahaha gabo gari jamani nakupenda sana respect yko
uko vizuuri Sana Kaka gabo
GABO chapa kazi tu nakupenda xana machabiki
gabo jamani yupo juu sana namkubali sana haswaa kwaile movi yake ya bado natafuta aisee naipenda Ile sidii sichoki kuitazama alicheza vizuli sana zama weka kipande kidogo cha bado natafuta
wewe ndio kila kitu Gabo
Nam pia namkubal Sana gabozegamba
Ninandoto y Kufanya kaznae iwe leo aukesho
Jamaa sijaona kazi zake lakini nimemkubali from the interview. Ana bonge la confidence. Big up
Allah akupeee khery n'a mafanikio brooo nakumbuka ulitusomeshaaa madras kka
Saad Hassan Hassan,
Nice man...
nampenda bure huyu kaka jamani be blessed
uko vizuri
uko juu kaka
Nyc one Gabo
me piah namkubali xn
Gabo big up bro,,,
uko vzr Sana gabo
Gabo kaka. Upo juu kaza utafika
nakupenda gabo
respect gabo
Big up bro
I love yoy gabo
kibibi said pamoja
huo ndio uanaume broo
nakupenda sana gabo
i love gabo
Jitahidi utafika mbali inshallah
namukubari sana gabo anaceza vizuru sana
Aline burundi Pendo
+254 proud of you gabo
Kaza2 kaka tupo nyuma yako twaja
Mi napenda sana gabo unajielewa na umkwrli
Napend sanaaa gobooo
Gabo you are so funny
Uko poa
Makn bro
Big cup Gabo
ya ukweli sana
Rukia.saidi👄💋❤💙💚💛💜💗💟💞💕💓✌
🔥🔥🔥
Exactly
gabo uko vzr jitaidi ilitumpate kanumba
gabo mm naweza kuigiza lakini cjui naanzaje mm ni amstrong kutoka mbeya
Amstrong Mpagike mtafute...
Uncleeeee
Kka gabo nakuomba unicheki kwenye no zangu 0656 485388 au 0685691932. Big up sna kwa kazi zuri unayo ifanya kwenye sanaa.
sasa no za nn
am sorry zamarad naomba unipe namba zako nina shida na wewe mm naitwa zainab nipo dubai ukinipa namba zako za watsap tuchat dada ili nikuambie shida yangu
nakukibali dana Gabo
Shantel Macha Zxcv. naomb namb yako
nice gabo
Shantel Macha Zxcv tupo pamoja
Minamtaka huyu hata niwe mke wa nne ntakubari tu
Gabo
penda sana Gabo.
huyu kaka anatisha
upooo vizury broooo
penda sana gabo
Kwani wwe ndesa boy king shida yako nni labda?
Sikuelewagi
kamywe pombe la ndizi
sauti yake zuli
zamaradi..hiii una maswali ya akili mpaka unanifanya nijipange vizur nkifanya interview na wewe
Anwar Abdallah hahahahah... We star mzee
Unachekesha wwe