Mtumishi Mungu yupo nawe haya ni mapito tunayapitia hapa dunian kama kina petro na yakobo walivyofungwa kwa ajili ya injili we endelea tu kumwamini Mungu yupo nawe Baba,😭😭😭😭
Mtumishi japokuwa tunaumia lakini naamini kupelekwa magerezani Mungu a wna makusudi yake😭😭 huenda Kuna wataokoka kupitia wewe Mungu Iko siku atasikia kilio chetu🧎🧎 🙏🏿🙏🏿
Waraka wa Hamani uliyo wafanya wayahudi washindwe kula na kunywa wakati ule ..,.......Vumilia wakati wa Yesu utafika Watafitinika wao Kwa wao wahukumiane naongea kama Mtumishi wa Mungu Alie hai........Mpaka watakapo gundua wamemtenda Vibaya Mpakwa mafuta wa Jehovah...,
MunguNi Mwema Atakupigania Mungu Amesikia Mateso Yako Mungu Anajibu Ayubu Pia Alivumilia Kama Wewe Mbarikiwa Mbarikiwa Mungu Anakupenda Sana Vumilia Tu Baba Utayashinda Majaribu.
Mungu hunyamazi usiku na mchana mapenziyako uyatimize kwaajili ya Mtumishi wako sikulazimishi ila vile utakavyo wewe Mungu usikiaye machozi ya wenye haki wako
Ivi waliyo mfunga Mbarikiwa wanaweza nini?. Au wanadhani wapo salama mbele za Mungu mkuu ?. Mapigo yao yatakuwa mabaya kuliko ya farasi wakubali wakatae. Mungu mkuu atawacha kuwa salama wote waliyo usika. Amen.
Usiogope mungu yunawewe nakumbeya kabla ya krsmsi uwe umetoka aminihivo
Mungu akutie nguvu katika kipind hiki kingumu Kutoka 14:14) neno Mungu linasema atatupingania nas tutanyamaza kimya nyamaza Ili Mungu akupinganie
Mungu akutie nguvu mtumishi
Amina Amina MUNGU atukuzwe NA azidi kukupea ujasiri MENGI AZI KUKU FUNGULIA AMINA UTAKATIFU TUMPEE YY YOTE KWA YESU KRISTO AMINA
Amen,amen,never give up God is about to lift you up,kupitia mapito unayo pitia yesu anataka umtumikie
Eemungu muangarie mtumishiwako umlinde arivyo ingia ndivyo umtoe amina
Mungu yote anapanga yeye ipo cku Tanzania nzima itakua hakuna Mungu mwingine asipokuwa yeye amen amen
Mungu ni mkubwa kuliko kitu chochote atafanya njia, pole mtumishi
Naanini siku moja mungu was mbinguni atakukumbuka hope moyo mkuu nakupenda nakuamini
Mtumishi Mungu yupo nawe haya ni mapito tunayapitia hapa dunian kama kina petro na yakobo walivyofungwa kwa ajili ya injili we endelea tu kumwamini Mungu yupo nawe Baba,😭😭😭😭
Mungu wa Paulo Na Sila angali anatenda maana Ni Yule Jana na leo mille mtengemee achelewi pole mtumishi
Mungu yupo nawe mkumbuke yusufu je alikuwa na hatia,itangaze injili huko huko MUNGU YUPO NAWE
Ushindi hupatikana wakati wa mapambano.Ukuu wa Mungu utadhihirika tu.
Lazima mungu, ajibu,mapematu,wasipo samehe mawazo yao inawezekana wajua uliwakwaza kumbe samehe 7 mara70,
Nina sikia uchungu juu ya huyu mtumishi wa mungu ha mna jambo lililo gumu kwa mungu nko nchi ya kenya jamani maombi tuombe
Mtumishi japokuwa tunaumia lakini naamini kupelekwa magerezani Mungu a wna makusudi yake😭😭 huenda Kuna wataokoka kupitia wewe Mungu Iko siku atasikia kilio chetu🧎🧎 🙏🏿🙏🏿
Amina Barikiwa nawe
Waraka wa Hamani uliyo wafanya wayahudi washindwe kula na kunywa wakati ule ..,.......Vumilia wakati wa Yesu utafika Watafitinika wao Kwa wao wahukumiane naongea kama Mtumishi wa Mungu Alie hai........Mpaka watakapo gundua wamemtenda Vibaya Mpakwa mafuta wa Jehovah...,
Mwenyeshelia niwewe nahakimu wakweli niwewe tunakuachia wewe mwenye neno moja
MunguNi Mwema Atakupigania Mungu Amesikia Mateso Yako Mungu Anajibu Ayubu Pia Alivumilia Kama Wewe Mbarikiwa Mbarikiwa Mungu Anakupenda Sana Vumilia Tu Baba Utayashinda Majaribu.
Pole Sana Baba, Hakuna lisilowezekana Kwake.
Mungu ni mwema na mwaminifu. Atakutendea
Tunayaweza yote katika yeye atutiae nguvu.naam! MUNGU kama aishivyo hajanyamaza atakuvusha salama mtumishi.
Mungu hunyamazi usiku na mchana mapenziyako uyatimize kwaajili ya Mtumishi wako sikulazimishi ila vile utakavyo wewe Mungu usikiaye machozi ya wenye haki wako
Bwana Yesu atajitambulisha kwa waonezi wote ya kwamba yeye ni mtetezi wa wanyonge.
Wasamehe bure na MUNGU awasamehe pia YESU kristo analiona hili na atajibu pia
Pole mtumishii
Ivi waliyo mfunga Mbarikiwa wanaweza nini?. Au wanadhani wapo salama mbele za Mungu mkuu ?. Mapigo yao yatakuwa mabaya kuliko ya farasi wakubali wakatae. Mungu mkuu atawacha kuwa salama wote waliyo usika. Amen.
Mungu wetu awe nawe ijapo njiani kuna mitego mingi usikate Tamara kwa Bwana ni salama.
Hivi nauliza huyu mtmishi kaua?Wotee mliousika kwa lolote hukumu ya kweli Iko kwa Mungu moto wa jehanam unawahusu.
Jaman had machozi yamenitoka mungu awe nawewe
Yote katika yote utavuka salama.
Acha upumbavu, mfungwa wa kikristo ndo nini...
Hakika Mungu anajivunia kwa mbarikiwa kama enzi za Ayubu, Ipo siku moja tu mambo yatageuka na ya nyuma atayasahau
Mtumishi.wa.mungu.utashinda
Mungu wa miujiza akutende mema🙏🙏🙏😭😭😭
YER: 33_ 3
Yote kwa YESU mbarikiwa mwachie YESU yote,😢
Mungu yulpo pamoja nawe Kila saa
Mungu hatakuacha
Wasaliti wa nchi kama akina Lissu wako huru na wanakula nchi .
Malipo ni hapahapa duniani.😢Mungu yuko nawe
Hivi jamani kwanini msimuchie huyo Mchungaji mbona mnaitaka laana
Ngoja wapate laana nadhani Tz tunaanza ubaguzi wa dini.Tunayaona yanayoendelea
🙏
Waliomfunga walaaniwe.
Duuuuu😭😭😭😭😭😭😭
Acheni uongo
Pole
Baba mchungaji mungu hakuonekanie Kwa jinsi ya pekee
Mungu hata acha kukutetea yuko pamoja nawe