SIRI YAFICHUKA SIKU MOJA KABLA YA KIFO CHA HAYATI MAGUFULI MABEYO AWEKA WAZI/AMTAJA WAZIRI MKUU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►UA-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

КОМЕНТАРІ • 101

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 5 місяців тому +4

    Ukweli wote anao Mungu hakuna mwingine zaidi yake Mungu

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 5 місяців тому +8

    Ki ukweli, JPM hawezi kumsahau hata kidogo.
    Alikuwa Mzalendo kweli kweli, Mwanamapinduzi kweli kweli, Mchapa kazi kweli kweli na aliwapenda Watanzania kweli kweli na hivyo aliwapigania Watanzania mpaka tone lake la mwisho.
    Mungu ampokee katika nuru ya uso wake. Amina.

  • @blessjo1678
    @blessjo1678 5 місяців тому +2

    God knows All...before him all matters are Crystal clearly.....May God have Mercy on our begotten,the late President JPM...
    We lost a Patriotic and God fearing President of all times...we deeply moarn for him.R.I.P.

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 5 місяців тому +3

    Mzee mm huwa nakupenda Sana ulisimamia Sana zoezi lote mpaka kuapishwa kwa rais nikuombe tu mshauri mama hali nimbaya Sana pesa imekuwa ngumu pesa imekwenda wapi hatuelewi uko vizuri Sana mungu akubariki sana

  • @user-ge3ni4qn4u
    @user-ge3ni4qn4u 5 місяців тому +6

    Kuna mambo yamenifungua Sana
    Kuhusu hii taarifa, kumbe hata mke hakuwepo jamani, Mungu atusaidie sana

    • @pirminmatumizi5464
      @pirminmatumizi5464 5 місяців тому

      Ukiwa Rais inakuwa mtu wa watu, mke nafasi yake ni ndogo sana labda kwenye masuala ya ngono.

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 5 місяців тому +5

    Tunakukumbuka sana Rais wetu uliye nifanya nianze kuifuatilia siasa pumzika kwa Amani Baba yetu mpendwa sama

  • @sharifasharif3978
    @sharifasharif3978 5 місяців тому +5

    Sasa limziki la nn jmn mbona linaboa sana hebu hii tabia ikoje kuwa mtu anaongea vitu vya msing na limzik juu😢😢😢😢😢

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 5 місяців тому +4

    Uko fizuri sana mzee mabeyo

  • @user-rf7ni6tr2o
    @user-rf7ni6tr2o 5 місяців тому +2

    Nakukubari kamandaa wanguu umefanyaa ujasiri waa kijjesh naaa Kamaa kamandaa ongeeraa mkuuu

  • @Magwizadaniel1962
    @Magwizadaniel1962 5 місяців тому

    Mlitakiwa kuwa shirikisha wananchi wamuombee Kwa Dua nzito Kwa kuwa mungu nizaidi ya daktari wa kibinadamu hupo ujuzi wa madatrari umetokana na mungu tongefunga na kuomba ilimungu amnusulu na kifo

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 5 місяців тому +3

    Madaktari nanyi hongereni kwa kazi kubwa za hatari na uaminifu mkubwa na usiri wa hali ya juu.

  • @paulomaginga9653
    @paulomaginga9653 5 місяців тому +3

    Umastaili mauwa yako mstaafu kwa hekima na busara kuivusha wTz katika kipindi hicho. Ubarikiwe.

  • @abduwahabi7019
    @abduwahabi7019 5 місяців тому +3

    Pongezi kwa maboye aliekuwa mkuu wa majeshi kuwa mpole na kutotaka madalaka ya uraisi pongezi sana kwako kwa kuilinda amani

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 5 місяців тому +1

    Kikazi chenye utii na uthubutu wa mambo mazuri kwa maslahi ya nchi kinapungua.mkuu wetu mstaafu wa majeshi umeonyesha uzalendo mkubwa sana.Mungu akutunze daima.tunahitaji kuendelea kujifunza mengi sana kutoka kwako.

  • @hoseazakayo3779
    @hoseazakayo3779 5 місяців тому +3

    Rais wetu Magufuli pumzika kwa Amani maana uchumi wa kati hatuuoni tena cjui umepotelea wapiii 😢😢😢😢😢😢😢

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 5 місяців тому +1

    Kwa kweli mliiheshimisha nchi yetu ktk kipindi kigumu kama kile. Wengi waliogopa kwarehema za Mungu tuliweza kuvuka.

  • @animalworld7473
    @animalworld7473 5 місяців тому +1

    The issue was professionally handled to secure the country's goodwill.

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 5 місяців тому +6

    Hi nchi bwana tangu mzee afariki sioni matumaini

  • @thabithamagnus638
    @thabithamagnus638 5 місяців тому +2

    Mungu yupo,na jicho lake linaona kila mahali! Kama ni kifo chake ni mipango ya Mungu,jua halitazama itadhihirika tu

  • @boniphacedominick7070
    @boniphacedominick7070 5 місяців тому +2

    It's Possible‽?🙆🏿‍♀️🙆🏿‍♂️🙆🏼‍♂️
    Jambo la siriaz Boss anacheka amejiachiaaa Du! Maybe 🧎🧎

    • @geofkabo7843
      @geofkabo7843 5 місяців тому

      Miaka mitatu aendelee kuwa na sura ya majonzi kweli?

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 5 місяців тому +2

    Hongereni kwa jinsi mlivyoituliza nchi na kuiheshimu katiba. Pia utiifu wenu kwa nchi yenu mngeweza mkajinafasi.

  • @glorymasam1691
    @glorymasam1691 5 місяців тому +1

    Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki na CDF Mabeyo😊

  • @galluskanenge4898
    @galluskanenge4898 5 місяців тому +3

    Mikono salama ni ya Mungu tu .hapo Mheshimiwa fafanua . Usalama wa mikono ya mtu upo wapi ?😊

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 5 місяців тому +4

    Duh..!😭😭😭

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 5 місяців тому +2

    MUNGU WANGU"Tunazidi kutoneshwa Hatujui Tufanyeje maana taarifa za Hayati Mpendwa Dr Magufuli zinazidi kutuumiza kila tunapozisikia Wananchi tuliowengi alikuwa KIPENZI chetu Tulimpenda lakini MUNGU alimpenda Zaidi

  • @thabithamagnus638
    @thabithamagnus638 5 місяців тому +3

    Baba wa wanyonge,JPM tutakukumbuka daima,Ila kama Mungu aishivyo itadhihirika tu maana sote pua zetu zimetizamia chini

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 5 місяців тому +3

    Kwa nini ugonjwa wake ulikuewa siri kubwa?

  • @victorjeremiah246
    @victorjeremiah246 5 місяців тому +2

    🔸Mimi naomba kuuliza swari la UFAHAMU, hivi kweri wanaweza kuitwa viongozi wa Taifa, na wa DINI saa ya kuzidiwa kwake asiitwe ""mkewe kweri""??
    🔸Swari la pili, Mh. Magufuri aweza kutaka waitwe baadhi ya viongozi, lkn hasitake kuitwa mkewe kweri??
    🔸Najua nimeisha cherewa siwezi pata majibu😭

  • @neema_yatosha
    @neema_yatosha 5 місяців тому +3

    Great man. We respect you. CDF 👍

  • @SurprisedGrapes-by5bw
    @SurprisedGrapes-by5bw 5 місяців тому +2

    😢😢 Siku hiyo ilikuwaya majonzi makubwa, Endelea kupumzika Kwa amani jembe letu.

  • @paulojoel6551
    @paulojoel6551 5 місяців тому +9

    Gombea urais baba mabeyo

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 5 місяців тому +1

    Hivi Magufuli alikufa akiwa na akili timamu sana hivi. Pamoja na lawama anazoambiwa na Magufuli lakini Watanzania tumeumia sana. Mungu amuweke anapostahiki.

  • @user-xz4rx8zd3m
    @user-xz4rx8zd3m 5 місяців тому +3

    Daaaa baba

  • @AvitusMalius
    @AvitusMalius 5 місяців тому +1

    Story ii inavuta hisia za watu wengi sanaa na inasimamia😭😭😭😭

    • @MaikoMakuya
      @MaikoMakuya 5 місяців тому

      😊😊😊😮😢😅

  • @user-ne9ij3zp8s
    @user-ne9ij3zp8s 5 місяців тому +1

    Cdf mstaafu hongera sana kwa ukweli wako

  • @user-gd8pm2hp4c
    @user-gd8pm2hp4c 5 місяців тому +2

    Pumzika kwa Amani raisi wetu

  • @nsolachalo
    @nsolachalo 5 місяців тому +1

    Ukiona mtu anasimulia jambo zito na anacheka juwa kwamba anamaumivu makali moyoni juu ya swala hilo na njia pekee yakupunguza maumivu nikucheka ndio uumbaji wa mwenyezi mungu.jenerali mabeyo ni mtu safi sana na ndio maana hakukata kata tamaa alitaka rais aendelee kupata matibabu na kumpa moyo madaktari waendelee kumtibu asirejeshwe nyumbani.

  • @Timothymlamba-pq3oi
    @Timothymlamba-pq3oi 5 місяців тому +1

    Mabeyo vipi ungesema mapema yamepita hayo tupo na Samia wetu

  • @marijanimurshid8039
    @marijanimurshid8039 5 місяців тому +1

    forever in our

  • @Lujomagang
    @Lujomagang 5 місяців тому +1

    Unaweza mpindua mama kwa asaiv mabeyo

  • @ahmadiomari6913
    @ahmadiomari6913 5 місяців тому +1

    Kusema kweli mabelo umeweka historia nzur na Tanzania kwa ujumla.
    Angekuwa mtu asie jitambua asie kuwa na akili salama.angepindua nchi kipind kile
    Ila watu wanakupongeza kwa ushujaa wako uliofanya

  • @yassinm69
    @yassinm69 4 місяці тому

    Yaani Raisi anatibiwa kiholela tu ,mnaongea upuuZi

  • @simeonmutashobya3922
    @simeonmutashobya3922 5 місяців тому +1

    Nini kilitokea siku hiyo Samia akisema," yupo ikulu anachata kazi," na jioni aseme,"nilimpeleka mzena wiki moja iliyopita,"?

  • @richardmjema8321
    @richardmjema8321 5 місяців тому +5

    Mbona mabeo anacheka

    • @alfredndau9195
      @alfredndau9195 5 місяців тому

      Kisaikolojia anacheka kuonesha namna gani hali ilikuwa ngumu katika kipindi hicho.

    • @EnockKanduli-cv8yr
      @EnockKanduli-cv8yr 5 місяців тому +1

      Kwanini hwasemi wale waliotaka kupindua serkali. Kwanini hawataki. Walifanywa Nini? Halafu wasaidizi wake wakuu mkuu wao au boss wao Yuko mahituti wao wanafanya ziara mikoani. Hapo Kuna maswali mengi. Hapa Kuna Siri kubwa. Kifo kilipangwa

    • @benedictmrisho1800
      @benedictmrisho1800 5 місяців тому +1

      Hapo hatangazi.kilio bali ni hadisi ya yaluyopita.

    • @JuliusMlengeswa
      @JuliusMlengeswa 5 місяців тому

      Amelia pia

  • @Eva-mn8ns
    @Eva-mn8ns 3 місяці тому

    Ungeita mke😂😂

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 5 місяців тому +2

    Kwani kama ni raisi hawaruhusu mwenza wake?

  • @thabithamagnus638
    @thabithamagnus638 5 місяців тому +1

    Kusimulia maneno mazito namna hii,kicheko kinatoka wapi? Wenzenu mioyo yetu bado inauma jamani

    • @YoshuaSeverino
      @YoshuaSeverino 5 місяців тому

      Huyo ni askari tena general, kwa hiyo ulitaka akasirike?

    • @geofkabo7843
      @geofkabo7843 5 місяців тому

      Yaan tena kacheka kidogo mwanajeshi hana roho nyepes kama yako akili tumetofautiana. Team mabeyo njoon hukuuu!

  • @AlamMwasenga
    @AlamMwasenga 5 місяців тому +1

    oyaaaaa

  • @yusufkisome639
    @yusufkisome639 5 місяців тому +2

    KAMA JENERALI MABEYO ANASEMA UTENDAJI WA RAIS SAMIA NI MZURI SANA NYIE MNAOBEZA UTENDAJI WA RAIS SAMIA NI MBWA.

    • @HamisiMsami-ol3zk
      @HamisiMsami-ol3zk 5 місяців тому +1

      We fala tu

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 5 місяців тому +1

      Amesema kwa maoni yake Rais ni mzuri.
      Wanaosema kuwa siyo mzuri, ni maoni yao pia.
      Hakuna sheria ya kukubali maoni ya wengine.

    • @user-mf6lq7vm3w
      @user-mf6lq7vm3w 5 місяців тому

      Wew unae sema kuwa kitendo cha Mabeo kuukubari utawala Wa Samia kinaimanisha kwa wote wanao ukosoa Utawala wake ni Mbwa umetumia maneno ya hovyo sana. Na hauko sahihi kutumia maneno hayo. Kumbuka hata Mh: Rais Mtaafu Mwl. Julias K. Nyerere pamoja na na kulitoa taifa hili ktk mikononi mwa wakoloni na kuipatia Nchi hii Uhuru lakin wapo waliomkosoa na hadi sasa bado wapo wanaoendele kuyakosoa yale aliyoyafanya . Na kumkosoa Mtawala wa Nchi ni haki ya kikatiba.

  • @leonardalphonce8924
    @leonardalphonce8924 5 місяців тому +2

    Wakat huo familia yake ilkua wapi mambo mengine nafuh mnyamaze kulko kutupiga songi

    • @mwanache
      @mwanache 5 місяців тому

      Alafu kwa nini sasa? Nini kimepelekea kusubiri miaka mitatu ndio uje kuongelea kifo cha JPM. Pia inawezekana vipi Rais yupo mahututi tena kaomba na arudishwe nyumbani akijua haponi… kwa nini Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, katibu mkuu kiongozi WOTE HAWAKUWEPO DAR ES SALAAM… WHY? Ndugu, watoto, wazazi uwa wakisikia hali ya mgonjwa wao imebadilika kuwa mbaya wanachofanya ni kuacha kila kitu na kwenda kuwa karibu na mgonjwa na maombi na sala kufanyika kumwombea. Eti hata taratibu za kutangaza kifo hawakuzijua… Katiba imetamka wazi kuhusu hilo 🤷🏿‍♂️ jinsi ya kuapisha Rais nayo hawakujua… Katiba imesema wazi pia huu ulikuwa wakati wa majonzi… kuapishwa kwa Rais hakukuhitaji mizinga kwa wakati ule, wangeweza kufanya hayo mengine baada ya mazishi nk. Maswali ni mengi kuliko majibu na sasa itabidi waje na maelezo mengine! Na wana familia wanasemaje kuhusu tukio lote… kuna siku tutasikia🤷🏿‍♂️

  • @marcoakyoo760
    @marcoakyoo760 5 місяців тому +2

    Kwanini hukusema tumuombee?😢😢😢

    • @yusufkisome639
      @yusufkisome639 5 місяців тому

      Uombe Nini wewe labda uombe Kula!!

    • @marcoakyoo760
      @marcoakyoo760 5 місяців тому

      @@yusufkisome639 mtu anaomba kile ambacho hawezi pata sasa kama huna chakula omba

  • @user-dg3om9lm9p
    @user-dg3om9lm9p 5 місяців тому +1

    Wewe ulishindwa kumsaidia mzee wetu

  • @Eva-mn8ns
    @Eva-mn8ns 3 місяці тому

    This people don't stay with their family

  • @lutembekarodi
    @lutembekarodi 5 місяців тому +1

    Hii ni mpya, vyombo vya usalama vilikuwa karibu na mgonjwa kuliko familia yake!

    • @modernfarming5938
      @modernfarming5938 5 місяців тому +3

      Unawaza padogo wenzio walikuwa wanawaza taifa we unawaza familia

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 5 місяців тому

      Ukishafikia Ngazi ya juu ya Uongozi always unakuwa chini ya Dollar zaidi ya Familia ndo utaratibu..ila hilo Viongozi wakuu kutokuwa Karibu wkt Rais anaumwa khhaa

    • @user13375
      @user13375 5 місяців тому

      Halafu wenzake wakiendelea na kazi

    • @kakanicodemus3632
      @kakanicodemus3632 5 місяців тому

      ​@@angellomarcel5677 hawakutakiwa kuwepo jukumu la kumlinda raisi kwa wakat huo lazima liwe chin ya madaktari na majeshi.....uroho wa uongoz na madaraka unaweza mnyima mtu dripu yake ili uchukue nafas kwahyo ilikuwa sahihi kabisa viongoz wakuu kuwekwa mbaliiiii kwa wakat huo

    • @paschalpaul3862
      @paschalpaul3862 5 місяців тому

      Rais ni mali ya vyombo vya usalama

  • @user-xz4rx8zd3m
    @user-xz4rx8zd3m 5 місяців тому +3

    Baba pumzika kwaamani wenyetamaa nauchu wamadalaka watakufuta

  • @AmosSniper
    @AmosSniper 5 місяців тому

    Madaktar walishawambi aakina Majaliwa na Samia kitambo sana kabla hata ya ww kuwaza Ninan wakumwambia

  • @dkalbertoanyasime9357
    @dkalbertoanyasime9357 5 місяців тому +3

    Mabeyo tunakuomba chukua form ya urais

  • @user-vk9cl9pt6j
    @user-vk9cl9pt6j 5 місяців тому

    Sasa mbona kama jamaa arifuraii haha wote ndiyo wareware

  • @NselemaMayombya
    @NselemaMayombya 5 місяців тому

    So sad

  • @user-vk9cl9pt6j
    @user-vk9cl9pt6j 5 місяців тому

    Jamaa aongei kwa hisia ya uchungu

  • @AmosSniper
    @AmosSniper 5 місяців тому

    Hakuna kitu hapo!

  • @user-wf1ns6vf9g
    @user-wf1ns6vf9g 5 місяців тому

    Huyu mzee aliwahi kunyima JWTZ nguo mpya miaka mitano na akazuia malipo ya pesa ya likizo zao hafai kuwa kiongozi ni dhurmati tu

    • @evaristmandilindi6147
      @evaristmandilindi6147 5 місяців тому

      Nguo MPYA za NN SASA mjeda unadai nguo MPYA we sharobaro Tu huna lolote c Bora MALIPO ndo cha msingi KULIKO kuja hapa mwanaume mzima cjui mwanamke wew unalalama nguo MPYA mjeshi tembea hata tako wazi ndo uanaume hata nguo ifubae ichanike upo kijeshi ....alikuwa Sawa matumiz yasiyo ya LAZIMA unaingia jeshini had Una staafu hujaenda kupigana WAKAT mwanajesh NI MTU WA KAZ ..WA vita 😂😂AF unaongea issue ya nguo mpya

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 5 місяців тому

    tunataka mabeyo agombee uraisi

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 5 місяців тому

    Better you be quiet as what your telling public is nosense and no body will accept what your saying.

  • @thabithamagnus638
    @thabithamagnus638 5 місяців тому +1

    Watanzania tulihoji sana kuwa Rais wetu JPM yuko wapi? Mbona hamkusema kuwa anaumwa ili tumuombee,hamjuwi wengine wamepewa mamlaka ya kuzuia mauti?Ila haya munn

    • @Mrisho-lj7wy
      @Mrisho-lj7wy 5 місяців тому

      Weee wengine wamepewa mamlaka ya kuzuia Umauti? Acha utani. Amka sasa kumekucha.

    • @thabithamagnus638
      @thabithamagnus638 5 місяців тому

      @@Mrisho-lj7wy Hee,Kumbe hujuwi kuwa tumepewa mamlaka ya kukanyaga nge na nyoko? Lakini sasa sijuwi ninaejibizana nae ni mtoto under 18,ni kijana,ni baba au ni mama,lakini kama wewe ni mwenye familia,namaanisha ni baba au ni mama na unamwamini Mungu kikamilifu,basi umezuia mabaya mengi yaliyokuwa yakupate au yawapate kwa njia ya maombi ila huenda hujuwi

    • @joshuaaizack6973
      @joshuaaizack6973 5 місяців тому

      Weeeeeeee!!!! Wako wapi haooooooooooooo