Huyu servant of God atafika mbali Sana na wengi Sana tunaguswa na huduma yake Yani... Mungu amsaidie asije akapata kiburi, dharau, majivuno au kutokutii ndani yake na tunakuombea Sana Kaka George #Injili_Ifike_Mbali
What a powerful song.....🔥🔥🔥. Nimebarikiwa na wimbo huu. Hakika fadhili za Bwana Yesu ni za.milele. Ubarikiwe sana sana sana brother. Viwango vya juu kabisa hapa. Barikiwa sana
Uwiiiiiih🔥🔥🔥🔥🔥🔥
My brother ubalikiwe sana
Tunaingoja yani heee 😁😋🔥
Powerful song 💪💪💪
Kaka hujawahi kosea
😭😭😭 Mungu atutunzie wazazi wetu na aendelee kukutumia katika viwango zaidi na zaidi
Congratulations G kazi nzuri sana
Bonge la wimbo kaka
Congrats bro, fadhili za Bwana ni za milele
Yamoto bro
Bwana wee uu mwema fadhili zako ni za milele.
Asante sana mtumishi wa Mungu
Bwana ni mwema kwa kweli na fadhili zake ni za milele. Hallelujah
Hakika BWANA ni mwema na fadhili zake ni za milele
Mpakwa mafuta wa Bwana u baraka wewe nyumbani mwa Yahweh
Baraka Tele kakangu 🙌🙌🙏🎂
Ibada kamili fadhili zako ni za milele
Mbarikiwe good work
Mungu akubariki kaka kitu kikubwa sana ndani yako
Bwana we umwema
Brother! brother... blessed sana!
Kila kitu kimekaa sawia..Sauti,vyombo,muonekano,tabasamu,, Melody n.k.. n.k..I sing this song with you brother in Christ.
My favorite song
Fadhili zake kweli ni za Milele...George you are blessed. More grace upon you.
God bless u minister hakika Bwana ni mwema
❤❤❤❤ mungu akujalie
I love this song
Huyu servant of God atafika mbali Sana na wengi Sana tunaguswa na huduma yake Yani... Mungu amsaidie asije akapata kiburi, dharau, majivuno au kutokutii ndani yake na tunakuombea Sana Kaka George #Injili_Ifike_Mbali
What a powerful song.....🔥🔥🔥. Nimebarikiwa na wimbo huu. Hakika fadhili za Bwana Yesu ni za.milele. Ubarikiwe sana sana sana brother.
Viwango vya juu kabisa hapa.
Barikiwa sana
Safi sana Kaka Hakika Mungu ni Mwema sana
huyo kaka wa madimpo Mungu ambariki xn pia nawaimbaji wote
Woow
🙌🙌
🙌🏻🙌🏻🙌🏻 Fadhili zake ni za milele
God bless yu🙏🙏🙏
❤❤❤❤
Powerful song...
Mungu akubariki sana🙌🏾
Najisikia baraka sana kwa ajili yako kaka George
What a blessing song🥺🙏🔥
Keep soaring my psalmist brother🙌More grace sir
Mbingu Nchi zimejawa na utukufu wako tu Mungu wetu 🙌
🥰 Bwana u mwema fadhili zako ni za milele 🎵🎵
Powerful Song
Mungu azidi kukutumia kaka. Hakika ni wimbo mzuri!
Barikiwa sana mtu wa mungu
Congratulations my Dear Brother
🙏
Fadhili zako ni za milele 🙌🙌🙌🥲🥲🥲
A very great song
God bless you very much team; Yesu azidi kuwatunza na kuwapa unyenyekevu as you serve
🔥🔥🔥🔥
Fadhil za Bwana ni za Milele! This is my Year declaration 🙌
My Graced brother, God keep showering his blessings upon you and Use you for his Glory
Tunazipaza sauti zetu,Tunaimba .....!!!!
🙏 WAKATI WOTE.! #Amen.! 🙏
🔥🔥🔥🔥Bwana U mwema
Glory to God
Hakika fadhili zake ni za milele
Awwwwwww😇😇😇 Hakika Mungu ni mwema
Ni wa Milele, ni wa milele
Upendo wake ni wa milele.
I am blessed with this song.
Very powerful song. Yo a blessing brother🙌🏼...
❤️🔥❤️🔥❤️🔥 blessings and more grace to you! I love it!
The wait is finally over 🔥🔥🔥🔥.... You are such a blessing my brother.
Am so blessed
Be blessed brother 🙏
What a song!🔥
ua-cam.com/video/uWx7DlVjJRM/v-deo.htmlsi=XSPimfHIGRS53Tl3
👆 Officia Instrumental Beat
Fadhili zake kweli ni za Milele...George you are blessed. More grace upon you.