Ukitaka kumjua KETA kama kaiva mfatilie kwenye ALBASTIN ni noma sana utainjoi mtu wangu wahi albastin bado yamoto epsod ya 3 tu lakini ishachangamka balaaaaaaaaaaa
*Yaliyopita, kwenye Pata Potea. 😂 Huyu baba yake Norah namfananisha na msanii mmoja wa Nigeria alicheza na Steven Kanumba filamu ya THE DEVO KING DOM. ( Ramsey ) kama sijakosea jina lake 😂🌹🌹🌹🌹 Kazi nzuri*
Kisai leo kwamara yakwaza nakuona unalia kati ya mv zako zote ulizoigiza sijawahi kukuona ukilia zaidi yaukatili 2 kama unakubaliana na mm weka like tujuane 🎉🎉🎉🎉🎉
Naipenda iyi kabisa❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kumekuchaaaàa😂😂😂 baba mwenyenyumbaa katimbaaa ndani 😂😂kisai toa sauti sasa mana wewe ndokusema baba jengo😂😂
Kila nikiona kisai namuona kama mtu mbaya zaidi mnipe like zangu jamn😅😅
Kabisa ila niuhusika tu anao kuwa anapewa😂
Yaani saiv me namuonea kisai huruma jamaniii
We tukomeshe 😂
Kama Basi ukimuona unaona mtu mbaya Ni kumaanisha amevaa uhusika wake vizuri...
Napenda sana team KP Na zebuu.fron Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mimi pia nishaamzoea hivyo 😂😂😂ila namshangaa mbona leo ako mpole hivi ama muda bado wa kuonyesha rangi zake kamili
Dah!kisai ndio kulia gani mikamasi hivo😂😂😂😂
Pengo la Sheila aliwezi kuzibwa na keta pia dibozi hana mbadala wake anayekubalika na na mm adondoshe like
Ukitaka kumjua KETA kama kaiva mfatilie kwenye ALBASTIN ni noma sana utainjoi mtu wangu wahi albastin bado yamoto epsod ya 3 tu lakini ishachangamka balaaaaaaaaaaa
Episode ya 4 Tyr mbn
Nampenda sana uyu mdada KETA❤❤ Mungu amtunzie kipajichake🎉🎉
Yan ukiangalia picha ya wamangushi na Binti nyoka kisai alikuwa mwembamba sana lakin hizi za sas daah Kawa bonge la baba au sio jaman
Haswaaaa😅
Kisai namuona mbaya tokea movie za kitambo,, nipeni likes
Plan B na last card
Kisai Leo wamekuweza sanaaa by me david boy
Kwel hil kams sio poa kbs kumb kisai naww ukiachn na kufok una machz
Kisai kisai kisai ❤❤ dawa yk iko jikoni 😂😂
❤❤❤❤ safi kazi nzuri sana kisai
*Yaliyopita, kwenye Pata Potea. 😂 Huyu baba yake Norah namfananisha na msanii mmoja wa Nigeria alicheza na Steven Kanumba filamu ya THE DEVO KING DOM. ( Ramsey ) kama sijakosea jina lake 😂🌹🌹🌹🌹 Kazi nzuri*
Mmmmh wewe tena nawanigeriatea😂😂😂
Hahaha 😆
@@Noela-l8e 😁 Hiyo kitambo kidogo... 😁
@@farhathilal602 😁⚘
Kweli bana me pia huwa namfananisha nae
❤❤❤❤❤❤❤❤Hongeren sana kwa kaz njma Dkt Aghaly
Kisai wew n massa ama😅
😂😂😂 kisai leo amelia et jaman duuuh,!😂😂😂😂
Kazi nzuri sana aki 👏👏 Kisai hii ni yako tu aki😂 KP kazi nzuri tena saaana 😅😅😅😅
Kisai leo kwamara yakwaza nakuona unalia kati ya mv zako zote ulizoigiza sijawahi kukuona ukilia zaidi yaukatili 2 kama unakubaliana na mm weka like tujuane 🎉🎉🎉🎉🎉
Nawahusien na kuihusia nafsi yangu maisha nimafupi jaman tumchen Allah
Jazakallaahu khayr
🙏🙏 kutukumbusha
Kweli kabis Allah ndio kila kitu❤❤❤
Wasiwasi ndio akili,Noraaaah🎉🎉🎉🎉 # kisai mshenyeteni vile inafaa😊
Kisai kamas hilo😂😂😂
Jamani keta hauna huruma mamaneee Jamani kama tupo wanawake kama keta uwiii kisayi ungekuwa mkweli haya yote ni ww kazi nzuri Sana ❤❤❤
Kisai makamasi hayo baba😂😂😂😂😂😂
kazi nzur anaa ila mnachelewesa snaan💖💖
🎉🎉🎉 yang jmn
Kisai kisai bado niko na ww mpaka mwisho😂
Kaz nzuri sana nawapenda wote ❤❤
❤❤❤❤❤❤❤ tena sanaaa
Mashallah ❤❤
Heeee ahaa mpaka na makamasi😅😅😅😅
Ramso kumbe pia wewe walia .saluti baba unaweza 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Fanya haraka ondoa huyo kisirani kwanza mtoto siyo wako unajitesa bure😂
😂😂😂 kisai hadi makamazi 🙆
Heee mbne hivo Tena makamasi niyakazi Kani 😂😂😂😂😂mtanitapisha banaa
😂😂😂 baba kachafukwa
Jaman nayla ni mcute❤❤❤❤❤
hellow
@Tanzania-e9k hi
Kisai utajua hujui anyway good job but mnachelewesha sana.
Mnafiki sana kisaii mungu atakulipa kwa huo unafiki wako ungesema tu ukweli hayengifika huko
Number one😂😂
Kisai😂😂😂round hii kimekuramba
Waaa kumechafuka hali ya hewa 😂😂😂😂kisai kwisha
Mtaka vyoteuhukosa vyote Mali wataka mtoto wataka
Number one from Kenya,❤❤nipate like tafadhali
❤❤❤ nimeipenda hiyo hapo mwisho hapo
Kiasi nakuhurumia 😢😢😢😢😢😢
Movie tamu Shida mnakawia sana😢
😂😂😂 ila hii movie n ya kihindi
Kisai leo umepatikana hua unajifanya sana roho mbaya 😂
Kazi mzuri 🎉🎉
badilixheni na music maana kila movie iyoiyo
Wa kwanza 🎉🎉🎉🎉
😮mr kisai nko na ww😊
Kisai ana dondosha kamasi puani kama ngombe.
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Nafurahia sana kuona kisai anapata shida 😂😂😂😂😂
Yaani leo kutoka kingdom wapi makofi
Kumekucha 😂😂😂😂😂😂😂
Munakawiya sana sana
Wa tisa leo jaman
Lakini uyo Keta Mimi simpendi anachonganisha ndowa ya Norat na mume wake kisai😢😢
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Sometimes watu ndio wanafanya kisai kuonekana mbaya😂
Kisayi na mschozi mpaka kamasi 😂yaani wewe unafaa kuigiza ukatiri2 ila kulia wala😢😮
Keta umekuja vizul wangu Hadi laha kbx
Kisai kimekuramba this time round,,, am from Kenya
Good job
Good advise mwenga,u can't serve 2masters at a time;either you hate one and the other😊
Na bado kisai ujasema na utasema😂
Keta mauwa kwako nimewapa funzo🎉wanaume wanaoeka wanawake mimba na kuikimbia asante🎉🎉🎉keta❤❤❤
Noma sana
Hii move poa sana
Am from Jerusalem wapi like zangu.
aky nilikua nikikula nkaacha ju ya hilo kamasii la kisaii😂😂😂
😂😂😂😂hatar
Walai😂😂😂
Iyi nyumba ndo mnaigizia movie zenu zote 🤣 Albastin, Likizo , jini kisirani, pata potea 😂
😂unamwaga had makamasi😮daaaah
😂😂😂
😂😂
Kweli kabisa mtaka yote hukosa yote
❤❤❤❤nawapenda sana ❤❤❤
kwani hyu dokta dalali hawez kuongea mpk aanz na hy aaa! 😂😂😂😂
Kisai 🙄🙄🤔😜 unafanya nipanguze pua zangu bure nkt
😂😂😂 pressure imepanda unamwekea drip😂muwe mnatafuta uhalisia sasa
Me mwenywe niliekew mbon
K p congratulations. Hio act ya kwa kisai ni noma. Inaitwa "Calculated move"
mnachelewesha sana movie hii kuitoa
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉wapi kelele kwa kisai mzee wa kuosha uwanja usiku wa manane 😂😂😂😂
Kumbe kenge kisai nae anajua kulia mwaka huu nikwake😂😂
😂😂😂😂wueh kisai kumenuka huku ni kumoto🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hapo kwa ishara za mtoto na Kisai kutogundua kuwa kuna jambo mmetudangany
🎉🎉🎉🎉❤
Kisai😂
🎉🎉🎉
Kisa usijivimbishe nanyumba ya baba mkwe 😂 kazi ya baba mkwe kitakuramba 😂😂😂
Baba mkweeeeeeeeeeeeeee
Jamn leo nimecheka paka basi kuona kisai analia paka kamasi waliona kisai na kamasi tujuana hapa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉maua yake😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
mimi niko upande wa k.p nz keta
Yaani Mimi naona kisai anajifanya Analia,kumbe Analia kweli🤔🤔
Iyo muvie haijanoga kbx
Hahaha 🤣 daktar wet w mchong 🎉🎉🎉❤
😂😂
Kisai jmn ad kamasi
❤❤❤😂
❤
Next please