BARAKA MPENJA ASIMULIA YALIYOTOKEA LIBYA/FADLU DAVIDS ALIKUWA DARASANI/AIPA NAFASI SIMBA KUFUZU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 87

  • @ROSWINTAFredrick
    @ROSWINTAFredrick День тому +11

    Mpenja unajua❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 День тому +19

    Ahsante sana Mpenja kwa maelezo yako mazuri mungu akulinde sana na ikiwezekana mechi ya Jumapili uitangaze ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 День тому +3

    Safi sana MPENJA, ww ni mkweli sana

  • @RiwaniAthumaniAthumani
    @RiwaniAthumaniAthumani День тому +4

    Mwamba.kama.mwmba.mungu.akuweke.tuendelee.kuku.faidi

  • @abdullmubaarakabdalah
    @abdullmubaarakabdalah День тому +3

    MPENJA, sema INSHA ALLAH

  • @MwajumaNgaruma
    @MwajumaNgaruma День тому +1

    Insha Alla

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 День тому +3

    Jumapili itakuwa siki ngumu hata jumamosi.

  • @SanareLobulu
    @SanareLobulu День тому +1

    Ni kweli man...

  • @mandalumandalu-f7y
    @mandalumandalu-f7y День тому +2

    Ana kila sifa ya kuitwa mpenja

  • @Rajabu-n3q
    @Rajabu-n3q 18 годин тому +2

    simbaaa

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 День тому +4

    Hapo mpenja umechapia dola moja kwetu huku hata lita moja haifiki maana ni 2800

    • @JIWEtv6484
      @JIWEtv6484 День тому

      Uwe unaelewa, kule wanamafuta siyo kwatu huku tuna nunua kutoka nje

    • @ibrahimally8073
      @ibrahimally8073 День тому +2

      wewe Acha ushamba wa kulaumu kijinga.. unaambiwa Dola moja unajaza mafuta karibu Lita 57 kule Libya.. au hujui kiswahili..😂

    • @gipsonkisava1184
      @gipsonkisava1184 День тому

      Hajakosea kwa kule libya mafuta ni cheep

    • @fadhilichibupa1160
      @fadhilichibupa1160 Годину тому

      kwakweli amepitiwa tu😂😂😂

  • @PaulKusaya-n5n
    @PaulKusaya-n5n 37 хвилин тому

    Baraka mpenja mwamba wa simba lakinipia nimoja yaaserti nzuri walizo nazo simba (sor)

  • @IzackfanuelMniko
    @IzackfanuelMniko 18 годин тому

    Safi sana mpenja

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 8 годин тому

    Dunduka hilo linaunguruma -- " Hongera mpenja kwa kuwa wazi "

  • @suzanmziray3656
    @suzanmziray3656 День тому

    Inshalah

  • @jumamarco-mh1hg
    @jumamarco-mh1hg День тому +3

    poleni sana mpenja tv

  • @kigesomichael8061
    @kigesomichael8061 День тому

    Watu walio panda mwewe hongeren sn

  • @bahatimunyeti4002
    @bahatimunyeti4002 9 годин тому +1

    Dah dakika 4.38 umetupanga

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 День тому +1

    Mpenja apewe kazi Simba jamani .mbona utopolo Kuna watu wa media watano?

  • @emmanuelryoba2893
    @emmanuelryoba2893 21 годину тому

    Inshall 😢

  • @aliissahaji33
    @aliissahaji33 День тому

    Kwaiyo hawakutaka kushinda Simba 😊😊😊😊

  • @abdallajuma8211
    @abdallajuma8211 День тому +1

    Kwann manula lakin😅😅😅

  • @SAMADEE5426
    @SAMADEE5426 19 годин тому

    Kwa hiyo mpenja ni msemaji wa simba au😂😂😂🙌🙌

  • @AlexSonza
    @AlexSonza 20 годин тому +1

    Mpenja naomba rudisha koti langu,nimeliangalia ndani silioni mara naona unaongea na waandishi was habari na umelivaa. Ndo maana mmetoa sare ulichukua koti langu bila kuniomba usirudie tena kusafiri na makolo😅😅😅

  • @Fofo-z6t
    @Fofo-z6t День тому +1

    Na pale lupaso smba iwafunge mapema tuone km wataacha kucheza😂

  • @khalefally9818
    @khalefally9818 День тому +1

    Jahanam haijai na wala haitojaa

  • @magretpita3017
    @magretpita3017 6 годин тому

    Mechi ya jumapili tunaomba utangaze kaka mpenja

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka День тому +1

    Huna baya mwana waumalila

  • @user-hy4zb3eg1z
    @user-hy4zb3eg1z День тому +1

    Kombe la panya road lipo hivyo tulishawah pitia hapo fainali....kule Algeria au mmejisahaulisha?

    • @alexanderibrahim3481
      @alexanderibrahim3481 День тому +1

      Ww nimav kwel

    • @josephsamuel7088
      @josephsamuel7088 День тому +1

      Wewe unaandika kuhusu fainali ya juzi wakati Simba hayo hata tulishasahau kabla hujazaliwa tulishazicheza hizo. Usituletee mambo ya mihogo hapa.

    • @josephsamuel7088
      @josephsamuel7088 День тому +1

      Yaani wewe, hujielewi. Mmeambulia kagoli kamoja dhidi ya timu ya 'benki' halafu unatuletea nini hapa! Ninyi bado sana, ila kujaribu kujiinua kwa midomo. Hiyo fainali yenu ya juzi Algeria, kwa taarifa yako huko huko Algeria ndiko tulifuzu nusu fainali ya shirikisho na baadaye Fainali. Ninyi watoto wa juzi juzi mnalishwa mihogo na kuanza kuropokaropoka utumbo hapa.

    • @charleznicholas416
      @charleznicholas416 День тому +1

      Utopolo machoko nini nyie,,, ndio maana serikali imewatowa kijanja kwa Mkapa,, hamjazi uwanja ni hasara tupu kwa serikali.

  • @AljuhaniAllyy-dg4ld
    @AljuhaniAllyy-dg4ld 20 годин тому

    Mpenja aiseee eti dar itakua km jihannam du!

  • @AljuhaniAllyy-dg4ld
    @AljuhaniAllyy-dg4ld День тому

    Nimeamini kweli jahannam watu ni wengi kuliko peponi mpenja ameani hivyo kasema kwa mkapa watu wawe wengi kama jahannam innalillah mpira

    • @hassanrashid9436
      @hassanrashid9436 21 годину тому

      tuwe na uweledi wa kutafsiri mambo na siyo kuyachukulia kama yalivo. maana ya jahannam unaifaham? ni sehem ambayo haikaliki haivumiliki ina kila aina ya vitisho. hivo alimaanisha ahli wapaone kwa mkapa sio sehem salama kwao ina kila aina ya tabu na wateseke sana na wajutie kucheza hapo. hiyo ndo maana yake. na muda mwengine ndo mana waswahili wakasema asiyejua maana haambiwi maana jaribu ufikirie kabla ya kuandika.

    • @AljuhaniAllyy-dg4ld
      @AljuhaniAllyy-dg4ld 21 годину тому

      @@hassanrashid9436 sikiliza vzuri maneno ya mpenja kasema kwa mkapa watu wajae kama jihannam halafu wewe unataka kupindisha usichoelewa hapo nini kama umeamua kupenda mpira penda tu lakini mpenja yuko sahihi kabisa kasema watu wajae kama jihannam, rejea kumsikiliza bro, kama kukosea kakosea mpenja, pia kasem dola moja unajaza mafuta fuul tank kwenye gari yako kwa dola moja wakati dola moja hiyo thamani yake ni shs 2800 za kitanzania, haya tafsiri na hapo

  • @RahimKulwa
    @RahimKulwa День тому

    Kinyo wa bunju@

  • @DanyEnto
    @DanyEnto 21 годину тому

    😂😂😂😂ila apa mwishoni Baraka umetupanga🤣🤣🤣ni yeye alikwambia au wewe unatuambia😅

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 День тому

    Waamuzi kupigwa hakuna Wala kusikia

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 День тому

    Kwa Nini mpenja hakutangaza

  • @omaryjuma6233
    @omaryjuma6233 День тому

    Na mm nitakuwepo😂

  • @CharlesKelemensi
    @CharlesKelemensi 7 годин тому

    Sauti ya radi

  • @saidseleman-k7u
    @saidseleman-k7u 22 години тому

    Kawaida tuu

  • @ShedrackLawrence-u3p
    @ShedrackLawrence-u3p День тому

    Mbona una dharau sana yani wasiopanda ndege ndo wakupewa pole? Acha dharau huwezi jua kesho yako!

  • @mpisyeshabani3004
    @mpisyeshabani3004 День тому

    😂😂duh mpenja katuchota dollar 1 unajaza tenk

  • @azadinzunda4327
    @azadinzunda4327 18 годин тому +1

    Mpenja dolla moja ni sawa na sh laki mbili na sabini na mbili kwa leo, ila Kama utasema dola Mia moja apo sawaa

    • @boazmisango9797
      @boazmisango9797 5 годин тому

      Eti😅😅😅😅

    • @JohnKisasi
      @JohnKisasi 2 години тому

      Acha uongo wewe, hizo dola wewe umesomea vichaka gani huko

  • @RosweLau
    @RosweLau 22 години тому

    Walishinda kiukwel

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 День тому

    Kwa hiyo mpinzani hakumsoma Kolo? Wale watakuja kutafuta goli la mapema,kuwaweka simba on pressure! Walichokifanya ni kutoruhusi simba kuaata goli! Yanga walipata goli la ugenini( na wapumbavu mnaisema yanga) na Al watafunga

    • @PiterSiami
      @PiterSiami День тому +1

      We akir huna utopolo wewe

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 День тому

      @@PiterSiami hajajibu hoja! Kwani wao hawakuwasoma! Kwani hawawezi kufunga wakija? KWANINI kolo hamkufunga? Hayo ndo maswali ya kujiuliza.kenge.we

    • @ibrahimdossy8347
      @ibrahimdossy8347 День тому +1

      Kwani we nani, hebu pumzika

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 День тому

      @@ibrahimdossy8347 🤣🤣🤣hampendi kusikia REALITY sio? Probability ya simba kutolewa ni kubwa kuliko kupita( sisemi hawawezi kupita!) mi Naongelea mpira! Kama kuna kolo anaona kutoka sare Libya ni mafanikio na ni kitu cha kujivunia( anajivunia sare Ahamed siku hizi🤣) ,basi huyo sio shabiki anae jua mpira! Wale wata kuja na game plan moja,mbili! Ya kwanza, tafuta bao la mapema,pili! Frastuate them,kwa kulinda bao na kuwasubiri waachie nyuma,kwa kupoteza mda,kwa kulalamika! Shughuli simba mnayo!

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 День тому

      @@ibrahimdossy8347 mwenye shughuli ngumu ni nani kati ya Yanga na kolo( be genuine,japo najua mpo shirikisho🤣) kama kweli unajua mpira!

  • @AbasiShabani-lw2fd
    @AbasiShabani-lw2fd 21 годину тому

    Mwamba wa umalila

  • @athumanmfuchu8506
    @athumanmfuchu8506 20 годин тому +1

    Dola 1= tsh 2600 tu

  • @sweetbertrwiza5982
    @sweetbertrwiza5982 День тому

    Sio kwamba mashabiki hawakuridhishwa na matokeo, Bali walichukizwa na maamuzi ya mwamuzi amewanyonga sanaaaa!

    • @JomvanMathy
      @JomvanMathy День тому +4

      Attention Yao walitegemea simba waifunge hamna Cha kuwanyonga wala nini acha gubu 😮

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 День тому +2

      Yule mwamzi wako umwambie achezeshe yeye kwa Mkapa ili wasionewe tripoli

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 День тому

      @@laninjeje8290 sawa Tatu Malogo

    • @Shemahonge-ku7xx
      @Shemahonge-ku7xx День тому +1

      Ungechezesha wewe mchawiiinini

    • @magretpita3017
      @magretpita3017 5 годин тому

      Kma wamenyongwa mbona awajafa kaaa

  • @Heniryahaz
    @Heniryahaz День тому

    WAKIJA kwwtu tunawapiga

  • @SAMADEE5426
    @SAMADEE5426 19 годин тому

    Kwa hiyo mpenja ni msemaji wa simba au😂😂😂🙌🙌

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 День тому +1

    Hapo mpenja umechapia dola moja kwetu huku hata lita moja haifiki maana ni 2800

    • @AminiMsellem-gk3yy
      @AminiMsellem-gk3yy День тому

      Ni Sawa
      Mana dola 1 ni 1760 Leo hii

    • @Footballofficial100
      @Footballofficial100 День тому +1

      Sikiliza vizuri hujadanganywa hapa kaongelea dola moja unapewa mafuta kiasi hiko coz wanazalishha mafuta wao sio yetu ya kijiko

    • @georgematovu1317
      @georgematovu1317 День тому

      Libya wana mafuta hawanunui nje

    • @bartholomewasorael6616
      @bartholomewasorael6616 День тому +2

      Anazungumzia kwa Libya sii Tz acha ushamba nyie watu wagumu kuelewa kweli yani

    • @twalbikatanga8645
      @twalbikatanga8645 День тому

      Sasa Libya kila mtu anakisima Cha mafuta, utaikuta wap bei kubwa ya mafuta? Libya nimeishi mpenja hadanganyi😂😂😂