Madee ~ Rayvanny, AMEKOSEA, AOMBE Msahamaha, WCB, ile ni Ndoa! - Part 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • Madee ametoa mtazamo wake baada ya Msanii Rayvanny kuondoka lebo ya WCB, utakumbuka Madee ndo aliyempokea Ray kutoka Mbeya na alikaa naye Tip Top muda mrefu sana kabla ya WCB kumchukua, na hata WCB ilibidi waongee na Madee kwanza, Stori kamili ipo hapa

КОМЕНТАРІ • 62

  • @alvinmbugua9830
    @alvinmbugua9830 2 роки тому +2

    Madee is always too matured...lil ommy your one of the best in east africa.salute to you bro.Nairobi Kenya tuko rock

    • @LilOmmyTV
      @LilOmmyTV  2 роки тому +1

      Thanks 👊 love ya kutosha Nairobi

    • @alvinmbugua9830
      @alvinmbugua9830 2 роки тому

      @@LilOmmyTV most welcome..I totally love this show coz of encouragement I get from some guys history of the past ..I personally believe and humbly trust that your going far.say hey to all the switch wasafi team and funs

  • @rodwellluganomwakatuma2885
    @rodwellluganomwakatuma2885 2 роки тому

    All the way from UK as Yanga & Arsenal fan, kumbe Madee chama la wana KUDOS sana

  • @Umande83
    @Umande83 2 роки тому +1

    All the way from Somalia 🇸🇴 representing EAC 🇧🇮🇷🇼🇨🇩 Burundi is home, Congo and Rwanda are my half blood

  • @joslinegeorgettedede5550
    @joslinegeorgettedede5550 2 роки тому

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩ommy nakubali sana kazi zako you are my inspired

  • @hamiyarshafi9407
    @hamiyarshafi9407 2 роки тому +2

    Kizazi sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 & 🇺🇸🇺🇸🇺🇸 Nakubali 🤞🏿✌🏿

  • @alawisaid280
    @alawisaid280 11 місяців тому

    lil omy kazi nzur sana ila jitahidi kubadilisha set ukutan inakosa mvuto

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 2 роки тому +2

    Namuelewa sana Madee bwana Hamadi mwenyewe last time nilimtengenezea Mocktail pale Boardroom nikampa sifa zake yuko peace sana haringi alinipa madini kadhaa sahv yamenisogezea hatua kutoka Tanzania 🇹🇿 mpaka sahv nipo hapa nchini Kuwait 🇵🇸

  • @rahjah5882
    @rahjah5882 2 роки тому

    all the way from Nagoya Japan Far East Ruller Mnyamwezi

  • @collinselamwenya8028
    @collinselamwenya8028 2 роки тому +3

    Watching Live from Dubai

  • @loicebaraza
    @loicebaraza 2 роки тому +2

    The MVP Lil to the Ommy 🇰🇪 🇺🇸

  • @collinselamwenya8028
    @collinselamwenya8028 2 роки тому +6

    Madee huu mwaka EPL ni yetu sisi Arsenal💪💪💯💯🔥🔥🔥🔥🔥

    • @Husseinrabakali
      @Husseinrabakali 2 роки тому +2

      Bado Sana. Kwan mmesahau kua hua mnatangulia afu mnakwamia njian 🤣🤣🤣

    • @collinselamwenya8028
      @collinselamwenya8028 2 роки тому

      @@Husseinrabakali amna sio kila season hii ni tofauti

    • @bekatv1009
      @bekatv1009 2 роки тому

      @@collinselamwenya8028 HAKUNA tofauti arsenal hawabebi epl

    • @valentinepatrice1053
      @valentinepatrice1053 2 роки тому

      @@collinselamwenya8028 ij

    • @josephdavid9859
      @josephdavid9859 2 роки тому

      Ata top 4 hkuna bro😀😀😀

  • @zakirgokez9678
    @zakirgokez9678 2 роки тому

    These guy spit sense like if all artists reason like these guy idont think if their will be beef in music industry Two big minds on the mic wonderful interview

  • @idrisashelimo307
    @idrisashelimo307 2 роки тому

    Tanzania 🇹🇿 the mvp tambwe umetisha sna 🔥🔥🔥🔥🔥

    • @LilOmmyTV
      @LilOmmyTV  2 роки тому

      Pamoja sana mzee wangu 👊

    • @idrisashelimo307
      @idrisashelimo307 2 роки тому

      @@LilOmmyTVkizazi sana mzeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @SaidSaid-ef8md
    @SaidSaid-ef8md 2 роки тому

    Maaaa man. Tz To Ause 🤘🏿🤛🏿

  • @hancybrouwn5032
    @hancybrouwn5032 2 роки тому

    Ayuko vizuri ile ilitoka baada ya istory iyo hip pop aiyuzw ni kitambo sana miaka 2007 ivi madee una kichwe chepes kussau bhana tunakuzd kumbu kumbu ad sisi mashabik zako

  • @zatchardzknestor
    @zatchardzknestor 2 роки тому +1

    In DR CONGO 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @mathanikibuti6676
    @mathanikibuti6676 2 роки тому

    UKUBWA DAWA 💯💯💯

  • @uwinezajohara8362
    @uwinezajohara8362 2 роки тому

    Mimi na penda vipindi vyako vyote 🇧🇮🇧🇮

  • @emmanueldaud8371
    @emmanueldaud8371 2 роки тому

    Nakubal tz

  • @alexkissinga.5883
    @alexkissinga.5883 2 роки тому +1

    ET YULE NI MAKOCHALI MSHIKAJI WANGU😂😂😂🙌🏾

  • @sululuzungu9587
    @sululuzungu9587 2 роки тому

    bg up mzee south Africa 🇿🇦

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 2 роки тому

    🇬🇧 rocking

  • @tonnywaur7501
    @tonnywaur7501 2 роки тому

    Hey,Ray was not the first artist to get the BET Award in East Africa The agent Eddy kenzo was the first to kill it respect Ug ya man

  • @mshangaf1726
    @mshangaf1726 2 роки тому

    nachompendea madii kila intaviu huwa hasahau kumtaja chonge 😄

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 2 роки тому

    Madeee mkaliwangu tangu kipindicho I see madee fc cpwaaaa

  • @yonafriendsmatenga5502
    @yonafriendsmatenga5502 2 роки тому

    👌🇨🇩🇨🇩

  • @alexkissinga.5883
    @alexkissinga.5883 2 роки тому

    ASERNAL BANA😂💔💔💔💔

  • @lutenganolukali2122
    @lutenganolukali2122 2 роки тому

    Pombe yangu ilifuata baada ya historia

  • @kennedymwagambo7197
    @kennedymwagambo7197 2 роки тому

    Madee game zimechezwa 10 wasema Arsenal ndo mabingwa !! Bado mapema

  • @Skomi-0nedayyes
    @Skomi-0nedayyes 2 роки тому

    Ata Iyo nyimbo ya Nani kamwaga pombe yangu ye mwenyewe madii aikua yake nyimbo ya Manskapa side mchonjere.

  • @freadyjackson315
    @freadyjackson315 2 роки тому

    Ravnnnyn

  • @farajiwanted8257
    @farajiwanted8257 2 роки тому +3

    MADEE ALIULIZWA MANDONGA
    ANGEKUWA MSANII UNGEMFANANISHA NA NANI AKAJIBU NINGEMFANANISHA
    NA BABA LEVO 🤣🤣🤣 ALAFU AKASEPA!!

  • @threevoicemusic8694
    @threevoicemusic8694 2 роки тому

    Madee acha pigo za kusema wewe ni kijana eti uwezi kurupuka kuowa kwenye ujana wewe aupo tena bwana mkuba 😂😂

  • @Juma_saleh
    @Juma_saleh 2 роки тому

    🔥🔥🔥🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @starnolke4700
    @starnolke4700 2 роки тому

    Sauti kama ya babutale kabisa...kwani wana chemistry flani na babutale uyu madee? LilOmmy ebu nisaidie bana

    • @arthuralbert38
      @arthuralbert38 2 роки тому

      Hahah hawafanani sauti, ila sallam sk na diamond wanafanana sauti sanaaaa

  • @mirroyjunior8348
    @mirroyjunior8348 2 роки тому

    Nimeyakubai mawazoyako madee shineida 1

  • @gustavemwimbilwa330
    @gustavemwimbilwa330 2 роки тому +1

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @Skomi-0nedayyes
    @Skomi-0nedayyes 2 роки тому

    Madiii acha uongo idia na nyimbo nzima Ni nyimbo ya manskapa ilikua imesha rekodiwa south Africa. Wa sanii wa bongo bhana sio wabunifu Ni watu wa kucopy na kupest.

  • @sufoalide1676
    @sufoalide1676 2 роки тому

    🇲🇿

  • @jabilmwakyoma105
    @jabilmwakyoma105 2 роки тому

    Nimependa hapo kwenye hakuna mtu alienda motoni sababu ya kuto kuoa

  • @Skomi-0nedayyes
    @Skomi-0nedayyes 2 роки тому

    Ata babu tare anajua ukweli wa kuusu nyimbo iyo ndio aliichukua kwa manskapa kufanya kma anataka kumsaidia kuiskiliza ndio akampa madii wezi tu hao Amna ubunifu amna lolote.

  • @dikoramadhanramadhani9992
    @dikoramadhanramadhani9992 2 роки тому

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮