Ndio ukome kushobokea wasanii na nyinyi wengine mnaopenda kushoboka kwa wasanii ndio mjifunzege huyo jamaa namjua Robby alikuaga derewa wangu pale magomeni mwembechai kaniendesha sana 2014-2015 Ungeendelea na kazi yako Robby ungekua mbali sana aiseee Pole lkn umepata umaarufu utumie vzr ukuletee mafanikio
Ila sio vizuri na ww kusema akome na kusema alikuwa dereva wako sasa unamuambia nani km c kupandikiza chuki kila mtu ana safari yake ya maisha (weka hakiba ya maneno)🙏
Diamond ana akil sana kuna kitu kinaendelea hapa tutajua tu lkn Rayvan ni mnyakyusa mtoto wa mbembela nzovwe mbeya town kuanzia kabila mpaka alipotokea ni jeur mno huwez mcontrol mnyakyusa kama hauna akil timamu kibur jeur umalaya umelala hapo🤣
M nadhani bro haya mambo ungekaa kmya ilikuwa Hamna namna yakuongea kwenye media haya maisha kiume tunakaa nayo moyoni Kuna Leo na kesho bro ila kila la kheri katika haso zako usichoke kupambana tunakutana na mambo mengi katika maisha yetu so relax bro
Huyu si anatafutwa na afande kira ivi hajui km yupo studio saiv. Ila hawa jamaa itakua wameibiana mabibi kwa bifu hili maana km ilikua ni urafiki basi jamaa angejikata kimya tu.
Hii imewahi kunitokea nilikua nafanya kazi tunazunguka mikoa yote Yan mpaka songea uko maporini uko zaid ya miezi sita unapewa ela ya kula na gesti 15 Kwa siku alaf siku narud dar boss ananipa elfu 20 niliumia Sana nafika home nimeshindwa ata kupeleka zawad nyumban alaf baada ya siku tatu napigiwa Tena sim et nisafiri Tena dah acha tu hii situation ishawah nkuta pole Sana brother
het anajiproud hayupo kwenye mahusiano na hajawai kupendwa,TAHIRA SANA HUYU,JITAHIDI USIWE MWINGI WA KUINGIA KWENYE 18 ZA KUHOJIWA HOJIWA KIJANA AU BRO,,,,,ACHA KUJIELEZEA KUPITA KIASI
Sasa hizo media unazoenda kutia huruma mwanaume mzima kulia lia tuu zitakusaidia nn? Ovyo tu kujizalilisha kuongea sana ndo maana wanawake wanakukimbia. Fanya kaz zako mwenyewe na Mungu atabariki tuu kaka.
Hapo ndo mnafeli mnafanyia interview machoko Kama Hawa tunajua mnataka maudhui Ila ukitaka taarifa ya rayvan si mufuate mwenyewe au hata simu hamna nyie mbona mnafeli Sana mtapitw Hadi na sns
Hivi kwa Mwanaume Aliekamilika si huwa Kuna ile Aibu ya kiuanaume ya kuona noma kumshambulia Mwanaume mwenzio hadharani au kwa wengine huwa haipo ... Ok sawa basi
Katika fala n huyu unakuja mara sina tatizo na mwenye next level Nina tatizo na rayvanny akiulizwa mwenye nayo n nan huyo rayvanny mnaemjua ukiwa huna Nia ya kusema kt Bora uache sa mamb ya kike haya n ya kufanywa na wanawake na anajiharbia kwa nafasi nyingne sa unamsema mtu na unasema hutak kupatanishwa nae sa unaendelea kusema Ili iweje
Kumbe dereva wa bajaji ndio maana una mameno ya kishamba sasa ulilazimishwa ata uje uongee shobo? Unajizalilisha tu Bure sungeongea Toka mwanzo?😂😂 Mmechujwa walio kua hawana kitengo lazima waondolewe sasa una mind Nini😂😂😂😂😂
Shida ya sanaa yetu Ina uongo mwingi, huyo Roby aliingia kwa Rayvanny kwa picha kubwa sana, shida vijana wana amini Diamond na Rayvanny ni matajiri sana. Mali nyingi ni washika dau. Matajiri ni hao hao Joseph Kusaga na wengine wengi
@@50kb35 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Umewabaini haters, dawa inawaingia taratibu kwani Rayvanny na Diamond wanazidi kutusua internationally. Always looking for loopholes to criticize.
@@unclepwechnov1381 yani alaf walivyo hawanaga akili sasa hua wanapelekwa kama upepo leo wapo kwa huyu kesho wapo kwa huyu wanahis wanamshusha mshikaj kumbe ndo wanazd kumuongezea baraka
Millard mkihitaji taarifa za WCB mkawahoji wao acheni indirect interview, naona mna kasoro. Lakini mmeface failure kubwa sana vs WCB. Mnaulizia issue za NLM, wakati mnaweza mkamuuliza direct, naona mnaogopa kuwahoji mnashida sana hakika. Media inataka kuwa na mambo ya mchangani sana.
@@africanbeauty6556 na hlf hao millard ayoo wao wakion mtu wamegombana na WCB au NLM,bas ndo wanaenda kufany interview na huyo mtu alotoka kulee ,wanasubir mpk wagombane hawaend kuhoj kabla ya kugomban au kutoka voo ata sijuw wapojeee😂😂😂
@@yumnasuleiman Umeona eheee kweli kabisa tabia chafu sana . Sijui unakumbuka Zaribosslady alivyokuwa hawamawasiliano na mzazi mwenzake Diamond platnumz huyu kijana alienda South Afrika na kufanya interview na Zaribosslady . Wanapenda sana kufuatilia ugomvi wa watu .
Hii media ndio kazi yake kufatilia maisha ya watu na hii ndio inakuza wasanii ...wasanii wanapenda kuongelewa ....ss unadhani mziki tu utatosha kumfanya msanii a trend ....so lazma ugomvi , wachochezi na media viwepo kama viungo
Surely let's watchout social media kills.... I can't wait seeing a man with brain claiming abt other man this is totally stupid bro watch out reality do not belong to public na huwezi nambia ulikuwa na mwana .....😅😅😅 bro ulishindwa jitambua since the scrach acha lawama zisizo na msingi life is always unfair fanya kazi acha maneno bro... u a man fanya kazi acha maneno bro wana sio maisha wana wanamaisha yaona weweu have tofight on ur own
Njoon uku kijijini tulimage tu mpunga Mbeya Mbaral, na alijua ata akiwa anakupa hela huwezi kusaidia ndugu zako mbona unaonekana ni mtu wa mademu sana Braza!
@@nellymatalanga5033 ana miaka mingap anafanya kazi na ray?..unataka awe kimya wakat maisha yanataka pesa?..Ukiweka ushabiki kwa ray utaona anatafuta kiki lakini huu ni ukweli..Tatzo wengi mnaongepewa sana kuwa mond na ray wanapesa sana kumbe wawekezaji wapo lakin mkiambiwa mnatukana.Yani mtu akiwasifu hawa viumbe utaona wanakwambia daah jamaa ana IQ sana. Jamaa alipaswa alipwe kulingana na alichokuwa anafanya lkin kama holaa yeye ataishi vip?.. Ujinga ni hivi:Unamwaga maandazi ya mtu kwa bahat mbaya halafu unategemea samahani halafu imsaidie nini wakat anatakiwa kununua unga mwingine?..Jibu lake mpe pesa anunue mahitaji ndo samahani ya mwisho.
@@MtuSafi yaan next level imeanza rasmi last year...afu MTU anadai mkataba akt at kampuni ilkuwa bado Changa... yaan wakt ule macvoice ndio anatoka... rayvanny akjua huyu n snitch akampunguza ...afu plus alkuwa anajitolea km alivyosem...
That's what is surprising me, I think alianza kama yeye lakini sasa hivi yuko sponsored na rivals wa Rayvanny kufanikisha hii 'media tour' yake. Jamaa anaji-contradict mwenyewe, anadai Rayvanny is not a sole owner wa NLM lakini issue ya mkataba anamlalamikia mtu huyohuyo anayedai si mmiliki. Vijana tegemezi hawa sijui wamelelewa malezi gani.
@@unclepwechnov1381 kwanza roby hajajulikana sababu ya ray bali movie ya maneno ya kuambiwa ndo imemtambulisha...Halafu naona wengi wanamtetea ray kwakuwa wanamshabikia hata mm nashabikia mziki wake ila kwenye ukweli nitabaki huko..Huyu hakuwa muajiriwa wa NLM bali Ray alikuwa anamtumia katika mambo ya kimuziki ukiongelea NLM hyo ni company na issue NLM rasmi juzi tu ndo imeanza lakin before alianza kwa mond mwishowe akaona sababu wote ni Wasafi hakuna ila hata kama alikuwa chawa basi alipwe kwa kaz ya uchawa Inshort alipwe anachostahili sio mjinga huyu alalamike bila sababu zamsingi.
@@piumagoha mzk upo tofaut inhtj Wana unaowamn ...km mtu humuamn bdae atakugeuka.... rayvanny Ana akili🤣..ndio maan at kin zuchu, Lava Lava walikaaa miak mi4 WCB hawajkutn n diamond..uvumilv ndio Kil kitu..
@@petermbwana2454 ww unafahamu vannyboy yupo chini ya wcb na babu tale ndiye msimamizi Mkuu wa vannyboy, iweje aseme alikuwa akitumwa na kupewa posho ila alitaka awe mwajiriwa lkn ni maamuzi ya msanii na management. Issa azam anachofanya hakina tofauti na yy lkn hajaajiriwa wcb lkn anapata posho kulingana na kazi azifanyazo.
Sema wasanii wa Kibongo na Washkaji zao wanafake sana Life Sasa Yale Makoti yote ya suit mnayovaaga kumbe hamna kitu , Hata siku Chopa nae Atakuja na Malalamiko kama haya, Someni, amkeni pambaneni vijana , Sasa umri huo huna hata family mzee focus yako nini kimaisha"
Daa anae mkubarii chui naomba like
Sure ..I really like this interview..nice brother...don't give up💪💪💪🤲🤲
Kwenye maisha yakawaida kunakusaidiana na kufanya kazi vijana tunapenda kupoteza muda
Hongera kwa kujitambua
,,,dddaaahh..live mjubaa..atkuj atmbue uwep wko bdayeee..daah htree kwelii..
Ndio ukome kushobokea wasanii na nyinyi wengine mnaopenda kushoboka kwa wasanii ndio mjifunzege huyo jamaa namjua Robby alikuaga derewa wangu pale magomeni mwembechai kaniendesha sana 2014-2015
Ungeendelea na kazi yako Robby ungekua mbali sana aiseee Pole lkn umepata umaarufu utumie vzr ukuletee mafanikio
Ila sio vizuri na ww kusema akome na kusema alikuwa dereva wako sasa unamuambia nani km c kupandikiza chuki kila mtu ana safari yake ya maisha (weka hakiba ya maneno)🙏
Ukitaka kuonekana mbaya dai chako ndy dunia ilivyo Roby leo anaonekana mbaya hatujui yaliyopo huko nyuma lkn interview zishaanza kuonekana anamchafua Rayvanny
Allahu Yaalam🙏
Utu haulazimwishi bro fanya kazi zako
Bg chawa in dar more than bb lv. Mwjk
😂😂😂eti mwanaume unasema unachezewa😂😂jamaa vp huyu choko nini
😀😀
Diamond ana akil sana kuna kitu kinaendelea hapa tutajua tu lkn Rayvan ni mnyakyusa mtoto wa mbembela nzovwe mbeya town kuanzia kabila mpaka alipotokea ni jeur mno huwez mcontrol mnyakyusa kama hauna akil timamu kibur jeur umalaya umelala hapo🤣
M nadhani bro haya mambo ungekaa kmya ilikuwa Hamna namna yakuongea kwenye media haya maisha kiume tunakaa nayo moyoni Kuna Leo na kesho bro ila kila la kheri katika haso zako usichoke kupambana tunakutana na mambo mengi katika maisha yetu so relax bro
Much love from to Mr #Shimado
H baba ni wengi sana
Mi namfeel uyu mshikaji licha yakua namkubali rayvanny but kufanyishwa Kazi Bila pesa Kwa Dunia ya Sasa apana
Huyu si anatafutwa na afande kira ivi hajui km yupo studio saiv.
Ila hawa jamaa itakua wameibiana mabibi kwa bifu hili maana km ilikua ni urafiki basi jamaa angejikata kimya tu.
😂😂😂😂😂😂Afande bado hajui kama yupo hapo
Binadamu wabaya
Unazingua Sana shehke
Hii naona ni media tour jamaa ameamua afanye,lkn sidhani kama atafaidika nayo
Minamuelewa Sana Kaka,,Yani mtu ukijitoa kwake asilimia Mia,alafu akuthamin lazima uumie,,,pole Kaka mim nakuelewa kipenz,,kwer mtu akikutumia bure lazima ujisikie vibaya
Hii imewahi kunitokea nilikua nafanya kazi tunazunguka mikoa yote Yan mpaka songea uko maporini uko zaid ya miezi sita unapewa ela ya kula na gesti 15 Kwa siku alaf siku narud dar boss ananipa elfu 20 niliumia Sana nafika home nimeshindwa ata kupeleka zawad nyumban alaf baada ya siku tatu napigiwa Tena sim et nisafiri Tena dah acha tu hii situation ishawah nkuta pole Sana brother
Wew nae unaongea Sana jamani dah Kaka angu pumzika nenda ukaripoti mahakamani uwez ukasema wew ndio umesota na Ray wakati Ray anamanagement bwana 😂😂😂
What goes around comes around... 💪
Duuuuuuu roby noma
Jamaa anazunguka media zote kuchafua Rayvanny badili ya kujitafutia yake mwenyewe
Hamucafui anamufanyia promo😂😂😂😂
Acha uongo midia gani nyingine kafanya
@@Fks856 We bwege kweli hii ni ya Tatu sasa
Kweli kaka umefanya chaa maana achana nae huyo mjanja mjanja
Nyi si mnapenda kuwa masupastaa endeleeni kuwatumikia ao mshahara wenu umaarufu
Kaka unge ji brand kupitia yeye ungepata makubwa zaida ya mshahara...
ni noma mzee
Mtangazaji kaa shoga 😄🙊 analegeza macho tu 😀
Weee nae kaka wa watu ndo macho yake yalivo 😏😏
@@carenalphonce5013 Anamuonea wivu Huyo Kaka ni Bonge la HB sasa huyu anasura nzito kama kokoto
@@carenalphonce5013 hahahahaha
Jamaa mkorofi sana😂😂
@@markovuruga86 😃😄😄
Huyu ovyooo,,,kwanza hiyo kauli ya kusema sitaki kupatanishwa, unaonekana una roho mbaya na sio ubinaadam
Daimond unaona eeh angalia Sana hao wafanya kazi wako 😂😂😂
het anajiproud hayupo kwenye mahusiano na hajawai kupendwa,TAHIRA SANA HUYU,JITAHIDI USIWE MWINGI WA KUINGIA KWENYE 18 ZA KUHOJIWA HOJIWA KIJANA AU BRO,,,,,ACHA KUJIELEZEA KUPITA KIASI
Sasa hizo media unazoenda kutia huruma mwanaume mzima kulia lia tuu zitakusaidia nn? Ovyo tu kujizalilisha kuongea sana ndo maana wanawake wanakukimbia. Fanya kaz zako mwenyewe na Mungu atabariki tuu kaka.
Hapo ndo mnafeli mnafanyia interview machoko Kama Hawa tunajua mnataka maudhui Ila ukitaka taarifa ya rayvan si mufuate mwenyewe au hata simu hamna nyie mbona mnafeli Sana mtapitw Hadi na sns
Hivi kwa Mwanaume Aliekamilika si huwa Kuna ile Aibu ya kiuanaume ya kuona noma kumshambulia Mwanaume mwenzio hadharani au kwa wengine huwa haipo ... Ok sawa basi
Uo ni ushamba katika maisha hauitajiki maana hujui nani ata kusaidia
Jamaa analia aixee
Mitatuu yenyewe michafuuu mibaya local sanaa hayana mpangilio inaonekana michafuu michafuu
Huyu ashapotea Kama qboy wanatoka kwa mbwembwe mwisho wanaangukia pua
Umeona mdomo tu mbona hakukua anaongea tu
Katika fala n huyu unakuja mara sina tatizo na mwenye next level Nina tatizo na rayvanny akiulizwa mwenye nayo n nan huyo rayvanny mnaemjua ukiwa huna Nia ya kusema kt Bora uache sa mamb ya kike haya n ya kufanywa na wanawake na anajiharbia kwa nafasi nyingne sa unamsema mtu na unasema hutak kupatanishwa nae sa unaendelea kusema Ili iweje
Mwambie nipo mimi😢
Kazi kweli kweli
Sasa nyinyi mirad ayo mkitaka habari za wasanii toka WCB nendeni wasafi mtaelewa kilakitu acheni uchoko pambaneni nahari zenu 😎😎😎
Mwanahabar anataka habar ya uvungun sasa huwez zipata kwa msanii
Roby usifiche zambi itakuja kukutafuna.hakuna Chaga boy fala.go on dam yangu
Muandishi hujapata uzushi 😂😂kijana yuko sharp na smart. Unaonesha unataka kumgombanisha na wcb😁😁
Ni Vizuri kutunza Ulimi😔
Pôle Kaka.🇨🇩🇨🇩
Wasanii njaa sana
Kumbe dereva wa bajaji ndio maana una mameno ya kishamba sasa ulilazimishwa ata uje uongee shobo? Unajizalilisha tu Bure sungeongea Toka mwanzo?😂😂 Mmechujwa walio kua hawana kitengo lazima waondolewe sasa una mind Nini😂😂😂😂😂
Duh
Pole sana
Katika Interview Zishanipotezea Muda ni Hii 🤣🤣🤣
🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂 kwel kabsa
Pole sana kaka ww ni mvumilivu umeongea kwa hisia sana
Yani Sijaona Content Kwenye Hii Interview Bora Angehojiwa Chikumbalaga Tuhh
@@yusufm1 wanafiki. Hawa
@@yusufm1 Wanoko tu hawa, washaanza kupoteana unafiki unawaponza, wanawaogopa sana WCB wanataka story zao but huwezi waona wakiwahoji direct
Shida ya sanaa yetu Ina uongo mwingi, huyo Roby aliingia kwa Rayvanny kwa picha kubwa sana, shida vijana wana amini Diamond na Rayvanny ni matajiri sana. Mali nyingi ni washika dau. Matajiri ni hao hao Joseph Kusaga na wengine wengi
Alafu kila siku Mwijaku huwa analizungumza hili watu wanaishia kumtukana na kumuona anachuki na Mwambino
Kweli broo huo ndio ukwel
haters wa mond bhn hua mnahangaika sana jamaa kawatesa sana kwa hii miaka kumi kmmke😅 na bado ndo kwanza anaanza
@@50kb35
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umewabaini haters, dawa inawaingia taratibu kwani Rayvanny na Diamond wanazidi kutusua internationally.
Always looking for loopholes to criticize.
@@unclepwechnov1381 yani alaf walivyo hawanaga akili sasa hua wanapelekwa kama upepo leo wapo kwa huyu kesho wapo kwa huyu wanahis wanamshusha mshikaj kumbe ndo wanazd kumuongezea baraka
Usha sema hauna mahusiano asa hela ya demu wako yupi tena
Kwahy unamanisha ulikuwa chawa tu ,alafu unatuangusha madume kusema umechezewa san kwel unasema unachezew mwanaume 🤣🤣🤣
Kweli bro
Millard mkihitaji taarifa za WCB mkawahoji wao acheni indirect interview, naona mna kasoro. Lakini mmeface failure kubwa sana vs WCB. Mnaulizia issue za NLM, wakati mnaweza mkamuuliza direct, naona mnaogopa kuwahoji mnashida sana hakika. Media inataka kuwa na mambo ya mchangani sana.
Kweli kabisa hawaoni hata aibu.
@@africanbeauty6556 na hlf hao millard ayoo wao wakion mtu wamegombana na WCB au NLM,bas ndo wanaenda kufany interview na huyo mtu alotoka kulee ,wanasubir mpk wagombane hawaend kuhoj kabla ya kugomban au kutoka voo ata sijuw wapojeee😂😂😂
@@yumnasuleiman Umeona eheee kweli kabisa tabia chafu sana . Sijui unakumbuka Zaribosslady alivyokuwa hawamawasiliano na mzazi mwenzake Diamond platnumz huyu kijana alienda South Afrika na kufanya interview na Zaribosslady . Wanapenda sana kufuatilia ugomvi wa watu .
JINSI YA KUTUMA MAOMBI YA KAZI ZA SENSA 2022 👇👇
.
ua-cam.com/video/OkY_Stm70Hw/v-deo.html
Hii media ndio kazi yake kufatilia maisha ya watu na hii ndio inakuza wasanii ...wasanii wanapenda kuongelewa ....ss unadhani mziki tu utatosha kumfanya msanii a trend ....so lazma ugomvi , wachochezi na media viwepo kama viungo
Duh ray choko tu
JINSI YA KUTUMA MAOMBI YA KAZI ZA SENSA 2022 👇👇
.
ua-cam.com/video/OkY_Stm70Hw/v-deo.html
Hata kama una mapenzi kaka hayo matattoo hapana...
Huyu jamaa nahisi ni choko, unawezaje kuchora tattoo ya mwanaume mwenzio🤔🤔
Yaani kwanza ukimgusa kama jini vile akuuuu 🤕! Wacha nibaki na mangii wng
Nacheka kama mazuli sasa weye wcb mbona hukua unasema haya yote yani watu nilizzni ni wanawake tuna mdomo n'a nyinyi kumbe
True story🧨
Huyu Chawa tu🤣🤣🤣🤣
Mmmmh mnafiki huyo
Surely let's watchout social media kills....
I can't wait seeing a man with brain claiming abt other man this is totally stupid bro watch out reality do not belong to public na huwezi nambia ulikuwa na mwana .....😅😅😅 bro ulishindwa jitambua since the scrach acha lawama zisizo na msingi life is always unfair fanya kazi acha maneno bro... u a man fanya kazi acha maneno bro wana sio maisha wana wanamaisha yaona weweu have tofight on ur own
Huna akili
🥰🥰
Video shemella.nakuelewa
Njoon uku kijijini tulimage tu mpunga Mbeya Mbaral, na alijua ata akiwa anakupa hela huwezi kusaidia ndugu zako mbona unaonekana ni mtu wa mademu sana Braza!
Wanaume tunazidi kubaki wachache ila walio na jinsia ya kiume ni wengi mark my words
Anafanya media tour kumdiss mwanaume mwenzie aliyrmzidi kipato🤣🤣🤣🤣 kijana fanya kazii acha kutegemea mwanadamu mwenzio, fanya kazii kwa mkataba💔 limit shobo
Huyu mnafki tu ,kila mtu ananza chini and if you don't like sticking around when a company is still growing unatoka tu polepole sio kelele .
@@nellymatalanga5033 ana miaka mingap anafanya kazi na ray?..unataka awe kimya wakat maisha yanataka pesa?..Ukiweka ushabiki kwa ray utaona anatafuta kiki lakini huu ni ukweli..Tatzo wengi mnaongepewa sana kuwa mond na ray wanapesa sana kumbe wawekezaji wapo lakin mkiambiwa mnatukana.Yani mtu akiwasifu hawa viumbe utaona wanakwambia daah jamaa ana IQ sana. Jamaa alipaswa alipwe kulingana na alichokuwa anafanya lkin kama holaa yeye ataishi vip?.. Ujinga ni hivi:Unamwaga maandazi ya mtu kwa bahat mbaya halafu unategemea samahani halafu imsaidie nini wakat anatakiwa kununua unga mwingine?..Jibu lake mpe pesa anunue mahitaji ndo samahani ya mwisho.
@@MtuSafi yaan next level imeanza rasmi last year...afu MTU anadai mkataba akt at kampuni ilkuwa bado Changa... yaan wakt ule macvoice ndio anatoka... rayvanny akjua huyu n snitch akampunguza ...afu plus alkuwa anajitolea km alivyosem...
That's what is surprising me, I think alianza kama yeye lakini sasa hivi yuko sponsored na rivals wa Rayvanny kufanikisha hii 'media tour' yake.
Jamaa anaji-contradict mwenyewe, anadai Rayvanny is not a sole owner wa NLM lakini issue ya mkataba anamlalamikia mtu huyohuyo anayedai si mmiliki.
Vijana tegemezi hawa sijui wamelelewa malezi gani.
@@unclepwechnov1381 kwanza roby hajajulikana sababu ya ray bali movie ya maneno ya kuambiwa ndo imemtambulisha...Halafu naona wengi wanamtetea ray kwakuwa wanamshabikia hata mm nashabikia mziki wake ila kwenye ukweli nitabaki huko..Huyu hakuwa muajiriwa wa NLM bali Ray alikuwa anamtumia katika mambo ya kimuziki ukiongelea NLM hyo ni company na issue NLM rasmi juzi tu ndo imeanza lakin before alianza kwa mond mwishowe akaona sababu wote ni Wasafi hakuna ila hata kama alikuwa chawa basi alipwe kwa kaz ya uchawa Inshort alipwe anachostahili sio mjinga huyu alalamike bila sababu zamsingi.
Kukupenda nahizi tatu kutoboa sikio daah Allah atuifazi
Mtu mwenyewe ni comedian kumbe waiii aend zakee
Fikeni kwangu pia washikaji 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
#vita
Daah
Ata ungkuw wewe umeanzisha kampuni yako ....haina ata miezi afu MTU anadai mkataba 🤣...uyo s snitch🤣
Kwani ukifungua ofic tayari ina budget yake kwa hy toka siku ya kwanza unajua ofc inaitaji watu wangapi na mishahara yao tayari ipo.
@@piumagoha mzk upo tofaut inhtj Wana unaowamn ...km mtu humuamn bdae atakugeuka.... rayvanny Ana akili🤣..ndio maan at kin zuchu, Lava Lava walikaaa miak mi4 WCB hawajkutn n diamond..uvumilv ndio Kil kitu..
JINSI YA KUTUMA MAOMBI YA KAZI ZA SENSA 2022 👇👇
.
ua-cam.com/video/OkY_Stm70Hw/v-deo.html
Love robby
Rayvan ana management na iweje yy aseme ndiye anapambana kusimamia kazi za rayvan? Aseme yy alikuwa chawa wa wcb nitamuelewa.
Unakataa ukweli kwa ukweli unaohis eeeh
@@petermbwana2454 ww unafahamu vannyboy yupo chini ya wcb na babu tale ndiye msimamizi Mkuu wa vannyboy, iweje aseme alikuwa akitumwa na kupewa posho ila alitaka awe mwajiriwa lkn ni maamuzi ya msanii na management. Issa azam anachofanya hakina tofauti na yy lkn hajaajiriwa wcb lkn anapata posho kulingana na kazi azifanyazo.
Nimependa anavyo ongea Rayvanny mludishe njoo
Kusudio la hii interview nnn haswa nisaidieni jamani
Sema wasanii wa Kibongo na Washkaji zao wanafake sana Life Sasa Yale Makoti yote ya suit mnayovaaga kumbe hamna kitu , Hata siku Chopa nae Atakuja na Malalamiko kama haya, Someni, amkeni pambaneni vijana , Sasa umri huo huna hata family mzee focus yako nini kimaisha"
Ndio Hapo sasa, Tatizo la Wabongo wanapwnda sana Sifa za kijinga, mavazi, viwanja vya starehe kwao ndio mchongo. Mbupu kabisa.
Sasa uku alipo baki mbona alipwi
Watu wasenge banaa If I will need tattoo Nita mchora my baba and mam only is the people Hawa wezi nizingua
Yeah
Wasanii wanachukulia sana poa wafanyikazi wao
Huyu jamaa hajajijua anataka nini
Vido napenda icho kicheko chako tu wallah😆😆😆😆
Huyu sio mzima, anavuta madawa
Kama umetoka kunahaja gani ya kumchafua ray ???fanya yako
Jamaa kaongea ukweli
Fyuuuu yaani ni pumba tu ayo tv mbachuki na wcb
Simu ya laki5😂😂😂
Sa ulitaka ulipwe Nini?ya Nini?ulifanya kitu gani?Kama ulifinya for love malipo ni ya Nini?si ulifinya for love?
Mwanaume kuwa single ni kashfa
True kaka
Acha kujichubua bro
Mwanaume wa dar huyu dogo mlaini sna
😎😎😎 Laini, Laini yani nyam nyam. Mungu tunusuru na balaa.
Bona wanabonga mwapendeza kuchora tatoo juu ya kitu bila kujua ,mathala badaaye
👀
✌🏻👌🏻
💪🏻✍🏻
wanajuag wakiongea ivo ndo watafanikiwaaaa kumbe ndo wanajiharibia
Uyu jamaa kuna kitu kafanyiwa kikubwa sana ndio mahna anaongeya kwa uchungu sana
Ni kweli
We huna lolote unasema huwezi fanya kazi na Jeshi bwege wew
Wataelewa tuuh