LIVE: ASIYEFUNZWA NA MAMAYE NDANI YA POWER BREAKFAST YA CLOUDS FM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Moja ya sehemu nyeti ni eneo la makuzi ya Mtoto, Kila Mtu ana namna yake Katika kuitazama nafasi ya Mzazi Kwa Mtoto lakini pia nafasi ya Mtoto Kwa Mzazi, ili kutosubiri Ulimwengu umdake na kubeba jukumu la Mzazi kumfunza mwanae.
    Kiungo muhimu baina ya pande hizo mbili, ni mawasiliano baina ya Mzazi na Mtoto au kijana wake kuhusu mambo kadha wa kadha ikiwemo Ngono na Afya ya Uzazi.
    Mawasiliano yanayofanyika Sasa baina ya Mzazi na Mtoto yanakidhi haja, je kuna haja ya kutazama upya mawasiliano hayo, wapi Kuna uzibe, na nani alaumiwe...?
    Kujibu hayo tutapita kwenye Tafiti iliyofanywa na Watafiti kutoka UDSM... Kwenye PB Clouds FM tutakuwa na
    ⏩DR. Zilphan Ombijah - Mtafiti kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es salaam.
    -⏩Dr Pascal Mdukula - Mtafiti kutoka UDSM.
    - *⏩Benedicto Luvanda, Mtafiti kutoka UDSM.
    #Tumekuverify

КОМЕНТАРІ •