Mungu ni mwema kaka atakulipia,nilifukuzwa na mwenye nyumba na sikuwa na chochote na kodi yangu ilikuwa bado na nilikuwa nimewakopesha na hela,baada ya kupewa taarifa nilihama na kodi nikaiacha siku bado,kiwanja nilikuwa nacho bahati nzuri nilibarikiwa nikaivisha mpunga,mahindi na pamba nimejenga kuzidi na zakwao nyumba nipo kwangu,huduma zote ninazo maji na umeme,shukru mungu kwa kila kitu
Wapangaji acheni kung'ang'ania nyumba mnapoambiwa muame toa ushirikiano aukupanda kwa kodi lipa au uwezi tafuta nyumba nyingine shida mnajifanya mnajua sana sheria za upangaji ndio zinazowatia viburi
sheria haijawahi mkanda miza m2 na hakuna king'ang'anizi ndugu.lnategemeana umepewa taarfa kwa mda gan.Mwenzetu hujawahi panga ulivo zaliwa ulikuta majumba.hujui maumivu ya kupanga
Kesi moja tam sana mpangaji akikomaa atakaa bure na kulipwa fidia zote...nimewahi kushuhudia kesi kama hizi mbili kifupi mwenye nyumba hana haki ya kumtoa mpangaji kwa dharula hata kama ana ukarabati au kubadili matumizi bila kufata sheria ya mkataba ambayo ni Notes kwa muda usiopungua miezi 3 kabla ya tarehe ya mwisho.. Ukisoma sheria za makazi ya biashara yaani nyumba za kupanga kipengele namba 3 kinaonesha kila kitu...walio wengi hawajui kama hili jambo lipo kisheria halali kabisaa..ningekua mimi huyo mama angejamba cheche
Pole sana ndugu ungeupo DAR ningekupa hifadhi bure Nyumbani kwangu mpaka upate nyumba ya kupanga hakufanya uungwana hali ni ngumu kupata chumba cha haraka haraka inabidi ujipange
Yaani huyu mpangaji achukue tu wakili mzuri atakaa hiyo nyumba bure na pia alipwe kwa unyanyasaji aliofanyiwa. Huwezi kutia vitu vyamtu bila idhini na kuna mkataba ambao haujaisha. Mwenyenyumba dishi limetoboka
Ulimbukeni ndo umemjaa kwa nyumba gani apo mpaka mwwnzio kutaka umsababishie matatizo masaa 27 kumuweka ndani nyau mkubwa watu tunaishi na watu na tukiona kuna tofauti kuna sheria ndio maana siku izi kuna mikataba yenye sheria ya mpangaji na sheria ya mwenye nyumba na kila kitu kimejieleza sio unachukua sheeiq kienyeji uyu itakua alikua ana mtaka tu anaonesha maraya tu fyuuuuu 😏
Watanzani mko na roho mbaya sana.hata km mwenye nyumba huna haki ya kufungua mpangaji ndani kwa mtu.kwan nchi yenu hakuna sheria. Ingekua Kenya ungejua kwa mbwa barabaran.huyo mpangaji angekaa Bure miez 6. Ukitaka kutoa mpangaji Kuna sheria sio kutesa mtu kiasi hicho.mko na roho mbaya mfyuuuu
Wenye nyumba wanajiona wamefika hawaoni kama hii ya muda tuu alafu wenye nyumba jalini bas wateja wenu tumieni utu zaidi. nyumba ni Bwana vitu vya muda tuu. pole sana kaka Mungu atakusimamia na utapata yako soon
Huyu mpangaji inaonekana ana kiburi unankatiaje simu mwenye nyumba wako? kwanini ulazimishe kukaa apo akiwa mwenye nyumba kasema uhame yaani mimi ngelifungia ata wiki
Maneno Gani hayo unaongea aisee,Kila mtu Mungu anampa kwa wakati wake,haijalishi ni lini.tujifunze kuishi na wapangaji vizuri jmn,vitu vyote tutaviacha duniani.
Detention alilazimishwa kukaa kwenye nyumba ya mtu kodi imeisha na hakuna mkataba mwengine umeingia na mwwenye nyumba kama alilazimishwa kubaki ndani ndo itakuwa unlawful detention
@darweshk7342 sheria hairuhusu kumuondoa kwa nguvu ya namna yoyote ile hata kama mtu unataka aondike meweka utaratibu nini kifanyike inapotokea mtu hataki kuondoka ikipo kwenda kuomba eviction order sio kunfungua mtu zaidi ya masaa 27 au kutoa vyombo vyake nje.
Nimekuzoom unaonekana huna akili. Sasa alieng'ang'ania ni nan, wakat ana haki yake kama mpangaji. Wew Ni miongoni mwa wenye nyumba wa hovyo kuwah kutokea. Kama una nyumba lakin.
Wakati mwingine wapangaji tuwe tunaangalia na watu wanaomiliki nyumba za kupanga vichwa vyao vya mbuzi au vya nguchilu huyo mama anaonekana kabisa anakichwa cha papai
Notice lazima iendane na mkataba .ukitaka kumtoa mtu hata kama malipo yamefika lazima umtaarifu either wakati analipia au umempe miezi mitatu kama notice
Weee mwenyenyumba ni tapeli huna lolote unajiona umefiiika na hicho kijinyumba chako, kk achananae M/Mungu atakulipia wala usijali na utafanimiwa na utajenga yakwako mshamba huyo
Piga shoka huyo akafie mbele au mvhomee nyomba mapetroli anamoishi huyo mama chomeni nyumba zake sote hafai huyo hata duniani hafai kuishi unamfungia mtu kisa hilojumba niuchafuuu seeeeeeeeee mbwa weweweeee seeeeeee
Mungu ni mwema kaka atakulipia,nilifukuzwa na mwenye nyumba na sikuwa na chochote na kodi yangu ilikuwa bado na nilikuwa nimewakopesha na hela,baada ya kupewa taarifa nilihama na kodi nikaiacha siku bado,kiwanja nilikuwa nacho bahati nzuri nilibarikiwa nikaivisha mpunga,mahindi na pamba nimejenga kuzidi na zakwao nyumba nipo kwangu,huduma zote ninazo maji na umeme,shukru mungu kwa kila kitu
Duuu Mungu atusaidie tujenge nyumba zetuu aisee.
Tutakufa tutaacha kila kitu Dunia mapito tu
Anaongea kama mazuri pole kakangu mungu akufanyie wepesi upate nyumba yako
Amiin
Wapangaji acheni kung'ang'ania nyumba mnapoambiwa muame toa ushirikiano aukupanda kwa kodi lipa au uwezi tafuta nyumba nyingine shida mnajifanya mnajua sana sheria za upangaji ndio zinazowatia viburi
sheria haijawahi mkanda miza m2 na hakuna king'ang'anizi ndugu.lnategemeana umepewa taarfa kwa mda gan.Mwenzetu hujawahi panga ulivo zaliwa ulikuta majumba.hujui maumivu ya kupanga
@@GhatiChacha-e9nee na kweli amxhukuru mungu km hajawah panga Ila cy saw kbs hy maish ty
Kesi moja tam sana mpangaji akikomaa atakaa bure na kulipwa fidia zote...nimewahi kushuhudia kesi kama hizi mbili kifupi mwenye nyumba hana haki ya kumtoa mpangaji kwa dharula hata kama ana ukarabati au kubadili matumizi bila kufata sheria ya mkataba ambayo ni Notes kwa muda usiopungua miezi 3 kabla ya tarehe ya mwisho..
Ukisoma sheria za makazi ya biashara yaani nyumba za kupanga kipengele namba 3 kinaonesha kila kitu...walio wengi hawajui kama hili jambo lipo kisheria halali kabisaa..ningekua mimi huyo mama angejamba cheche
Pole sana ndugu ungeupo DAR ningekupa hifadhi bure Nyumbani kwangu mpaka upate nyumba ya kupanga hakufanya uungwana hali ni ngumu kupata chumba cha haraka haraka inabidi ujipange
Kuishi na mwanamke wa kyela Tena alojipata kidogo uwe na moyo wa chumachuma hawa watu wakijipata kidg uwiiiii🙌
Yaani huyu mpangaji achukue tu wakili mzuri atakaa hiyo nyumba bure na pia alipwe kwa unyanyasaji aliofanyiwa. Huwezi kutia vitu vyamtu bila idhini na kuna mkataba ambao haujaisha. Mwenyenyumba dishi limetoboka
Du ukatili huu chukua hatua kukufungia ndani
Mwanamke huyo😮😮😮
Huyo mwenye nyumba ni mshamba fulani asiyejua sheria.ningekuwa mm hapo na mtaji ningepata
Ukiambiwa swala la kuhama na mwenye nyumban we tafta mahalq pengne hama tu
Sheria haitakusaidia hapo kama kodi yako imeisha
Eeh Mungu naomba unipe kwangu
Hata kama mwwnyenyumba amekosea jamani ni maisha tu umezaa watoto hujui kesho yako
Naimaigine huyu akiwa mama wa kambo
😂😂😂
Ulimbukeni ndo umemjaa kwa nyumba gani apo mpaka mwwnzio kutaka umsababishie matatizo masaa 27 kumuweka ndani nyau mkubwa watu tunaishi na watu na tukiona kuna tofauti kuna sheria ndio maana siku izi kuna mikataba yenye sheria ya mpangaji na sheria ya mwenye nyumba na kila kitu kimejieleza sio unachukua sheeiq kienyeji uyu itakua alikua ana mtaka tu anaonesha maraya tu fyuuuuu 😏
Mwenye nyumba hana akili wala utu atambue nyumba na mali zote tutaondoka na tutaviacha na kuelekea kwenye nyumba ambayo ni ya kila mmoja
Anamzalilisha mtu huku anashangilia aisee mungu atamlipa
Arioko juu msubir chin kibr kwakua unanyumba maisha TU haya
Wewe dada dunia mapito watu wanaacha maglorofa unaongea kwa bwebwe kabisa dunia duara
Mwanamke /Mama wa wapi huyu hana huruma jamani je kama ni mtoto wake kafanyiwa hivi atajiskiaje
Yy ataishi milele wtt wake hay hyawez kuwkuta ili tutakuf tutaach kl kitu wenye nyumb na ambao hatun
@victorianganyagwa2467
Allah ni mjuzi zaidi na malipo ni hapahapa duniani
Wapangaji mnamatatizo sana
Ayo TV wakileta habari ndo naiyelewa vzr
Hata mm
Ila sisi wapangaji kuna mda tunakuwa Sungura
Na sisi wapangaji tu wakorofi mnoo, unakaa zaidi ya miezi sita hujalipa unategemea nini?
Pole sana kaka Mungu atakulipia 😢 huu mwaka hauishi atakufa ataiacha hiyo nyumba anayoringia😭😭😭😭😭
Umasikini ni mbaya nyie pole sana jamaa angu mungu atatubles nasi tutajengwa za kwetu
Kisheria kumtoa mpangaji kunahitaji notice ya miezi mitatu!
WANAWAKE KAMA HAWA NDIO WANAOWAUA WAUME ZAO , KISA NYUMBA ,HUYU MWANAMKE KATIKA WANAWAKE WASHENZI HUYU NI MSHIKA BENDERA YA WASHENZI ,
Lakini kuna wapangaji wengine ni wasumbufu sana mimi mwenyewe nilikuwa na Mpangaji mpaka nikampa akae bure miezi mitatu
Km mpangaji msumbufu.nchi yenu hamna sheria za kufata.kufungia mtu ndani kwa 27hrs hio ni makosa sana . mpangaji akikusumbua fata sheria
Jamanii huu ni ukatili mkubwa sana 😢
Jamani tuweni na ubinadamu hata kama ni makosa kumfungia mwenzio bila kula kwa masaa sheria itendeke wenye nyumba wanatutesa sana
Watanzani mko na roho mbaya sana.hata km mwenye nyumba huna haki ya kufungua mpangaji ndani kwa mtu.kwan nchi yenu hakuna sheria. Ingekua Kenya ungejua kwa mbwa barabaran.huyo mpangaji angekaa Bure miez 6. Ukitaka kutoa mpangaji Kuna sheria sio kutesa mtu kiasi hicho.mko na roho mbaya mfyuuuu
achukuluwe hatua kali
Daaa!
Wenye nyumba wanajiona wamefika hawaoni kama hii ya muda tuu alafu wenye nyumba jalini bas wateja wenu tumieni utu zaidi. nyumba ni Bwana vitu vya muda tuu. pole sana kaka Mungu atakusimamia na utapata yako soon
Kabisaa jmn
Kusema ukweli mimi hunitoi kiholela
Jamani jamani mabosi mtatuuwa
Haya mapito tu.nyumba na bhai wa ubinadamu ipi bora?
Huyu Mama ana makosa makubwa. Si haki.
Huyu mpangaji inaonekana ana kiburi unankatiaje simu mwenye nyumba wako? kwanini ulazimishe kukaa apo akiwa mwenye nyumba kasema uhame yaani mimi ngelifungia ata wiki
Hajui haki za mpangaji huyu angenipata Mimi angenitambua na kichwa ingemkaa sawa
😂😂😂😂😂😂
Ni kosa la jinai antenatal sheria
Safi sana ulifanya chamanaa
Pole sa kaka
Mhh huyu mama ni katili sana yeye hajazaa?anamwaziri mtoto wa watu hivo jamani nyumba ni kaburi tu
Mmmmm weww dada ni mjinga
Hiyo hela ya kujenga nyumba ya wapangaji nitajenga nyumba na kuuza au viwanja niuze hata mbuzi na ng'ombe
Pole mwamba
Huyo mwenye nyumba anaonekana disi limeyumba mana linapayuka sana ka limbuken' kwa nyumba gani?
Huwez jua pengine wamesumbuanan
Kupataa chumbaa Kwa rakaa hapoo shuulii😢😢
Wapangaji mna matatizo sana jengeni zakwenu.kwangu natoa mabati juu umbaji na bord
Ingekua kujenga rahisi km ulivyoandika hapa watu wote wangekua nanyumba zao
Ndugu yangu kumbuka hivi vyote ni vyakuisha kwa hiyo ukiwa na mawazo hayo hayasaidii ipo siku moja na yeye ataiacha tu. Mapito dada.@@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 mmmmm
Hata mpangaji anahaki zake. Kuna Sheria jamani
Maneno Gani hayo unaongea aisee,Kila mtu Mungu anampa kwa wakati wake,haijalishi ni lini.tujifunze kuishi na wapangaji vizuri jmn,vitu vyote tutaviacha duniani.
Amshitaki kwa unlawfully detantion au false imprisonment
Hivi wewe mzima? Kiingereza kama hujui tumia Kiswahili bhana!
@@Brunn-mh2bq 😂😂 au sio
@@Brunn-mh2bqaliyeandika ni msomi Tena wa Sheria,na Kama amekosea mbona unang'aka kwani lugha ya bibiyako acha utumwa
Detention alilazimishwa kukaa kwenye nyumba ya mtu kodi imeisha na hakuna mkataba mwengine umeingia na mwwenye nyumba kama alilazimishwa kubaki ndani ndo itakuwa unlawful detention
@darweshk7342 sheria hairuhusu kumuondoa kwa nguvu ya namna yoyote ile hata kama mtu unataka aondike meweka utaratibu nini kifanyike inapotokea mtu hataki kuondoka ikipo kwenda kuomba eviction order sio kunfungua mtu zaidi ya masaa 27 au kutoa vyombo vyake nje.
Daaa
Huyo mama hajatenda haki. Je yangetikea ya kutokea angefanyaje uyo mama. SMS ya lwenye simu sio nots.
Inatakiwa wahojiwe na polisi wote wawili tujue chanzo mpaka hatua ya kufunga nyumba masaa hayo kutakuwa kuna tatizo fulani hapo
Sitolew kipumbavu hivyo😊
Hapa Kuna tetes za kukataana kimapenzi
Kosa hilo
Sasa wewe unang'ania nyumbani yako?!!?
Nimekuzoom unaonekana huna akili. Sasa alieng'ang'ania ni nan, wakat ana haki yake kama mpangaji. Wew Ni miongoni mwa wenye nyumba wa hovyo kuwah kutokea. Kama una nyumba lakin.
Wewe akili yako inafanana na mkundu
Akili yako inafanana na mkundu Teena mkundu wa mmbwa masikini wewe
Nyumba za kupanga aisee😢😢😢😢
Huyo mwenye nyumba ni limbukeni, hiyo nyumba alihongwa hajui hat bei ya tofali
Watu wanakufa wanaacha nyumba yaan wew mshamba wa nyumba nn
Utaiwacha siku moja nyumba ni nini? Inavyoonekana mwanamke huyu ana Roho mbaya. Ubinadamu ni kitu kikubwa sana.
Malipo yapo
Wakati mwingine wapangaji tuwe tunaangalia na watu wanaomiliki nyumba za kupanga vichwa vyao vya mbuzi au vya nguchilu huyo mama anaonekana kabisa anakichwa cha papai
Angepanga ata kwa msukuma kwa mtu wakyera alipotea njia
Sms kwenye cm ndio notisi? Mwenye nyumba hapo umefanya ukatili mkubwa sana.😢😢
Notice lazima iendane na mkataba .ukitaka kumtoa mtu hata kama malipo yamefika lazima umtaarifu either wakati analipia au umempe miezi mitatu kama notice
Mtngzj wa hovyo ngj nirudi nyumbani kwa #Milardayo
Nyumba za ulisi ndo shida zake hizo
Weee mwenyenyumba ni tapeli huna lolote unajiona umefiiika na hicho kijinyumba chako, kk achananae M/Mungu atakulipia wala usijali na utafanimiwa na utajenga yakwako mshamba huyo
Piga shoka huyo akafie mbele au mvhomee nyomba mapetroli anamoishi huyo mama chomeni nyumba zake sote hafai huyo hata duniani hafai kuishi unamfungia mtu kisa hilojumba niuchafuuu seeeeeeeeee mbwa weweweeee seeeeeee
hiyo hela unayonunulia petroli si angeweza kuanza kununua tofali moja moja
Kuigia laisi ila kutoka Hadi mkosane
Mkataba wameaka unalipaje miezi mitatumitatu wemkataba wako ni miezi mitatu nyoosha maelezo
Ss sindo umtoe kistarabu i so ubinaadamu kwan yy kakataa kutoka au
Mwenye nyumba huna utu
.