VITA NZITO: SHILOLE NA ESHA WATUPIANA MANENO “UNASHEPU YA KABABU, UMEUNGUA NA MKOROGO”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 27

  • @FanyJimmy
    @FanyJimmy 2 місяці тому +11

    😀😀😀Adui ya Mwanamke ni Mwanamke Mwenzake 📌📌📌 Kuhusu kupika hakunaga Chakula kibayaa kamwe ukitaka kujua uwe na njaa mana unaweza kula Mchicha chukuchuku na ugali ukaona vitamu Sanaa🔥🙌 Shilole upo viwango vya juuu umekuwa inspired Kwa biashara ya Chakula acha uyo mwenye chuki binafsi apambane na Hali yake

    • @jikonikwamamaSwaumu
      @jikonikwamamaSwaumu 2 місяці тому +1

      Umenichekesha 😂 na umeongea ukweli ukiwa na njaa kila kitu kitamu na mara nyingi tunaenda kula kwenye sehemu za kuuza chakula tukiwa na njaa.

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 2 місяці тому

      ​@@jikonikwamamaSwaumualafu chakula hata kama hukipendi, ukiwa na njaa utakila

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 2 місяці тому +4

    Shilole anajua sana kuanzia huduma hata usafi wa maeneo yake.Esha uswahili ndo umemjaa bora angelaa kimya tu kulikuwa na haja gani kuanza kuongea ovyo.Mwaka juzi mbona Shilole alikaa kimya tu na maisha yakaenda.Esha acha roho mbaya sio kila siku upate wewe

  • @HafsaShayo-iv5xh
    @HafsaShayo-iv5xh 2 місяці тому +5

    Esha anajua kupika sana

  • @RehemaMasunga-ml7kt
    @RehemaMasunga-ml7kt 2 місяці тому +6

    Mashabiki wanawapoteza esha na shilole hamkupaswa kuwa na ugomvi dada zangu

    • @FanyJimmy
      @FanyJimmy 2 місяці тому

      Kabisa mwaya maana sio watu wote wanakula chakula kwao

    • @RehemaMasunga-ml7kt
      @RehemaMasunga-ml7kt 2 місяці тому +3

      @@FanyJimmy kabisa sasa kama shilole anapika chakula ambacho wengine hawapendi si waende wakale kwingine kwani lazima wale kwake na hawa wanaokula kwa esha waendelee kula huko maana wamependa alafu hawa wateja wakae pembeni waache kuingilia hiyo vita. Hiyo vita ni ya watu watu wawili mwisho wa siku wanaunda timu. Timu shilole na timu esha yote hayo ya nini. Kuna maisha baada ya tuzo kupokea kwa hiyo shilole akipata tatizo esha asimsaidie sasa, esha akiwa na shida ya mkopo mtu wa kumkopesha ni shilole ambaye anafanya kazi kama yake na anaelewa mzunguko wa hiyo biashara sio majungu hayo majungu hayajengi na wala hayamuinui mtu kimaisha

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 2 місяці тому

      ​@@RehemaMasunga-ml7ktumesema maneno mazuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @khaila8990
    @khaila8990 2 місяці тому +1

    Musema ukweri mupenzi wa mungu 😂😂Esha number one ❤❤❤

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 2 місяці тому +4

    Waache ujinga sani watanzania wamezidi kila mtuu na riziki yake

  • @AirinSumeno
    @AirinSumeno 2 місяці тому +2

    Wengine hawajawahi kufika hata dar kama mimi af kwenye koment tunajua chakula ya nani tamu😂😂😂😂😂😂😂

    • @Gersah
      @Gersah 2 місяці тому +2

      😂😂😂

  • @melch3097
    @melch3097 2 місяці тому

    Shilole bora ukae kimya umekua kama takataka

  • @ShamsaFahad-n8v
    @ShamsaFahad-n8v 2 місяці тому +2

    Kumekucha

  • @faridaabdullah696
    @faridaabdullah696 2 місяці тому +4

    Buheti anajua kupika tena chakuka chake kitam

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 2 місяці тому +1

      Ulienda kula au ndo mjumbe hauwawi 😂😂😂😂😂

    • @JoyceMenrad-yl2cb
      @JoyceMenrad-yl2cb 2 місяці тому +1

      Ulisha kula???

  • @CafeJohn-n9o
    @CafeJohn-n9o 2 місяці тому

    Hivi jamani haya maneno yate munao ongea tuzo tu au kunaringine jamani khaa eisha nyama usijibu chochote Achana na wadishi wa habari wanakuharibisha sivi yako kataa itavuyu uriyo ongea yanatosha jifanye tu mjinga nyamaza

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 2 місяці тому +3

    Shilolo yy ndio anaroho mbaya anawachkia wezake alitokea kumsema yula dada aliimba chura alimsema mbele zawatu shilolo anarohombaya

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt 2 місяці тому

    Awe anajua ajui bahati ya mtu mwingine roho mbaya tu esha Ako naroho mbaya msambaa uyu

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 2 місяці тому

    Wakapigane tena watumie miko na masufiria😂😂😂😂 watu wazima visheti

  • @janengowi-lt9gu
    @janengowi-lt9gu 2 місяці тому

    Chakula kibaya ukiwa umeshiba

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 місяці тому

    Uwaneni tuje kuwazika

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 2 місяці тому

    Ushamba mwingi...chapeni kazi acheni Uswahili. Rizki inatoka kwa Mungu. Shame on you both 😢 👎👎