Dozza boy huyu house girl n mzuri sana alafu hii part ya binti mshamba amecheza kama yeye walai n pia hata reality she is good wife aki ako n dimpoz fulani akicheka kwa mbali yani
movie thamu hadi nimelia sababu ya zia😔😢,Amina keep it up mashallah 🥰 mpende wifi yako zia❤️,movie nzuri na mnamalizia pahali patamu munikats makali nazirudia zote 4 kwa mpigo😂😂😂,Ashuu usiwe uko hivyo reality🥰Alaview All❤️
Director apewe mauwaa yake🎉🎉😂😂mamamaeeeeeeeee ooe nyote mumeuaaa sema nn kuna mmoja aongezeee bidii mbelenii atakuwa sawa🔥🔥🔥ila big up guys 🤝🤝🤝🤝🤝 Can't wait for the next epsd💯💯💪💪💪
Cameraman tuchukulie n close short za mmoja mmoja akiongea by the time kw scene wko wengi ndo iletee muonekano mwingine w movie kuvutia zaid....ila congratulations 🎊 m brother
Dozza boy huyu house girl n mzuri sana alafu hii part ya binti mshamba amecheza kama yeye walai n pia hata reality she is good wife aki ako n dimpoz fulani akicheka kwa mbali yani
Wapi likes za huyo dem mwenye anamtetea ziya 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Anaitwajee
Wapi ziya na Bilal aah mko vizuri 😂 mashaAllah
😂😂😂 mwenyewe hampendi salma jamani eee 😂😂
Amina anajua guys 😘😘 napenda anavyo act ❤❤
Mashallah movie ya leo iko 🔥
Wanao mkubali doza gonga like❤🎉
Hapo namkubali mfanyi kazi na wapili doza big up guys big salute on u guys
movie thamu hadi nimelia sababu ya zia😔😢,Amina keep it up mashallah 🥰 mpende wifi yako zia❤️,movie nzuri na mnamalizia pahali patamu munikats makali nazirudia zote 4 kwa mpigo😂😂😂,Ashuu usiwe uko hivyo reality🥰Alaview All❤️
Iyo alaview mimi hoiiii taaban😂😂🤣💔🙌.. somo banaaa
😂😂😂@@Khadija_mkwale
kazi nzuri xana guys i appreciate.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪from Mombasa
Happy moments of my life...hii movie naipenda mpk ushoga aise man haielezeki..keep it up
Bado lugha tu mbadilishe mnatumia lugha YA mtaani Sanajaribu Kiswahili sanifu bt movie iko on top nakukubali Yusuf ❤
Ashuu hana tofauti na boss wangu 😂😂😂
🎉😂😂huyo wamastimu kila saa akatwa mastimu
Big up 🎉🎉🎉🎉 ongezeni dakika
Wakwanza ana zawadi😂
Mm ndio wa kwanza vp ss
Sema leo nilikuwa nibanwa na mwarabu 😂😂ila mm ndio huwa wakwanza😂
@@Kidura-23 yangu ifate maana mm ndo wa kwaza
Imeweza gyz keep going❤ Ziya unajua sana
😂😂😂😂mm kama team ziya nasemajee 😂😂😂#Doza#bilal tunae na tunatamba naeee😂😂😂❤❤❤
Am vpi 😂😂
@@wardakhamis8662 tuko apa🤣🤣🤣
Hii part ya bilal na ziya iendelee jaman nmeipenda
Sjui mbna nalia wallai😢😢 Bilal na ziya hongereni🎉❤
MASHA ALLAH sai mwafnya k2 cha mna ALLAH awaongoze❤❤
Kashow kanabambaa 😅😅😅 mko vzr my guys
Mashallah tabarakallah kazi nzur sana can't wait to see episode 5😢
Doza,Ziya and Amina are really good keep going👌🏻
Huyo nae na kuangalia class😂😂😂😂
Bilal big up ❤❤❤ nimependa izo step zako ama kweli love is blind
Zia kept up dear role Yako waicheza poaa....
Aonge mmoja baada ya mwengine munaongea nyote kw pamoja hatupati maneno mingine..
Ilikua natafuta hii comment
Jamn nampnd doza anavyo mpa moy ziyaa😂😂😂😂❤❤
Doza chukuwa munjuu huo alafu pia si lawama kwasababu ashuuh hayuko karibu😂😂😂😂
Director apewe mauwaa yake🎉🎉😂😂mamamaeeeeeeeee ooe nyote mumeuaaa sema nn kuna mmoja aongezeee bidii mbelenii atakuwa sawa🔥🔥🔥ila big up guys 🤝🤝🤝🤝🤝
Can't wait for the next epsd💯💯💪💪💪
Kwn siya una kwenu waache na jumba Lao wavivu hao
Doza doza doza nmekuita mara ngapi🎉❤❤❤❤❤
Heading to the top guyz iko sawa hiyo
Early❤,love it❤❤let me continue watching
Muko juu ndugu ❤❤Allah Bariq ♥️ 🙏
Amina uko vzr MashaAllah ❤🎉
Leo Mashallah tabarakallah mumefanya vizuri🥳🥳🥳🥰yani hadi goosebumps zimepanda😂😂
Zaya amemwambia Bilal anatak kakacreamu😅😅😅😅😅😅weeeh mi nilikuwa nashangaa n nn😂😂😂😂
Nimekua wa kwanza leo from kenya 😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤
Wafaa zawadi 🤣🤣
@Bigheartfilm-m8r wallah tena kazi nzuri sana 🥰🥰🥰🥰
Daaa Amina nakupenda tu bure,Ashuuu wa theka ama wa smile dear😂😂😂
Bilal kila time uslie mihoi🤣🤣🤣🤣
Ziya na dadake doza nawapendha❤❤
Amina yuko poa. Guys
Sana MashaAllah ❤❤
Nasubria episode 5 paka sasa haijathoka😅😅
Hiyo tha thaa imezidi wanangu😂😂
Ukajuaje niwa mijikenda😂😂😂😂😂
ᶻⁱᵃᵃᵃ ᵈᵃᵐᵃⁿⁱ ʷᵃᵗʰᵃᵏᵃ kikrimu😂😂
Ziyah na bilal wamependezana MashaAllah ❤❤❤
Maskini hamjamfanyia poa zia😢pia yy n binadamu kma nyinyi sijapenda
Doza uwakata watu mastimu 😅
Ziya on top❤❤❤❤ love is blind iko sawa nice job 😢
Twaangalia classic Manina 😂😂😂😂😂
Congrats Wana kazi nzuri walai
😂😂😂 mfanyikazi Yuko sawa kweli
Akii Mashaallah, Great ❤
Amina keep it up dear another ep plzz am waiting
First comment huogopi
Jamn Doza 😢😢😅😅😅😅😅😅😅 congratulations guys imeweza mashaallah mashaallah big up 🎉🎉🎉🎉🎉
Mimi WA changamwe Niko ndani😂
Bilali ziya kakupendeza bwana achana na salma
Cameraman tuchukulie n close short za mmoja mmoja akiongea by the time kw scene wko wengi ndo iletee muonekano mwingine w movie kuvutia zaid....ila congratulations 🎊 m brother
Yani ziyaa haoni pa kueka chakula mpka karibu na doza😂😂😂
Vile inafaa😅😅
Nlidhn nmeona pke yngu😂
Bilal,Amina na Ziya.....muko vizuri sana......big up
Keep it up Jamaaa .......Director ameupiga mwingi Mashaallah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Mbli na acting kuna wenye roho mbya hapo 😅 iko fty big up👏👏
Sijui nini inaendelea lakini mwenye piki piki ndo ako na makosa😂😂
😂😂😂😂yote ni yule mama mboga
😂😂😂😂😂😂
Mumeweza guys❤❤big up
I love doza 😂😂😂😂😂
Ziya imezidii ushambaa😂😂 khaaa😅
Amina big up gal 🥰🥰
Ila doza umeweza lkin uko n haraka 😂kuwa mpole kwanza..pia muongeze time 😊
Wow 👌 mashaa Allah KAZI nzur ,
❤❤❤❤nice one....waiting for the next episode tomorrow.....
Watching frm kitui.
Ukweli mumeweza
Muache kuongea kizungu😂
Iko fity..continue
Guyz you do a good job MashaAllah nawapenda nyote❤
Huyo amina part yake ya mfaaa kbsa asipokonywe ila direct punguzeni mzikii al least
My big fan jamani nawapenda note episode hii mumepita
Wamejaribu but wanataka more practice ❤ 👍✌️✌️ big up
Mashallah 🎉🎉
Mashallh zia anaplay poa role yake but inaliza Leo zia 😢😢😢😢😢
Ziyaaa bilal bomba sana ❤
Nzuri sana
Fantastic scene❤🎉 kept up
Ipo sawa doza
Kidura wasema muna ownership😅
doza oa mfanyi kazi ndio the best
The whole team big up Sana..aluta cintinua
Keep up.guys imeweza 🥰
Kidura wasikia kuchka 😂😂😂
Ziya on top ❤🔝
Mngetoa kila sku tunaipendaa
Ama mbili at once
@sophiasalim3370 kbsa
Naomba like zenu wadau
MashaAllah ziya wajuwa❤❤🎉
Pole kipnz zia
niko huku nasubiri episode 5 bado dakika 3 wadau🤣🤣🤣
I lov it guyzz keep it up❤❤❤❤😢
Ziya on top 🔝❤
Mashallah❤