#LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024
  • Ujumbe: Wokovu
    Andiko: Waefeso 2:8-10
    Pastor: Innocent Mashauri
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

КОМЕНТАРІ • 34

  • @kapamevenas79
    @kapamevenas79 2 місяці тому +2

    Bwana Mungu Leo hii ni me kataha ukawaida katika maisha yangu. Ni sifanane wakawaida.

  • @kapamevenas79
    @kapamevenas79 2 місяці тому

    Ata na mimi niko na endeleya kuona mko wangu Mungu katika maisha yangu. Amen !

  • @DicksonMchapo
    @DicksonMchapo 3 місяці тому +2

    Mimi naitwa DICKSON kutoka mtwara nakufatilia sana kwakweli ukweli nazidi kuona mabadiliki makubwa sana katoka roh yangu Asante sana brother innocent MUNGU akubaliki

  • @fourgmobile1969
    @fourgmobile1969 3 місяці тому

    Ameeeen Ameeeen mtumishi,,Asante NASHUKURU SAANA kwa neno na funzo nzuri sana naomba MUNGU anionyeze kweli mwenyewe,sitaweza,Mungu nitumie nifungulie ndito ambao nimekua nikisiota Ee MUNGU WANGU NIURUMIE NIRUSUKU NIJALIE na familia yangu,kweli mm ndio yule wa kwanza kusema sasa vile tuko hivi kwetu tutainuka aje asante kwa kunitia moyo nameyajua kweli mm ndio naenderea kurudisha familia yangu nyuma kwa yale ninayaongea kwasia haya mafundisho,,, nitakua mwanga kwa familia yetu Ee MUNGU WANGU usiniaje nikumbuke nisiwe wa kawaida ooh YEHOVA nikumbuke usinipite

  • @WarulyaSimeon
    @WarulyaSimeon 3 місяці тому +6

    Niko mbele zako JEHOVA nimejiandaa kwa ajili yako mfalme wa amani ili unapowazuru wengine ,usinipite mwokozi ninakutegemea wewe tu wala sina mwingine .NIOKOE,NIVUSHE,NA UZINGILE KILA KINACHONIGUSA.

  • @shaloom-it4qs
    @shaloom-it4qs 3 місяці тому

    Mungu wangu naomba unitambue wewe tu nisaidie nisiaibishe wokovu wangu

  • @PascasieShamungabo
    @PascasieShamungabo 3 місяці тому +1

    Niko mbele zaka Dwana, najiunga na haya mazabau nahitaji nami unione, nimeibeba picha yako alakini naendelea kuteseka. Unikumbuke Bwana Yesu.

  • @ObedyBazirake
    @ObedyBazirake 3 місяці тому

    Mungu nikumbuke katika hayamaisha ninayoyapitiyakwasasa sinambelewalanyuma wewe bwana ndiyeninayeteGemeya mungu mukewangu namtoto wako kwenye ospitale alizaaila ni mekosa pesaza kuwagombola mungu fanyakitumukewangu atoke

  • @easterfraha5008
    @easterfraha5008 3 місяці тому

    Nsaidie usinipite yesu mwana w mungu nitie nguvu ya maombi 🙏🏽🙏🏽

  • @SecurityPrintersEALtdSpeal
    @SecurityPrintersEALtdSpeal 3 місяці тому

    Mungu anisaidie kwenye kesi ya kiwanja walionidhulumu pesa zangu za kiwanja wanilipe pesa zangu zote

  • @HeriethJoseph-cd8vk
    @HeriethJoseph-cd8vk 3 місяці тому

    Usinipite Jehovah unapodhuru wengine Jehovah unikumbuke....!!!

  • @ObedyBazirake
    @ObedyBazirake 3 місяці тому

    Bwana yesu kristo asifiwe sana

  • @HeriethJoseph-cd8vk
    @HeriethJoseph-cd8vk 3 місяці тому +1

    Ameeeeeeen 🙏

  • @DanielChaula-q6h
    @DanielChaula-q6h 3 місяці тому

    Ameen

  • @Deboraclementgm
    @Deboraclementgm 3 місяці тому

    Amen amen ubarikiwe Sana mtumishi wa mungu

  • @VailetSilvester
    @VailetSilvester 3 місяці тому

    Asante yesu Kwa siku ya loe

  • @WarulyaSimeon
    @WarulyaSimeon 3 місяці тому +1

    Baba MUNGU umuhimu wangu umepotezwa,nimedharaulika ktk kundi na kunyanyaswa sasa baba naomba nihitajike na nikishusha neno limalize yote JEHOVA ,BWANA NAOMBA UKATENGENEZE MWENYEWE NINAKUAMINI WEWE TU,UNISHINDIE JEHOVA,NISIONEKANE WA KAWAIDA.

  • @mariyammariyam-y3u
    @mariyammariyam-y3u 3 місяці тому

    Niko hapa Bwana nihulumie Mimi

  • @MariaKomba-oz1ko
    @MariaKomba-oz1ko 3 місяці тому

    Mchungaji nikiwa siku ya pili ya mfungo nimeota nakimbizwa na ng'ombe nahuyo mnyama anataka kung'ata mwanangu ambaye ananyonya nanikiwa na mama yangu wakiroho yaani msimamizi wa ndoa akiwa akinionyesha kunichukia naomba uniombee Baba

  • @DorothyChilembo
    @DorothyChilembo 3 місяці тому

    Help me God 🙏🙏

  • @shaloom-it4qs
    @shaloom-it4qs 3 місяці тому +1

    Somo hili limenifundisha kitu kikubwa sana watu wengi wana bidii katika ukristo (dini) lakini si katika wokovu ni ajabu na inasikitisha kwamba wakristo wengi hawapendi wala hawataki wokovu

  • @shaloom-it4qs
    @shaloom-it4qs 3 місяці тому

    Christianity without salvation is like exoskeleton

  • @MariaKomba-oz1ko
    @MariaKomba-oz1ko 3 місяці тому

    Mungu ni mwema Mtumishi nimeota siku ya kwanza ya mfungo nikiwa na kaka na mkewe akionyesha ni mjamzito wakati Hana mtoto kateseka sana Leo naota nimjamzito huku tunatembea tuliko elekea nikaona magari yaliyo kuwa mabovu kwenye Kijiji yanatembea yakiwa mazima Naomba unisaidie Maombi mchungaji

  • @Linda-hv9ll
    @Linda-hv9ll 3 місяці тому

    Amen 🙏🙏

  • @JosephinaLeonard
    @JosephinaLeonard 3 місяці тому

    Yes Lord❤Amen

  • @CarenKaoma
    @CarenKaoma 3 місяці тому

    Amina ubarikiwe mtumishi baada ya kutoka kwenye maombi nimeota kama sisi ni wananchi tunaotaka uhuru yakatokea machafuko na Jeshi kubwa la polisi wanatutafuta ila awajafanikiwa kutukamata naomba msahada wa maombi naona kuna roho azitaki kuniachia laminitis mungu ni mwema yuko upande wangu atatenda tu naomba msahada wa maombi from jaiso solomoni

  • @JamilaKusiluka
    @JamilaKusiluka 3 місяці тому

    Mungu nimekua mvivu Sana naomba wepesi Mungu Nina Imani utanitendea

  • @empressmarah9058
    @empressmarah9058 3 місяці тому

    May this month be a fulfilling one.A month of expectations,a month of God's divine guidance and a month that we get closer to God...
    We aint ordinary,i am not ordinary, i refuse to be and never will i be ordinary..
    Thank you Pastor.

  • @sophianelson7986
    @sophianelson7986 2 місяці тому

    Sophia ❤

  • @MariaKomba-oz1ko
    @MariaKomba-oz1ko 3 місяці тому

    Nimeota tena kupitia wanangu wawili wakike hawapo vizuri naomba uniombee juu ya watoto wangu najuu ya mume wangu anaanza tena kutumia vilevi ambavyo aliacha nahata kusali anakua hasali kabisa nakuomba unisaidie kumuombea

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 3 місяці тому

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏😢😢😢

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma 3 місяці тому

    Nakaataa ukawaida nifanye niwe mtu wa matokeo niwe mtu wa msaada

  • @mickeyimma5132
    @mickeyimma5132 3 місяці тому

    Amen

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi 3 місяці тому

    Ameen