Allah Akujalie kila la kheri sheikh Nakupenda kwa ajili ya Allah nakufatilia na Nafaidika sana basi namuomba Allah siku moja nije nikuone ana Ikwa ana.. InshaAllah From kenya work in Qatar
AlhamdulilahMungu akulipe kutokana naukumbusho wako inshaAllah watu wazinduke kutokana ma uovu mkubwa wanaojiingiza. Yarabi tusamehe na usituachie tukawa miongoni mwa waliopotea
Lakini na huyo Mwinyi mnajuwa kuwa nae kudanganya dhulma na kuuwawa watu na tume ya uchafuzi mko kimnya Masheikh hamlisemei hili wazi wazi na ndio kwanza mko kimnya hili vipi sio biashara
Naninyi endeeleeni kufanya bidaa cha moto kitawajia tuuh! Si mnazuwa katika dini ya allah subuhana wataala hamjali mana bidaa inaingia katika maasia hayo hayo mnamuwekea allah na mtume wake vitu asivyoweka, endeeleni na ninyi cha moto kitawajiwa kama marekani😂😂😂
Allah Akujalie kila la kheri sheikh Nakupenda kwa ajili ya Allah nakufatilia na Nafaidika sana basi namuomba Allah siku moja nije nikuone ana Ikwa ana.. InshaAllah From kenya work in Qatar
Inshaallah wote tunataman
Allah azidi kukuweka sheikh tunashukuru kwakuwa mwalimu❤
Allah teketekaza marekan yote aminaaa kasoro watt wazee miskiti na nyumba za wauminiiii❤❤❤❤❤❤❤fireeeeeeeeeeeeeeeeeemarekan amin amina amina
Allah utupe mwisho sote Mwema all Muslim ❤❤ bimana sote hamna Mkamilifu
Allahuma ameeen.🤲💕
AlhamdulilahMungu akulipe kutokana naukumbusho wako inshaAllah watu wazinduke kutokana ma uovu mkubwa wanaojiingiza. Yarabi tusamehe na usituachie tukawa miongoni mwa waliopotea
Nafurai sana marekani kuwaka moto nikusali rakah2 kumshukuru Allah marekani ina kibri bado israeli nae
MBWA wewe!
Allha akujalie umri mrefu inshaallha
Shekhe wangu mpendwaaa❤❤❤❤❤❤❤ALLAH AKUHIFADHI
Jaazakallah kheiry shekhe
MashaAllah ❤ Allah akujaalie ghumri wenye kheri na mwisho mwema Inshaallah
مشأالله يجب علينا ان نشكر الله
Jazakallahu khairan.
Nakuombea kheri na barka na afia nzuri
Allah akupe umri mrefu na afya ili tuendelee kufaidika na mawaidha yako.Na muomba allah atuingize ktk pepo sote.
Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri shekhe.
Allah akulipe sheikh na akuweke kwenye pepo yako ishaallah
Kweli wakati wa wazazi wetu maisha yalikuwa tofauti na sasa hivi
Allah akupe maisha marefu
Mashallha❤
Allah akujalie kila la kheri
MashaAllah, Allah akulipe kheir
جزاک اللّٰه
Mwenyezimungu akulinde
Allah akuniifadhie cheikh wangu
Amiiiiiin amiiiiiin inshaallah ❤❤
Jazaakallahu khayran Sheikh
Mungu akopeumrim
❤❤❤😂 nakupenda sana kwa uwezo wa Allah
Lakini na huyo Mwinyi mnajuwa kuwa nae kudanganya dhulma na kuuwawa watu na tume ya uchafuzi mko kimnya Masheikh hamlisemei hili wazi wazi na ndio kwanza mko kimnya hili vipi sio biashara
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
وعليكم السلام ورحمة الله وبركاته
Mashaallah tabaarakallah,asiyemuelewa shekh Othman atakuwa mpungufu wa akili,wewe uliyekaliya bidaa huna ujualo bidaa kanzu yako fupi
Acha waraanike wamekufuru sana
🥺🥺🤲🏾
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉
Na CCM waache Dhulma, nashangaa kila mtu anakimbilia dhulma hasa katika chaguzi
Mimi ni mtu wa Sunna salafi ila Shekh Othman Maalim unanifunza vingi sana
Shekhe ata Tanzania sasaiv kuna ushoga mwingi sana kama ulaya tu nawao siku watachomwa hipo siku kina wasaidia kuna mashekhe kama nyie Shekhe
Naninyi endeeleeni kufanya bidaa cha moto kitawajia tuuh! Si mnazuwa katika dini ya allah subuhana wataala hamjali mana bidaa inaingia katika maasia hayo hayo mnamuwekea allah na mtume wake vitu asivyoweka, endeeleni na ninyi cha moto kitawajiwa kama marekani😂😂😂
Unaongea pumba Gani ?
@YaziduIddy-j2t habari ndo hiyooo
@@AbdulIssa-o7e hujitambui wee
@YaziduIddy-j2t wew unajitambua?
@@AbdulIssa-o7e Sasa hapo ndo umesema nini
ww.unasem.bidaa.basi.hat.syidin.omari.walifanya.bidaa.waropok.tu.kweny.koment
Shekh Allah akujaliie umri
Na CCM waache Dhulma, nashangaa kila mtu anakimbilia dhulma hasa katika chaguzi