Ni kweli hamjakosea n shida mm mwenyewe nlikosewa mwaka wa kuzaliwa kila nkienda waniambia hawawez kubdilisha mpk hii leo tn sina vya kufnya n km kuna namn y kurekebisha tutarekebisha
Asante sana mkuu mimi nimmojawapo aliyekosa namba ya nida nilijaza fomu mara tatu lakini mpaka sasa sijaipata kufanikiwa hivyo kwa hili nina imani nitafanikiwa
Nida mnafeli sana kwani ni miaka mitano sasa tangu raia tujiandikishe lkn raia waliopata namba za Nida wachache kuliko ambao hawajapata baadhi ya watumishi wenu wameweka urasimu mwingi ili kutengeneza mianya ya rushwa badala ya kuwasaidia watu kuwapa namba zao
Mmeshindwa kutoa huduma hiii kwa wanchi,kubalini..mmetanguliza rushwa,mnamwomba mtu elf ishirini apate kitambulisho! Rais Shaw tu imejaa,hamna lolote. Mazidi kutesa wananchi. Hiyo online wengine wazee wetu hawaijui.
taarifa hizo mpya ukiangalia ndani zaidi bado sana hazina msaada kwasabu ili uingie kwenye njia ya kimtandao ninazima uwe na line ya simu iliyo sajiliwa kwa kutumia namba ya nida jee kwa wale wasio na namba ya nida hatima yao nini hawa walio pata namba za nida ndio watakao endelea na kunufaika je kuna njia nyingine ya kuwasaidia wale wasio kuwa nanamba za nida kwani ndio wengi apa nchin
@@niggachad8137 siyo kweli I don't have Attention Deficit Hyperactive Disorder Hawa watu hata kuwasikiliza ni kichefu chefu. Hyo press conference yote Ina content Gani in reality
Toeni maelekezo namna ya kujisajili. Mseme website ya kujisajili inaitwa hivi ama inaandikwa namna hii.. Porojo nyiiingi lamsingi halijatajwa!!! hovyo kweli kweli
Sijuwi kwa nini sehemu nyingi za serikali Kuna changamoto nyingi hupati kitu na haki Yako lakini lazima usumbuke ili utowe rushwa ndio upate jamani watanzania tubadilike tushukuru tunacho kipata tunasumbuka katika haki saa nyengine unakata tamaa kwa haki yako mama samiya atatizama mangapi mlochaguliwa mumsaidie madudu mengi mungu ibariki tanzania ameen
So mnataka tuanze tena upya au namba za nida tunazo na zipo kwenye system ya mtandao lakini nida card sasa hapo ndio shida hatujapata nimezunguka katika ofsini zenu hadi kuchoka
Mnabadilisha badilisha mchakato kila kukicha mtengeneze mianya ya rushwa na wizi. Iwenye Mimi niliyejisajili mwezi Desemba, 2018 hadi Leo sijapata kitambulisho halafu mnakujja na story za usajili wa online? Taasisi nyingine ni mapango ya ufujaji wa fedha za serikali tu!
Nida Bado hamkuweza kasajili laini au kutoa huduma Kwa jamii acheni maneno ya kiingereza kwenye mfumo huo ongeeni kiswahili vinzuri tunateseka sana jamani ikiwezekana mfute mpango wa nida kabisa isiwepo
Mimi siitaki hata kuisikia nida nilipoteza kitambulisho tangu 2016 nikaja kuripoti kwao wakanipa maelezo ya kwenda polis nikaenda kuripoti niliporudi wakaniambia nilipie elfu ishirini hiyo ilikuwa mwaka 2021 tangia mwaka huo mpaka Leo sijapata kitambulisho changu mimi namba minato tatizo kitambulisho vipo wapi?
Kama Kuna mahali Serikali imefeli na kuwadanganya watu ni hapo kwenye NIDA. Usajili siyo kupewa namba, kinachotakiwa ni kupata kile kitambulisho. Tangu Serikali ianzishe mpango wa vitambulisho ni miaka mingi Sana, lakini tujiulize ni asilimia ngapi ya watanzania wamepata vitambulisho?Shida Ipo wapi? Watanzania wangapi Wana uelewa wa maswala ya mitandao? Asilimia kubwa ya WaTZ walk vijijini ambako simu Janja na internet ni Shida, tusidanganyane, imarisheni ofisi zenu za wilaya na watu wapate vitambulisho palepale na siyo kupewa namba.
Lkn mh moaka Sasa tuna miaka 3,tumeshajisajili vitambulisho hakuna nikalenda kwenda mbele, vitambulisho vya kura fasta, Lkn sijui nida Kuna tatizo Gani?
Nakama mtu Alisha jiandikisha namba ya nida amepata, ila kitambulisho hajapata kutokana na majukumu ya kikazi au mengineyo hayupo kwenye mkoa alio jiandikisha Je mtu huyu mnamsaidiaje? Au hadi afuate mkoa alio jiandikisha?
Tatizo lingine upatikanaji wa hivyo vitambulisho proses ni nyingi sana wengi tuna namba tu na hatuna vitambulisho, kwani hakuna uwezekano wa kutoka vitambulisho hivyo kama ilivyokua vya kupiga kula? Badilisheni utaratibu wazee muda ni mali!
Big up! Mfumo huu wa online utakuwa mzuri sana,hongera sana
Tunashukur sana.kwa kuturahisisha maana sie wengine tupo inje ya Tz na vitambulisho vya uraia hatna 🙏
Umeonaeee
Shukurni sana kwa ss tuliopo nje na huduma hii ya online itakuwa vizuri
Ni kweli hamjakosea n shida mm mwenyewe nlikosewa mwaka wa kuzaliwa kila nkienda waniambia hawawez kubdilisha mpk hii leo tn sina vya kufnya n km kuna namn y kurekebisha tutarekebisha
🤝🤝🤝 Safi San tunashukulu kwa kutulahisishia
Kwa heshima kabisa nawajulisha ndugu zangu wa NIDA kuwa hakuna lolote la maana mlilotuambia hapa. Jipangeni mjifunze kutoa taarifa kwa umma!!!?
Asante sana mkuu mimi nimmojawapo aliyekosa namba ya nida nilijaza fomu mara tatu lakini mpaka sasa sijaipata kufanikiwa hivyo kwa hili nina imani nitafanikiwa
Vitamburisho mpka leo ,,,daaa
Tangia tujiandikishe huu ndo mwaka watatu hamtuletei vitamburisho au mnataka tutoe rushwa ndo mlete nakipindi tunajiandikisha wasimamizi mrikua mnatuomba hela ngoja tuone kama vyampiga kura mtakuja mtuombe rushwa mnapenda rushwa mbona hamtajiriki shida ziko pele pale
Naomba KUFAHAMU wageni hawawezi kuingia kwenye mfumo huo ?
Kwanini msiweke mitambo hapohapo mtu akijiandikisha ndani ya wiki iwetayali nyinyi nida igeni mfano wa idara ya uhamiaji wanafanya vizuri sana
Nida mnafeli sana kwani ni miaka mitano sasa tangu raia tujiandikishe lkn raia waliopata namba za Nida wachache kuliko ambao hawajapata baadhi ya watumishi wenu wameweka urasimu mwingi ili kutengeneza mianya ya rushwa badala ya kuwasaidia watu kuwapa namba zao
Naomba fomu ya NiDa
Kwenye powt
Mm ninaomba niwasiliane nanyie moj Kwa moja
Tatizo la kwanza mpaka sasa hivi Kuna watu wana no lakini kitambulisho mpaka hii leo hakuna
Jiongezee ndugu utachina
wengi tunaombwa rushwa jamannnnnnn
Ktk sekta ambayo haijui ifanyeji ipo ipo ni NIDa
Vitambulisho ni kitu endelevu , siyo kitu cha Mara moja.
Mnasumbua. Mnaanzisha mifumo halafu ukiingia unasumbua watu.
Visomi vya bongo bwana vinapenda uongo uongo tu tena hivi vinavyopenda kuvaa miwani ni hatar sana kione
Mmeshindwa kutoa huduma hiii kwa wanchi,kubalini..mmetanguliza rushwa,mnamwomba mtu elf ishirini apate kitambulisho! Rais Shaw tu imejaa,hamna lolote. Mazidi kutesa wananchi. Hiyo online wengine wazee wetu hawaijui.
taarifa hizo mpya ukiangalia ndani zaidi bado sana hazina msaada kwasabu ili uingie kwenye njia ya kimtandao ninazima uwe na line ya simu iliyo sajiliwa kwa kutumia namba ya nida jee kwa wale wasio na namba ya nida hatima yao nini hawa walio pata namba za nida ndio watakao endelea na kunufaika je kuna njia nyingine ya kuwasaidia wale wasio kuwa nanamba za nida kwani ndio wengi apa nchin
Msaada jinsi ya kupata namb ya nida ni elekezi kitambulisho me kipo ofisi ya mtendaji me nipo Kenya nilikatia kigoma
Mimi jina langu Daniel Mkulat kafuna tarehe 2/2/1974 naishi kijiji cha mabalanga kata ya mabalanga tarafa ya mswaki wilaya ya kilindi mkoa wa Tanga
Thanks
Maneno mengi! Be short and precise!
Unauma ADHD wewe
@@niggachad8137 siyo kweli I don't have Attention Deficit Hyperactive Disorder Hawa watu hata kuwasikiliza ni kichefu chefu. Hyo press conference yote Ina content Gani in reality
Ahsanteni sana
Thanks for creativity
Tatizo ukienda kufuata kitambulisho unazungushwa makusudi Ili uwape pesa
Hizo form zina patikanaje
Mnasumbuwa sana wananchi
Rushwa sanaaa sijui ulilijua hili , ulikuwa usumbufu kumbe unajua
Pia na grama pia ya kufika wilayani kwamfano kutoka tarafa ya ngorongoro mbaka wilayani ni 100000
Tumekuwa tunapoteza muda mwingi bila mafanikio kwani ukifika unaambiwa urudi yaani tumekuwa tunahangaika bila mafanikio
Toeni maelekezo namna ya kujisajili. Mseme website ya kujisajili inaitwa hivi ama inaandikwa namna hii.. Porojo nyiiingi lamsingi halijatajwa!!! hovyo kweli kweli
Mmm yaan keep ukweli mm sjawaelewa maana hamja twambia tunafanyaje Ili kuweza kijaza kupitia online
Tanzania kila kitu ni dili leo miaka migapi hatujapa vitamburisho
Mimi najiuliza , mbona vitambulisho vinavyowanufaisha wanasiasa vinakuwa rahisi sana kupata
Maelezo nimarefu Sana tuelewe , Changa Moto tunajua
Habari za majukumu watendaji NIDA
Sisi ambao vitambulisho vyetu hatujaviona ama majina katika orodha mtatuletea lini!?
Wanachelewesha vitambulisho miaka miwili tunasubiri vitambulisho😢😢😢
Naomba kujua ikiwa Jina langu limekosewa nafuata utaratibu Gani ili jina langu lisomeke vizuri
Hamna kitu nyinyi vitsmbulisho toka tulivo sajiliwa migamboo wale
Muige wenzunu kama wakenya vile wanafanya kiurahisi sana kupata kitambulisho wiki mbili ushakuwa nacho
Pamoja na hayo yote vitambulisho vyenyewe hakuna toka mmeanza zoezi hill.
Material hakuna
Jifunze kuongea kwa mantiki.
Unakera sana.
Natamani kujua, naweza kusaidiwaje ikiwa taarifa zangu za nida zilikosewa, na nikapata namba ya nida yenye makosa?
Mimi si husikin Unaweza Wewe nenda ulipojiandikishia na Kina Garma Kama 20/30 Labda kama wamezitoa
Mkuu, tuliojisajili kipindi kile Cha vurugu na kuishia kupewa namba, "Je ? Vitambulisho tutavipata lini ??? Kwa sababu ni miaka Mingi imepita.
nenda kwenye kusudio unaonea hadi bando linaisha kabla sijapata cha muhimu
MAZUNGUMZO YENU NI MENGI SANA KIASI KWAMBA MPAKA MNAMALIZS HAMJA TUELEZE HUO MFUMO UTAENDESHWA VIPI?!
Sijuwi kwa nini sehemu nyingi za serikali Kuna changamoto nyingi hupati kitu na haki Yako lakini lazima usumbuke ili utowe rushwa ndio upate jamani watanzania tubadilike tushukuru tunacho kipata tunasumbuka katika haki saa nyengine unakata tamaa kwa haki yako mama samiya atatizama mangapi mlochaguliwa mumsaidie madudu mengi mungu ibariki tanzania ameen
So mnataka tuanze tena upya au namba za nida tunazo na zipo kwenye system ya mtandao lakini nida card sasa hapo ndio shida hatujapata nimezunguka katika ofsini zenu hadi kuchoka
Mi nimejiandikisha toka 2019 mpaka leo nafatilia tu holaaa
Mimi nimejiandisha..IlA kira nikienda nambiwa kesho kesho
Nielekeze namna ya kupata namba ya nida
Mtajuaje kuwa anayeomba kwa njia ya mtandao ni Mtanzania halisi?Maana vitambulisho kwa njia hii nadhani hata wachina watakuwa navyo.
Mnabadilisha badilisha mchakato kila kukicha mtengeneze mianya ya rushwa na wizi. Iwenye Mimi niliyejisajili mwezi Desemba, 2018 hadi Leo sijapata kitambulisho halafu mnakujja na story za usajili wa online? Taasisi nyingine ni mapango ya ufujaji wa fedha za serikali tu!
Mmmmh hakika mtakuwa mmetusaidia maana nimeangaika na sijapata no.ya nida hadi leo mara naambiwa taarifa sio sahihi
Kwanini usiende moja kwa moja kwenye mada toa maelekezo sio kuongea
Nida Bado hamkuweza kasajili laini au kutoa huduma Kwa jamii acheni maneno ya kiingereza kwenye mfumo huo ongeeni kiswahili vinzuri tunateseka sana jamani ikiwezekana mfute mpango wa nida kabisa isiwepo
Kwani nida ndio wanasajiri laini
sjaelewa kitu mimi snanida naitaji nida nafanyaje kujisajili
Mama Mafuru umedamshi balaaa
Tatizo mnaongea Sana nendeni mwenye maada ya msingi
Mambo kama matatu uliyozungumza zinafanana , hujasema change moto za mahimu sana , kunatatizo kwa wahudumu wenu sana ,wanakaulimbovu
Maneno mengi ndiyo maana mmefeli kwa hili.
Pasport pia mngetumia njia hii
Ipo mbona
Nawezaje kupata form
Vitambulisho story hadi saizi
Sisi ambao tulijisajili miaka sita iliyopita je tutapata lini vitambulisho vyetu? Ijaponamba mmetoa au kazi imewashinda.
Napenda kujua kama taarifa zangu zilikosewa Mwanza nifanyeje Ili ziwe sahihi
Nenda ofis za siasa ni kilimo sema nimekuja kubadilisha jina
Maelezo mengiiiii lakini mpaka mmesahau kilicho wakutanisha hapa, mfumo unafanyaje kazi, namna ya kufanya application??
da maneno ni mengi mpaka lengo utasahau sasa
Kwa mfano leo sabasaba wanakuepo wapi
Mimi siitaki hata kuisikia nida nilipoteza kitambulisho tangu 2016 nikaja kuripoti kwao wakanipa maelezo ya kwenda polis nikaenda kuripoti niliporudi wakaniambia nilipie elfu ishirini hiyo ilikuwa mwaka 2021 tangia mwaka huo mpaka Leo sijapata kitambulisho changu mimi namba minato tatizo kitambulisho vipo wapi?
Tatizo utakuja sikia mtandao unasumbua hapo ndio utaona mauza uza.
Maelezo mengi yasio ya msingi
Kama Kuna mahali Serikali imefeli na kuwadanganya watu ni hapo kwenye NIDA. Usajili siyo kupewa namba, kinachotakiwa ni kupata kile kitambulisho. Tangu Serikali ianzishe mpango wa vitambulisho ni miaka mingi Sana, lakini tujiulize ni asilimia ngapi ya watanzania wamepata vitambulisho?Shida Ipo wapi? Watanzania wangapi Wana uelewa wa maswala ya mitandao? Asilimia kubwa ya WaTZ walk vijijini ambako simu Janja na internet ni Shida, tusidanganyane, imarisheni ofisi zenu za wilaya na watu wapate vitambulisho palepale na siyo kupewa namba.
Tuelekeze jinsi ya kulisajili online ache maneno mengi
Umeonaeeh maneno mengi
Polisi wamewapiga gape sanaa kwenye loss report ni nusu saa tu na imesainiwa
Je sisi ambao tunasumbuliwa kupata nida jeatakufanya usajili walaini tufanyeje
Lkn mh moaka Sasa tuna miaka 3,tumeshajisajili vitambulisho hakuna nikalenda kwenda mbele, vitambulisho vya kura fasta, Lkn sijui nida Kuna tatizo Gani?
Lakini vinavyomhusu raia vinasumbua sana, mfano kitambulisho cha kura si tulikipata siku moja tu, why this miaka kibao horaa
Maelezo mengi lkn watu wanahitaji kufahamu wanasajili vipi?
sasa unafanyaje mbona maneno tu kuna fail au twende google
Ebu naomba mnisaidie leng'oto ngobuku mbombwe
wafanyakaz wenu wanalinga mno mpaka nimeamua nikae bila namba zenu za uraia mje mnipeleke burundi
Kwani walio nakazi nyingi zaidi siyo RITA? Hata hao wanaform nyingi.
Sasa sisi tuliokwisha haza Miaka mingi na tulikwisha jaza mtatusaidieaje,
Tatzo saizi nyinyi ubabaishaji mwingi sana,,
Da afadhali
Upuuzi mtupu,
Nakama mtu Alisha jiandikisha namba ya nida amepata, ila kitambulisho hajapata kutokana na majukumu ya kikazi au mengineyo hayupo kwenye mkoa alio jiandikisha Je mtu huyu mnamsaidiaje? Au hadi afuate mkoa alio jiandikisha?
Porojo nyingi
Story njingii maneno yanajirudiarudia , aeleze mfumo ulivyo story Ina maliza bando
Katika watu mnaotakiwa kutumbuliwa wakwanza kabisa ni NIDA
Kabisaaa toka enzi za magu
Maelezo yasiyo lazima, siasa tupu hizo
Baada ya kusajili inakaa mda gani upate hiyo namba
Yani bule kabisa sasa nini mlicho kiongea
Hata sisi pia tunapoteza nauli bule na hatupati chochote nyie ni wasumbufu tu
MIMI MWAKA WA TANO HUU SIJAPATA KITAMBULISHO CHANGU NINA NAMBA TU YA NIDA,NAOMBA KUPEWA KITAMBULISHO CHANGU.
Fatilia
Unaongea sana unatumarizia bando
Nilijua niko peke yngu