Leo Tunaruka na DOMO ZEGE Steve mweusi. Aujuwi kutongoza et. Bro. Kwa wale wanao penda COMEDY NZURI KUTOKA KWA STEVEN MWEUSI AND NDARO MJESHI KIKOFIA BASI GONGA LIKE HAPA TWENDE MBELE DAIMA NYUMA MWIKO. Leo sijachelewa kabisa kwaiyo nyinyi wote pitiyeni hapa kwangu. team DOMO ZEGE 😅😅😅😅❤❤❤❤❤
Kama Bado tunapumuwa, tusikose collabo ya Afande ndaro na Stivo mcizi. Hhhhhhhhhhhhh ila tuanawapenda sana ni Alexis from Rwanda wallah mtalipa ribs za watu
Mwambie nyota njema uonekana asubuhi mapema jamani aache zake dharau ❤❤❤
Nawatambua sana vichaa wangu from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Leo Tunaruka na DOMO ZEGE Steve mweusi. Aujuwi kutongoza et. Bro. Kwa wale wanao penda COMEDY NZURI KUTOKA KWA STEVEN MWEUSI AND NDARO MJESHI KIKOFIA BASI GONGA LIKE HAPA TWENDE MBELE DAIMA NYUMA MWIKO. Leo sijachelewa kabisa kwaiyo nyinyi wote pitiyeni hapa kwangu. team DOMO ZEGE 😅😅😅😅❤❤❤❤❤
Guys geuzeni basi maandishi!!! Tuko 2024 please ❤🇨🇩
Sawa ni ndogo baba yako anayo 😂😂😂😂😂😂kana umeona weka🔥🔥🔥
Leo steve umekua na akili sana kupita siku zote😅😅😅😅
Love steve nd ndaro good work❤️💯
Jamani me napenda sana kuwaona Steve na ndaro wakiigiza pamoja
Hapa kwa biashara stive anamuonya kakake anaonekan ako n akili kiasi 😂😂😂😂😂 nawakubali xn nko kenya naejoy kuwaangalia 2
Eti kutuloga utuloge nabado unatukoromea😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
duka limejaa mipasho 😁
Steve sisi watajili hutaki demu wako akuone unauza maji 🤣🤣🤣🔥🔥hio noma ..... Ndikikaaa
PPP
Kuturoga uturoge na bado unatuwekea mikwaraa kitu gani kiparaa😂😂😂😂😂
Oy nambie
@@Charleskomanya shwar
Leo mm wa kwanza tokea Kenya wapi zangu likes ❤❤❤❤❤ Steve family ❤❤❤❤❤
🇰🇪❤️❤️
❤🇰🇪
Si igeuke nawe!
@@JaphethKinanga ndio hyo sasa
Ausioooo
Steve swali Moja tu pekee!Loveness Yuko wap?????siku nyingi without seeing her akicheza!Nini ilitokea ndugu yangu?I miss her
Yuko collage loveless
I knew it .. lazima Hamadi Kijicho kutoka mkulanga angewapo😂😂
Jamani mungu awape maisha marefu❤❤❤❤
Daro na steven wote mlishapatana madishi yenu yameshayumbaaaa
oya steve, fanya tumwone amadi kijicho asee😂😂
Kabisa😂
labda ufike mkulanga bro😅
seluma Kampala uganda thank you nawapenda Sana, 👍💐
Kazinzuri Mr steven and Ndaro. 👍👍👍
Leo mm ndo wakwanza... Weka like hapa❤
Kazi yangu ilikuwa kusoma mabango waliyojaza kuliko biashara
Ufuta akaufuta wote😂😂😂😂
😂😂😂
Ndaro na stevu
Ndaro muuzie huyo kijana kinga bhana 😂
😂😂😂 yaani hata kuchaguwa Steve hajuwi😂😂😂😂❤❤❤❤
Sharaut kwa amadi kijicho, Steve anamkubali sana😅
Mapenzi unapenda kuogaaa aaaaaaaaaaaahaaaa😂😂😂😂😂😂
😂😂😂wanetu Big up sana ,tunaomba part 2
Stive na Hamadi kijicho na mkuranga😅😅🙌🙌
Mr fire 🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Wakwanza leo😂
Vishenyangu ndaro unaongea kinyumbani sana😂😂😂😂
Stevu mkali god bless your workers nduguzangu.ebu naomba ma like jama😅😅
Happy valentine to all God’s people❤❤❤❤❤ i love you all …like here if you love me too ,Gods peoples❤❤❤
Kenya we are watching
Vizur kwli🎉🎉
Nakubar San ❤❤❤❤
Et ndiki, ndikika. Ase kitambo sana mmenikumbusha 😅
Nawapenda kinoma ndaro na stivu
Kutuchekesha tyu ila kuoga ahaaaaa😂😂😂
Nakubali banana bigap san
Ila ufuta wote kaufuta 😂😂😂😂😂😂😂
Mmefilisika creativity kweli😅😅
😂😂more love from kenya
Like zanguuu joomon mm wa kwanza
😅😅😅Steve and ndaro duuuuuuh i like you true kbx
😂😂😂😂eti anawaroga mwewatu mweye yani sijawai kufwatiliya vitu vyenu nikose kuceka😂😂
Ilo shati sasa 😂
Wape hela yaooo😂😂😂😂😂
#Steve_Mweusi family ❤❤❤❤❤
😂😂😂😂😂😂😂 aki nyinyi Muna vituko sana amuna nyota ya biashara jamani
Mwemba uyo Steve sasa🎉🎉🎉
Ati leo hatutaki kuuza nenda ukanunue kwa braza😂😂😂😂...story za jaba mweusi family🎉🎉🎉
Watching from Nairobi city🥰🥰🥰
😂😂😂😂😂 wewe ndaro mumenitoa stress
We toka haha una ulizia kondomu SAA hii😂😂Mapenzi TU kuoga😂😂
😂😂😂😂😂 jamaa hatar sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ndalo n stivu mungu anawaona😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂et umetumwa
😂😂kutokuuza ni kurogwa
Sawa ni ndogo baba Ako anaye kama umeiona gong like😂😂😂😂😂
Steve na ndalo jaman nawapenda sanaaa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ very good
Ameweza mweusi
Mnasifika Kenya 😂
Miami naitwa seluma niko Kampala aseti Sana nawapenda👍👍
❤❤ jamn mko vzr stive na daro
Uwiiiiiii ndaro minaludy😅😅😅😅😅😅😅😅😅 hahahahaha
Jamani wanaume wamevaa vizuri tu wanawake wako uche ndio nini vaeni vizuri jamani mungu hapendi hivo😢😢
Dada kidawa izo nywele azijakupendeza
Eti usinipumulie 😅😅😅😅😅
Amewatia jini lama yele😂😂
Mbona duka lenu mmeliweka darasani? MADRASA... Ama wateja wenu wanachuo? Yaani watoto wanaosoma MADRASA 🤣🤣🤣🤣
AM-J GUNDI FROM USA 🇺🇸
Kivishanyanku ni nini Ndaro😂😂😂😂
Mamae 😂😂😂 7:17 hadi 7:28
Nawakubali kinyamanyama Steve na ndaro
Kila la kheri Steve na ndaro mungu awanyooshee
watching from malawi 🇲🇼🇲🇼
Happy valentine day ❤️❤ Stevu and Ndaro
Vifo essss
Poleni Kwa kuchelewesha like yangu Steve nakuamini kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kama Bado tunapumuwa, tusikose collabo ya Afande ndaro na Stivo mcizi. Hhhhhhhhhhhhh ila tuanawapenda sana ni Alexis from Rwanda wallah mtalipa ribs za watu
Mtaniua nakicheko mm😅😅😅😅😅 uwiiii
siku hizi mnachelewa sana kutoa clip🤣🤣🤣
❤❤❤❤ stive sana
Yani Steven na ndaro😂😂❤❤
Hata Bill gate alianza kama nyinyi😅😅😅
Kuoga aaa😂😂
😂😂😂😂😂😂
Bring amad kijicho
😂😂😂😂ndaro na steve
Steve and ndaro 🎉🎉🎉❤🎉❤
Nimemiss saut ya Loveness jaman
Yupo chuo yule
Ndaro😅😅et Kwa mkonon gani
Wewe sveve wewe 😅😅😅
Ufuta wote aliufuta🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Happy new year ❤❤❤❤❤❤
Hahahaha et hata bakharesa Alianza kama sisi
Toka kw mkon gan😂😂😂
Nawa kubali sana