USTADH MUHSIN BUTE || UKIWA WAHABI MOLA HUKUNYIMA MAMBO HAYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 49

  • @AbubakariShamiri
    @AbubakariShamiri Місяць тому

    Jazakallahu alhabib

  • @FahdIbnyussuf
    @FahdIbnyussuf Місяць тому

    MAKHURAAFY

  • @Alakhyasirabuammar
    @Alakhyasirabuammar Місяць тому

    ALHAMDULILLAH ALAA NEEMATUL ISLAAM WA SUNNAH. OLE WENU NYIE MAKHURAFI

  • @halidijuma1884
    @halidijuma1884 Місяць тому +2

    Asante SHEIKH KUTUFUNGUWA FIKRA MAASHAALLAH

  • @alwiyiynmission2820
    @alwiyiynmission2820 Місяць тому +3

    Kumbe Mnasikiliza!?
    NYINYI mumekatazwa Musisikilize MASHEIKH wetu....mbona Munakosea !?

    • @HemedSerious
      @HemedSerious Місяць тому

      Umeongea point mkuu, eanawasaliti viongozi wao, lkn ata hao viongozi wao Wanayo tabia ya kugeuka geuka kama wao, yupo mmoja mmoja alikua anapiga vita taasisi akisema kwenye dini hakuna taasisi, na mtume Muhammad wala maswahaba hawakua na mataasisi, lkn mwisho wa siku huyo huyo mda huu ana taasisi mbili , kumbe njaa ilikua inamsumbua

  • @Faudallaz
    @Faudallaz Місяць тому

    Shukran Jazillah Al-Habiib

  • @yussufrashid4882
    @yussufrashid4882 Місяць тому

    Dad's😢

  • @mashtv5103
    @mashtv5103 Місяць тому +1

    Hio ya pili ungesema wahabi wanekosa radhi za wazee wao.ndio sahihi.

  • @TaufiqMeneja
    @TaufiqMeneja Місяць тому +3

    Walahy wabilahy wewe ungekuwa mwanafunzi wangu hizo fimbo ningekutandika kwa kuniabisha kwa hayo maneno unayo ongea........ Twarika wenzako wenyewe wanakushangaa waongea nini

    • @Muhidinimngazija
      @Muhidinimngazija Місяць тому

      umefilisika akhy, hakika umechelewa saaana hata sijui uko katika jagwa gani,?

    • @Muhidinimngazija
      @Muhidinimngazija Місяць тому

      wewe ndio umekosa meengi, hata halaawatal,iimaan umeikosa akhy

  • @rushu1232
    @rushu1232 Місяць тому +1

    Mashaallah Tabaraka waambie watu waelewe.

  • @hamisisalimu6908
    @hamisisalimu6908 Місяць тому +1

    Mashallah, shukran sana sheik wetu, Allah akuongoze

  • @EpcDistributor09
    @EpcDistributor09 Місяць тому +1

    Ukiwa mtu wa bidaa Allah anakua kakunyima mengi 😂

  • @shariffomar8580
    @shariffomar8580 Місяць тому +1

    Wacha uzuka, Kenya mpaka leo wawakumbuka mashujaa day, Kenyatta day, Moi day, Jee na hao walikuwa kundi gani?

    • @Alakhyasirabuammar
      @Alakhyasirabuammar Місяць тому

      @@shariffomar8580 makafiri husherekea mazazi ya Issa Issa aleihi salaam n a makhurafi husherekea mazazi ya mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم . Kisha wao hao makhurafi katika minaqasha baina yao na makhurafi wanawapinga mazazi ya Issa aleihi salaam na wanaidhinisha maulidi. Hakika penye wengi Pana mengi. Makhurafi hawana maana

  • @AbdallahKifundo-t5e
    @AbdallahKifundo-t5e Місяць тому

    Sheikh unadanganya ! Ibn baaz , ibn uthaimin, alban na wengine wengi wanatajwa sana tu

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 Місяць тому

    Wewe nikichaaaa kama vichaa wenginetuu .......... Kwahiyo wewe hapo ushaamchagua mtume tayar!???? Amakweli Wenda wazimu upo aina nyingi bila shaka hiyo nifani yako wa zimu...

  • @alisaid1347
    @alisaid1347 Місяць тому +1

    KUZURU MAKABURI WAISLAMU WENGI WANAZURU MAKABURI, TOFAUTI YETU NA YENU NI KUA NYINYI MNAPIGA NGOMA KULE MAKABURINI MUKATAWASSALI NA WAO, SISI HATUPIGI MATWARI MAKABURINI, SASA NYINYI MKO TOFAUTI NA MAFUNZO YA MTUME NA MASWAHABA YAKE

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 Місяць тому +1

      alisaid1347 kasome sana tena sana bado uko nyuma mwanzo kuna tafauti ya Ngoma na Twari, Ngoma kwa kiarabu yaitwa رقص na Twari laitwa الدف kwa sisi hatupigi Ngoma twapiga Twari, Mtume SAW alipigiwa Twari sasa wewe tupe wapi imekatazwa kupigwa Twari,Pili hujajuwa maana ya Kutawassal, Nabii Yusuf alitawasal kwa KANZU kwani Nabii Yusuf alishindwa kumuomba Mwenye Ezi Mungu moja kwa moja amponyeze babake upofu lkni Alitawasal na KANZU, wewe mwenyewe watu wanao kwenda Hajji na Umbra mbona wawaambia usitusahau kwa Dua kwa nini usijiombe mwenyewe moja kwa moja kwa Mwenye Ezi Mungu? Kasome wewe ushapotezwa na mashekhe zako na saa hii hao mashekhe zako wachapana na kulimana wao kwa wao

    • @rashidikibuna8575
      @rashidikibuna8575 Місяць тому +1

      Kama unasoma endelea kusoma.ndugu yangu maana upo nyuma sana kielimu.

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 Місяць тому

      @@rashidikibuna8575 kusoma hakuna mwisho tena hususa Elimu ya Dini hata Manabii kule kuteremshiwa Wahyi pia ni Elimu wanasoma قَالَ لَهُ مُوسَى هَلْ أَتَّبِعُكَ عَلَى أَن تُعَلِّمَنِ مِمَّا عُلِّمْتَ رُشْدًا huyu ni Nabii Musa A.S alikubali kufundishwa na wingi wa Elimu yote alanayo, na kusoma sio ghiyari ukaona umejua Aya Mbili Tatu ndio ukadhani basi kusoma ni Lazima na ni Faradhi kusoma kukosa kufanya hivi umekhalifu Quran na Hadithi za Mtume SAW kwenye Quran twaambiwa ٱقۡرَأۡ na Hadithi طلبُ العِلمِ فريضةٌ على كلِّ مسلمٍ

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 Місяць тому

      @@rashidikibuna8575 kusoma hakuna mwisho hata Manabii kule kuteremshiwa Wahyi pia ni Elimu wanasoma قَالَ لَهٗ مُوْسٰى هَلْ اَتَّبِعُكَ عَلٰۤى اَنْ تُعَلِّمَنِ مِمَّا عُلِّمْتَ رُشْدًا Nabii Musa A.S na Elimu yote alonayo alikubali kufundishwa, kwa hivyo kusoma ni Wajib na ni Faradhi kutofanya hivi umekhalifu Quran na Hadithi za Mtume SAW na kujua Aya Mbili Tatu haijakuwa kusoma ndio basi hususa Elimu ya Dini

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 Місяць тому

      @@rashidikibuna8575 قَالَ لَهٗ مُوْسٰى هَلْ اَتَّبِعُكَ عَلٰۤى اَنْ تُعَلِّمَنِ مِمَّا عُلِّمْتَ رُشْدًا hata Nabii Musa A.S na Elimu yote alonayo alikubali kufundishwa, kusoma ni Wajib na ni Faradhi kutofanya hivi umekhalifu Quran na Hadithi za Mtume SAW

  • @MohamedMkwepu
    @MohamedMkwepu Місяць тому

    WALLAHI UKIWA KHURAFI NI LAZIMA ALLAH AKUNYIME NURU YA ELIMU SAHIHI WALLAHI HUYU JAMAA NI MJINGA SANA SANA SANAAAAA ASHAJIONA YEYE AWEZA KUZISHEREHESHA HADITHI!!!? AJABU KWELI KWELI MJINGA KWELI KWELI HUYU,, ETI ATOKEA MTU AMPONGEZA HUYU? DUH! WAISLAM NI TATIZO

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 Місяць тому

      @@MohamedMkwepu walonyimwa Nuru ya Elimu ni wale saa hii wako mitandaoni kila siku imekuwa kama musalsal yakuendeleya mashekhe zenu mawahabi wachapana na kulimana wao kwa wao kama Wake wenza kila moja apigania Usalafi au hulioni hilo?

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 Місяць тому

      @@MohamedMkwepu Tena ktk kitu cha ajabu na cha kuchekesha eti na wao kila mmoja anapomraddi mwenzake amrekebisha ktk Ibara ilhali wote jora moja hili ni la kuchekesha sana 🤣🤣🤣

    • @SeifAmour-y3d
      @SeifAmour-y3d Місяць тому

      Hivyo nyinyi hamuwezi kumkosoa mtu mumtukane uislamu Gani huo nyee

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 Місяць тому

      @@SeifAmour-y3d ajabu eti leo mwajua watu katukana wewe hapo umeona matukano?na yale matukano ya mashekhe zenu wa kiwahabi juu ya Mamimbar kuwatukana wanazuoni na kuwakufurisha watu hukuyaona au hayo sio matukano?

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 Місяць тому

      @@SeifAmour-y3d kabla hujasema ya mwenzako mwanzo angalia ya kwako mitandaoni kumejaa matukano na matusi ya mashekhe wa kiwahabi tena kuwatukana wanazuoni

  • @alwiyiynmission2820
    @alwiyiynmission2820 Місяць тому

    Kumbe Mnasikiliza!?
    NYINYI mumekatazwa Musisikilize MASHEIKH wetu....mbona Munakosea !?

  • @alwiyiynmission2820
    @alwiyiynmission2820 Місяць тому

    Kumbe Mnasikiliza!?
    NYINYI mumekatazwa Musisikilize MASHEIKH wetu....mbona Munakosea !?

  • @alwiyiynmission2820
    @alwiyiynmission2820 Місяць тому

    Kumbe Mnasikiliza!?
    NYINYI mumekatazwa Musisikilize MASHEIKH wetu....mbona Munakosea !?