Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afafanua suala la mkataba wa Bandari
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Alichosema Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa namna Bandari ya Dar es Salaam ilivyo muhimu katika uchumi wa nchi na kwanini wameamua kuishawishi na kuikaribisha Kampuni ya DP World ya Dubai ili kuongeza ufanisi wa huduma sambamba na kuwalinda wateja wa nchi jirani zinazoizunguka Tanzania ambao walianza kukimbia na kwenda bandari za nchi jirani.