KIJANA MZALENDO AMKABA TULIA "ALIPASWA KUMWAMBIA M-UKRAIN AFUTE KAULI YAKE/PUTIN KIJANA WA NYERERE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 105

  • @godlivermshesha4483
    @godlivermshesha4483 7 годин тому +1

    😢bTulia Akson Big up !wazungu wajue kuwa hata Watanzania tumesoma na tunazijua taratibu zote Hongera Sana binti !!

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 7 годин тому +1

    Tuna bahati mbaya sana wakati huu kuwa incapables ndio wanapewa nafasi za uongozi. Shame to the entire nation.

  • @EdwardKwiyanga
    @EdwardKwiyanga День тому +2

    Kwa kweli kijana mzalendo unatutengeneza vijana wazalendo tujao na tunakuahidi tutapita kwenye misingi yako

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 2 дні тому +4

    Mgogoro wa inchi na inchi ni tofauti na mgogoro wa ndani Kwa ndani.

  • @CornelThomas-gc8rz
    @CornelThomas-gc8rz 15 годин тому +1

    Sikiliza hapo una katiba kwa nn ? Tunaongozwa na kanuni sindio sasa kwa nn usijibu maswali uliyo ulizwa badala yake unasema wewe mwafrika kwani umeulizwa hillo swali kama ali tumwa na buge hilo ende urusi kwa nn ashushe waafrika tuokane zaifu mzee ajibu hoja utaeleweka

  • @elianaarsen9942
    @elianaarsen9942 2 дні тому +3

    Huyu nae hajielewi

  • @sundaysichilima8930
    @sundaysichilima8930 2 дні тому +1

    Tulia ame tuheshimisha Africa hongera mama ❤🎉❤🎉

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 дні тому

      Ameheshimisha nini wakati alishinda Kwa kura za mbeleko

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 2 дні тому +1

    Purtin alikuwa akiwafunza wanajeshi wa south Africa kipindi cha ukombozi nchi za south Africa zote alikaa miaka tisa

  • @eleonorashirima1604
    @eleonorashirima1604 День тому +1

    Swala la kumuua hawawezi Kwa sababau yupo makini ndo maana wakati amemaliza tu kuongea Kuna mtu alimpa maji na glasi akapokea akaweka pembeni so tulia yupo makini sana

  • @seifmohammed9167
    @seifmohammed9167 2 дні тому +2

    Ww hujaelewa yale masuali yalikuwa mengi hata mwenyekiti wa bunge alieleza lakini bado masuala yalikuwa yanajirudia alikuwa sawa

  • @HemedMpate
    @HemedMpate День тому +1

    Madamu kafanya jambo bora ile misimamo ya kiume japo wapo wanaume wasingeweza kama alivyofanya madam

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje 2 дні тому +1

    Tulia juuu

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje 2 дні тому +1

    Bwege uyu...na suti yke ya kuazima nenda ukooo😅😅😅😅😅

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 Годину тому

    Acha mambo mengi, hilo swali halikuwa no. 1

  • @mattarmattar3026
    @mattarmattar3026 2 дні тому +3

    Sasa huyu ameeleza Nini amemuunga mkono au amemlaumu Tulia

    • @fredyjeremia7074
      @fredyjeremia7074 День тому

      Mwanzo kaanza kumlaum, kufika katikayi ya MAONGEZI kabadil GIA angan,,duh

    • @madukaj.j.6999
      @madukaj.j.6999 23 години тому

      Huyu jamaa haeleweki. Ameanza kutaka kumkosoa kakosa cha kuongea kaingia kwenye mfereji mwenyewe.

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye День тому

    Waheshimiwa waandishi watanzania wote sisi tuliokuwa wafanyakazi wa iliyokuwa hotel 77 ya Arusha madai yetu hatujalipwa kutoka mwaka 2000 mpaka Leo mwaka 2024 tunaomba watanzania mtuombee serikali ikubali kutulipa madai yetu

  • @AidaniJohnKomba
    @AidaniJohnKomba 23 години тому

    true

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye День тому

    Tusiwe wepesi wakupongeza kilakitu vingine tuvipinge vipi vingi sana hapa Tanzania vinawakandamiza watanzania wa. Hali ya chini kama madai ya waliokuwa wafanyakazi hotel 77 ya Arusha madai hawajalipwa miaka 24 imepita

  • @PakatJames
    @PakatJames День тому

    Huyu jamaa mpumbavu na anajiita mzalendo ni mnafiki. Kenya inakuja vipi kwenye suala aliloulizwa? Kenya ni taifa lililofeli kisiasa. Kabla ya wauliza maswali yale kwa Tulia kulikuwa na maneno kadhaa ya kejeli na dharau ndani yake. Sasa kumsikia mtanzania wa kweli akimkejeli Tulia kwenye majibu yake kwa wabaguzi wale unakaa unashangaa jinsi watanzania tulivo wasaliti wenyewe kwa wenyewe.

  • @abelubamba7409
    @abelubamba7409 Годину тому

    Sasa mbona unatuchanganya,Tulia ni moto wa kuotea mbali

  • @JeremiahKavakule
    @JeremiahKavakule 3 дні тому +2

    Hongela sana Kwa ufafanuzi

  • @MACHAGGECHACHA
    @MACHAGGECHACHA 2 дні тому

    Huyo jamaa anayaona mambo haya kwa akili. Tulia alisimama na kutoa majibu safi kabisa. Wazungu wana kiburi na unafiki sana. Itawachukuwa waafrica miaka mingi sana kuja kuwaelewa hawa mazeruzeru(wazungu).

  • @israelmkaka2807
    @israelmkaka2807 2 дні тому

    Acha Uwongo Wewe😊😊 Putin ni X KGB, yaani KGB AJE KUJIFUNZA HAPA,,,pimbimaji kweli wewe

  • @joshuasitta293
    @joshuasitta293 2 дні тому

    Kila kitu na wakati wake

  • @stellanyamuhogota1832
    @stellanyamuhogota1832 3 дні тому +4

    Bora aliwafokea maan wangempanda kichwani😮

  • @kilogreekachananawatuwasio4054

    MBONA KUWATAJA MAJINA YA HAO VIONGOZI UJUI NA KISWAHILI KINAKUPA TABU WANDISHI HUYU SIO MTU WAKWENDA KUMUOJI MZOBA TU 😂😂😂

  • @abelubamba7409
    @abelubamba7409 Годину тому

    Tumpongeze Tulia

  • @CornelThomas-gc8rz
    @CornelThomas-gc8rz 15 годин тому

    Kwa nn asnnge jibu hoja wewe huoni kwamba amekimbilia uzaifu kusema kwasababu yeye ni mwafrika sasa nikuulize kukimbilia kwenye uzaifu unaona nijibu.

  • @NakembetwaKitundu-tn7xx
    @NakembetwaKitundu-tn7xx День тому

    Nyuu yoko 😂😂😂😂

  • @RichardTito-q8q
    @RichardTito-q8q 3 дні тому +1

    Acha ujinga wewe kwani Alisha wauliza kwani nani aleliempa mandet spika aliepita kwenda kiv ukreini,ww nafara tu unalakusema

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 3 дні тому +2

    Tulia ni wa hovyo mno.Sema watanzania uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo mno
    kila kitu ni kusifu.Spika ni mzururaji tu,kutwa yanatafuta posho.Ukaombe uspika Ipu wakati bunge lako la msingi linadorora,halina meno.amelidhoofisha na kulifanya bunge la serikali.

    • @OmariChanja
      @OmariChanja 2 дні тому

      Wabongo toka lini wakawa na akili waone leo heti wanajifanya kumsifia Tulia ilihali kutwa walikuwa namtukana kwa kulifanya bunge la nchi kuwa la vilaza na machawa wa kusifia kila kitu badala ya kuisimamia serikali si upumbavu huo.

  • @moddy8744
    @moddy8744 2 дні тому

    Weye hujielewi yote kasema na kajieleza uzuri Tulia ameeleza uzuri sana na yote hayo kaelezea uzuri

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele 2 дні тому

    Membe alikuwa sawa

  • @sulaimanabdullah-qp8vs
    @sulaimanabdullah-qp8vs 2 дні тому

    Aliyoyazungumza.spika.wetu.wa.bunge.hakuna.hata.kiongozi..yoyote..hapa.tanzania.mwenye.ujasili.wa.kuyazungumza.maneno.kama.Yale.ukizingatia.viongozi.wa.africa.wote..ni.vibaraka.wa.eropean.dog

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele 2 дні тому

    Alifanya makosa alitakiwa kurudi kwenye Bunge na kusema hawezi kwenda UKRAINE kwa sababu moja mbili tatu then wangemruhusu kuanzia Russia hakufanya hivyo

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 День тому

      Lakini alijieleza kama hakwenda kama yeye personal, alienda na delegate ya IPU, na hao wanaompangia wapi aende na lini

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 23 години тому

    MwanaHalisi mnahoji mtu haeleweki

  • @HassanBabG
    @HassanBabG 2 дні тому

    Msukuma mbona anajichanganya? Kasupport au kacrush sasa??

  • @JosephatMsukuma
    @JosephatMsukuma 3 дні тому

    Ama kweli ukitaka kumuelewa mtu msikilze huyu jamaa kaeleza saaafiii sana huo ndo uzalendo wafute kauli purtin n mwambaaaa!!

  • @MussaNsekela
    @MussaNsekela 2 дні тому

    Alikulia Tanzania mkoa wa Dodoma wilaya ya kongwa na kipindi hicho alikuwa na cheo luten.

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 День тому

    Kumbe huelewi chochote.

  • @Mwamy11
    @Mwamy11 День тому

    Right!!

  • @dannypeter4951
    @dannypeter4951 3 дні тому +1

    Hajawafokea walipaswa kujibiwa hivyo kulingana na namna maswali yao yalivyo

    • @JosephatMsukuma
      @JosephatMsukuma 3 дні тому

      Mtaishia kuponda tu huyu jamaa hajamtukana mtu kasifia akatoa na way nyingne ifutwe kauli ya purtin kuwa na damu

  • @dennislihepa2247
    @dennislihepa2247 3 дні тому +1

    Mbunge ukrain alikuwa sawa kwa kuwa putin amevamia nchi yao na ameuwa watu

    • @HamiduMrisho-ck1ft
      @HamiduMrisho-ck1ft 3 дні тому

      Amevamia bla Sababu Embu fatilia Kwanza ndy uje kuongea

    • @ZakariaYahya-c3n
      @ZakariaYahya-c3n 3 дні тому

      Ww wasema eti Urusi amevamia ukreni bila sababu bc tushakujua kama na ww uchoga kama wazungu

    • @HamiduMrisho-ck1ft
      @HamiduMrisho-ck1ft 3 дні тому +1

      @@ZakariaYahya-c3n nadhan hujanielewa nakwambia ww urusi kavaamia ukreni anasababu zake wamemchokoza kwaiyo lazma wapgwe Na NATO pia natamani awapge nyuklia vta iishe Na ushoga uishe.

    • @OmariChanja
      @OmariChanja 2 дні тому

      ​@@HamiduMrisho-ck1ftkwa unavyojidanganya unafikiri Ni Urusi tu ndo ina hizo bomu za nyuklia upumbavu

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 2 дні тому

    Mnanialibia MB zangu et Putin kakulia apa Tanzania ngojea ni left kwendaaaaaa😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮....

    • @suleimanh1826
      @suleimanh1826 2 дні тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @epimakussiyame5289
    @epimakussiyame5289 2 дні тому

    Huyu jamaaa mungu anamunga mukono tulia ila kichwa cha habar ndo shida yaaan mwandishi kazngua

  • @ZainabuBakari-yb4vj
    @ZainabuBakari-yb4vj 3 дні тому

    Huyo jamaa hana hoja,uwezo wake ni mdogo sana,haiwezi mkosoa tulia kwa hoja Ile ya IPU,labda anatafuta kiki

  • @DicksonMsangi-y6x
    @DicksonMsangi-y6x 2 дні тому

    Wapinzani hawaishi na wajinga hawaishi sizani kama hata anajua anachokiongea hawa ndio wanaojiona kwamba niwalimu

  • @NicodemasMshiko
    @NicodemasMshiko 2 дні тому

    Wewe usijipendekeze tena wewe sio mzalendo

  • @suleimanh1826
    @suleimanh1826 2 дні тому

    Comedian

  • @christophermwansasu5327
    @christophermwansasu5327 3 дні тому

    Acha kumfundisha spika wetu, ungekuwa wewe kwani swali lile lilikuwa na busara, hv yule mbunge hajui taratibu? Ya mpina ajitetee wapi? Alisikilizwa akaagizwa alete evidence badala ya kupeleka ofisu ya bunge aliita waandishi wa habari. Sasa ajitetee kuwa hakuwa na waandishi? Wajifunze protocol wabunge.

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 3 дні тому

    Kwa Usemaji Wa Uyu Asidanganye Angekua Yeye Uyu Asingesema Kitu Zaidi Ya Kutetema Anapiga Domo Lakini Kwenye Ukweli Akuna Kitu Cha Kufanya Supka Anajua Anachofanya Wewe Auna Uzarendo Wowote Unapga Kelele2 Bola Amefoka Mana Wameuliza Kitu Ambacho Wao Wanajua Lakini Kwakua Rangi Alionayo Black Wameuliza Ujinga Sasa Ulitaka Ajibu2 Eti Katumwa Na Umoja Fulani Nibola Amewapa Makavu

  • @HashimuKarata
    @HashimuKarata 2 дні тому

    Hii mpya

  • @RashidShinza
    @RashidShinza 2 дні тому

    Puntin nikama yesu

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 3 дні тому

    Huyu naye hajielewi na hujui kabisa unaloliongea. Na wivu utakuua

  • @MbarukuHabibu-th8ok
    @MbarukuHabibu-th8ok 2 дні тому

    Zaleski akuwepo....😢

  • @abdallahmsham-eb7jz
    @abdallahmsham-eb7jz День тому

    wewe nenda kengee we huna cho kuzungumza pumbavuu

  • @MarokeMaroke-e3n
    @MarokeMaroke-e3n 3 дні тому

    Acha kuchanganya mambo wee mwoga "totologie"unakokota muda wabure tulia hajakosea

  • @MtanganyikaTanganyika
    @MtanganyikaTanganyika 3 дні тому +1

    Kaka makini uyu

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 3 дні тому

    Ukrane ni mateka wa marekani bila kujitambua lazma putin awashughulikie,

  • @mwatimampagama1779
    @mwatimampagama1779 3 дні тому

    Duu!!! Sikuelewi.

  • @MussaMussa-u5f
    @MussaMussa-u5f 2 дні тому

    Naona unajikanyaga tu

  • @wencepshirima676
    @wencepshirima676 3 дні тому

    Halafu ukimsikiliza huyu jamaa, kama anakosoa na kusapot. Anajichanganya tu

    • @JosephatMsukuma
      @JosephatMsukuma 3 дні тому

      Kumuelewa mpaka uangalie na kusikiliza vzr yy hampingi tulia ila kauli ya mzungu kwamba purtin ananuka damu ifutwe

  • @reginas1832
    @reginas1832 2 дні тому

    Akili ya kuteka na kuua

  • @abechaidepho1056
    @abechaidepho1056 2 дні тому

    Uyo hawezi akasema muoga kaongeya akitetemeka

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 2 дні тому

    Tulia Ni mwanasheria amesomea Sheria. Tulia anajitambua. Na ametokea kwenye bunge Bora katika afrika

  • @SaidShabani-s4o
    @SaidShabani-s4o 3 дні тому

    Acha kuabudu wazungu wewe wasifokewe wao Kama nani

  • @ChumHaji
    @ChumHaji 2 дні тому +1

    Nyooooo

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 2 дні тому

    Weni mjinga tu putin ni dictetor wa kijinga

  • @wencepshirima676
    @wencepshirima676 3 дні тому +1

    Huyu ni mmoja ya washangiliaji tu. Akipewa nafasi aliyonayo Tulia kilugha kingeongeleka vizuri😂😂😂. Ujasiri anao kwa sababu yupo na anaemhoji tu. Sio mbele ya bunge kama Tulia aksoni alivyojibu kiufasaha.

    • @OmariChanja
      @OmariChanja 2 дні тому +1

      Wabongo nyie kweli ni mavi kunuka sasa Tulia kuwajibu vile imekubadilishia nn kwenye maisha yko ? Yaani Spika wenu ashindwe kuwatetea wananchi kwenye nchi yenu heti anafokea wazungu mnasifia, kwa lipi hasa kimebadilika kwenu ujinga

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 3 дні тому

    Huna cha uzalendo

  • @mpagazeheramadhan4407
    @mpagazeheramadhan4407 3 дні тому

    Huyu hajielewi

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele 2 дні тому

    Yaani wewe

  • @Kalunirashidi
    @Kalunirashidi 3 дні тому

    wewe ufai kabisaunauzalendo

  • @MATHIASMwasongwe
    @MATHIASMwasongwe 2 дні тому

    Ww Siyo mzalendo

  • @EliudKatamba-qu7fg
    @EliudKatamba-qu7fg 3 дні тому

    Ww huna cha maana cha kuongea

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 3 дні тому +1

    Ww nae unapayuka sana

  • @JacksonMartin-pb2vq
    @JacksonMartin-pb2vq 3 дні тому

    Mbona unatoka nje ya mada mjinga wewe

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 2 дні тому

    Acha kujichanganya.Tulia anawafahamu hao watu.Ameishi nao wana dharau.

  • @SebastianCharleskayanda
    @SebastianCharleskayanda 3 дні тому

    Msukuma msukuma tyu

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 3 дні тому

    Wewe Unapga Domo Ujui Kitu Tulia Kajibu Kwa Ulefu Kwa Umakini Kwakua Swali Walijua Wazi Tulia Yuko Sawa Lakini Waliuliza Kupma Hof Ya Supka Cha Ajabu Walikuta Chuma

    • @JosephatMsukuma
      @JosephatMsukuma 3 дні тому

      Hahaha! Haya bwana uelewa n kitu kigumu sana