Hamorapa alivyompigia Magoti Alikiba Airport

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Watu wengi walijitokeza kumpokea Alikiba alipotua uwanja wa Mwalimu Nyerere Dar es salaam ambapo msanii Hamorapa alijitokeza kuungana na na mashabiki wa Alikiba kumpokea mkali huyo

КОМЕНТАРІ • 381

  • @fafi9092
    @fafi9092 7 років тому +38

    Muachen namaisha yake jaman anaejiona mzur katimia bas akifa ajioshe akajizike

  • @DasMasters
    @DasMasters 7 років тому +16

    Huyu Harmosomething ni mjinga sana!

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 7 років тому +1

    watu wengine bwana wanatia kichefuchefu,unampigia magoti huyo jamaa ya nini sasa!

  • @gongalike3441
    @gongalike3441 7 років тому +8

    Alietaka kufunga kioo mxenge nini, asa si zawadi tu anampa au tisheti ina Mabomu hio?

  • @richardjames8615
    @richardjames8615 7 років тому

    ukihitaji chochote lazima unyenyekee ...kila mtu ka fight namna yake tofauti tofauti....so ..mi s shangai...mwacheni .kwani mafanikio hayaki kwa starehe.....

  • @edwinmotieri2837
    @edwinmotieri2837 7 років тому +6

    I think the dude is living his life and no one should judge'em

  • @eliudjustin5326
    @eliudjustin5326 7 років тому +5

    sasa huuuniuchixi hixikikihaziishi unampigia magoti mwanaume mwenxio hatakwamungu hujawaimpigia magoti

  • @consozawadi1565
    @consozawadi1565 7 років тому +1

    Kiba ni Kama Maji usipo yanywa utayaoga wakuache mfalme wa kariakoooo #Kingkiba

  • @omarymwigula5479
    @omarymwigula5479 7 років тому +3

    Jelly msemwa hujafa hujaumbika usicheke alicho umba mungu ipo cku utajuta na wewe

  • @mwibevascoobedi1814
    @mwibevascoobedi1814 6 років тому

    uyu dogo vp mjinga nini unampigia kiba magoti we vip acha izo ww binadamu mwenzako kumpigoa magoti kisa colabo leo nimekuona mzinga sna ww 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @melphinekatila8861
    @melphinekatila8861 7 років тому +4

    Harmoropa he is not crazy he is having true love to alikiba

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 7 років тому

    Hamorapa Kiki za kifala izo unampigia magoti mtu mnaopumua kw oxygen ya free alafu anakufungia kioo...... rudi shamba ukalime si lazima kila mtu awe msanii

  • @moodyhassany8928
    @moodyhassany8928 7 років тому +9

    kumpigia magoti binadamu mwzako kama mungu ni zambi wew msanii mtafute kisaanii sio kihvyo haise hamorapa kick yako hiyo haise

  • @therealomisa_facts1027
    @therealomisa_facts1027 7 років тому

    wanaosema Hamorapa ni mjinga kumpigia magoti kiba kwani mnafikiri kila kitu kinakuja rahisi tu hiyo ni moha kati ya mihangaiko akitoka mnasema alitoka mbali aliwahi kumpigia magoti kiba

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 7 років тому +3

    yote tisa kumi sioni ubaya yamtu kumpigia mwenzie magoni hiyoni iyariyake amependa na anampenda so mm pia kumpigia mtu magoti kando sioni kitu kikubwaaaaaa kwa raha zake.

  • @andrewmlamba
    @andrewmlamba 7 років тому +3

    Mwenzake PNC alimpigia magoti Ostadh Juma Namusoma mpaka leo amepotea kwa game.Mwanaume kumpigia magoti mwanaume mwenzako na simzazi wako unaomba radhi,hiyo ni LANA KUBWA SANA.

  • @kigambontv9748
    @kigambontv9748 7 років тому +5

    Wtz bhana cc tunachoyo sasa huyo alikua anapsndisha kioo ili iweje yan

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 років тому +1

      Ziliatan Humud anaoga juu wkupigiwa magon n mungu tuu haahaa

    • @abdallahmnandi2608
      @abdallahmnandi2608 7 років тому

      Ziliatan Humud inaelekea aliyepandisha kioo ni yule msela wa seat ya mbele atakua baunsa wake. alaf ni kwa usalama zaidi

  • @juliethandrew3161
    @juliethandrew3161 7 років тому +3

    duuuu? abadili najina ajiite kiba lapa mama tumemchoka ataukijifanya nano kuimba ndio kutakubeba ujui brother bola ukauze maji ubungo

  • @RICHARDCHALAMILA
    @RICHARDCHALAMILA 7 років тому +13

    SEMA HARMORAPA KAMA ANATUMWA......MNAONAJE WADAU?

  • @clarajohnson3956
    @clarajohnson3956 7 років тому +17

    nan kamuona shilole kiuno wa insta.??

    • @ShallzBaro
      @ShallzBaro 7 років тому

      clara johnson haha huyo magula anamkubaki kiba sana

    • @joycejohn7754
      @joycejohn7754 7 років тому

      clara johnson ni yupi shilole kiuno

    • @abdulqassim5389
      @abdulqassim5389 7 років тому +3

      clara johnson nimemuona na inaonekana kaenda kumpokea boss wake anaemfanya atukane watu

    • @clarajohnson3956
      @clarajohnson3956 7 років тому +1

      +joyce john
      angalia 0:40 yule aliye nyuma ya harmorapa akitafuna jojo.

    • @clarajohnson3956
      @clarajohnson3956 7 років тому

      +Shallzbaro YellowPopo
      magula ndio jina lake??

  • @bayanalhubail1210
    @bayanalhubail1210 7 років тому

    Sasa niwaulize wadau wenzangu
    Kuna mtu kweli anaweza kujisifu mimi ni mzuri? ?????
    Na kila binaadam kaumbwa kwa mfano wa Mungu .
    Halafu mimi naona kupiga magoti kwa harmorapa hakuna makosa - (kwa nini ????)
    Yeye kwanza maskini kama mimi
    pili bado mchanga kwenye music
    So si ati amemsujudia laa
    Ila mtafuta riziki lazima anyenyekeee
    Sawa mwenye kutoa riziki ni Mungu
    lakini hutomuona Mungu anakunyoshea mkono akupe riziki
    Think twice before u comment on something .

  • @bayanalhubail1210
    @bayanalhubail1210 7 років тому

    Sasa niwaulize wadau wenzangu
    Kuna mtu kweli anaweza kujisifu mimi ni mzuri? ?????
    Na kila binaadam kaumbwa kwa mfano wa Mungu .
    Halafu mimi naona kupiga magoti kwa harmorapa hakuna makosa - (kwa nini ????)
    Yeye kwanza maskini kama mimi
    pili bado mchanga kwenye music
    So si ati amemsujudia laa
    Ila mtafuta riziki lazima anyenyekeee
    Sawa mwenye kutoa riziki ni Mungu
    lakini hutomuona Mungu anakunyoshea mkono akupe riziki
    Think twice before u comment on something .

  • @mirajitwaha1824
    @mirajitwaha1824 7 років тому

    siomchezoooo!!!!! baada ya kuona WCB hakuingiliki, jamaa anapiga goti kwa kiba,
    sema kilichokupelekaaa sio yukojuuu.

  • @princeuzieri4548
    @princeuzieri4548 6 років тому

    😍🤣😎😃😊😄😁😋😋😚😂😉🤣😂😎😃duh mutapata tabu saaana

  • @tahiyasaidi6532
    @tahiyasaidi6532 7 років тому

    Jelly samweli.......angalia bana hamorapa hakushiriki chcht alipokua akiumbwa so unaposema sura yk mbaya it means aliyeumba ushamtia kasoro kazi yake...hali ya kua sote tunasadikisha kua kazi yake haina makosa.........hayo si maneno ndugu kua makini sn....dunia sio yetu.....

  • @yohanesfelix7534
    @yohanesfelix7534 7 років тому

    kila MTU ana staili take kutoka kimaisha.kila MTU ajitahid kadili awezavyo mafanikio yapo tu.wanaomsema vibaya hamorapa ,siku akitoboa watajishangaa.maisha ni nikihustle kivyovyote vile.

  • @jallymsemwa
    @jallymsemwa 7 років тому +15

    hii sura baba baba 😂😂😂😂😂😂

    • @leezarbennito4143
      @leezarbennito4143 7 років тому

      jmn😂😂😂

    • @pabloaimar5875
      @pabloaimar5875 7 років тому +7

      ndg yng unajisahau xan ,xio manen yakuongea hayo akat u bdo haujafa na bdo unaendlea kuixh ,uxtumie machung yko kutoa kaxoro za mwinzio ,jianglie unafeli mdg wng

    • @markosamuel6490
      @markosamuel6490 7 років тому +5

      Pablo Aimar umeongea kweli aisee hujafa hujaumbika

    • @pabloaimar5875
      @pabloaimar5875 7 років тому +2

      +Marko Samuel kwl broo ,wengn wanaongea 2 kwkua wamepew midom au kixa wa comment 2

    • @janejames1899
      @janejames1899 7 років тому +3

      Marko Samuel
      umeogea kakangu hujafa hujaumbia 👏👏👏

  • @shabanchuma7832
    @shabanchuma7832 7 років тому

    'nakumbuka ile nyimbo kama sijahisahau ni "mapenz pesa" kuna kamjistal kinasema "walisemaga unabonge la domo"
    Sasa nasubir kuona kweli "mapenz pesa?

  • @tuntulusekelo4191
    @tuntulusekelo4191 7 років тому

    kuna kipindi kibabaliwqinkusema wenzakebtuzo wananunua.hopebnaye kanunua safari hii. naona anapita walipopita wenziwee

  • @angelbwija5664
    @angelbwija5664 7 років тому +3

    weye hormorapa mungu tuu njo unaweza pingiya magoti

  • @hassanbakari5607
    @hassanbakari5607 7 років тому

    halafu alikiba hawez kufanya collabo na huyu msenge ....alikiba namuelewa sana yuko makin na selective ktk kufanya kazi xo hawez kufanya kazi na MTU ambaye yupo kwa ajili ya kutaka kiki bila kujituma yy km yy

  • @UlimeA
    @UlimeA 7 років тому

    Huyu dogo ni fala wana hiphop hawapo hvooo hadi magotiii????? Huyu mwanahiphop fekiiii

  • @petermakau7478
    @petermakau7478 7 років тому

    jamani mbona mimi sijaona kitu cha zaidi kwa huyu harmorapa hana panch za hiphop kama madogo wenzie wanaojua PRESS acheni kusaport issue zisizo na maana au mnapiga hela kupitia huyo dogo?

  • @fredrickitala3903
    @fredrickitala3903 7 років тому

    kwa mtazamo wangu harmorapa sio msanii Bali anatumwa kuitangaza campuni ya boss kijanja,fikiria hiyo T-shirt alikiba akiivaa nifaida ya harmo au ya nani? kwanza wanaosema kafanana na Nize wamchunguze vema

  • @jumamichael4083
    @jumamichael4083 7 років тому +2

    Siku diamond nae akitua nchini toka u.s.a atakua na tishirt ya mond die fan huyo hamorapa

  • @mwanumwanu1513
    @mwanumwanu1513 7 років тому

    duu anaforce jina BT hana talent hatakidogo hadi anaboa et ,,,,,,rapa .duuu!!!

  • @zuweenaalzuweena3740
    @zuweenaalzuweena3740 7 років тому

    Amorapa anaingiza pesa mnabaki kubwabwaja yaninyie hamjitambui wallah

  • @bettylozie9038
    @bettylozie9038 7 років тому

    Tukitoka kwa makonda
    mwatuleta kwa Wema
    Mara kwa harmorapa
    Kwanza kaimba nyimbo ipi

  • @chawahirelmymashlalltaabar4949
    @chawahirelmymashlalltaabar4949 7 років тому

    Huyu Jamaa duh I'm sory anampigia magoti binadamu Jamani Aibu ndiye Yule Jamaa alimuuita bad name kkkkkkkkkk

  • @abdelnassergamal5776
    @abdelnassergamal5776 7 років тому +1

    That face is amazing.

  • @hassanbakari5607
    @hassanbakari5607 7 років тому

    uyu msenge anafanya biashara kwa hizi kiki zake ...wacha maneno Fanya muziki dogo

  • @ahmedarbou1689
    @ahmedarbou1689 7 років тому

    ebu cheken mashabiki wanavyomwangilia hamorapa
    uyu jamaa kwa kiki

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 7 років тому

    Huo sasa ujinga zaidi ya ule alioufanyaga pnc unampigia magoti mwanaume mwenzio alafu eti unajiita msanii kajidharaulisha kiboya ila anapoenda huyu ipo cku atakubali kuliwa tigo ilimradi ajulikane tu

  • @rashidmoche8709
    @rashidmoche8709 7 років тому

    yaani ndo maana cmpendagi kiba, anajiona kama mfalme,,anawezaje kumfungia mwenzie vioo

  • @elialihweuli4937
    @elialihweuli4937 6 років тому

    Kiba achadharau usupasta hupanda nakushuka fikilia kunaleo nakesho ivotu

  • @timothysalehe402
    @timothysalehe402 7 років тому

    coz hata walimu nao hupigiwa magoti sembuse kiba the king himself

  • @mustafahassani6750
    @mustafahassani6750 6 років тому

    Harmorapa umetuuzi sana kumfata kiba ungeenda kwa mond kama upo fresh kwamaana unakipaji

  • @ramadhanimponji7701
    @ramadhanimponji7701 7 років тому

    cjampenda staili yake anapiga magot mwenzake anamfungia kioo toka kwa uwezo wako dogo

  • @caroumeahmady6230
    @caroumeahmady6230 7 років тому

    khaaaa una msujudia bnadam mwenzio we #harmorapa unahitjtaj maomb sio bure

  • @nzomukundafatuma5364
    @nzomukundafatuma5364 7 років тому +9

    hamorapa mungu akubariki

  • @ommyharmonizeumetuxhambaba8470
    @ommyharmonizeumetuxhambaba8470 6 років тому

    hamorapa kuma wewe utampigiaje binadamu mwenzako magoti

  • @afrasalum6614
    @afrasalum6614 7 років тому +20

    this guy is just pure madness and I have no clue why media za TZ mnampa so much attention.

    • @godwinjosephat5044
      @godwinjosephat5044 7 років тому +3

      we inakuuma nini dogo kupewa airime au unamlipia mbona jelous, mna roho mbaya kama shetani!

    • @afrasalum6614
      @afrasalum6614 7 років тому +5

      hahahhaaaa shetani hanifikii

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 років тому

      Afra Salum haaahaa

    • @ibrahimabdallah9518
      @ibrahimabdallah9518 7 років тому

      Afra Salum daaah umeona eeeh yan sioni sabab ya kumzingatia hata
      unampigia magoti organism ???

    • @fikilimasudimuyinga6149
      @fikilimasudimuyinga6149 7 років тому

      mambo vpi mzima ww

  • @eliudjustin5326
    @eliudjustin5326 7 років тому

    sikuizi mademu wanaangalia poch sio sura daaa siokwadurahiyooo

  • @jescadaniel5671
    @jescadaniel5671 7 років тому

    kwan kipi kilicho fanyika kibaya mbona kawaida tu 😄😄😄watanzania tunaongea saaaaaaaaaaan jmn tooooo much

  • @godwinjosephat5044
    @godwinjosephat5044 7 років тому

    KUNA BAADHI YA WATU WANA ROHO MBAYA KILA MTU ANA STAILI YAKE YA KUTOKA NA HIYO NDIYO STAILI YA HARMORAPA, ACHENI HIZO BULLSHIT ZENU.

  • @aselakessy8102
    @aselakessy8102 7 років тому

    Mungu ndio WA kupigiwa magoti co kiumbe yoyote

  • @almasijumanne565
    @almasijumanne565 7 років тому

    mpumbavu huyu mtoto yan unampigiya magot binadamu mwenziooooooo.

  • @salumwilfred6845
    @salumwilfred6845 7 років тому

    Homorapa Hana Jipya Mwisho Wa KK Umekarbia

  • @felixmwacha101
    @felixmwacha101 7 років тому

    huo ni utumwa wewe unampigiaje magot mtu anayekwenda choon kama wewe

  • @Blackafrika861
    @Blackafrika861 7 років тому

    😂😂 mbna kuchanganya huku kwajina harmo kwa timu kiba...

  • @OmarAli-wr1ti
    @OmarAli-wr1ti 7 років тому +29

    Uyu Dogo tena too much unampigia magoti Binadamu mwenzio kisa Collabo sio Mzima

    • @joleenmasha
      @joleenmasha 7 років тому

      Omar ali kapagawaa angempigia mola magoti angembarikiwa zaidi yuwataka kuwa star sasa hajui yuwafanya nini

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 років тому

      omar ali tooo much kwan kiba n barabara ya kwenda wpi aiiiii

    • @jamesysamwel5080
      @jamesysamwel5080 7 років тому +4

      basi toa nae wewe korabo,maana ndyo anahtaji kutoka kimuziki asipo jipendekeza
      itakuje?wewe unadhani kazi rahsi?

    • @OmarAli-wr1ti
      @OmarAli-wr1ti 7 років тому +2

      Jamesy Samwel Lkn sio kivo kwani uyo ALI kiba ni Mungu mpaka umpigie magoti au yy ndie anaetoa rizki ushamba tu rizki popote sio lazima uimbe

    • @abdulrahmanmushi6918
      @abdulrahmanmushi6918 7 років тому +1

      Jamesy Samwel h

  • @ericobura3901
    @ericobura3901 7 років тому

    Hamorapa ako sawa coz yy anampenda Tena anakubali alikiba kwa roho yake yote

  • @benmwacky5574
    @benmwacky5574 7 років тому

    kwel Ushoga sio lazma ufirwe tu .. upo wa aina nyng

  • @Noah-zt5zf
    @Noah-zt5zf 4 роки тому

    Nikiboeka nasearch interview za huyu mwamba hamorap

  • @leokadiasanga9813
    @leokadiasanga9813 6 років тому

    Endelea kumueshim kila mtu kaka angu achana namaneno yawatu ipo siku watatambua kama naww nimsanni mzuri t

  • @jokhaalharthy4281
    @jokhaalharthy4281 7 років тому

    ujingakumpigiamagotimwanaumemwanzio
    yysimuumba

  • @juniorngobola7396
    @juniorngobola7396 6 років тому

    Sasa kiba mwenyewe mubunafsi anajitenga kama mishikaki

  • @mirajitwaha1824
    @mirajitwaha1824 7 років тому

    HAMORAPA, KAZA, KIKI WAACHIE MADEMU, UNACHOSHA SASA,

  • @riscaoscar521
    @riscaoscar521 7 років тому

    naomba msimfananishe na Harmonies jamani Leo nimemuangalia vizuri aaaaaaaaa

  • @johnalmas445
    @johnalmas445 7 років тому

    inamaana kiba amjui harmorapa ahahahahahahahahhaha daaaaaaaah sema nn kiba sio poah kumkazia harmorapa maana ulipandisha kioo au ndio kumdelete ahahahahahahahha,,,,, sema nn harmorapa music haupo ivyo bob au unataka kutokea hapo????? ni mtazamo tuuuu

  • @oyay2821
    @oyay2821 7 років тому

    wampigia magoti binaadamu mwenzio. Kama hii si devil worship basi ni ninni?

  • @vanscauz6513
    @vanscauz6513 7 років тому

    oyoooo nommmmaaaaaa kiba nibaba lao sasa nyie clouds endereheni kuchuahela ya domo huku alikiba hanatoboa nomaaa

  • @maduhuruben3825
    @maduhuruben3825 7 років тому

    kama dogo kapoteana hivi halafu pia sizani kama kuna watu nyuma yake wa kumshauri it seems hata alikiba kama hamtambui hivi maana sio kwa kupandisha kioo namna hiyo aisee

  • @abdallahmnandi2608
    @abdallahmnandi2608 7 років тому

    eroooo achen hiyo najeee kwa selaaaah hamorapa bana. binadam tumetofautiana uwezo wa kulikabili jambo lililo mbele yetu,wengine watafanya chochote ili mradi watimize ndoto zao. isitoshe mbona wengi tu wamepiga magoti na wengine wamefanya vitu vya fedhea zaidi. sio mpango kujudge others only God can do that.

  • @Manu-gi4gn
    @Manu-gi4gn 7 років тому

    hizo sura duu Mungu mkubwa asije akaniadhibu lakini

  • @abdulmichael5750
    @abdulmichael5750 7 років тому

    hongera king Kiba hiyo fala mtoto achana nae hajitambui

  • @hekimanzunda5892
    @hekimanzunda5892 7 років тому

    hizo mbembe tu za washika mkia wanashoboka na ka tuuzo saiz saiz na kalikosewa wamevuta kwa kamba

  • @prinxeharlem9740
    @prinxeharlem9740 6 років тому

    Kumbe mshamba huyu jamaa ndio maana akatukanywa+254

  • @mikekahisha8164
    @mikekahisha8164 7 років тому

    ifike hatua ajitambue na aache kelele na kiki afanye music kama kweli anaweza

  • @feedfaithkemuntohgvf2905
    @feedfaithkemuntohgvf2905 7 років тому

    Bydha huyo chally anadai suppoter si ety ni nini acheni afanye yake

  • @fauziamoudymwende8095
    @fauziamoudymwende8095 7 років тому

    mtaka chamvunguni sharti ainame sioni kosa lake apo

  • @hassanmohdallyally4740
    @hassanmohdallyally4740 7 років тому

    anajizalilisha tu huyoo dogo kmaa sio mwanamziki

  • @mussaaliy8444
    @mussaaliy8444 7 років тому

    Huyo mtoto mshamba tu coz haina maana yoyote kumpigia ali kiba got

  • @honestbsn3044
    @honestbsn3044 7 років тому

    mjomba #lonkenny mbona kama unataka mpiga kofii mselaa hahaha

  • @jumasaad4882
    @jumasaad4882 7 років тому

    huyu mshkaji apelekwe milembe maana Co mzima

  • @jumasaad4882
    @jumasaad4882 7 років тому

    huyu mshkaji apelekwe milembe maana Co mzima

  • @rafiiabdul6217
    @rafiiabdul6217 7 років тому

    Kuna media ambazo azina viti vya kufanya na vinafanya ujinga tuu pimbavu

  • @ikoziboy4488
    @ikoziboy4488 4 роки тому

    Hahaha ila tuache unafiki harmorappa ni mbaya wa sura

  • @mayahassan8385
    @mayahassan8385 7 років тому

    heh jaman mmmmm mpaka kiba anajiona ovyo Kwa kupgiwa magoti dah

  • @abdulmichael5750
    @abdulmichael5750 7 років тому

    duuuh yaan hiz kiki zingine hapana huyu kwer nyan hata kujieleza hajui

  • @missritzzy4112
    @missritzzy4112 6 років тому

    hv hamorapa ndo ulikuwa umetoka kuamka hiyo suraa

  • @zuweenaalzuweena3740
    @zuweenaalzuweena3740 7 років тому

    Muacheni mwenzenu fanyeni yanayo wahusu

  • @ramadhanimponji7701
    @ramadhanimponji7701 7 років тому +6

    uyo jamaa cjampenda kweli alicho fanya lakin cmlaum ndyo mwisho wa kufikili kwake no kiba yes simbaaa

  • @mwanahella9650
    @mwanahella9650 7 років тому +2

    😳😳😳😳
    titi fo tati🙈
    akitoboa Hamorapa mademu watapanga msururu km wa siafu kwenye sukari😅😅😅😅

    • @tinivanny7562
      @tinivanny7562 7 років тому +1

      Mwanahamisi Hella hahaha kweli kabisa na watasahau kuwa anasura mbaya

    • @mwanahella9650
      @mwanahella9650 7 років тому +1

      Bibibabu Fumba 😆😆na jina hubatizwa🙈
      be like aaww... baby ur so cute 😝😝😝😊

    • @dzamecbc2859
      @dzamecbc2859 7 років тому +1

      +Bibibabu Fumba umeona kumbeee see heheheya

    • @tinivanny7562
      @tinivanny7562 7 років тому

      Dzame Cbc na atafanikiwa tu koz anabidii alafu watashoboko

    • @giftobadia3796
      @giftobadia3796 7 років тому

      Lazma wamlize watoto wa Mjini wanaachajee sasa

  • @fathiamzee8312
    @fathiamzee8312 6 років тому

    Uyooooo hamorapa ni mmbayaa sana duh mungu nisameh

  • @kenngash9770
    @kenngash9770 7 років тому

    upuzi mtupu awa wasani wa bongo wana uthi na kiki za kutafuta. shenzi

  • @samwelkikonge3649
    @samwelkikonge3649 5 років тому

    Mbona harmorapa anajizalilixha hvyo

  • @lifeonearth94
    @lifeonearth94 7 років тому

    jamaa kupiga magoti imeonesha ni wa hadhi ya chini sana

  • @JamesBond-un6il
    @JamesBond-un6il 7 років тому

    harmorapa safi
    twaongoja collabo

  • @yohanakavavila1300
    @yohanakavavila1300 7 років тому

    Duuuuh,, anatuangushaaaaaaa wa mtwaraaaaaaaaaaa