Aisee huu ujumbe wa matumaini sio wakukosa yani kama ukifatiria hutamani ubanduke kigumu tuokorewe kiroho na kimwiri pia hii sauti kwasa tunackuria powa rakini SKU itafika njaa raneno kama hiri tutatafuta hatuiona Mimi prska Joni naona wakati ni sasa wkufanya markebisho
Jina la Bwana libarikiwe, lihimidiwe, tunabarikiwa mno mno, oooh kwa Yesu ni furaha na shangwe tupu
Nabarikiwa sana na hii Event Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu nawapata Mubashara kutoka Muscat Oman 🙏🙏
twa wafuatilia tokea kenya Eldoret
🤔🔥🔥👍hotuba kuu siku ya 3
Mbarikiwe Sana Sayuni Choir mfike mbali
Namshukuru sana mungu kwa vile Nina barikiwa mno, Mama Gladys kusoma Mombasa Kenya.
Mahubiri haya ni mazuri sana
Naarikiwa sana na masomo haya
Nawapata Mungu yu mwema anaendelea kunena nasi
Bwana Mungu asifiwe 😀🙏🙏😀
Whioooooa team maji ya bomba
Kwa hakika nabarikiwa sana, Malocha, nawafatilia kutoka Zanzibar.
Amin
Huyu medical missionary ana sauti nzuri sana.
Amina
Madam naomba unisadie kujua kujifahamu kwa kujidanganya ni kupi huko?
Aisee huu ujumbe wa matumaini sio wakukosa yani kama ukifatiria hutamani ubanduke kigumu tuokorewe kiroho na kimwiri pia hii sauti kwasa tunackuria powa rakini SKU itafika njaa raneno kama hiri tutatafuta hatuiona Mimi prska Joni naona wakati ni sasa wkufanya markebisho
hubatikiw
Sauti hakuna
Amina