Kupika Firigisi/How to cook Gizzards

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 44

  • @queenlulu1631
    @queenlulu1631 2 роки тому +2

    Yam nime pika leo ni tamu balaaa asante kwa kuni funza 🥰🥰

  • @ilhamhaji1125
    @ilhamhaji1125 Рік тому

    Nmeipenda mnoo...mate hadi yamenitoka...

  • @roseliku531
    @roseliku531 4 роки тому +2

    Uko vizuri dear

  • @tajiriskitchenswahiliflavo1723
    @tajiriskitchenswahiliflavo1723 5 років тому +3

    Firigisi linavutui hadi nimehisi njaa😋

  • @kibouttv7148
    @kibouttv7148 5 років тому

    Waooh looks delicious na Mimi nitajaribu. Asante kwa kushare jinsi ya kupika

  • @angeljoseph442
    @angeljoseph442 2 роки тому

    Thanks 😊 dear

  • @heavenlight5084
    @heavenlight5084 4 роки тому +1

    Imebidi niandike sasa,maana naweza sahau baadhi ya vitu,ukweli mapishi mazuri sana,simple na ina ladha,sasa kabla ya harusi yangu, acha nifanye zoezi, nanunua napika, end of ze day,na mm nakua a gud Chief. Thanx much

  • @sarahmadimila386
    @sarahmadimila386 2 роки тому

    Delicious one😋

  • @judithedison518
    @judithedison518 2 роки тому

    Amaizing

  • @sittyshaban9090
    @sittyshaban9090 5 місяців тому

    Asante

  • @beatricemapunda2519
    @beatricemapunda2519 5 років тому

    Asante ni nimejfunza

  • @mwanaharusisalim9019
    @mwanaharusisalim9019 2 роки тому

    Delicious

  • @fatmashariff1451
    @fatmashariff1451 5 років тому +1

    Nimependa

  • @Elfuego257
    @Elfuego257 2 роки тому

    umeokoa siku leo😅💯

  • @sarahwilson586
    @sarahwilson586 5 років тому +1

    Yummy

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 5 років тому

    Dada utaniuwa navyopenda firigisi,mate yamenidondoka huku

  • @annedavienyamhanga4738
    @annedavienyamhanga4738 5 років тому

    Nice

  • @juliethurio6840
    @juliethurio6840 5 років тому

    Napenda mapishi yako mrembo

  • @omanseeb8609
    @omanseeb8609 5 років тому

    Thanks

  • @evefesto1985
    @evefesto1985 5 років тому

    Waoh yummm

  • @wansiluther6255
    @wansiluther6255 5 років тому

    Umekua role model wangu sasa wa mapishi mamy kaz yangu ni kuangalia na kupractice

    • @ikamalle
      @ikamalle  5 років тому +1

      Na kwenda Amory kuninunulia mahitaji na kumpatia Ndali aniletee 😂😂😂😂

  • @mahamudaideed6922
    @mahamudaideed6922 Рік тому

    Hizo ndizi ulizokaanga zilikuwa ndizi Mbivu au zilizowiva

  • @estherpeter324
    @estherpeter324 5 років тому

    kaz nzuri dada

  • @husnahamisi320
    @husnahamisi320 4 роки тому

    Dada ika ningeomba resep ya miguu ya kuku

    • @ikamalle
      @ikamalle  4 роки тому

      Daaah! Kuipata hiyo miguu sasa, na huku nilipo ni shughuli.... Tuombeane lakini

    • @ikamalle
      @ikamalle  4 роки тому

      Daaah! Kuipata hiyo miguu sasa, na huku nilipo ni shughuli.... Tuombeane lakini

  • @peninaamour2802
    @peninaamour2802 5 років тому +1

    Mimi sipendagi firigi nahis ni kwa sababu ya ule utumbo unaokuwepo na nkinunua firgis huwa nakula hiyo part uliyopika leo....sas nmegu dua kumbe naweza kupika kwa aina nyingine tofauti na kukaanga hakika nitajaribu dada aika maan inavutia sana

  • @elizabethmakota513
    @elizabethmakota513 3 роки тому

    Nimetamani

  • @julianasabrere6198
    @julianasabrere6198 4 роки тому

    Nice dear, vipi ikiwa firigisi zimechanganywa na maini yake,naweza kufata upishi huu?

    • @ikamalle
      @ikamalle  4 роки тому +1

      Ni 👍🏽... lakini uwe makini tuu, si unajua maini ya kuku ni malaini sana?

    • @ikamalle
      @ikamalle  4 роки тому +1

      Ni 👍🏽... lakini uwe makini tuu, si unajua maini ya kuku ni malaini sana?

    • @julianasabrere6198
      @julianasabrere6198 4 роки тому

      Shukran

  • @megoj5179
    @megoj5179 3 роки тому +1

    😋 😋😋😋😋

  • @rizzymay450
    @rizzymay450 5 років тому

    Hizo ndizi ni zile zimeiva ama ni zile za green?

  • @mariammbughi2702
    @mariammbughi2702 5 років тому +1

    Hiyo ningekula na ugali imenoga sana

  • @neemamsuyas3084
    @neemamsuyas3084 5 років тому

    Yummy