JE MWANAMKE ANAWEZA KUWA MCHUNGAJI??

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 93

  • @TemboPatron
    @TemboPatron 9 місяців тому +3

    Na mimi nauliza hivi? uko Nani wewe Ku chaguwa yule Mungu anaweza kumugawia karama zake? Kama punda aliweza kunena na kufikisha ujumbe, Nini inaweza kumuzuwiya Mungu asiwape wanawake karama za Uchungaji n'a zingine? Tunaishi wakati wa Neema. Dini ndiyo inayo kuku ponza ndungu yangu. Mchungaji Mubaga iko Sawa Sawa kabisa. Wewe Rudi kwa shule na Roho Mtakatifu akujaliye kuelewa Utendaji wa Mungu. Hatuwezi Ku mu limite Mungu wetu.

  • @erick-bahati-edwin-Masumbwe
    @erick-bahati-edwin-Masumbwe 9 місяців тому +1

    Kwa muujibu wa destuli na mila za kiyahudi ,hairuhusiwi lakini kwa waliokombolewa kwa damu ya Yesu, kama una wito huo ,hakuna kizuizi !

  • @esperancekahindo7476
    @esperancekahindo7476 9 місяців тому +1

    Roho iliyoko ndani yako ishindwe kwajina la yesu.

  • @thomsimon7881
    @thomsimon7881 9 місяців тому +1

    Ubarikiwe kwa ufafanuzi, nilichogundua watu hawasomi neno, wapo tu kufuata maneno ya juujuu ya wachungaji wao

  • @miltongospelchanneltv6372
    @miltongospelchanneltv6372 9 місяців тому

    HUBIRI INJILI PAULO...
    UKISHAJITENGA NA IMANI HAYA NDIYO MADHARA.

  • @SarahKajwaula
    @SarahKajwaula 4 місяці тому

    Kijan unafik unakusumbua mpigie yy mwenyewe jiangalie

  • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
    @Mahershalalhashbazi-kf6xi 5 місяців тому

    Kuhani ni mhudumu wa kazi za Mungu👉Isaya 61:6
    Hiyo ndiyo maana ya kuhani:acha kudanganya Kanisa wewe

  • @Revelation1412.
    @Revelation1412. 11 місяців тому +2

    Kama angekataa...Angekoswa Kazi kabisa kwahiyo ilibidi pengine atumie hila ili kuokoa Mshahara 😂😂😂

    • @chikondimadalitso
      @chikondimadalitso 9 місяців тому

      Tafasiri ya bibiria ni ngumu sana mbinguni tutaingia Kwa NEMA mungu wetu hata nyinyi wachungaji hatuambi kitu Cha kurizisha

    • @chikondimadalitso
      @chikondimadalitso 9 місяців тому

      Mwanamke harusiwi kusimama mbere ya wanaume je? Akifundisha ataka a au atasimama mwanamke anaruhusiwa kufundisha rakini siyo madhabauni

  • @RONHAMUGASA-on4sg
    @RONHAMUGASA-on4sg 9 місяців тому

    Barikiwa na uzidi kusonga mbele

  • @SaidLShenda.
    @SaidLShenda. 8 місяців тому

    Soma Biblia vizur ,na jua unasoma Biblia kwa kutumia Dedactive method of Bible study, hii ndo una tumia hii njia unaenda na mawazo yako kutafuta ushahidi ,hutoboi kwanjia hii ,naomba rudi ukatumie Inductive of Bible study,thank you. kingine mfuata pr in box .

  • @GastonMhimba
    @GastonMhimba 9 місяців тому +2

    Kama ujumbe ulikuwa una lenga kwa pr Mbaga ungemtumia in box maana ndio lengo la somo lako .ni roho yupi huyo anae kuongoza ?

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 9 місяців тому

    mwanamke harusiwi kubwa mchungaji
    umefanya vyema kumrekebisha

  • @leahdaniel1117
    @leahdaniel1117 9 місяців тому

    Yaan wee ni mpuuzi siku ile kila mmoja ataleta hesabu ya matendo yake aliyoyatenda hapa duniani

  • @Tiamunduwakoukavunetv
    @Tiamunduwakoukavunetv 11 місяців тому +2

    Barikiwa

  • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
    @Mahershalalhashbazi-kf6xi 5 місяців тому

    Kazi ya Mungu ni ya thamani na ya kuheshimika sana;
    Nakushauri kama moto wa Injili unawaka ndani yako jitahidi angalau certificate ya Theology Ili ufahamu wa Neno uwe mpana kiasi.
    Hii ni aibu kwa watumishi
    Mithali 23:23

  • @deussasi9285
    @deussasi9285 11 місяців тому +1

    Njia nzuri sana hii

  • @AlexLazaro-ju5mv
    @AlexLazaro-ju5mv 9 місяців тому

    Hapo napo ndo pakutoe kanixan? Mh aya fanya halaka uludi

  • @stephenmuriuki7202
    @stephenmuriuki7202 9 місяців тому

    Bro hajaelewa wahujashika swali

  • @AbelyNyota
    @AbelyNyota 6 місяців тому

    Wewe nawe ni mnafiki kwa Nini hujampgia muonge kama watumishi ndo uje kwenye mtandao wewe ndio wale wajifanyao kuelewa kumbe ni mnafiki wewe hata kama kakosea sio kwa njia hiyo kwa Nini akihubili vizuri huji useme Amina acha kujifanya farisayo kwenye mtandao

    • @tubuninakuiaminiinjilituku3969
      @tubuninakuiaminiinjilituku3969  6 місяців тому

      Ndugu yangu, umejuaje kama sijampigia?? Au Kwa Nini wewe huhanipigia uniulize?? Ikiwa kutokumpigia mtu ukamsema online ni unafiki, je wewe hujanipigia ila umeniita mnafiki online je wewe siyo mnafiki kweli??? Sikuiti mnafiki Wala sikulaumu hofu yangu tu ni kuwa ""Huelewi unachokiongea!!!

  • @TYAMTv
    @TYAMTv 8 місяців тому

    Ndugu acha kudanganya watu si kila aliyebatizwa ni kuhani pili mafungu aliosoma yapo kwenye future time, hivyo ukuhani unaouzungumzia ni baada ya ukombozi.

  • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
    @Mahershalalhashbazi-kf6xi 5 місяців тому

    Wewe ndiye unagawa Huduma na vipawa kwa watu?

  • @macdonaldotieno5010
    @macdonaldotieno5010 9 місяців тому

    Huyu mbanga amepotea njia

  • @DeoGeorge-uf3ym
    @DeoGeorge-uf3ym 8 місяців тому

    Mbaga ni binadamu awezi kukamilika ebu jitasimini ulicho kifanya nikumshitaki . Yesu atafutwi makosa bali nikazi ya shetani.....unge fundisha .tuu

  • @samwelsamiji6593
    @samwelsamiji6593 6 місяців тому

    Hivi mbona wasabato tumekuwa mafarisayo kuwa vipofu wa maandiko... MUNGU kusema tusile nguruwe anamaanayake mbona tuhalalishe Sisi, vile vile wanawake hawatakiwi mbona mforce

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 9 місяців тому

    Mimi sikumsapoti Alifanya upotoshaji
    kwani yesu ktk wanafunzi wake walikuwemo wanawake wangapi?

  • @Fanuelngalawa
    @Fanuelngalawa 9 місяців тому

    Nafikili ni suala la uelewa

  • @judahmollay9016
    @judahmollay9016 9 місяців тому

    Kuna muda unaweza tumiwa na shetani bila kujua adui yetu ni shetani peke yake
    Hakuna sehemu pst mbaga alisema yeye ndo pasta sahihi na asiye kosea yeye anafanya kazi ya yesu Kwa nafasi yake na kama roho wa MUNGU alifunulia ayo mbn utakuwa unapingana na roho wa MUNGU
    Pili ulisali kumuomba MUNGU akufunulie haya au unasema Kwa akili zako
    Bwana yesu alisema ole Kwa atiaye ukwazo Kwa wadogo hawa

  • @SaitotiHinyura
    @SaitotiHinyura 8 місяців тому

    Wewe ni mwongo ,Shetani amekutumia kuwa wakala wake.Unapotea kwa kuwa hauyachunguzi maandiko.

  • @dorcusmusombi3646
    @dorcusmusombi3646 9 місяців тому

    Mm sikuelewi ndugu ,achana na pastor David mmbaga anazidi kutubariki ,by the way ,ww unatoka na wapi ? U introduce pastor unajisahau ...let's honja ingine

    • @tubuninakuiaminiinjilituku3969
      @tubuninakuiaminiinjilituku3969  9 місяців тому

      Yohana 9:29
      [29]Sisi tunajua ya kuwa Mungu alisema na Musa; bali yule hatujui atokako.
      We know that God spake unto Moses: as for this fellow, we know not from whence he is.
      Pole sana ndugu yangu, maana naona unamfaha PR MBAGA, lakini Mimi na Mungu wangu hautufahamu.

  • @harrisonodiwa7248
    @harrisonodiwa7248 9 місяців тому

    Aliyetaka kazi ya uchungaji amechagua kazi njema,awe bwana wa mke mmoja......,..

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 9 місяців тому

      Mke mmoja mmemmoja sasa wanawake ni wengi kuliko wanaume sasa hao wanaobaki wataolews na nani hizo dini zinatuletea mashokoro mageni, matokeo yake siku hizi wasichana hawAolewi wanabaki kuzurula na kujiuza barabarani

  • @jeanninemunezero6469
    @jeanninemunezero6469 9 місяців тому

    Pastor mubaga siomalayika nimutu kama wengine tufate bibiliya tusifate Mubaga katika bibiliya hakuna mujungaji mwana make?

  • @ceciliaonyango5367
    @ceciliaonyango5367 9 місяців тому

    Kwani shida yako nini?

  • @ermichaelqnic3595O
    @ermichaelqnic3595O 11 місяців тому +1

    Haipaswi mwanamke awe MCH 1TIMOTHEO 3:1,4

    • @tubuninakuiaminiinjilituku3969
      @tubuninakuiaminiinjilituku3969  11 місяців тому

      Amina mtumishi

    • @Susankuria872
      @Susankuria872 9 місяців тому +1

      Fundisha vile unajua bila kutumia jina la mchungaji mwingine kama hoja yako ni kutuelimisha lakini hii yako ni kama vita unapiga mwingine vita,kama una wito tengeneza mahubiri yako funza watu ,Bure hii ni salakasi kama ile ingine ya social media.

  • @QueenMtuya-tp2ng
    @QueenMtuya-tp2ng 9 місяців тому

    Wewe kabla uujaleta mada ichunguze kwanza. Polee mpendwa rudi zizini. Matukio ya siku za mwisho uk 35.

  • @obedimiburo679
    @obedimiburo679 3 місяці тому

    Swala eti wako katika ofisi gani linasomwa wapi kwenye biblia?

  • @naomikilonzo6898
    @naomikilonzo6898 11 місяців тому

    Ndugu Malosha Soma vizuri Roho ya unabii . Matukio ya siku za mwisho.

  • @JumaMlei-ff3rp
    @JumaMlei-ff3rp 10 місяців тому

    Kama una wito wa uchungaji hakuna shida.

  • @JumaMlei-ff3rp
    @JumaMlei-ff3rp 10 місяців тому

    Umejuaje kama hawapo? Katika ofisi ya mchungaji?

    • @elicknyega7317
      @elicknyega7317 10 місяців тому

      Wapi ndani ya biblia kulikuwa na mchungaji mwanamke?

  • @TYAMTv
    @TYAMTv 8 місяців тому

    Tupe fungu linalokataza wanawake kuwa wachungaji au mashemasi

    • @DottoBazil-nx2cd
      @DottoBazil-nx2cd 5 місяців тому

      1kor 14:32-38 pia 1Tim 2:8-15 bishana basi na Maandiko hayo

  • @estermahimbo634
    @estermahimbo634 8 місяців тому

    Hii ni kupatwa kwa jua😅😅😅 wewe tufundishe kumjua Yesu sio kukosoa watumishi wa Mungu mkigombana kanisani au chuki kwa mtumishi mnakosoa kwani wakati anafundisha ulikua wapi ndo unamkosoa sasaivi😮

  • @abbasmkambara5815
    @abbasmkambara5815 9 місяців тому

    Kwa maana hiyo unatushauri tusisikilize tena mahubiri ya mbaga?

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 9 місяців тому

      Apana ila kila mmoja ajisomee maandiko sio dio kuthibitisha kama n kweli

  • @JOSHUANGIMBA-fj9oc
    @JOSHUANGIMBA-fj9oc 9 місяців тому

    Soma ndo uhukumu acha mfume dume

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 9 місяців тому +1

      Kabisa analeta mifumo dume wakati Mungu katoa kibali cha kwenda kuhubiri injili ,

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 9 місяців тому

      Yan kajaa retulujia eti tupige magoti tuombe yan ni wazi amejaa sheria sheria tu

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 9 місяців тому

      David Mbaga sio saizi yako kapambane na Pascal ndio saizi yako , Tuachia PASTOR MBAGA WETU ACHANA NA SHERIA ZAKO ZA KUTOYAJUA MAANDIKO KWANZA SISIKILIZI HADI MWISHO USIJE NI NAJISI BUREEE

    • @isaackaitira7654
      @isaackaitira7654 2 місяці тому

      ​@@joycehaule9717Tuangalie mafundisho yanasema Mama Hellen G White alisema kwamba aliwaona wasabato wa siku za mwisho wanajifananisha wao kwa wao siyo maandiko kwa hiyo akisema Mbanga kitu siyo lazima kiwe sahihi usahihi wetu uko kwenye maandiko tu

  • @esperancekahindo7476
    @esperancekahindo7476 9 місяців тому

    Nenda nyuma yetu shetani wewe.

    • @RONHAMUGASA-on4sg
      @RONHAMUGASA-on4sg 9 місяців тому +1

      Usihukumu kabla hujahukumiwa nenda kayachunguze maandiko ata kama amekosea unatakiwa kutumia lugha ya hekima na sio matusi kama hv

  • @AlfaMwahasanga
    @AlfaMwahasanga 6 місяців тому

    Tatizo lako rafiki huelewi. Kama mwamke kama Ellen white anaweza kuwa nabii je kuwa mchungaji kunakusumbua nini? Ila naona wewe huna akili ya kupambanua kati ya Karama za Roho na jinsia.

  • @JumaMlei-ff3rp
    @JumaMlei-ff3rp 10 місяців тому

    Hao wengine ni wa jinsia gani?
    Soma vizuri Biblia

  • @godwinsengo5657
    @godwinsengo5657 9 місяців тому

    Safari hii shetani ameamua kuwatumia na mmeitika wito wake.Hivi mmewahi kuwasiliana nao kabla ya kuleta mada mtandaoni? Kwasababu Kuna muda mnatwambia au mnatumia vitabu vya Ellen sisi ambao hatumjui kama nabii mnatufundishaje kwa kutumia hivyo vitabu na sio Biblia

  • @getsonemmanuel1023
    @getsonemmanuel1023 11 місяців тому +2

    Kwani hao wanawake mafundisho waanayo yafundisha wanayatoa wapi? Kama ni kwenye biblia kuna shida Gani wakiwa wachungaji? Madhara Gani unayapata ukifundishwa na mwanamke?

    • @Ireneshgm
      @Ireneshgm 11 місяців тому +1

      Ni kuhusu kutii Mungu na sio tufuate dhana zetu tu,lazima biblia ifindishwe vyenye iko

    • @tubuninakuiaminiinjilituku3969
      @tubuninakuiaminiinjilituku3969  11 місяців тому +2

      Nashukuru Kwa swali lako rafiki, Jibu lako hili hapa, - Madhara yake ni kupotezwa na kuangamia Kwa sababu Yao, Isaya 3:12

    • @deussasi9285
      @deussasi9285 11 місяців тому

      Kwani si amesoma masndiko....nawewe toa andiko mtumishi

    • @deussasi9285
      @deussasi9285 11 місяців тому

      Hii njia ni nzuri sana kupiga kelele....ubarikiwe. hii itawaamsha wenzetu kutoka kuburuzwa

    • @tubuninakuiaminiinjilituku3969
      @tubuninakuiaminiinjilituku3969  11 місяців тому

      Isaya 3:12 NDIYO madhala yake, Tuelewe tu kwamba wanawake kuwa wachungaji siyo mpango wa Mungu isipokuwa ni WA yuke adui wa kweli

  • @CheerfulBanyanTree-cn8bs
    @CheerfulBanyanTree-cn8bs 11 місяців тому +1

    Mbona alijibu vizuri uelewa wako ndo umefikia hivyo usitulazimishe tukusupport hubiri watu waongolewe sio kutuaminisha kua kakosea wewe siufundishe ukweli clip za nini sasa😂😂

    • @elicknyega7317
      @elicknyega7317 10 місяців тому

      Kwani shida iko wapi kutumia clip mpendwa?

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 9 місяців тому

      Nyie dio hamsomi biblia mnangoje kusomewa na wachungaji

    • @miltongospelchanneltv6372
      @miltongospelchanneltv6372 9 місяців тому

      Kutumia Clips kujenga Hoja ni Makosa Makubwa sana, na Huyu Paul aangalie, haya ndiyo Madhara ya kutoka nje ya neno, Sasa sijui anavita na nani?

  • @esperancekahindo7476
    @esperancekahindo7476 9 місяців тому +2

    Roho iliyoko ndani yako ishindwe kwajina la yesu.