MWANAMKE HARUHUSIWI KUWA MCHUNGAJI AU ASKOFU AU KUHUBIRI KANISANI.NI NENO LA MUNGU.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 71

  • @PastorPeter00
    @PastorPeter00  Рік тому +4

    DADA NURU MWITA, SIJACHONGA NDEVU ZIMEOTA ZIMEKAA HIVYO, HUWA SICHONGI NDEVU WALA KICHWANI NAJUA NI DHAMBI NA IMEANDIKWA
    Mambo ya Walawi 19:27
    Ubarikiwe sana Kwa upendo wako maana Lazima tukumbushane

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 2 місяці тому

    Ubarikiwe mtumishi
    vp siku sahh ya kuabudu

  • @MagrethKatondo-qs9oz
    @MagrethKatondo-qs9oz 3 місяці тому

    Hakika YESU KRISTO ni mchungaji mwema. Asante sana. Kumekuwa na utata sana. Tuwaachia wanaume kama Kristo alivyoliacha kanisa katika mikono ya Mt. Petro. Amina.

  • @MarthaMwampondele
    @MarthaMwampondele 2 місяці тому

    Sahihi kabisa Mtumishi wa Mungu

  • @SubiragaKabango
    @SubiragaKabango 3 місяці тому

    Hongera sana Mtumishi wa Mungu Umeongea Ukweli madhabahu yake Mwenyezi Mungu haidhihakiwi! Tupeni wadhifa mwingine sisi wanawake humo makanisani hata kuwa wahasibu/ wahesabu sadaka yatosha maana sisi ndo wajasilia mali wakubwa!

  • @nellydeborah943
    @nellydeborah943 Рік тому +2

    Amina umesema vyema mtumishi wa Mungu ila wanawake wamekuwa kiburi sana hawasikii na wengi wanawapeleka wengi kuzimu.Mungu atusaidie sisi wanawake tuna kiburi sana.barikiwa Mtumishi more annoiting from God

  • @MagrethKatondo-qs9oz
    @MagrethKatondo-qs9oz 3 місяці тому

    Asante sana. Umesema kweli mwanamke haruhusiwi. Asante baba kwa hilo darasa.

  • @uswadipanja7573
    @uswadipanja7573 Рік тому

    Amina sana mtumishi wa Bwana Mungu wetu ubalikiwe kwaNeno, maana niwengi wanawake wanasema eti Mungu ndiye anasema kueneza injili nikila mtu hajabagua ,ikiwa Mungu anakutumia hebu fundisha waelewe wanaowapanga wanawake kuhubili

  • @marypeter4584
    @marypeter4584 Рік тому

    AMEEN BARIKIWA MTUMISHI. MUNGU AKUTUMIE ZAIDI TUPATE KUPONA. AMEEN

  • @upendoupendo254
    @upendoupendo254 Рік тому

    Amen mtumishi wa Mungu barikiwa sana Bwana Yesu kristo azidi kukutumia zaidi

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p 3 місяці тому

    Ebu tukemeeni mambo kama ayo yasio mupendeza mungu

  • @hildawashe4199
    @hildawashe4199 14 днів тому

    Mchungaji wacha kuja hanga ya na maandiko na kuwa hanga ya wengine.Kwa nini yesu hakuzaliwa na mwanaume

  • @stellalwesya8790
    @stellalwesya8790 Рік тому

    Kweliiiiiiii kabisa

  • @ZuberiKibeya
    @ZuberiKibeya Рік тому

    Amina Mtumishi ubarikiwe.

  • @MagrethKatondo-qs9oz
    @MagrethKatondo-qs9oz 3 місяці тому

    Kwa kweli wanawake hawafai kuwa wachungaji. Na ndiyo maana mitume wa YESU ni wanaume. Adamu aliumbwa kwanza. Kristo ni yule yule jana leo hata milele.

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p 3 місяці тому

    Apo kweli ndugu yangu waambie ukweli ili uwese kubarikiwa mwanamuke haruhuziwi kukanyaga masabahuni maan pale masabahuni ni sehemu patakatifu ila wengi awajui basi juweni leo basabahuni ni sehemu patakatifu na mwanamuke atakikani kupafikia apo kwasababu yeye ni muchafu na kila mmoja atafakari kwann anakua muchafu! Yaani aitakikani kisheria ya kibibilia kabisa

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p 3 місяці тому

    Apo kweli ndugu yangu waambie ukweli ili uwese kubarikiwa mwanamuke haruhuziwi kukanyaga masabahuni maan pale masabahuni ni sehemu patakatifu ila wengi awajui basi juweni leo basabahuni

  • @mutiembingi-le6kz
    @mutiembingi-le6kz 9 місяців тому +1

    Haskofu ni huduma ipi kanisani?

  • @goodvictoryeunice
    @goodvictoryeunice Рік тому

    Hallelujah...Amen

  • @ernesttomas85
    @ernesttomas85 Рік тому

    Amen

  • @jeremiahkausi2987
    @jeremiahkausi2987 Рік тому

    Kweli ni neno la BWANA

  • @desirengenerwasobanuka9015
    @desirengenerwasobanuka9015 Рік тому +1

    Ndugu hao walishagapotea. Madhehebu wameingiza genda balance katika Kanisa la Bwana. Ole kwao wanaoweka wanawake kuwa ma Pastors! Hosea 4:6, inasema: watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

  • @bakarbakarali-cw3gc
    @bakarbakarali-cw3gc Рік тому

    Paulo mwenyewe alikuja baadae ya yesu

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 3 місяці тому

    Mwanamke haruhusiwi kuwa mchungaji ama askofu

  • @UkweliMinistries
    @UkweliMinistries Рік тому +2

    Hello baba Peter, una namba ambayo tunaweza kuwasiliana na wewe. Mungu akubariki.

  • @rabiamenshoo1988
    @rabiamenshoo1988 3 місяці тому

    Manabii wengine wanawake ni hawa;-
    -YEZEBELI
    -MIRIAMU
    -DEBORA
    -HULDA
    -MKE WA ISAYA
    -ANA
    -BINTI WA FILIPO
    -NOADIA

  • @anasialauwo4922
    @anasialauwo4922 8 місяців тому

    Naomba ufafanuzi hapo na huko kwenye makongamano SI Kuna wanaume pia au haturuhusiwi kanisani tuu

  • @ChikuShamsheli
    @ChikuShamsheli 3 місяці тому

    Huyo Adamu ndio hakutii maagizo ya Mungu akaacha kuambatana na Eva mpaka Eva akadanganywa na nyoka, hivi wewe mtumishi unaifahamu biblia una Paulo tu neno huu pia neno huuisha, Maria must harun musa walirumwq wote na Yesu amelala katika tumbo Maria must wewe, yoeli 2:28

  • @micahnjoroge3685
    @micahnjoroge3685 Місяць тому

    Je kuna Roho wa wanawake na Roho wanaume?

  • @MagrethKatondo-qs9oz
    @MagrethKatondo-qs9oz 3 місяці тому

    Mkumbuke delila alivyomwangusha samson.

  • @jimmybiko7629
    @jimmybiko7629 Рік тому +1

    Alafu inje ya kanisani ni wapi? na kanisani ni wapi? Sababu kwa agani jipia kanisa ni kikundi kidogo au kunwa cha watu wamekusana kwa ajili ya neno la mungu...

    • @JifunzeNenoLaMungu
      @JifunzeNenoLaMungu Рік тому +1

      Na kanisa ni waamini wote
      Na Mwili ni hekalu la Mungu
      Acha maswali ya hivyo pokea jifunze... hekima na Maarifa yaambatane na waaminio wote... Kupambanua mambo....

  • @pastor.aderickkalugila554
    @pastor.aderickkalugila554 Рік тому

    Mbona tunaye RAISI MWANAMKE

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p 3 місяці тому

    Ni kwamba aifai kabisa mwanamuke kua muchungaji Yaan wakiristo sisi tunapotokwa kabisa sheria za bibilia atuifwati tena na ata maubiri ya sasa sio tunaubiri tena imekua Kama vile mashindano kwa mufano kwenye misiba wanakuja wachungaji kama wote na kila mmoja anataka kuonyesha umaarufu wake na ata sio umaarufu wengine ni matuzi matupu mbele ya mama yake na baba yake pia na mtoto wake afikirii ata jambo la kutamuka

    • @IsayaMasesa-r2i
      @IsayaMasesa-r2i Місяць тому

      Much isaya simoni nikweli tumepotoka tunatakiwa kutubu mwanamke hatakiwi kuwa mchungaji

  • @mutiembingi-le6kz
    @mutiembingi-le6kz 9 місяців тому

    Wewe sikia Nabii ni kiongozi kanisani mtume ni kiongozi kanisani askofu ni wafagiaji wa kanisa sio kiongozi

  • @RLLTV-z8o
    @RLLTV-z8o 3 місяці тому

    mchungaji tunaeza patana vipi na wewe

  • @zawadimwakapala7935
    @zawadimwakapala7935 4 місяці тому +1

    Sasa swali langu kwako mtumishi wa Mungu, sasa inakuaje mbona na hao wanawake wachungaji wanasema wameitwa na Mungu?? Ni Mungu yupi huyo? Yaani kwa kweli hatuelewi Mungu yupi anasema wasisimame na Mungu yupi anayewatokea kuwa wawe wachungaji

    • @musamangale4024
      @musamangale4024 3 місяці тому

      Neno litasimama, yaulimwengu yatapita lakini neno litasimama. Mungu alitengeneza kila jambo na utaratibu wake kwahiyo wanawake wa Leo wanasumbuliwa na kujiinua na kujifanya wako sawa na wanaume jambo ambalo ni kunyume kabisa na maandiko matakatifu.
      Sababu hata kwa nyumba mwanamke ananafasi yake kama mwanamke na mwanaume vile vile ana nafasi yake kama mwanaume na ikitokea hali wote kujifanya sawasawa basi ndoa huvunjika tu sababu watakuwa wamekiuka mipango ya Mungu.

  • @jimmybiko7629
    @jimmybiko7629 Рік тому

    Na were nguwo za makuhani na kuhani wetu amebaki ni Yesu kristo, unamanisha nini?

  • @hillymrema5702
    @hillymrema5702 2 місяці тому

    Mwanamke si kiungo cha Kristo?

    • @MaryLupindo
      @MaryLupindo Місяць тому

      Unapingana na Paul maana ndiye aliyeandika

  • @neemapetro6168
    @neemapetro6168 Рік тому

    NI KWELI MWANAMKE HATAKIWI KUWA MCHUNGAJI WALA KUHUBIRI KANISANI YAANI KUANDAA SOMO NA KUFUNDISHA WAKIWEMO WANAUME NI KINYUME CHA NENO LA MUNGU.PASTOR HUU NDIO UKWELI.

  • @neemapetro6168
    @neemapetro6168 Рік тому

    HAKUNA SHEHE MWANAMKE,HAKUNA PADRE MWANAMKE, NDIVYO ILIVYO HAKUNA MCHUNGAJI MWANAMKE ANAYECHUNGA NI MWANAUME TU NA SIO MWANAMKE

    • @roseyongolo302
      @roseyongolo302 Рік тому +1

      Ni ukweli mtupu mchungaji,,,Mungu azidi kuliponya kanisa lake,,wanawake wengi waliopata hizo nafasi,,,wengi wao nyoka ndie anaetenda kaxi nao,,,wanakuwa na maono yaliyo kinyume na Neno la KRISTO..MUNGU ATUSAIDIE

  • @nurumwita9034
    @nurumwita9034 Рік тому

    Pia kuchonga pembe za ndevu ni dhambi

    • @PastorPeter00
      @PastorPeter00  Рік тому

      Ni dhambi ninajua kabisa Mimi sijachonga na Huwa sichongi kabisa zimeota zenyewe zimekaa kama nimechonga lkn sijachonga

    • @nurumwita9034
      @nurumwita9034 Рік тому

      @@PastorPeter00 amen mtumishi ubarikiwe

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 Рік тому

      ​@@PastorPeter00 je kunyoa upara?

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 Рік тому

      MIMI SIELEWI KUHUSU MKE WA MCHUNGAJI KUITWA MAMAMCHUNGAJI. AU KUWEKEWA KITI MADHABAHUNI NA HATA KUPEWA KUHUBURI.HIVI PETRO BAADA YA KUFA WALIMPA MKEWE. NAFASI YA KUCHUNGA KUNDI LA BWANA

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 4 місяці тому +1

    Nenda kasome bible vizuri mwanamke anahaki ya kua mchungaji ata Mzee wkanisa ata kua askofu , shida iko wapi? Unaijua Siri ya kanisa Kati ya Siri Saba za Mgu nenda kasome vizuri Siri ya kanisa umeweka usawa Kati ya wayahudi na watu wamataifa pia usawa Kati ya mwanamke na mwanaume

    • @dennisezakiel3380
      @dennisezakiel3380 3 місяці тому

      Nikuulize kwanini Yesu hakuchagua wanawake kati ya wanafunzi wake ??

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 3 місяці тому

      @@dennisezakiel3380 hakuchagua sababu Yesu Amezaliwa Chini ya sheria na alifanya hivyo Kwa sababu ya mioyo migum ya wayahudi

    • @dennisezakiel3380
      @dennisezakiel3380 3 місяці тому

      Ok je leo hii mwanamke anaweza kuwa askofu ama mchungaji ??? Unapojibu naomba unipe na maandiko ili twende sawa

    • @dennisezakiel3380
      @dennisezakiel3380 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂 wewe jamaa Biblia unasoma kweli au unachungulia nataka weka mafungu na mimi niweke mafungu .alfu kuna swali nikuulize

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 3 місяці тому

      @@dennisezakiel3380 ndio anaweza kwani kuna shida gani nimekwambia nenda kasome Siri ya kanisa waefeso 3:4 Kwa hayo, myasomapo, mtaweza kuutambua ufahamu wangu katika siri yake Kristo.
      5 Siri hiyo hawakujulishwa wanadamu katika vizazi vingine; kama walivyofunuliwa mitume wake watakatifu na manabii zamani hizi katika Roho;
      6 ya kwamba Mataifa ni warithi pamoja nasi wa urithi mmoja, na wa mwili mmoja, na washiriki pamoja nasi wa ahadi yake iliyo katika Kristo Yesu kwa njia ya Injili;
      7 Injili hiyo ambayo nalifanywa mhudumu wake, kwa kadiri ya kipawa cha neema ya Mungu niliyopewa kwa kadiri ya utendaji wa uweza wake.
      8 Mimi, niliye mdogo kuliko yeye aliye mdogo wa watakatifu wote, nalipewa neema hii ya kuwahubiri Mataifa utajiri wake Kristo usiopimika;
      9 na kuwaangaza watu wote wajue habari za madaraka ya siri hiyo, ambayo tangu zamani zote ilisitirika katika Mungu aliyeviumba vitu vyote;
      10 ili sasa, kwa njia ya kanisa, hekima ya Mungu iliyo ya namna nyingi ijulikane na falme na mamlaka katika ulimwengu wa roho;
      11 kwa kadiri ya kusudi la milele alilolikusudia katika Kristo Yesu Bwana wetu.

  • @moyojubeki6330
    @moyojubeki6330 Рік тому

    Uko wapi mtumishi

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 Рік тому +1

    Waafrica nyie ni ivo tu debora nabii na alikuwa mwamuzi wa Israel yote

    • @PastorPeter00
      @PastorPeter00  Рік тому

      Tofautisha Taifa na Kanisa, Debora alikuwa mwamuzi lkn aliyesema na watu alikuwa Baraka, Yesu analiambia Kanisa ndugu, Na ni Neno la Mungu Sasa kama unaiamini Biblia hayo ndiyo yakupasayo kuyajua na kuyaishi.

    • @LastdayJesu4153
      @LastdayJesu4153 6 місяців тому

      Siasa na Mungu mfano huo ni km mama Samia dini yake asingepewa nafasi ya kuongoza lakini siasa inamruhusu kama ukitaka kuelewa mwanamke anyamaze ktk kanisa hivi siku Ya mwisho ukiambiwa ondoka kwangu mtenda maovu utafanyaje kwa kutenda dhambi yakutokuamini Neno la MUNGU.

  • @Annsikoboy-ut8bs
    @Annsikoboy-ut8bs Рік тому

    Mahubiri sio kanisani tu. Mtu anaeeza kuhubiri mahali nje na kanisa. Vituo vya mabasi, katika nyumba za watu, kwenye magari na sehemu nyingine. Kanisani mahubiri huongozwa na wanaume pekee yake!!! Uchungaji wa wanawake kanisani ni mafunzo ya mnyama. Kuigeuza kweli ya MUNGU na kuifanya kuaminika kwa ulimwengu. Enyi mnaoenda katika makanisa yanayoongozwa na wanawake ...... Mnashida isioelezeka.

    • @PastorPeter00
      @PastorPeter00  Рік тому

      Ubarikiwe sana

    • @mesamale
      @mesamale Місяць тому

      ​@@PastorPeter00
      Naomba nisaidie kuelewa kwa wanawake wanao ongoza Sunday school kufundisha, je washirika ambao tunamsikiliza tupo kwenye hatia?

  • @liliangodfrey2379
    @liliangodfrey2379 Рік тому

    Amen amen

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p 3 місяці тому

    Ni kwamba aifai kabisa mwanamuke kua muchungaji Yaan wakiristo sisi tunapotokwa kabisa sheria za bibilia atuifwati tena na ata maubiri ya sasa sio tunaubiri tena imekua Kama vile mashindano kwa mufano kwenye misiba wanakuja wachungaji kama wote na kila mmoja anataka kuonyesha umaarufu wake na ata sio umaarufu wengine ni matuzi matupu mbele ya mama yake na baba yake pia na mtoto wake afikirii ata jambo la kutamuka kw

  • @micahnjoroge3685
    @micahnjoroge3685 Місяць тому

    Je kuna Roho wa wanawake na Roho wanaume?