Huyu kwangu simwiti mzee Said katukosea sana mbona Masatu mwelewa,Chama ana 33 yrs huyo mzee hatufai mm nilisema sana kwa viongoz Chama tunamheshimu katufanyia mengi,lkn kwa sasa umri umekwenda asisajiriwe,nashukuru hili wamesikia na wamelifanyia kaz.Wameondoka wachezaji wazuri sana Simba lk Simba ipo
Chagamba sijawahi kucoment kwenye clip zako but hakuna inayonipita sio miraji, masatu Mzee chambala Wala Mzee saidi, ila namuelewaga Sana Mama gwe Mama gwee aka Mzee saidi hebu tutaftie huyu Mzee bana
Chagamba we shabiki wa timu gana mi nahisi utakuwa yanga maana yanga ikishinda inakuwaga na furaha sana mpaka miraji huwa anakustukia pamoja sana nakufatileena from tabora igunga
Masatu acha ushabiki uwo wewe mtu mzima ongerea soka usiongee kufraisha watu ili wakuone umeongea chagamba ebu waoni watu wasoka sio ao nenda Kwamzee said
Shida ya mzee masatu ushabiki sana kaendekeza, hebu tunawaomba Miraji na Mzee Said
Gamba baba fanya haraka uende kwa mzee said na Miraji awa wengini ushabiki umewazid sana mzee masatu limeumia ilooo
Na msubiri mzee saidi kwa umakini sana 😅😅
@@georgettesaidi6809 ata mim awa matusi ni mengi
Mzee saidi tayari nishamsikiliza mie moyo kwatuuu Bado miraji
Mtafute mzee said haraka sana
Huyu kwangu simwiti mzee Said katukosea sana mbona Masatu mwelewa,Chama ana 33 yrs huyo mzee hatufai mm nilisema sana kwa viongoz Chama tunamheshimu katufanyia mengi,lkn kwa sasa umri umekwenda asisajiriwe,nashukuru hili wamesikia na wamelifanyia kaz.Wameondoka wachezaji wazuri sana Simba lk Simba ipo
Gamba na kuita mala 3: pia na kuagiza uende kwa mzee saidi chap ukifika nijuze niko na mazungumzo nae
namngoja miraji na Mzee said awa awachekeshi ata😂😂
HAHAHAHAHA.Eti Mutale mtu asilete timu.unajifariji tu pengine ushajikojolea bro😂😂😂😂😂🌚
Chagamba mzee masatu hawezi kufunguka anawivu !😂 kiboko ya ukweli mzee side , fanya chap umuone mzee said 🎉
Tuletee mzee wetu Said tunamwelewa sana.
Mzee saidi nampenda anaongea ukweli sio hao wengine mzee saidi ❤❤❤4rever baba
Chagamba mtafute mzee saidi fasta please 😂😂😂😂. Tucheke😂😂.
TUNAMTAKA MZEE SAID BANA 😂😂😂
😂😂😂👍
Chagamba tuletee Mzee Said huyo mzee Masatu anazungumza pumba tuu. 😂
Achana na hapo tutafutie mzee said aiseee
Mzee Masatu ana Akili kuliko Mzee Saidi na Miraji...Huyu mzee ana Takwimu na utambuzi na Football
Chagamba sijawahi kucoment kwenye clip zako but hakuna inayonipita sio miraji, masatu Mzee chambala Wala Mzee saidi, ila namuelewaga Sana Mama gwe Mama gwee aka Mzee saidi hebu tutaftie huyu Mzee bana
Oya chagamba tunataka maoni ya mzee sidee..hawa wengne aaah..
Chagambaaaa fanya upesi nileteee mzee wetu saidi anayeona mbali
Habari ya mjini mzee said king
Chagamba naomba ukiwa namuoji mzee saidi mwambiye awe anataja namba ya m-pesa basi
Said acha aumieeeeeeeee
CHAGAMBA JAMANIII MLETE MZEE SAIDI JAMANIII 😂😂😂😂TUMEMMIS SANA MZEE SAIDI 😂😂😂😂
Mzee saidi pleaaseeee
Chagamba we shabiki wa timu gana mi nahisi utakuwa yanga maana yanga ikishinda inakuwaga na furaha sana mpaka miraji huwa anakustukia pamoja sana nakufatileena from tabora igunga
Unaongea Sana UKIPIGWA unaanza kunyakunya, 🤣🤣🤣
Mzee kapagawa ghafla😂😂iko wapi kapost nani
Mwachen aondoke
Jamaa anataka kucheza champions league
Tunamtaka Mzee Saidi
Chagamba mtafute mzee Said 😅😅😅
Gamba nenda Kwa mzeee Said bhana na miraji hao wengine ushabiki tuuu
Huyu mzee, fala sana! Huwa anaongea upuuzi MTUPU
Simba Day hatwendi mpaka Gugu boy atoke🐕🦺🐕🦺🐕🦺
Mzee saidi wapi gamba Archana na hapo maandazi😂😂
Gambaa mzee saidi tunamtaka n miraji haraka 😂
Mzee said wapiii tumemmiss 🎉🎉🎉🎉
Mtafute mzee said tucheke jamani
aaa weeee mlete mzee said
Inshallah 🎉🎉🎉🎉
Chagamba,i was waiting for this
Huyu mpira haujui anaweka ushabiki mbele
Chagamba wahiiiiiiii kwa mzeee saidi😂
Huyo mzee shabiki mandazi
chagamba mzee said alikwambia uwahi kumhoji kama chama ni kijani na njano ...tuletee mzee said tucheke
Tuletee Mzee Side na Miraji
Wahi kwa mzee Said na Miraji
Mtafute mzee Said mwanangu tupate burudani ya uchambuzi wake.
Mzee said tunamuhitaji haraka
Chagamba achana na huyo mzee anakupotezea fans hana vibe wala radhaa NENDA KWA MZEE said faster na yule jamaa mwingine wa SIJUI UNANIELEWA???
HIVI WEWE GAMBA HUJUI2 KAMA TUNAMTAKA MZEE SAIDI
Kwani Kila timu ina chama APA Africa, itainuka Simba mpya zaidi ya Simba ya Chama,robo robo Kila msimi tumechoka
Nyie wenye uongozi Bora Mana nini Cha Mana Wacha porojo we Babu, maneno ya kilevi hayo naenda Katie lock kwanza
mlete mzee saidi daah najaribu kuvaa viatu vyake haviniyoshi kabisa
Tunamtaka mzee saidiiiiiii
Mlete. Mzee saidi
Miraji achana na shabiki tu huyo, nenda kwa mzee said, achana na Hao makolo luwala wanaodhani mpira ni kama ngoma ya tokomile
Uyo Mzee hajui mpira achananae
Huyu mzee alisema Chama hawezi kwenda Yanga, leo anaanza kudanganya watu
mfate mzee saidi bana hapa mamluki
Mzee said
Mzee said tunamtaka
Huyu mzee anakulaga choo Cha mbwa
Mfate uko uko offisini bhana mzee saidi
Mzee said tafadhar
Mzee Masatu kwani hao wenye timu yao msimu uliopita si walikuwepo
😂😂😂Mzee masatu unauliza kapost nani😂
Kaumia huyooo
@@LimseyMassawe kabisa ila anajikaza tu
Kupika sup na kuweka mabango ndo nambo mageni hayajawi kufanywa na Simba,.
Tunataka mzee said chagamba
Huyo mzee sio mtu wampila kabisa
Mzeee said please
Mzee anahaha😅😅
Gamba tunamtaka Mzee saidi
Mtaje na mundele makusu 😢😢
Gamba uwe unamhoji mzee said Said zaid. Yule ndo anaongea kwa hisia sio huyu. Huyu bado
Sasa huyu ni wa Kwanza kuliko na Kabla ya Mzee Saidi.
Masatu acha ushabiki uwo wewe mtu mzima ongerea soka usiongee kufraisha watu ili wakuone umeongea chagamba ebu waoni watu wasoka sio ao nenda Kwamzee said
chagamba tunamtaka mzee saidi leo
Tunamtaka mzee said ni mkweli
Tuletee na mzee saidi
mlete mzee said please
Chagamba achana na mashabiki wa timu mfate mzee said mchambuzi wa mpila
Chagamba Nenda haraka kwa mzeee saidi
Chagamba tutaftie mzee saidi
Mzee said bhana
Twende Kwa side
Mzee said yupo wapi chagamba mtsfute alipo saidi
Mzee said yupo wp jaman tumemumsi bhana
Chagamba tafazal nakuomba fanya mpango wa mzee said
Mzee saidi ndio tunamtata
Munaoji wwwwweeeu ety
hata marehem likuwa bishi
Chagamba wahi kwa mzee said
Heeee
ETI MPANZU KRAMO MLIWASAJILI LINI NA SIMBA INGEKUWA VIZURI INGESHIKA NAFASI YA 3? WEWE MZEE MASATU USIWE MNAFIKI
Gambaaaaa.
Tuharakishee twende kwa miraji na mzee said.
Jamboo bado la motoo hiliiii
Tunamtaka Mzee Saidi
Nenda kwa mzee said uyo hanaga inshu
Mzee anahaha😅😅