Pt1_"Ni Mungu aliniagiza,waliniwinda waniue"MAJIBU YA GOODLUCK GOZBERT KUHUSU KUCHOMA GARI YA ZAWADI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 20

  • @judithbett420
    @judithbett420 17 годин тому +2

    Thanks for sharing

  • @irenekasembe9864
    @irenekasembe9864 17 годин тому +1

    Kwenye suala la kumuimbia Mungu, Halafu usitaje Yesu, ukataja Mungu tu, au usitaje Yesu, au usitaje kabisa. Mm naona ipo ndani ya mtu nafsini mwake au Rohoni mwake, anamaanisha nini anachokiimba. Mtu mwingine anaweza akaimba Saana akataja jina la Yesu/Mungu. Kumbe nafsini mwake hamaanishi Mungu huyu Muumbaji, bali ni miungu yake tu, Halafu watu wakafurahia mziki, Kumbe hawamfurahii Yule Muumbaji, bali ni mungu na sio MUNGU.

  • @FloraOsward
    @FloraOsward День тому +1

    Ni kweli

  • @JosephMuye
    @JosephMuye 16 годин тому +1

    Gozbert amua kumurudia Mungu wa kweli kaka. N mm ndo nahisi n kama kuchoma gari n mbinu moja wapo ya kurudisha fans wake ama kutangenza kiki ndoa.rudi tena kwenye sanaa. Ila kaka rudi kwenye kutukuza Mungu wa kweli.

  • @sekelamwakalindile9339
    @sekelamwakalindile9339 День тому

    Mungu akufufue Tena, Ile kazi ameweka ndani yako idhihirike mara dufu

  • @jeclamhenry
    @jeclamhenry День тому +1

    hONGERA SANA KWA UAMUZI , TUNAKUOMBEA MUNGUAZIDI KUKUTUNZA

  • @samuelmooshe
    @samuelmooshe 2 дні тому +1

    wateule tuwe macho

  • @Jihelya
    @Jihelya 2 дні тому +1

    🎉🎉 2:30

  • @josykogei
    @josykogei 2 дні тому +1

    Kiu ya kufunga mpendwa ni tamu sana

  • @elvisambundo9040
    @elvisambundo9040 День тому

    Haja gani ungechoma hio gari ungerudisha

  • @stephenruth050
    @stephenruth050 2 дні тому

    Genuine talk

  • @Nabatabita6873
    @Nabatabita6873 2 дні тому

    Kweli kabisa

  • @annkim2690
    @annkim2690 20 годин тому

    Huyu alikua kidunia sana hata kucheza kwake mmm lakini shetani nae pia ni mtumishi wa Bwana ako kunyosha wanao lega lega kwa wokovu

  • @MshaniDorcas
    @MshaniDorcas 2 дні тому

    Mbona amepungua jamani😢

  • @IsmailMaberi
    @IsmailMaberi 2 дні тому

    WEWE NA UYO NABII WOTE SIE MUNGU MLIE NAE WOTE MNAPENDA SIFA KWANI YESU ALISEMA UKITOA SADAKA YAKO IWE SIRINI YUPO MUNGU AONAE SIRINI ATAKUJAZA ILA NABII ANATOA SADAKA HADHARANI KINYUME NA NENO LA MUNGU IVYO WEWE NAE ULIPOKEA ,TENA USIMSINGIZIE MUNGU KWA UJINGA WENU , MUNGU AWEZ KUKUONGOZA UFANYE JAMBO AMBALO LITALETA MACHAFUKO KWA WATU,NA KELELE KWANI MUNGU SIO MUNGU WA MACHAFUKO AWEZ CHONGANISHA WATU UYO NI SHETANI ALISHAJIGEUZA ANAWAONGOZA ILI ACHAFUE JINA LA YESU,MNASINGIZIANA IVYO SHETANI ANAWACHEKA KWANI SIFA YA SHETANI NI MCHONGANISH ,TENA MNADHANI NI MUNGU ,UYO JAMANI SIO WA MUNGU

  • @saramss7262
    @saramss7262 День тому

    Kwani mtumishi JACTAN leo Ayupo naona upako wako ndio unawafanya wengi wamfudiye MFALME

  • @mamamwajei8789
    @mamamwajei8789 День тому +2

    nilichogundua Kuna kitu Bado gudluck hajafikia viwango,kwanza kila kitu ye anajua na kuonekana kutopenda kukosolewa Kwa kuwa anaamini kwakuwa anafanya kazi Kwa bidii basi hastahili kuambiwa hapa unakosea,nimeona asilimia mia nyingi anaongelea yeye anaakili,yeye anajua ,yeye ana maadui na karibia intavyuu nzima ana deal na maadui,akihisi kumlenga mtu au watu wanamuonea wivu.....badala adili TU UFALME WA MUNGU na hao watesi na maadui watashugulikiwa MUNGU,,,nimempongeza Kwa mengi ila MUNGU ampe neema ya kujua kua yeye ni mfungwa TU asie na faida...ujue YESU anataka asifiwe yeye TU ,Sasa unapoimba na humtaji YESU..unataja MUNGU hata husemi MUNGU baba aliejuu mbinguni maana Kuna miungu mingi Sasa wewe unamuimbia Mungu yupi? na hutaki kukosolewa? au uimbe Kwa stage Ili watu washangilie warukeruke yaani watu wafurahi YESU achukizwe?badilika jumla kama umeamua kumkana shetani Basi mkane na kazi zake zoooote....nimeona umetoa nyimbo mpya na humtaji YESU,,et dadiii my dadiiii we gudluck Dadi yupi unaemzungumzia?

    • @princessplatnum4416
      @princessplatnum4416 День тому

      Inaonekana ww umefunguliwa vyote tueleze ww coz umekamilika kuliko Ata mungu kumbuka akuna alokamilika kwa sisi wa Adam Ila ww umekamilika

    • @AliciaNdyamukama
      @AliciaNdyamukama День тому

      Ww bado haujataka toba ya kweri maana sjaona Yale matunda yapasayo toba hata hayo unayoyaongea hayama uwepo wa roho mtakatifu Ila ni drama hayanigusi,mwanadam ameumbwa amwabudu mungu sio watu,tubu,tubu,tubu ,toba ya kweri