ATIMKIA ACT WAZALENDO AKIDAI CHADEMA IMEJAA RUSHWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 18

  • @BatazalNdifwa-nk2hl
    @BatazalNdifwa-nk2hl Місяць тому +1

    Mmmmmmmmm! Ruvuma Yote tunamjua Vizuri. @ Aseme kama hakuuza Jimbo 1995. Mh John mwankina Anazo Data zooote za huyu Mwamba. Mfanya Biashara ya siasa. Na hapo ni Jimbo la songea 2025. Wekeni mstari maneno haya. Wanasongea wanajua Vizuri sana. Ok

  • @FRPBYPASSTZ
    @FRPBYPASSTZ Місяць тому

    Usiache mbachao kwa .........

  • @Raphaelkimombo
    @Raphaelkimombo Місяць тому

    naona unafanya mzunguko ukimaliaza upinzan utarudi chama tawala😅😅

  • @EngelbertMakoye
    @EngelbertMakoye Місяць тому

    Kwani hamuwezi kuhama bila kuisema chadema vibaya hivi kweli chadema ni Kuna rushwa kuliko ccm !? Anayewayuma anawadanganya na anawapotosha

  • @sadotkyabuguta3700
    @sadotkyabuguta3700 Місяць тому

    Umefika kwa wenzako, wasalimie.

  • @MichaelJoashi
    @MichaelJoashi Місяць тому

    Wewe nenda tu

  • @DenisMatemu
    @DenisMatemu Місяць тому

    huyu ni nani tena😂

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 Місяць тому

    Mwanakwaya huyo amejifunza kuimba

  • @philemonsnyanda9450
    @philemonsnyanda9450 Місяць тому

    Act kwa chadema munapoteza muda tyuuuu😂

  • @brucardkomba616
    @brucardkomba616 Місяць тому

    Fuime sio mtu wa songea, WATU wa huku tunajuana Kwa majina komba, mapunda, nyoka, tembo,

  • @Mosesndahani
    @Mosesndahani Місяць тому

    Chadema haina watu wa namna ya jamaa huyu anaongea kapoa utadhani anapeleka posa.

  • @matiredms917
    @matiredms917 Місяць тому

    ACT Wazalendo mwogopeni huyu masaka vyeo. Angalieni historia yake. Hajawahi kukaa mahali kila anaposhindwa kwenye kura hata kama ameshindwa kihalali. Atakuja kuwakimbia. Hakuna mahali ambapo hapana matatizo madogo. Huyu ni dhahiri akapewa rushwa kidogo atahama tu. No malaya wa kisiasa.

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm Місяць тому

    Ruvuma hakuna kitu. Asilimia kubwa ni maccm. Na waliobaki wachche Hawajielewi pia. Rubin’s hawajaamka bado. Msikie alivyohamahama, na atahama tena. Hana msimamo huyu. Rubin’s bado wanamkumbuka Nyerere na kawawa wao mtiifu. Kunahitaji elimu kubwa. Msikilize ongea yake. Hafai kuwa kiongozi. Labda was Zoe sasa lakini Ruvuma ni tofauti sana na mikoa miniğine. Hakuna kulikojaa rushwa kama CCM. Ccm ni rushwa waziwazi.Hiyo kuchangia chakula iko kila sehemu Ruvuma ambako kumetapakaa CCM tu. Hakuna Chadema kule. Unaongea utumbo mtupu. Ruvuma yote ni CCM usitafute kisingizio chchote. Huna kivutio chochote cha uongozi. Kama ulikuwa Chadema umeshindwa kusimama imara. Ukipewa choe ACT hapo hutaweza kuleta wana Hama huko. Ongea yako tu inawafanya watu wasinzie.unaboa Ni malayamalaya tu huyu. Muongo. Apuuzwe.

    • @BatazalNdifwa-nk2hl
      @BatazalNdifwa-nk2hl Місяць тому

      Noooooo! Ruvuma Tupo mno. Ila Wanasiaea hasa Yeye huyo ni Biashara ya Siasa. Ok

  • @samsonmwijage1869
    @samsonmwijage1869 Місяць тому

    Ni haki yako ya kikatiba kujiunga na chama cha siasa unachokitaka.
    Baada ya kuhama chadema kama ungejiunga na chama tawala wapo ambao wangesema bila ushahidi wowote kuwa umenunuliwa !!!
    Said Kubenea akiwa mjumbe wa kamati kuu naye alitoka chadema akajiunga ACT kama wewe.
    Zito na wenzake walifukuzwa chadema hawakuenda ccm wakajiunga ACT. n.k

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm Місяць тому

      Huu ni mzoga usiojitambua. Unatafuta tena cheo huko ACT kwani kanyea kila chama. Ni yeye alikiuza Chadema . Kimemshinda sababu si mkweli. Si mtenda kazi, anawategemea wenzake wamfanyie kazi yeye astarehehe tu. Hajui kuwa naye atomize wajibu wake Sawa Sawa. Ni hawa vurula njia hapa leo pale kesho. Hata hapa atapakimbia na kumlaumu fulani. Mtu muingo utamjua akiongea, hatizami watu usoni, ana hela pasipo kucheka, hakukumbuka swali hata moja na kashindwa kujibu maswali yote.uwezo wake mdogo sana akitegemea mambo makubwa. Ni wa kumweka kapuni tu. Hataweza kuiongiza ACT Ruvuma huyu.

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm Місяць тому

    Ruhuma hakuna kitu. Asilimia kubwa ni maccm. Na waliobaki wachche Hawajielewi pia. Rubin’s hawajaamka bado. Msikie alivyohamahama, na atahama tena. Hana msimamo huyu. Rubin’s bado wanamkumbuka Nyerere na kawawa wao mtiifu. Kunahitaji elimu kubwa. Msikilize ongea yake. Hafai kuwa kiongozi. Labda was Zoe sasa lakini Ruvuma ni tofauti sana na mikoa miniğine. Hakuna kulikojaa rushwa kama CCM. Ccm ni rushwa waziwazi.Hiyo kuchangia chakula iko kila sehemu Ruvuma ambako kumetapakaa CCM tu. Hakuna Chadema kule. Unaongea utumbo mtupu. Ruvuma yote ni CCM usitafute kisingizio chchote. Huna kivutio chochote cha uongozi. Kama ulikuwa Chadema umeshindwa kusimama imara. Ukipewa choe ACT hapo hutaweza kuleta wana Hama huko. Ongea yako tu inawafanya watu wasinzie.unaboa Msigwa wa pili huyu.