God is good all the time, Bless Sis Rose Muhando she has been a blessing to many. mungu unajua taji yenye umemwekea mtumishi wako. Zidi kumjaza nguvu mpiganie katika hali yote anayopitia, makwazo yako but Kwako tuko na ushindi milele na milele
Ikiwa kwamba, ni dhambi zetu, zimetutenga, nawe semaa nasi, Amen dada Rose mungu akubariki sana, wimbo zako uwa zina mafuzo, kwangu tena zinanitia moyo, kumpenda mungu wangu zaidi?
God bless u Rose with more songs. We like ur songs, and bring us more songs that will help many people who r in needs and those who don't know (God Almighty) in heaven.
who is here in 2024?,may God bless this woman where she is
Fellow christians tell God to answer my prayers .am so desperate 😭😭
May God bless you
Nani ako apa 2022? BABA sema nami 🙇♀️🙇♀️
Niko apartments,nangoja aseme nami🙇♀️🙏
Mama rose mungu akubariki sana kwa kila jabo adui hawana nguvu kwa life yako .unanibariki sana kwa hii mwimbo yako sema nami
Asante kwa mahubiri haya, mmi naita hutuba sio wimbo bure Silas,kenya
Sema nami Baba niko mbele zako. Sema nami katika maisha yangu sauti yako yanitia nguvu ya kusonga mbele
God is good all the time, Bless Sis Rose Muhando she has been a blessing to many. mungu unajua taji yenye umemwekea mtumishi wako. Zidi kumjaza nguvu mpiganie katika hali yote anayopitia, makwazo yako but Kwako tuko na ushindi milele na milele
Am so blessed, sema nami niko mbele zako, asante kusema na dada Rose muhando Amen(2019) thumb up
Sema nami YESU wangu maana wewe ndio mawazo na mwisho wa maisha yangu
2020 who's within??? Love you Rose 😘😘😘
oh God speak with me please I'm in the front of yourself I really like this song is blessing me a lot be blessed dear Rose from USA
Unafanyaje U.S.A
Ikiwa kwamba, ni dhambi zetu, zimetutenga, nawe semaa nasi, Amen dada Rose mungu akubariki sana, wimbo zako uwa zina mafuzo, kwangu tena zinanitia moyo, kumpenda mungu wangu zaidi?
Shetani hata huna aibu ulikua unataka kuchukua hii sauti uipeleke wapi shindwa na ulegeee
Sema neno Bwana kwa hii corona. Umebaki wewe peke yako,tunakutazama.2020
I see biblical Job in Rose muhando.she has endured so much. But she has stood firm in christ
Exactly and Prophet Jeremiah, but God finally makes her victorious
Nena nami baba 🙌 niko mbele zako 🙇🙇🙏🙏🙏
Yeah ,thanks sister Rose ,unanikumbusha enzi za nyuma kidogo ,ubarikiwe Na huduma yako isonge mbele amina
Wimbo huu umenibariki sana na kunipa hatua kupiga hatua moja zaidi! Mungu wa milele akubari Dada yetu mtumishi Rozi
nasinyari marko amen amen
nikweli mum....
nasinyari marko amen
Sema namimi Anitha nénomoja basi eeeeBaba niko saudia usinagniace
Rose napenda sana nyimbo zako huwa zinibariki sana ata kama napitia mangumu zinanitiya nguvu mungu akubariki
Sema nani baba niko mbele zako 2020
Mukama yebazibwe rose muhando when I get chance and you read this massage. You will know that Uganda revival waiting for you.
May the heavens speak on behalf of my son who is gonna join university this year and i am jobless.God make provision for me
Asante Roz kwa kufanyika Baraka maishani mwangu!!!Yesu alisema imekwisha!
Mungu akubariki Rose kwa huduma ya uimbaji tunabarikiwa sana
Baba ulisema imekwisha mungu nisamehee makosa yangu yote nipee nafasi nyingine sema n mimi usinyamanze mungu wangu😭😭🙏🙏🙏
Sema nami yesu Niko mbele zako Jehovah
Yote imekwisha sema nami Baba niko mbele zako congratulations Rose GOD bless
Sema namimi Leo yesu nko mbele zako nani uko hapa yr2019
Mm hapa tuko wote hapa tukibarikiwa
2020😘🙏🏽
Akika Rozi unanibariki saaaana naujumbe wako Mungu azidi kukuongoza ukamtumikie ktk utauwa na kwaunyenyekevu.
Group ya 2022 begging God aseme neno wapi???
Kwetu🙇♀️🙏
God bless u Rose with more songs. We like ur songs, and bring us more songs that will help many people who r in needs and those who don't know (God Almighty) in heaven.
Sema nami bwana nko mbele ,Mungu akupe nguvu dd Roz
Asante da Rose wimbo huu umenibariki mno. Mungu azidi kukubariki milele na milele amina.
Asante Mungu kwa huduma hii.ameeeen❤❤
Très bien Madame félicitations pour cette shanson alé en avant.
Nyimbo zako zinanijenga moyo mungu akupe maisha marefu sana.
It has touched and transformed me. Get blessed Rose
T5t CB to
Thanks for your blessings songs. Rose in Jesus name.
Sema na moyo wangu jehovah
aki hii wimbo umenibariki na umbarikie rose
sema nami eeBWANA,,barikiwa mama Rose..
ea mutumishi wamungu kwelikabisa hajamungu akuinue nimepalikiwa sana amen
Kwa kweli huu wimbo umeniinua karibu na Mungu
its a nice song God plz just talk to us one word and our life wl change dont leave us
actually we need you Lord. Sema nasi mungu.
rose ubarikiwe na Mungu kazi ya mikono yako
Sema nami bwana 🙏
yamekwisha, hayatainuka tena.. hallelujah
eeh!!Jehovah sema nami bwana qwa sauti y u pole nko mbele zako.
Sema nami Bwana kwa kuwa niko mbele Zako, usiufiche uso wako
sema na Mimi bwana kabla mwaka 2018 Hauja ishaaa
Nice song am so blessed sema na mimi Baba
Dada Mungu akubaliki
mungu akubariki Dada rose wimbo umenibariki sana
I love this song ❤
Talk to me lord indeed... You are so faithful..
wimbo unabariki sana na kugusa moyo wangu , barikiwa dadangu ,Shalom..
Sema nami baba usiufiche uso wako nipo mbele zako
shaderack tsungula w
2022 bwana asifiwe…✨
Amen🙏🙏
SSA BABA MWENYEZI MUNGU SEMA NAMI MWAKA HUU 2020!! NAKUSIKIZAA!!
Nashinda kurudiarudia huu wimbo,barikiwa Rose kwa wimbo mzuri
LORD,please say a word to our country Kenya. You have the final say for our country. Dear Lord don't abandon our country.
Indeed amen
The best African gift.Thanks Sister
Listening in 2022.sema nami bwana
Amen, hakika wimbo umenibariki sana
SEMA NA MIMI BWANA, AKSANTE BWANA ,FROM TANZANIA
Mungu nahomba usemee..namimi
Amazing song i like the song
Nani tuko naye 2021 mum zidi kubarkiwa😃😃😃😃😃😃
Sema na nafsi yangu Bwana
Wimbo huu umenibariki sana!. Barikiwa.
sema nasi mungu tuko tayari
sema nasi baba tupo mbele zako
sema nasi MUNGU tupo mbele zako
Sema neno moja tu,ee Bwana.
Sema nami mungu wangu
Waiting to hear from you JESUS. Thanks rozy for this soñgs
Be blessed my sister
sema na Tanzania Yesu
sema nami bwana! bless you madam
wimbo wa rose wa sema nani ni bonge la song
Great,,,,,,,,,,,,,sema nami Bwana
May your territories be enlarged sis rose awesome
Nice song. God bless u sis.
Sema nami Bwana niko mbele zako nahitaji kusikia kutoka kwako Bwana
Don't turn your back on me my Lord,Sema nami tafadhali...
Ubarikiwe sana na Bwana
my name is asneth Avery nice massage Rose God bless you so much amen hatasema Nazi kwa hakika in Jesus name amen
Amina amina sema nami bwana nko mbele zako
اسنت اسنيتوsema tup yes
Sema nawatu wako yesu
Sema nami Yesu
blessing song I love it oops God bless uuuu
thanks my dear God because u are speaking to me
Sema nami yesu niko mbele zako
My ears are open send a word. usisimame mbali Na inchi yetu ya Kenya
Sema nami baba kwakua we in mtetez wa wanyonge
nice song be blessed servant of God
sema namimi Mungu wangu
Oh our God speak to my country Kenya fought for us Jesus the disease flood many thing are happening we are in front of you God speak us
I love the song so much God bless you sis
Lovely song. God bless you Rose.
sema nami bwana usinifiche uso wako bariikiwa dada rose
sema na wanangu Yesu
God richly bless mum
this song it bleses me alot
he always answer our prayers,l love the song amen.
So powerful worship 🙏🙏 2022 who's there...
nice song
Sema nami baba mbona waniaja pekee
the great woman of Leaving God we salute you in the name of Jesus