@RELAXTUBE1362 WACHEZAJI WENYE THAMANI HIYO WAPO ILA TUNA WA DOWNGRADE SISI,NA NINYI SIMBA HUYO FEI ANGEKUWA WENU HATA B5 MNGESEMA ,SI MNAJIFANYA MNA PESA SIMBA JANJA JANJA SANA HUWA HAMLIPI ADA ZA UHAMISHO ESPECIALLY LOCALLY.KUMBUKA KUANZIA AFRICA LYON NA SAMATTA NA HUYO BILLIONEA WENU.
@@proisolution7166 kwa iyo unanunua vitu kwa bei ya juu kwa sababu unahela nyingi au kwa sababu ya thamani kitu icho? ebu tutumie akili zetu japo kidogo tu, ukitumia akii zako kidogo utaona hakuna mchezaji bongo mwenye thamani iyo, tena sio bongo hata east africa hamna, yaani ni mjinga tu ndio anaweza fanya iyo biashara,
Dola laki 5 aliwekewa chama na mo tatizo likaja kwa ule wakati chama alikua ameshasaini mkataba na yanga ndomana momo alisema mchezaji baada ya kuonyeshwa mkataba wenye signing fee dola laki 5 almost kama b 1.3 na mshahara dola elfu 20 ambayo ni kam milion 50 hivi ikabidi akaombe ushauri kwa timu yake ya zamani(simba) hivyo kama angekua aziz ki isingwezekana akaombe ushauri kwa kusaini mkataba mnono kwa team yake ya zamani(asec) ikiwa ni miaka 2 tayar tangu aondoke juu na hapo mshauri mkuu wa aziz ni mama yake na kama ni ushauri aziz angeenda kuomba kwa mama yake na wameamua kusaini ama la pasipo ushauri na ushauri wa team yake ya zamani..
Hata hao waarabu unaosema hawajawahi kununua mchezaji tz kwa ghalama ya USD milioni mbili sasa hivyo hata Fey kununuliwa kwa ghalama hizo haiwezekani maana kwa ghalama hizo unapata akina Fey kumi
Huyu jamaa ni mkweli bana ila tu yeye anaongea nyepesi nyepesi yaani sio rasmi na hulazimishwi kuamini! Juzjuz alisema Moo aliweka b3 kwa azizi Ki lakn kachelewaa maana azizi ameshasaini. Na kweli jana aziz katangazwa! 😂😂😂😂
Badilikeni wasafi acheni kutoa story za uongo ili kumpandisha mmoja na kumshusha mwingine Tutaacha kabisa kuwafatilia mana mmekosa weledi kabisa, mtabaki na timu yenu mnayoipenda
Acha kuisema Simba yetu hivyo balance story zenu,siyo kila cku kuiponda Simba tuu,kama radio yenu Ipo kuiponda Simba semeni ijulikane.Mbona timu pinzani hamzipondi au Kwa sababu bila Simba hamuuzi
😂😂😂etih nakupigia mpaka Leo hajapiga
Hakuna mchezaji Bongo ana thamani ya USD mil 5. Feysal is just over hyped, hana maajabu kiivo
@RELAXTUBE1362 WACHEZAJI WENYE THAMANI HIYO WAPO ILA TUNA WA DOWNGRADE SISI,NA NINYI SIMBA HUYO FEI ANGEKUWA WENU HATA B5 MNGESEMA ,SI MNAJIFANYA MNA PESA SIMBA JANJA JANJA SANA HUWA HAMLIPI ADA ZA UHAMISHO ESPECIALLY LOCALLY.KUMBUKA KUANZIA AFRICA LYON NA SAMATTA NA HUYO BILLIONEA WENU.
@@proisolution7166 hayo unayosema wewe ni maneno ya wasemaji tu ila kiukweli hakuna mchezaji Bongo ana thamani hiyo
Fei jamani hana jipya kiivo ni mara ngapi anazurura tu uwanjani
@@maliadii4829 Kama angekuwa mkali kiivo lazma kuna offers nyingi toka nje zingekuja.
@@proisolution7166 kwa iyo unanunua vitu kwa bei ya juu kwa sababu unahela nyingi au kwa sababu ya thamani kitu icho? ebu tutumie akili zetu japo kidogo tu, ukitumia akii zako kidogo utaona hakuna mchezaji bongo mwenye thamani iyo, tena sio bongo hata east africa hamna, yaani ni mjinga tu ndio anaweza fanya iyo biashara,
Hahahahaha 😂😂😂😂 walijifanya Simba wanamtaka Feisal hiyo Ndiyo kiboko Yao nyau hao
Hizi ni tetesi kama uzipendi kasikilize taarabu
😂😂😂 au sio
Sahihi kakaa! Mi nazielewa kinoma😂
Hakuna tetesi hapo ni udaku na uchawa, subiri Crown wamekuja wawanyooshe
ahhahaahaha MOMO bhana acha mambo yako MOMO
We MoMo muongo sana, we si ulisema Aziz K yupo Misri tayari na tajiri kaishatema mzigo?!
Dola laki 5 aliwekewa chama na mo tatizo likaja kwa ule wakati chama alikua ameshasaini mkataba na yanga ndomana momo alisema mchezaji baada ya kuonyeshwa mkataba wenye signing fee dola laki 5 almost kama b 1.3 na mshahara dola elfu 20 ambayo ni kam milion 50 hivi ikabidi akaombe ushauri kwa timu yake ya zamani(simba) hivyo kama angekua aziz ki isingwezekana akaombe ushauri kwa kusaini mkataba mnono kwa team yake ya zamani(asec) ikiwa ni miaka 2 tayar tangu aondoke juu na hapo mshauri mkuu wa aziz ni mama yake na kama ni ushauri aziz angeenda kuomba kwa mama yake na wameamua kusaini ama la pasipo ushauri na ushauri wa team yake ya zamani..
HIZI TAARIFA HUWA UNAZIPATA WAPI AU UNAPEWA NA NANI...??
Muongo huyu juz kaseama k hajasain wakat tu najua amesain na ndo ipo hivo
Walisema wanataka dola laki tano tu kwa simba jamaa wakasema Sawa mara Tajiri yussuf akakataa
Momo sahii ushakua muogo 😂😂😂😂😂b.3 zimenda wapi
Muogo?😂😂😂😂
@@user-uj5wg9mm2t muhimu umeelewa 😄 🤣 😂
Simba hao wamemshindwa Feisali Dola 500 mchezo😂😂😂😂
Siku hiz muongo sana
Jana tu katudanganya aziz hajasaini na mo kamwekea $laki tano na badae aziz kathibitisha kusain yanga
@@davidsuleman233Labda kama hukumuelewa mzee rudia Tena kuangalia
Momoooo
Momo muongo bwana
Haya mkamchukueee
Na wenyewe wakitaka mchezaji?
Wana Simba muwe makini na hawa chawa, wanatumika kuanzisha story za uongo ili kuipaisha Uto. Mfano mzuri ni hii ishu ya Ki.
Pesa awana
Hata hao waarabu unaosema hawajawahi kununua mchezaji tz kwa ghalama ya USD milioni mbili sasa hivyo hata Fey kununuliwa kwa ghalama hizo haiwezekani maana kwa ghalama hizo unapata akina Fey kumi
Juzi umesema hamna habari km hizo ni uzushi tu leo tena umekuja na mpya tena
Huyu jamaa ni mkweli bana ila tu yeye anaongea nyepesi nyepesi yaani sio rasmi na hulazimishwi kuamini! Juzjuz alisema Moo aliweka b3 kwa azizi Ki lakn kachelewaa maana azizi ameshasaini. Na kweli jana aziz katangazwa! 😂😂😂😂
Akuna mcheza wa samani ihii momo kwa tanzania yenu wamefanya kwa kutk to kuwakomoa ila wakt ukifk tuta ona km abaki
Ukiona mtu anaisema vibaya cmba ujue anaipenda story hazinogi ya kuitaja cmba wenyew wako misri wako bize na mambo yao
Makolo kumtaka fei
Gadi sasa hajapiga
Badilikeni wasafi acheni kutoa story za uongo ili kumpandisha mmoja na kumshusha mwingine
Tutaacha kabisa kuwafatilia mana mmekosa weledi kabisa, mtabaki na timu yenu mnayoipenda
Tumia umoja kaka,,, sema nitaacha sio tutaacha😂😂
Wajinga ni sisi tunaotazama uongo kila siku ilhali tukijua ni uongo.
Wala sio uongo wewe ndio unahisi uongo 😅😅
Mjinga ni wewe,hukulazimishwa kutazama
Hiyo niyakwel moo kazima cm ili uamin zle kelele feisal anakuja simba zimeishia wap moo mbuz tu feisal anamikataba miwili yanga na azam
Sio sisi wajingaaa... SEMA wew mwenyewe ndio........
😂
We ndo mjinga sio sisi kwani ayo mambo ayafanyiki kwenye hi dunia
Muongo sana
😂😂😂😂
Ujinga wa kutotaka vijana wetu wasonge mbele
Acha kuisema Simba yetu hivyo balance story zenu,siyo kila cku kuiponda Simba tuu,kama radio yenu Ipo kuiponda Simba semeni ijulikane.Mbona timu pinzani hamzipondi au Kwa sababu bila Simba hamuuzi
Hahaha susa unasusa susa😂😂😂😂
Kwn kaitaja timu hapo😂
Kwanza hajataja
Timu kingine hayo makasiliko sio mahala pake hapa
@@SalvatoryMbigili-m2f😂😂😂
Huyo momo ni simba damu kabisa
Subiri nakupigia
𝙃𝙪𝙮𝙪 𝙟𝙖𝙢𝙖𝙖 𝙣𝙞 𝙢𝙣𝙜𝙚𝙨𝙚 𝙢𝙣𝙜𝙚𝙨𝙚 𝙩𝙪 𝙝𝙖𝙢𝙣𝙖 𝙝𝙖𝙩𝙖 𝙩𝙖𝙖𝙧𝙞𝙛𝙖 1 𝙮𝙖 𝙢𝙖𝙖𝙣𝙖..