SAKATA LA SUKARI KAA LA MOTO BODI YA SUKARI YA HOJI, SUKARI ILIYOINGIA BILA KIBALI IPO WAPI?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 сер 2024
  • Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
    Mkurugenzi wa bodi ahoji meli iliyoingiza sukari bila kibali ilipo
    Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari nchini Kenneth Bengesi amehoji kwa kuuliza kwamba sukari iliyoingizwa nchini bila kibali ipo wapi, hili limekuja baada ya Umoja wa Wazalishaji wa Sukari Tanzania (TSPA) kuzungumza na waandishi wa habari Julai 1, 2024.
    Akizungumza kwa niaba ya wazalishaji wa sukari nchini, Ammi Mpungwe alisema baada ya kuona mpaka Desemba hawajapata kibali wao kama kampuni ya sukari Kilombero wakamua kuchepusha meli iliyokuwa inapeleka sukari mahali nyingine kwa kuwa wao ni wakubwa kwenye masuala ya sukari wakaleta tani 4,500 mwezi wa kwanza wakiwa wanangojea kibali wakipata wahalalishe.

КОМЕНТАРІ • 10

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 Місяць тому +1

    Sukari ya nje ibaki na nembo za nje. Mlaji ajue kwamba anatumia sukari ya nje. Hakuna kuifunga kwenye vifungashio vya viwanda vyetu.

  • @MsambaNestory
    @MsambaNestory Місяць тому +1

    Pamoja na hayo kwanini nje ikose sukari ,acheni kudanganya umma mnatakiwa kuwajibika itel haiwezi kutuuzia sukari kama SI madili yenu

  • @zuperpeace
    @zuperpeace Місяць тому

    Bakh... akisha jiingiza biashara yeyote ile, lazima upepo uchafuke. Iwe mkate, maji, juisi, majengo, sukari au boti. Ana ubinafsi na malengo ya kuitawala ile biashara.

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 Місяць тому +1

    Takukuru mbona hamuingilii kati shaka la sukari maana ni kama Kuna sintofahamu ya dhulma!

  • @user-wz2gn1jx2h
    @user-wz2gn1jx2h Місяць тому

    Nakwanini tuuziwe sukar kwabei yajuu nawakati nchi zinazo tuzunguka wanauza sukari kwabei yanchi 1900 2500 mnapambana kutuumiza arafu mnajiona wasafi mnatuumiza

  • @GeraldKashinje
    @GeraldKashinje Місяць тому

    Ni vigezo gani vilizingatiwa kuwapa itel kibali? Na kwa nini wao ndo waliruhusiwa kuleta tani nyingi vile kuliko wengine?

  • @user-wz2gn1jx2h
    @user-wz2gn1jx2h Місяць тому

    Mnajitetea uku mnatuumiza jubu oja

  • @user-wz2gn1jx2h
    @user-wz2gn1jx2h Місяць тому

    Myaka sitini mnafanyanini mnashindwa kuwezesha viwanda vyandani mambo yakiwa magumu mnatoka na propa gana zen msione kama sisi niwajinga

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im Місяць тому

    Swali la kijinga