RASMI DUBE DAY HII HAPA: ALLY KAMWE AFUNGUKA STAYLE YA KWENDA UWANJANI "UNAJIFUNGA KAMBA KAMA PINGU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 67

  • @IsaacParuz
    @IsaacParuz 7 годин тому +3

    Tunasema hafungi? Kwani amefunga?

  • @KareemMandela-d5l
    @KareemMandela-d5l 9 годин тому +4

    Kwan Naww ni kiongozi pia duh Kweli nyumba ya shetaki

  • @boxdad
    @boxdad 9 годин тому +2

    Yetu machooo😊😊😊😊😊

  • @JonathanFue
    @JonathanFue 8 годин тому +1

    Yanga bingwa

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 9 годин тому +2

    Yaani hakuna kitu hapo, msanii tuu, taarabu nyiiiiingi

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 9 годин тому +2

    Na mazuzu yote yatafunga kamba, Duuh Utopolo kuna kazi😂😂😂

  • @shangwefisima54
    @shangwefisima54 6 годин тому

    Msemaji ni mmoja tu na anajulikana

  • @MusaDadi-pd3jd
    @MusaDadi-pd3jd 7 годин тому +3

    Kwani huyo dube kafungwa na nani??? Acheni kuamini sana kwenye uchawi tengenezeni timu

    • @ajiaally3269
      @ajiaally3269 7 годин тому

      Uchawi upo wapi mbwa ww

    • @WahabiAbdallah-k4v
      @WahabiAbdallah-k4v 5 годин тому

      KWENU LOOKMANA NI WSHIRILINA..ACHENI SHRIKI

    • @khamissehel-jr1cs
      @khamissehel-jr1cs 5 годин тому

      @@WahabiAbdallah-k4v hicho ulicho coment ukiambiwa ukisome utaweza kweli? maana hayo maandishi yako hata kusomeka hayasomeki

  • @glorrycharles9055
    @glorrycharles9055 8 годин тому +1

    Tangu nikujua hakuna siku ulisema kitu cha maana upoupo 2

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 8 годин тому +1

    Walevi FC

  • @controlTheoryChamps
    @controlTheoryChamps 9 годин тому +2

    Kamba tena? hii miaka tutaona mengi

  • @OmaryKiduka
    @OmaryKiduka 9 годин тому +3

    Hakuna msemaji hapa dgo Bora ungebaki kule kwenye uchambuz huku huwez kuongea

  • @pinomjata678
    @pinomjata678 7 годин тому +1

    Dogo kavurugwa anaongea kwa jazba halafu anatumia nguvu nyingi kujifariji

  • @MwajumaMsogoti
    @MwajumaMsogoti 9 годин тому

    Yaan ally kamwe namuhurumia kaka yangu masikini basi tu anapambania sana time yake ila tomorrow imechoka itamuua na pressure wabadilishe wachezaji tuu

    • @khamissehel-jr1cs
      @khamissehel-jr1cs 9 годин тому +1

      angekuwa wa kwanza kufa ahmedi ally maana msimu wa 3 huu hana chochote na timu yake imepasuka mara 4 na bado hajafa

    • @SamwelikazimbayaKitahenga
      @SamwelikazimbayaKitahenga 8 годин тому

      ​@@khamissehel-jr1csebu tusijiliwaze kwa ligi iliyopita kiukweli hatuna wachezaji kwa sasa Simba wana team bora vijana wa ushindani kweli huku wazee wengi huo ndo ukweli kocha hakuwa shida shida ni wachezaji wamechoka!!

    • @DavidMunisy
      @DavidMunisy 7 годин тому

      @@SamwelikazimbayaKitahengauliwachosha ww au hamjui hat mpir manen meng tu

  • @VictorKahangwa
    @VictorKahangwa 7 годин тому

    Style siyo Stayle

  • @bugalirecords4862
    @bugalirecords4862 9 годин тому

    Kwan kinachosemewa kutofunga si kwenye ligi huko mbona kashafunga mnajisahau sana kmmk😂😂😂

  • @TheresiaMhagama
    @TheresiaMhagama 8 годин тому +1

    Hafungi😢

  • @shafiihemed2920
    @shafiihemed2920 5 годин тому

    Sasa unatangaza ujeuri mbele ya vyombo vya habari si ujinga huo au ndo sifa kuwa jeuri

  • @KassimMchawa
    @KassimMchawa 9 годин тому +1

    iyo suti mbona inamapembe VP?

  • @EmanuelMwarabu-v1d
    @EmanuelMwarabu-v1d 9 годин тому +2

    unaropokatu vituvinginehata hujaambiwa useme unaropokatu

  • @AshuraChamwana
    @AshuraChamwana 4 години тому

    Mbonasijaelewa hiyosuti

  • @joshuahamis2738
    @joshuahamis2738 37 хвилин тому

    Ally Kamwe badilika usiwe unaongea vya kitoto yaan watu waje wamefungwa mikono? Kuna vitu unaviongea ambavyo hata mtoto mdogo kwako hawezi kuviongea.

  • @RayMayai
    @RayMayai 7 годин тому +1

    Labda wakimuwekea goli kubwa haya ya kawaida atamfunga nan

  • @MussaDhahabu-l5b
    @MussaDhahabu-l5b 9 годин тому

    afunge Iigikuu mjomba vp wew

  • @OmaryKiduka
    @OmaryKiduka 9 годин тому +1

    Tangu huyu dogo awe msemaji klabu unaenda kiuchawi chawi

  • @laurmange6124
    @laurmange6124 3 години тому

    Unaongea Kwa jaziba sana kiongozi...

  • @AnnaJayden-k4m
    @AnnaJayden-k4m 6 годин тому

    We ndo jeuri kwelikweli 😂

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 8 годин тому

    KAMA TIMU YETU INASHINDA KWA UCHAWI FANYENI HIVYOHIVYO.UCHAWI HOYEEE!

  • @AtibuMdoe
    @AtibuMdoe 8 годин тому

    ally kamwe tukifungwa tena hatutokuelew

  • @MadieMtimbuka
    @MadieMtimbuka 7 годин тому

    Acha kupotezea, hali si shwali ww unaleta stori zako

  • @ChristianMaarifa
    @ChristianMaarifa 3 години тому

    YANGA BINGWA KAMA INAWAUMA CHOMOENI😂😂😂😂😂😅

  • @AbdallahSalim-fs6ti
    @AbdallahSalim-fs6ti 7 годин тому

    Hio kweli sutibega hahahahahah

  • @AbdulAbdala-u5h
    @AbdulAbdala-u5h 2 години тому

    Umekosa chakufanya dub katupa kitugan kwamashabik anaruka ruka uwanjan Amna lolot dog kwanz mashabuk tuna uchungu nakocha wet

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 8 годин тому

    Suti sasa imemvaa😂😂

  • @SilasJacob-z6v
    @SilasJacob-z6v 7 годин тому

    Hamtoboiiii mjomba

  • @flova7022
    @flova7022 8 годин тому

    Yangawitch mbona wanaongea kibabee 😅😅😅😅

  • @ThePlants-zc3rp
    @ThePlants-zc3rp 8 годин тому

    unaongea ujinga mtupu shenz taipu

  • @LookmanKhamis-u7r
    @LookmanKhamis-u7r 9 годин тому +4

    Mambo ya kufunga kamba mkononi halafu kuzifungu si uchawi huo??? Aisee hii club bila uchawi mambo hayaendi

    • @bahatinassorali5222
      @bahatinassorali5222 8 годин тому

      😂😂tuwache kwani umeitwa humu

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 8 годин тому

      Na wewe si ukanunue huo uchawi

    • @LookmanKhamis-u7r
      @LookmanKhamis-u7r 7 годин тому +1

      @salmamlokela1987 wanunue wanaotumia sisi tusiyotumia tutanunua wachezaji bora ili watupatie matokeo bora na halali

  • @EmanuelMwarabu-v1d
    @EmanuelMwarabu-v1d 9 годин тому +1

    naona unawapanga wajingawenzako

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 8 годин тому

      Pamoja na wewe uliacha kazi zako na kumsikiliza😅

  • @saidilindukwa
    @saidilindukwa 8 годин тому

    Watu WA makolo mna jibu nyinyi yanawahusu? Mbona comedian wenu Ahmed anapocomed Sie twakaa kimya,mnawashwa? Mwacheni mtaalamu wa point atoe madini kutoka Yanga,,Kuku nyie

  • @EmanuelMwarabu-v1d
    @EmanuelMwarabu-v1d 9 годин тому +1

    achakuwafanya watu wajingakama ww ulivyomjinga hujuilolote kwenyempira faniyakoww nimipashotu nataarabu

    • @khamissehel-jr1cs
      @khamissehel-jr1cs 8 годин тому

      ataacha vp kuwaona watu wajinga wakati anaona kabisa wewe unayekoment humu hata kuandika huwezi?

    • @samkitwima7933
      @samkitwima7933 6 годин тому

      Rudi kajifunze kwanza a e i o u ndo ukoment.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 8 годин тому

    Hana lololte? Kila mkikutana na yanga mnafungwa hamioni aibuuu? Mnapigwa mara nne mfululizo kama kondooo wajingawajinga.

  • @gordiansoko9113
    @gordiansoko9113 5 годин тому

    Utoto mtupu umekujaa

  • @mohamedindalo2663
    @mohamedindalo2663 9 годин тому +1

    Hakuna lolote

  • @ShawejiHashim
    @ShawejiHashim 7 годин тому

    Yanga bingwa