Tunakuomba hao wamachinga wanao fanya biashara mbele za site zinazojengwa mbele za utensil zinazoendelea kariakoo ,waondolewe.mbele kwa kuuepusha maafa zaidi ili kuokoa maisha zaidi,yaliitokeza hapo kariakoo mt,ya mchikichi na congo,naomba mhe.waziri.mkuu uchukue hizi hatua za kisheria
Kwani haya magorofa yanakuwa ayana ubora au nini shida pia si serikali inakaguaga pale yanapo jengwa duuuh Tanzania likijengwa gorofa la juu kama nnje mimi sipandi na pia sipiti pembeni mana mda wote chali
Kwani ujasikia vzr ume ambiwa kwenye ilo gorafa walikuwa wana jenga chini ya ilo gorifa kulikuwa na mafundu sikiliza voice vzr dear ndo maana lika tingishika lika ndoka wame chimba uko china ya iyo iyomba walikuwa wana jenga tamaa za hela mpenz
Ghorofa zimezidiwa mizigo. Selikali iwajengee stoo.ziwe nje ya Maduka. Ushauri wangu.
mmmmhh huyu mm simuelewaji ....saidia Kwanza watu na sio kulopoka
Mungu anusuru kusiwepo Na msiba
Upo tayari 😢
Tunakuomba hao wamachinga wanao fanya biashara mbele za site zinazojengwa mbele za utensil zinazoendelea kariakoo ,waondolewe.mbele kwa kuuepusha maafa zaidi ili kuokoa maisha zaidi,yaliitokeza hapo kariakoo mt,ya mchikichi na congo,naomba mhe.waziri.mkuu uchukue hizi hatua za kisheria
Mara mh.raisaneno ya nn wapigie simu walete Mashine watu waokolewe pelekeni siasa huko
tamaa tu uyo baba kwanini ajenge kwa uko chini jamani
Huyo chalamila kazi yake ni porojo
Unachimba underground kwenye gorofa
Tatizo ma injinia cku hizi ni wabish hatari,
Tukiwambia mchague UPINZANI hamtaki haya yote yasingetokea
We kweli kenge asa hapo upinzani unainguaje 😂😂😂..ngoja baba ako atolewe ndio tuongee
masaa matatu greda haijafika mnafanya utan na uhai wa mtu nyinyi
Kweli
Dah poleni sana😢😢😢
We faken leta greda acha mapepe
😂😂😂
Huu ni muda wa uokozi si wa kulaumiana
Poleni sana
Baada ya uokozi muheshimiwa tunaomba tujue sababu ya gorofa kuanguka..... maana sisi pia tupo kwenye magorofa
Hata NAMI nipo chuoni floor ya sita Hadi natetemeka
Aaah!! Jamn polen san
Kwani haya magorofa yanakuwa ayana ubora au nini shida pia si serikali inakaguaga pale yanapo jengwa duuuh Tanzania likijengwa gorofa la juu kama nnje mimi sipandi na pia sipiti pembeni mana mda wote chali
Kwani ujasikia vzr ume ambiwa kwenye ilo gorafa walikuwa wana jenga chini ya ilo gorifa kulikuwa na mafundu sikiliza voice vzr dear ndo maana lika tingishika lika ndoka wame chimba uko china ya iyo iyomba walikuwa wana jenga tamaa za hela mpenz
Mungu awanusuru waja wake
hapo mashine itembee tu barabarani fasta watu waokolewe
Daaaah poleni wote
Okoa watu kwanza maneno yanini
😢poren kkoo
قدر الله وماشاء فعل
Tangu saa mbili mpaka saa hii bado munaleta mitambo
etyi jaman
Pore Sana.
Hii si ya kawaida jamni
Mungu awatie nguvu Wana ndugu wa majeruhi.
😢
Asante mh mkuu wa mkoa
Sababu kuu ni nn?
Muda wakuokoa watu huu
Ilo baada ya uokoaji wa wenzetu kwanza ndg yangu..😢😢😢
Hapo sababu kuu ni mainjinia
Gorofa zinajengwa chini ya viwango
@jimmyhabarugira4232 Mmmh wewe, sababu moja wapo nyuma ya hilo jingo kuna ujenzi wa gorofa ..hivyo alikuwa anaungaisha na hili lililoporomoka
Poleni wajeruhi
😢😢😢
umewakomesha ao watu wa habari
Apo ipatikane orikomta ya maokozi
But
😂😂