DUNIA (Ep 02)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • #dunia

КОМЕНТАРІ • 288

  • @AishaDjuma-zw5rj
    @AishaDjuma-zw5rj 20 годин тому +100

    Wewe utakae like comment hii , Mwenyezi Mungu aibariki mikono Yako / Amin

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 20 годин тому +44

    Hii movie mbn haijawah tokea yaaan n bonge la movie, hongeren kwa kubuni ktu knzr,

    • @MakwanaJr
      @MakwanaJr 15 годин тому

      @@JullianaEmmanuel-tm5xg nakuunga mkono kak manyanya anajua sana Yani alikuwa wapi siku zote izo

    • @hamisichau8975
      @hamisichau8975 15 годин тому

      Sasa uyo ni kaka au mdada ​@@MakwanaJr

    • @jamalijafari1935
      @jamalijafari1935 2 години тому +1

      uhakika kweli ni bonge la movie

  • @onesmongulo3770
    @onesmongulo3770 19 годин тому +24

    Wale tunao enjoy mapenzi ya mudy mlevi na bebe ake tujuane❤❤❤

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 12 годин тому

      Akili na pombe 😂😂😂😂😂😂😂viabishana😂😂😂❤

  • @faizhassan5029
    @faizhassan5029 20 годин тому +10

    From 254 Kenya tunatambua sana channel ya Asma Film Kwa vitu vizuri kama wewe pia unaikubali hii Channel Gonga like basi

  • @WilsonKihanga-jb5fb
    @WilsonKihanga-jb5fb 19 годин тому +35

    Jamani wanaomtaka kicheche kwenye hii movie mtuache kidogo hatakiwi hapa😂😂 hii kitu iko serious saana na yule hawezi kazoea comedy ko atatuharibia movie😂😂😂

    • @HASHMANTZ-n1v
      @HASHMANTZ-n1v 18 годин тому +1

      Mbona kicheche anaweza kwenye hii movie

    • @WilsonKihanga-jb5fb
      @WilsonKihanga-jb5fb 18 годин тому +1

      Aah wapi yule hana userious kabisa.kila character atafanya comedy 😆🤣

    • @HASHMANTZ-n1v
      @HASHMANTZ-n1v 18 годин тому +1

      ​@WilsonKihanga-jb5fb🤣🤣🤣🤣 yule angewekwa kwenye scene ya muuza genge au duka angetisha sana

    • @WilsonKihanga-jb5fb
      @WilsonKihanga-jb5fb 18 годин тому +1

      Kicheche hawa watu aliwatupa ndio maana wamekuja kivyaovyao

    • @ErickbarnabasNestory-vr6hz
      @ErickbarnabasNestory-vr6hz 16 годин тому

      One point

  • @fredyassinecheia
    @fredyassinecheia 20 годин тому +10

    Wakwanza mim leo nipeni like Zang from Moz 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 19 годин тому +13

    Ila Manyanaya unajua had unajua tena, hongera broo

  • @AnnaMwandu
    @AnnaMwandu 18 годин тому +12

    Kawimbo kanaugusa moyo anayejua jina lake

  • @dakhanvevo
    @dakhanvevo 20 годин тому +4

    Muda chachetu lakini movie yenu nimeikubari shabiki yenu from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @RukiaDzombo-uf7wp
    @RukiaDzombo-uf7wp 19 годин тому +10

    Hyo mwanamme mwenye tai yuko na maneno mazito na muhimu sana kwa wanandoa,,,mambo ya dunia kwa kweli

  • @abrahimfathery8126
    @abrahimfathery8126 20 годин тому +8

    Wa kwanza jamani kutoka kenya like zangu🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿

  • @wilmotkarisa6174
    @wilmotkarisa6174 19 годин тому +10

    Yeyote atakaye tazama hii series abarikiwe mpaka achangae🙏🙏

  • @Kutaila99
    @Kutaila99 19 годин тому +8

    Chapombe kweli kama ni zulia unalo lakutosha

  • @marthasamson462
    @marthasamson462 20 годин тому +7

    Hewaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nilikuwa nasubiria part 2 ,hatimae

  • @MagrthMagandula
    @MagrthMagandula 18 годин тому +11

    We chapombe nyoa hvi love gorden bna😂😂😂

    • @nancyfantasia1945
      @nancyfantasia1945 17 годин тому

      Kama kichaka 😂😂😂😂

    • @gracekayumba-z9l
      @gracekayumba-z9l 11 годин тому

      Anyoe ili iweje Kwan Kila nywele niyakunyoa ushasem g love wengine tunayapenda

  • @marthaonkoba
    @marthaonkoba 19 годин тому +6

    Naipenda kutoka Kenya❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MoTalentTz
    @MoTalentTz 16 годин тому +6

    Oy weeh sema hii move kali sna❤❤🙏🙏👋👋

  • @DainesWilliam
    @DainesWilliam 20 годин тому +6

    Nimewah jmn naomba hata like 10

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 12 годин тому +2

    Kweli ndoa zina mengi 😂😂😂😂😂hii Dunia ina mambo kila mwanandoa yuko na zake kwake 😂😂😂😂 single mpo ?tujuwane basi 😢 😢

  • @philipmutua6643
    @philipmutua6643 16 годин тому +6

    Manyanya ni mtanzania kweli?😂😂😂

  • @SibijaliLim
    @SibijaliLim 19 годин тому +5

    Vai mbona mwisho wasiku sasa utakuwa majinuna we utajiamin nakujuwa ni akili nyingi kumbe zote zisha ruka ebu mpe chake baba lao kwasababu naw itakusaidia mudi nawe mpe hakiyake mukewako nyinyi wote mupeyane mambo basi mimi hapa nina miaka 5 bira kufanya tendo huwezi amini kwasasa nishakuwa majinuna😂😂😢😢😢😢😢🎉❤❤❤

    • @esterkimalio8846
      @esterkimalio8846 18 годин тому

      😂😂😂😂😂,,,, majinuna maana yake nini?

    • @ZenaKambi-d6n
      @ZenaKambi-d6n 7 годин тому

      𝐜𝐡𝐢𝐳𝐢 😂😂😂​@@esterkimalio8846

  • @shadyarif653
    @shadyarif653 15 годин тому +7

    Haya Maisha Yapo tuu na ndiyo Tunaishi

  • @andrewkilave3532
    @andrewkilave3532 18 годин тому +6

    ila mlevi anajua sana aisee 😅

  • @safiniasinyangwe4359
    @safiniasinyangwe4359 18 годин тому +5

    Jordan umefanana na x wangu na umbeya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @GloriaVaati-ls9ql
      @GloriaVaati-ls9ql 3 години тому

      😂😂😂😂umbea tu....jamani huyu Jordan 😂😂😂

  • @zenamtembezi4921
    @zenamtembezi4921 19 годин тому +2

    Wanaume wanaojari ndoa yao wachache sana katik hii nnchi wanaume mjifunze❤🔥👌

  • @MoiseMuhindo-m7z
    @MoiseMuhindo-m7z 45 хвилин тому +1

    Vayleti nakupenda Sana kuanja zamani me iyi muvie nime kuchukiya mwanaume haumu tendeye haki kabisa

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 6 годин тому +1

    Vijana najua mnatafta na insha'Allah mtafika. Keeps it up wakubwa❤❤❤❤❤

  • @AminaKhalfani-ib7sh
    @AminaKhalfani-ib7sh 17 годин тому +3

    Wanaomkubar mista madaftar gonga like

  • @IshimweKevin-no3vy
    @IshimweKevin-no3vy 19 годин тому +4

    Naipenda kutoka 🇧🇮❤❤.

  • @Ndogodedanger12
    @Ndogodedanger12 19 годин тому +10

    Naombeni hata like tano tu plz😢🎉🎉

  • @Stogwa
    @Stogwa 20 годин тому +12

    WA kwanza Leo nipeni ata tano bass

  • @NasraFahmy-j9y
    @NasraFahmy-j9y 19 годин тому +2

    Jamni vai ana nin at ataki kutow owa mke wa 2 atakaa sw uy 😂😂😂 mzenj ap

  • @BenjaminiMathayo
    @BenjaminiMathayo 19 годин тому +2

    Baba yake mzazi nae ni mbwa pia maana nae ni mwanaume 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 6 годин тому +1

    Manyanya ni wa Hollywood but tupo nae Tanzania 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MelickLinus-m8t
    @MelickLinus-m8t 4 години тому +1

    Tunaomutaka kicheche kwenye hii movie tujuane kwa like jamani

  • @adidjaVyumvuhore-tp3tc
    @adidjaVyumvuhore-tp3tc 16 годин тому +1

    Mudy n Manyanya respect san mnajuw,mnawez tena san 🎉🎉🎉🇧🇮🇧🇮🙏🙏🙏

  • @kinjekitilew
    @kinjekitilew 15 годин тому +1

    Shida ya movie za kibongo lazima ziwe na mwingiliano wa kimapenzi naona rafiki yake mumewake vai anataka kumla vai

  • @martinkioko6437
    @martinkioko6437 3 години тому +1

    🎉wa kwanza hapa kutoka Kenya 🇰🇪 naomba hata like moja

  • @PesaBrand-b2o
    @PesaBrand-b2o 18 годин тому +1

    Mkinitukana basi lakini wajameni kicheche yuko wapi au kunashido

  • @sammasika3627
    @sammasika3627 18 годин тому +1

    Ili chapombe linaaribu movie tu ulevi gan mpaka kitandan na pombe

  • @HASHMANTZ-n1v
    @HASHMANTZ-n1v 18 годин тому +1

    Jamani asma comedian naomba mumalizane na queen na yy ARudi tumewamiss sana

  • @CharityImaculate
    @CharityImaculate 18 годин тому +1

    Jaman hii asma comedian wanaleta movie nzur sana msimamiz ni kicheche au maan kali balaa

  • @shadyarif653
    @shadyarif653 15 годин тому +2

    Huyu Waife ananifanana juh me na pesa ni kama yeye na mmo😂🎉

  • @KUNGURUGANG
    @KUNGURUGANG 17 годин тому +1

    Brother kanji 🤣 asubuhii pombe et Cha asubuhi

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 20 годин тому +2

    NIMEIKUBALI LAKINI AGANO ilikuwa 🔥 SANA

  • @Arwin-vy5ky3qp6s
    @Arwin-vy5ky3qp6s 18 годин тому +1

    This movies is interesting congratulations guys, Kicheche has miss in the movie

  • @MariamuIbrahimu-p5g
    @MariamuIbrahimu-p5g 19 годин тому +1

    Movi nzuri kabisa lkn mnatowa fupi jamani 19 min

  • @MuddyMigenge
    @MuddyMigenge 18 годин тому +1

    Sema mko poa sana ila msichelewe kutoa muendelezo

  • @condeboy257tv9
    @condeboy257tv9 3 години тому +1

    Huyu Mulevi Mbona Hatali Sana, 😂

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur 6 годин тому

    LATIFA yupo wapi jamani.....
    Tuliommiss Latifa wa agano....tunamtaka wa dunia

  • @frankmwaikambo9784
    @frankmwaikambo9784 5 годин тому

    Mzee wa mathematicaly unajua jamaa angu. Chapombe dah huniangushagi mzee.. kongole zinduna

  • @MonnaclassicFashion
    @MonnaclassicFashion 18 годин тому +1

    Hii movie kwamoto haifai kabisaa maneno yake mmh😮😮

  • @jorgecesilio8862
    @jorgecesilio8862 16 годин тому +1

    Najifunza kitu kupitia hii series❤❤❤❤🎉

  • @JescaFelix-e4x
    @JescaFelix-e4x 2 години тому

    Yani uku kuna wanaume WA ovyo sana mwingine kamaliza mwezi hajui kazi kujibust na pombe tu🫣🫣

  • @VanessaMallya-c5v
    @VanessaMallya-c5v 14 годин тому +1

    Ila Cindy na chapombe mnaendana snaa big up ❤

  • @obedyjohn5350
    @obedyjohn5350 20 годин тому +1

    Vai nakukubali sn unajua kuigiza naona utafka mbali sn

  • @NaomiEdward-ef2cp
    @NaomiEdward-ef2cp 20 годин тому +2

    Love more❤❤❤❤❤❤ vai and manyanya

  • @RADHIAMNYEMA
    @RADHIAMNYEMA 18 годин тому +1

    Nasma napenda Toka kwenye movie ya kichaw

  • @nesaahaji1329
    @nesaahaji1329 19 годин тому +1

    Vai umeyakanyaga kwa manyanya🎉🎉🎉 mzee wa misemo

  • @Abdulrazakjuma-lu5xb
    @Abdulrazakjuma-lu5xb 17 годин тому +1

    Jamn mud chapombe kapendwa😂😂😂😂

  • @BarakaSteven-x5w
    @BarakaSteven-x5w 19 годин тому +1

    Binge la movie asee salute Sana kitu iko pw

  • @Amsike-v7i
    @Amsike-v7i 19 годин тому +2

    Kitu dawa amsikemoney ya

  • @haluarahma3071
    @haluarahma3071 19 годин тому +1

    Movie iko smart sana ❤❤❤from 🇰🇪 kenya 🇰🇪🥰🥰

  • @MarkoYohana-ce8nu
    @MarkoYohana-ce8nu 16 годин тому

    HONGERA SANA Mr manyanya
    Good idea hii na kuna funzo KUBWA hasa kwa wanandoa

  • @safaribenjaminmuderhwa4757
    @safaribenjaminmuderhwa4757 11 годин тому

    Dada vai kicheche wapi jamani, ila séries iko bien, tuko pamoja sana toka Drcongo 🇨🇩

  • @NosiataDfd-k5g
    @NosiataDfd-k5g 18 годин тому +1

    Hii move inamafunzo sana haswa kwa mke na mume

  • @jazminewatanzi1854
    @jazminewatanzi1854 19 годин тому +1

    This wife to manyanya is too much all the time business

  • @KimsonMurangiri
    @KimsonMurangiri 14 годин тому +2

    Mambo 😮

  • @MariamJaberi-g5y
    @MariamJaberi-g5y 19 годин тому +1

    Manyanya honger San kak kaz nzuri ❤❤❤

  • @joelalphoncebanka-ky6yu
    @joelalphoncebanka-ky6yu 2 години тому

    Ka
    Simama dede ake kamuona mchumba wake
    Huyo mlevi nihatari

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 14 годин тому +2

    Kama nimemona pdd na taulo umo😅😅

    • @jexray
      @jexray 14 годин тому +1

      😂😂

  • @ignitiussilungwe7930
    @ignitiussilungwe7930 16 годин тому +1

    Chapombe bana anache kesha hadilaha

  • @MARYAM808ZING
    @MARYAM808ZING 19 годин тому +1

    Kazi nzur ssn hongeren kwa wote

  • @WARDAMKILALU
    @WARDAMKILALU 3 години тому

    Movie nzur inaonyeshaa uhalisia ya wanandoa jinsi wanavyoish kabisa big up

  • @AnsufatRakitc-z5d
    @AnsufatRakitc-z5d 18 годин тому +1

    Kunakitu nitajifunza 😢😢😢😢🎉🎉

  • @افلينافلين-ي9ك
    @افلينافلين-ي9ك 3 години тому

    Yani chapombe eti majukumu. 😂 majukumu ya kuleta mawe 😂😂😂

  • @athmansaid9931
    @athmansaid9931 Годину тому

    Manayanaya anatesekaa walai😂Mtu akigusa comment yangu namtongozaa😅

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 18 годин тому +1

    Zinduna kamenona mashalla

  • @PauloGidamarocha-yp7bh
    @PauloGidamarocha-yp7bh 17 годин тому +1

    Mudi hana mudi 🎉😂😂😂😂😂😂😂

  • @barnabasmarsel3876
    @barnabasmarsel3876 17 годин тому +1

    Muddy chapombe😂😂😂

  • @AdamOman-n2s
    @AdamOman-n2s Годину тому

    Yn huyu mlevi eti chin sijalewa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @gidyonmshani5259
    @gidyonmshani5259 4 години тому

    Hii chuma nikar mmeweza na mmegusa maisha tunayo ishi humu kwene ndoa zetu

  • @MaarufuAmani-bq6qc
    @MaarufuAmani-bq6qc Годину тому

    Hapan naludi kuangalia movie maan nilikuwa nisha acha kufatilia

  • @MWAJUMAKHERI-jt4qj
    @MWAJUMAKHERI-jt4qj 17 годин тому +1

    Duh! sio Kwa mazulia hayo

  • @MoniAssumane
    @MoniAssumane 20 годин тому +1

    Jamani naomba ata like moja tu

  • @HeritierMabenga
    @HeritierMabenga 19 годин тому +1

    Tunaitajiwa follows

  • @amosmgisha8572
    @amosmgisha8572 14 годин тому +1

    Ila chapombe 😂😂😂

  • @IBRAHIMOFFICIAL-k1c
    @IBRAHIMOFFICIAL-k1c Годину тому

    Naye atakumiss siku hutakuwa na mudi muache fala huyo

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 15 годин тому +1

    Mudi mazulia😂😂😂😂

  • @LinuslusianLinuslusian
    @LinuslusianLinuslusian 18 годин тому +1

    Nimewakubali aisee

  • @JkRomeo-g9j
    @JkRomeo-g9j 20 годин тому +1

    weuh wa kwanza 😅npeni zang

  • @jonesdegrandson9261
    @jonesdegrandson9261 16 годин тому +1

    Chapombeee😂😂😂😂

  • @amosathuman7366
    @amosathuman7366 15 годин тому

    Asee toka nachek movie hii movie iko active na dunia yetu hii
    Asee directer 🎉🎉

  • @joyceomar857
    @joyceomar857 19 годин тому +1

    ❤❤❤❤❤ good movie am from 🇲🇿🇲🇿

  • @mohamedimadinga5790
    @mohamedimadinga5790 19 годин тому +1

    Kwani Mudi sasa dah 😂

  • @fistonnibigira167
    @fistonnibigira167 15 годин тому

    Mass of woman if they're busy with a money they forget their relationship🇿🇦🇧🇮

  • @lovenesibj
    @lovenesibj Годину тому

    🎉🎉wanajua sana!!! vai❤ yaani napenda ujasiri wako😂❤

  • @PoleenNjeru
    @PoleenNjeru 37 хвилин тому

    😂😂eti simama Dede eti😂😂mlevi pubavu zako

  • @FrankKalenga-k6b
    @FrankKalenga-k6b 15 годин тому +1

    Chapombe 😅

  • @Othman_uk9075
    @Othman_uk9075 20 годин тому +1

    Nawapenda nyote