Pole Mh. DC. Ukitoka hapo ukameze Hedex maana unapata maumivu ya kichwa tu hao wababaishaji hapo.Moja kati ya misiba mikubwa inayoitesa nchi yetu ni UBOVU MKUBWA KWENYE UTENDAJI.Kutojali,mazoea,urasimu,rushwa,wizi,kiburi,hujuma,uzembe n.k. Popote penye utumishi wa umma utakua mwenye bahati sana usipokutana na haya madudu.
Kwa nini wahandisi wa nchi yetu inabidi wawasubiri wanasiasa ili kutatua matatizo. DC nakupenda sana, umesema ukweli mkubwa sana! Kwa nini watanzania tumekuwa wababaishaji namna hii hasa hawa wataalamu wetu, inasikitisha sana. Ni kiapo gani wanakula na wanapokuwa veted kwenye kazi?
Katika kitu natamani kirekebishwe ni kuhusu Sheria ya ardhi hasa katika upimaji wa ardhi ukijumuisha mambo yote ukubwa wa viwanja, barabara ,maeneo ya wazi na maeneo yote ya ayotengwa kwaajili ya shughuli na huduma za kijamii Na zaidi tujue nyakati zinabaditika Sana tuwe na Sheria nankamunu za ardhi zinazo enda hata miaka 100 na kisha 100 maana ukweli hakuna sehemu yenye changamoto kubwa ni wizara ya ardhi na sijui kwann rais alimtoa silaa Yan sio jambo la kawaida aligusa nin kijana wa watu anyway kazi iendelee
Mkuu wa wilaya ndiye mwakilishi was Rais katika eneo lake LA utawala. Hivi inakuwaje miradi ya maendeleo inafanyika pasipo mkuu Huyo kushirikishwa? Aibu hii ya watendaji ni dalili kuwa maeneo mengi wakuu wa wilaya hawashirikishwi. Shirikisheni wakuu wa wilaya jamani.
Safi Mheshimiwa Dc wewe ni Kiongozi DAMU ya YESU KRISTO ikufunike Amen
Hongera Mkuu wetu wa wilaya upo vizuri sanaaaa
Hongera sana bomboko
Bara la Afrika lina watendaji wabovu sana hongera DC
Mheshimiwa Rais Wangu Mama SAMIA SULUHU HASSAN, ikikupenda huyu DC Bomboka umtafutie nafasi ya ukuu wa Mkoa yupo Vizuri Sana kuwahudumia wanainchi
Mbona kwenye u DC anafanya vizuri zaidi abaki hapa hapa
DC noma njoo njoo
Pole Mh. DC. Ukitoka hapo ukameze Hedex maana unapata maumivu ya kichwa tu hao wababaishaji hapo.Moja kati ya misiba mikubwa inayoitesa nchi yetu ni UBOVU MKUBWA KWENYE UTENDAJI.Kutojali,mazoea,urasimu,rushwa,wizi,kiburi,hujuma,uzembe n.k. Popote penye utumishi wa umma utakua mwenye bahati sana usipokutana na haya madudu.
Naunga mkono hojaa
Kabisa!Daaah!mwisho hapa,hapa wapi????sound tu
Naunga mkono hoja
Dc uko vizur sana
Huyu DC ni poa sana. Hongera sana Bombogo
Kwa nini wahandisi wa nchi yetu inabidi wawasubiri wanasiasa ili kutatua matatizo. DC nakupenda sana, umesema ukweli mkubwa sana! Kwa nini watanzania tumekuwa wababaishaji namna hii hasa hawa wataalamu wetu, inasikitisha sana. Ni kiapo gani wanakula na wanapokuwa veted kwenye kazi?
Bomboko awe rc sasa anapigana sana
Very smart Mr DC,Mungu akuongoze,
Viongozi kama hawa ni hatari kwa uongozi ngazi za juu
Katika kitu natamani kirekebishwe ni kuhusu Sheria ya ardhi hasa katika upimaji wa ardhi ukijumuisha mambo yote ukubwa wa viwanja, barabara ,maeneo ya wazi na maeneo yote ya ayotengwa kwaajili ya shughuli na huduma za kijamii
Na zaidi tujue nyakati zinabaditika Sana tuwe na Sheria nankamunu za ardhi zinazo enda hata miaka 100 na kisha 100 maana ukweli hakuna sehemu yenye changamoto kubwa ni wizara ya ardhi na sijui kwann rais alimtoa silaa Yan sio jambo la kawaida aligusa nin kijana wa watu anyway kazi iendelee
Hatari sn
Yaani kuna watendaji wa ovyo sana .. fukuza wote
Watendaji wazembe kama hawa ndani ya Serikali wanatakiwa waondolewe kabisa labda ndiyo wale vyeti feki
Dc mwambie kamanda aondoke nao majambazi
Nchi ngumu sanaa hii..
Wamlipe hao
Mkuu wa wilaya ndiye mwakilishi was Rais katika eneo lake LA utawala. Hivi inakuwaje miradi ya maendeleo inafanyika pasipo mkuu Huyo kushirikishwa? Aibu hii ya watendaji ni dalili kuwa maeneo mengi wakuu wa wilaya hawashirikishwi. Shirikisheni wakuu wa wilaya jamani.
Nchi yetu Ina Watu wengi ambao wanaweza kuwasaidia Wananchi sema wanavunjwa moyo na Boss wao yeye hataki matamko na maojiano kama haya
Baadhi ya watumishi serekali ni no brainier, ukishakuwa mvivu basi hata matokeo ni yakivivu
Muheshimiwa hapo huoni dhahiri huo ni unyyonyaji na imetumika rushwa na hao watendaji hawana majibu hawa wanastahiki kutumbuliwa tuepukane na mafisadi
Mijinga inaenda site bila mashine.