JESHI LA MAGEREZA GETEZA LA MTEGO WA SIMBA LAUNGA MKONO JITIHADA ZA SERIKLI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 вер 2024
  • Jeshi la mgereza nchini kupitia gereza lake la mtego wa Simba lililopo nje kidogo ya manispaa ya Morogoro limeendelea kuunga mkono Sera ya serikali katika suala zima la kukuza viwanda vinavyohudumia wananchi.
    Mrakibu mwandamizi wa jeshi la magereza COSTATUS MAGOI ambaye pia ni mtaalamu wa kilimo amesema katika maonesho ya nane nane Kanda ya mashariki wamekuja na vitu mbalimbali vya kuonyezha ikiwemo bidhaa ya maziwa kutoka katika kiwanda chao kilichopo gereza la mtego wa Simba kingolwirwa Morogoro.

КОМЕНТАРІ •