Mfahamu Aliyeigiza sauti ya Kazim Aga kwenye The Golden Boy ya Azam Two

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 159

  • @tricemollel6739
    @tricemollel6739 5 місяців тому +16

    Yaani wooiiii oiiii!! Ndo msemo wangu siku hizi.... Much love❤

  • @starhmilyally1173
    @starhmilyally1173 5 місяців тому +5

    Safi sana,,, tulitamani sana kumuona mnakilishaji wa sauti ya Kazim😃👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @TheresiaPhilipo-z6j
    @TheresiaPhilipo-z6j 6 місяців тому +21

    Jamaaa kauwa yani tamthilia bila uyu mimi nakuaga kinyonge sana yn

  • @leonidangimbwa1526
    @leonidangimbwa1526 5 місяців тому +2

    Daah!!! Nimefurahi kumuona mwenye hyo sauti, aisee umejua kutufurahisha 🌼🌼🌼🌼

  • @godblesshudson1564
    @godblesshudson1564 6 місяців тому +16

    Huyu si NI WA Jambo na vijambo

  • @JescahSamson
    @JescahSamson 6 місяців тому +8

    Hongera kaka hyo sauti ya kazim Aga Sio rahisi

  • @WamburaKibiriti
    @WamburaKibiriti 4 місяці тому

    Hongera kwa kazi nzuri 🎉

  • @allsportshighlite8027
    @allsportshighlite8027 6 місяців тому +12

    Huyu ndo mwenye sini ngumu na ya kuvutia kuliko wote.

  • @pauljohn1411
    @pauljohn1411 6 місяців тому +13

    Huyu alipwe pesa ndefu maana tamthilia kaipa hadhi.

    • @Shakira-Nb
      @Shakira-Nb 5 місяців тому

      Yan mm naangaliaga kwaajil y kazim na farit😂

  • @domisonrichman6499
    @domisonrichman6499 6 місяців тому +4

    Jamaa anajua

  • @charlesevodi1760
    @charlesevodi1760 4 місяці тому

    Hand Sam kichogo , chongo ndingoo, mlembo mzeee , kengeee weee, aiseee umetishaaa aaaaa mkuuu

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 6 місяців тому +5

    Hakika anajua zaidi ya kujua 🌹

    • @jeedymasoud4269
      @jeedymasoud4269 6 місяців тому

      Big Up watu tunaifuatilia kufata sauti hiyo tu

  • @abounkurunziza2827
    @abounkurunziza2827 5 місяців тому +1

    Jama anajua sana kweli ongera baba

  • @PriscaJublathe
    @PriscaJublathe 5 місяців тому +4

    Nilikuw nataman kumjua aliyeigiza sait ya kazim bee hatimae nimemjua honger kwako

  • @lucymtuka3199
    @lucymtuka3199 2 місяці тому

    Imetosha Sana hongera😊

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 6 місяців тому +3

    Big Up 👊👊

  • @tukuswigaikasu5227
    @tukuswigaikasu5227 5 місяців тому +1

    Amenogesha sana tamthilia aisee

  • @Halima-xd3ug
    @Halima-xd3ug 4 місяці тому

    Oii oiii nyumbani na wapangaj wenzangu ndo msemo wetu kifupi ndo tunaongea kikazim aghaaaaa woiiiiii❤

  • @beatricembunda6168
    @beatricembunda6168 5 місяців тому +2

    Hongera kaka,ubarikiwe.

  • @GregoryBamba
    @GregoryBamba 5 місяців тому +1

    ❤❤ respect I lov it

  • @AllyHaruna-ko3it
    @AllyHaruna-ko3it 5 місяців тому

    A😅😂 ahaha aha jamn me nakupenda Bure Yan kwel me uyo Mzee ndo anae nivutia kutizama mana lazima nicheke kwakwel ..hongera sana

  • @JninjaH2R
    @JninjaH2R 5 місяців тому +6

    Mzome wa mzome unajua,ulipwe Hela nyingi

  • @WaziriRamadhan-ML
    @WaziriRamadhan-ML 6 місяців тому +3

    Noma sanaaaa😂😂😂

  • @ammylov7527
    @ammylov7527 5 місяців тому +1

    Mmmmh eeeh 😅😅😅 yani umetisha mimi nimtu wakwanza nikiangalia dolden boy haswa napenda upande wa hagaa mbwembwe zake haki unaweza hadi raah mungu akujalie kabisa

  • @ratiohagu2637
    @ratiohagu2637 6 місяців тому +8

    Aliua kwenye saut ya kibaraka wa hurrem kwenye sultan ila na humu kaua

  • @HaikasiaMinja
    @HaikasiaMinja 5 місяців тому

    Hongera sana

  • @angambagedelphinus7842
    @angambagedelphinus7842 4 місяці тому

    hongera Sana

  • @MiriamKimboi
    @MiriamKimboi 5 місяців тому +2

    Woiiiiwoiiiiii❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @josephinejoachim5847
    @josephinejoachim5847 5 місяців тому

    Hongera kaka umetisha jamaniiii

  • @PendoMushi-gy3vu
    @PendoMushi-gy3vu 5 місяців тому

    Yaani hii sauti nilikuwa natafuta ni nani kumbe ni wewe. Yaani nachekaga mpaka nalia hii sauti. Hongera sana sana

  • @jackietogwa7957
    @jackietogwa7957 5 місяців тому +1

    Kareem wa desire .

  • @NasraNasra-xc6jp
    @NasraNasra-xc6jp 5 місяців тому

    Hahahahahaha nampemdaa jamanii kazim bila huyu sijisikii rahaaa

  • @KevooNgao
    @KevooNgao 5 місяців тому

    Anaweza sana,saluti kwake

  • @RahmaRajab-ww9bo
    @RahmaRajab-ww9bo 5 місяців тому

    ❤❤❤❤❤ndie alienifanya niipende na kuifatilia gold boy😂😂😂😂

  • @TausiRashidi-g7d
    @TausiRashidi-g7d 5 місяців тому

    Umetisha Kaka umeipa hadhi tamthilia hii inapendwa na wengi

  • @RuthKatoto
    @RuthKatoto 5 місяців тому

    Hongera bhn

  • @mzomewamzome
    @mzomewamzome 6 місяців тому

    Mbarikiwe Ndugu Zangu Bongo Touch 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @zawadmussa8613
    @zawadmussa8613 5 місяців тому +2

    Kaka unatufurahisha sana , duh tamthilia bila huyu jamaa bado haijawa nmzuri bado

  • @MohamediKalanje
    @MohamediKalanje 5 місяців тому +3

    Pale kweny sumbula aliua noma sana

  • @yusuphsadickkitova9805
    @yusuphsadickkitova9805 4 місяці тому

    Mwanagu nimekukubali sana namkubali sana huyu mwamba 😅🎉😂

  • @paschallubango8713
    @paschallubango8713 5 місяців тому

    Umetisha ❤

  • @SheylaRashid
    @SheylaRashid 5 місяців тому

    Katishaa sanaaa😊

  • @mar-rh2ok
    @mar-rh2ok 4 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @ChimamJuma
    @ChimamJuma 5 місяців тому +1

    Kaka unatufurahisha mmno😊 'we kuweza'

  • @BarakaMwasapi
    @BarakaMwasapi 4 місяці тому

    Kaka mkubwa mpe sifa mungu nashukuru kwa kitu kikubwa

  • @ZanariaZahoro
    @ZanariaZahoro 5 місяців тому

    Wou nimependa uko vizuri.

  • @amoursalim7418
    @amoursalim7418 5 місяців тому

    Mm angalia kwaajili ya kasm aga

  • @PeterMgonja-u1m
    @PeterMgonja-u1m 5 місяців тому +1

    Kwenye sultan pia sungura

  • @Halima-xd3ug
    @Halima-xd3ug 4 місяці тому

    Kazimu akulipe bwana unemtambulisha sana huku bongo kwetu 😂

  • @IreneMsigwa-w7b
    @IreneMsigwa-w7b 4 місяці тому +1

    Jaman mzome😂😂😂😂

  • @asiamohamed8431
    @asiamohamed8431 5 місяців тому

    Nampenda ila kuna wakati lazima avuruge. Ila yuko vizuri sana

  • @athumanibakari5656
    @athumanibakari5656 5 місяців тому

    Agaaa kichogo ndio mjukuu wako woii wooi😂😂

  • @TheresiaMrema
    @TheresiaMrema 5 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤i lov him

  • @sanfordpeter2751
    @sanfordpeter2751 5 місяців тому

    Waooow

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 6 місяців тому +2

    🤣😂😂😅😁 Yaani ww Mbavu zangu unazivunja siku zote ila ww ndo umeipendezeaha ile kazi

  • @selemanmaganga-le4zg
    @selemanmaganga-le4zg 6 місяців тому +2

    Natamani nimjue alieigiza sauti ya Mzee Fikri wa kwenye Our story

    • @thajuyusuph8723
      @thajuyusuph8723 6 місяців тому

      Ni yule baba mrefu kwenye mizengwe ya ITV

    • @ZSavana-gi4pf
      @ZSavana-gi4pf 5 місяців тому +1

      Anaitwa sumaku wamizengwe

  • @kimram5225
    @kimram5225 2 місяці тому

    Huyu c ndo wa yule wa sultana kimanumanu..

  • @beatriceurassa-rz3nv
    @beatriceurassa-rz3nv 5 місяців тому

    Hongera zako kaka

  • @MUSSAJUMA-re5wo
    @MUSSAJUMA-re5wo 6 місяців тому +4

    Astagavirulah ulikunywa maji kwa ajili ya kitu cha kipuuz 😢

    • @nasrasheikh1020
      @nasrasheikh1020 6 місяців тому

      Kazi nyengine mtihani, sasa hapo aliharibu funga yake kwa ajili upuuzi

    • @musapfute6608
      @musapfute6608 5 місяців тому

      Muombeeni afe😂😂 km kawaida yenu

    • @ishe_ngo8926
      @ishe_ngo8926 5 місяців тому

      Alikuwa kazini lakini alivunja swaumu yake kwa mpango wa kuilipa baadae

  • @Rashidrasheed-r1q
    @Rashidrasheed-r1q 5 місяців тому +2

    Sumbulaaaa

  • @dijamodo5717
    @dijamodo5717 5 місяців тому

    We ndiyo unafanya niangalie hii move😂😂😂❤

  • @AshuraMsofe
    @AshuraMsofe 4 місяці тому

    Anamuwezea sana

  • @suzannemilembenyalagu4802
    @suzannemilembenyalagu4802 5 місяців тому

    😂😂😂😂 wow! Yaani anajua mpaka anajua tenaa!!

  • @kelvinmanywele2638
    @kelvinmanywele2638 5 місяців тому

    😁😁naenjoy sana

  • @SaidMsolima
    @SaidMsolima 4 місяці тому +1

    Jamaa kaua

  • @HajiMpakati
    @HajiMpakati 5 місяців тому

    Wooi woooi hatuchi wangu haraka saaanaa habibt kipenzi

  • @ASHAKHAMIS-c6v
    @ASHAKHAMIS-c6v 6 місяців тому +3

    Kengee. ❤❤😂😂😂

  • @marryofficial9143
    @marryofficial9143 5 місяців тому +2

    Ba mkwe wa ferit😂😂😂mzee wa faida🎉

  • @simplyzacky
    @simplyzacky 5 місяців тому

    Yaani nimesikia sauti tu nikamkumbuka Karim wa Hulya

  • @Rashidrasheed-r1q
    @Rashidrasheed-r1q 5 місяців тому +1

    Sultanaaaaaaa

  • @MwanahamisSaid-bt1xf
    @MwanahamisSaid-bt1xf 5 місяців тому

    🎉❤

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 5 місяців тому

    Kusema kweli huwa ninacheka saana haswa kwa manjonjo anayoongeza kama kugunaguba.

  • @Sarahsaid2648
    @Sarahsaid2648 5 місяців тому +2

    Yaan familia yetu wote tunaongea km mzome wa mzomeeeeee yaan tunampenda sana

  • @EdinaMbalamwezi
    @EdinaMbalamwezi 5 місяців тому

    Brooo unajua sanaa

  • @NayMolely
    @NayMolely 5 місяців тому

    Ni noumaaaa

  • @esiliarthurmwaisango9146
    @esiliarthurmwaisango9146 5 місяців тому +1

    Nimependa saa yaKe (kijiko)

  • @ZuwenaHassan-n4o
    @ZuwenaHassan-n4o 6 місяців тому +3

    😂😂😂😂😂natqman nikutame nae nna zawad yake

  • @fatumamhada651
    @fatumamhada651 5 місяців тому

    kaka upewe mauwa yako jamani bila wew movi hainog kabsa

  • @NuruZebedayombise-ie5zb
    @NuruZebedayombise-ie5zb 5 місяців тому +1

    Kaka yetu huyo

  • @ismailabbas4197
    @ismailabbas4197 5 місяців тому

    Aisee mwamba kauwa mbaya yani sauti imefanana na kazim mwenyewe 😅

  • @hafidhibrahim2920
    @hafidhibrahim2920 5 місяців тому +1

    Kamanda simon wa kwenye Eltugrul mzee wa Alee alee aleee

    • @ZSavana-gi4pf
      @ZSavana-gi4pf 5 місяців тому

      Kweli kabisa Simon mule aliua kinyama😅😅😅

  • @zakiabakari9983
    @zakiabakari9983 5 місяців тому

    Woiiiiiwoiiiiwoiiiiii

  • @veronicaromwald8311
    @veronicaromwald8311 5 місяців тому +1

    Nyie mbona naona wameanza kufanana 😂

  • @muhmmadilutando9561
    @muhmmadilutando9561 5 місяців тому

    Safi sana

  • @zohra5799
    @zohra5799 5 місяців тому

    Wamemkosea sana sauti ya kazin

  • @MuilatiHababuu
    @MuilatiHababuu 5 місяців тому

    Kumbe ni kermal soidere

  • @AishaZahor-xz1rt
    @AishaZahor-xz1rt 5 місяців тому

    Yaani ni km yeye ndio anamuigiza kazim aga 😂

  • @julyodette6945
    @julyodette6945 5 місяців тому

    Woooy hoooy ohhy 😂😂😂

  • @BashiruSajasi-be1us
    @BashiruSajasi-be1us 5 місяців тому +2

    Oioi wee

  • @twahashearer8302
    @twahashearer8302 6 місяців тому +1

    Daaah 😂😂😂🙌

  • @Chabay-h3d
    @Chabay-h3d 5 місяців тому

    Me nampenda bure

  • @nasmajuma6784
    @nasmajuma6784 5 місяців тому

    Itabidi aongezwe mshahara woi woi woi

  • @mwanaidimustapha6621
    @mwanaidimustapha6621 5 місяців тому

    Huyu pia amefanya sauti ya KEMAL

  • @wemapiano4420
    @wemapiano4420 6 місяців тому +2

    Alichokivaa mkononi nikijiko

  • @dorineedward4187
    @dorineedward4187 5 місяців тому +1

    Hundsome kichogo ferit hahhahahhhHHHHHHH😂😂😂😂😂😂😂

  • @mar-rh2ok
    @mar-rh2ok 4 місяці тому

    woiwoi

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 6 місяців тому

    Hatari

  • @angelchuwa3668
    @angelchuwa3668 5 місяців тому

    Yaani nilikua nawish kumjua sana maana katisha

  • @sharfasephu
    @sharfasephu 5 місяців тому

    Nimefurahi mwenzio 😂😂😂😂😂😂

  • @KhadijaZahoro
    @KhadijaZahoro 5 місяців тому

    Hata mm naona huyu ameuwa apewe mauwa yake