Hakika Mungu wetu anafanya kila siku.... kila saa...kila sekunde... ni mwaminifu sana .... watching from South Korea... aIm here watching for more than five year's
Leo YESU amefanya! Mdogo wangu amejifungua salama! Alipita katika majaribu makali sana. Alimtazama Yesu kwa kipekee, na leo kamtendea. Mungu kampa neno la Maarifa kwa walioinama mioyo.
Hakika Yesu amefanya mambo mengi maishani mwangu ni mbali amenitoa hadi hapa nilipo sitaacha kumshukuru bado naendelea kubarikiwa na wimbo wako Dada Mirium barikiwa sana
Kuna wakati tunapanda mlima wa majaribu nakuona tunakatishwa tamaa kwa urefu wa mlima huo. Lakini tuzidi kuamini nakumtegemea Mungu. Yeye atafanya kwa uaminifu. Ubarikiwe Miriam
Amefanya mabadiliko, mageuzi na mapinduz kwangu hongera dada Ujumbe mzr, beat nzr na ubunif wa vaz zuri hilo lenye raman ya Africa,vaz la udaktari pia naam umependeza,uzdi kubarkiwa rafiki.
Wow so powerful 🔥🔥🔥🙏✍️
Hakika Mungu wetu anafanya kila siku.... kila saa...kila sekunde... ni mwaminifu sana .... watching from South Korea... aIm here watching for more than five year's
Hata Sasa Yesu amefanya kwangu wimbo uko na ujumbe mzru Sana Mungu akubariki sana sana my sister
Who else yuko hapa amid this confusion time of corona virus,Yesu atatufanyia wepesi tusikate tamaa
Wimbo wa baraka sanaa kwangu🙏
this is real...Yesu amefanya kwangu
Amefanya hakika YESU anajibu
Huu wimbo ni wa miaka mingi kidogo lkn una ujumbe mzuri sana kias kwamba hauchuji hata kdgo...Barikiwa sana Dada Miriam Lukindo
huu wimbo hauchuji
Amefanya
Huyo Yesu amefanyaaaa
Kama unasikia wimbo huu kwa Mara ya kwanza kama Mimi twende pamoja
Huyu ni Yesu amefanya💯
Leo is loud to me ❤❤❤❤
Leo YESU amefanya! Mdogo wangu amejifungua salama! Alipita katika majaribu makali sana. Alimtazama Yesu kwa kipekee, na leo kamtendea. Mungu kampa neno la Maarifa kwa walioinama mioyo.
Amina
Ni yesu amefanya hallelujah 🙏🙏
Jamani nilikuwa naupenda huu wimbo ila sikujua kama ndio wewe mke wa Mauki.....hakika nmefarijika sanaa!! ubarikiwee sanaa.
Nakupenda mpaka Mungu anajua
Hii nyimbo acha tu
Mungu azidi kukubaririki
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu kweli Yesu anafanya zaidi ya tuombavyo , Mungu aendelee kukuinua na kukupa maono zaidi.
Hakika Yesu amefanya maishani mwangu. Asante dada Miriam Mauki(Lukindo) kwa nyimbo nzuri sana.
Yeye ni Mungu mwaminifu, huyu ni yesu amefanya, naupenda huu wimbo..asante dada miriam kwa ujumbe.
Ameeen huyu ni Yesu amefanya mapinduzi kwenye maisha yangu
Hakika Yesu amefanya mambo mengi maishani mwangu ni mbali amenitoa hadi hapa nilipo sitaacha kumshukuru bado naendelea kubarikiwa na wimbo wako Dada Mirium barikiwa sana
Kuna wakati tunapanda mlima wa majaribu nakuona tunakatishwa tamaa kwa urefu wa mlima huo. Lakini tuzidi kuamini nakumtegemea Mungu. Yeye atafanya kwa uaminifu. Ubarikiwe Miriam
amefanya yesu Amen
Amina🙏🙏🙏
Yesu utatenda..bado nakusubiri na nakutumainia Bwana wangu.🙏
Ubarikiwe Ndugu,,,hakika yesu anafanya
Wimbo unanibariki sana,good work my sisy
YESU amefanya
Hakika amefanya
Amefanya
Wimbo umenibariki nausikiliza kila saa sichoki kuanzia asubuhi adi mida hii
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2022 bado YESU anafanya
Amefanya mabadiliko, mageuzi na mapinduz kwangu hongera dada Ujumbe mzr, beat nzr na ubunif wa vaz zuri hilo lenye raman ya Africa,vaz la udaktari pia naam umependeza,uzdi kubarkiwa rafiki.
this song bless me every morning, i like it for real
, stay blessed Miriam wa Mauki
Big up Miriam. May God continue enlarging your tent.
Barikiwa kwa wimbo mzuri dada MiriamLukindo
Still watching ......
ni YESU amefanya in everything GOD is there to help us,stay blessed my sister
My favorite song ❣
ameen..hakika amefanya maishani mwangu,na atazidi kufanya..Ubarikiwe dada Miriam
I very love this song.blessed Sister
ubarikiwe wewe....Yesu azid kukuinua zaid na zaid
Mungu akubariki Miriam
HUYU NI YESU AMEFANYA
Amen, nabarikiwa sana na nyimbo zako. Mungu akuinue zaidi
I love this song!
Nyimbo nzuri ila jitahidi kuwekeza kwenye video ili kuwavutia watazamaji wengi zaidi na zaidi....Hongera
b blessed sis. hiyo nyimbo inainua moyo wangu
unanibariki since miaka hiyo asante kwa kumaintain upako ubarikiwe Miriam .
Be blessed dada, Mungu akutumie zaidi na zaidi
kweli tukiamini anafanya yesu
hakika YESU amefanya
Huyu ni Yesu amefanya
Abundant blessing
woou
gladness Aron huu wimbo ni wa zamani sana but hauchuji
Safi sana mamaangu mzuri
Amen!!!!♥♥♥
Amen
Amefanya