Surely Yesu nisababu ya mimi kuishi hasa nikifikiria namna anavonivusha kwenye nyakati ngumu pale akili zangu zinapofika mwisho pale ninapokata tamaa amekuwa nguvu yangu hakika yeye ni sababu ya mimi kuishi wimbo bora kabisa hongera Mtumishi Mungu azidi kukuinua zaidi.
Umechelewa kuziweka mtandaoni nyimbo nzuri hizi za blessings. Tulikuwa tukivizia wapo radio FM watuwekee. Wimbo mzuri sana
Surely Yesu nisababu ya mimi kuishi hasa nikifikiria namna anavonivusha kwenye nyakati ngumu pale akili zangu zinapofika mwisho pale ninapokata tamaa amekuwa nguvu yangu hakika yeye ni sababu ya mimi kuishi wimbo bora kabisa hongera Mtumishi Mungu azidi kukuinua zaidi.
More grace my sister Miriam,I miss this song those days when we were going for a mission at chwele Deliverance church with Rev mudaki
Powerful praiseer..... we're with you here at Mombasa VOK with Boaz,wilkander, Eko,,,day two is wooow....Tuko Hadi sato....God bless you more and more
Tamasha la mlipuko wa furaha
Haleluya! Hakika wimbo huu ulitoka barazani pa Mungu alie Hai, Yesu Kristo Ni sababu ya sisi kuishi.
Zamani ulikuwa rohoni sana Miriam
Rudi hapa
Usibadilishwe na chochote kukutoa kwenye huduma ya kweli katika Kristo
Hakika yeye sababu ya mim kuishi ahsante Yesu kwa uzima huu
Wewe ni sababu Mungu wangu barikiwa dada kwa ujumbe mzuri
Asante Baba muumba wangu wewe nisababu yangu kuishi.......barikiwa sana wewe ni chombo kilichobarikiwa mum
Amen Amen Amen Yesu ni sababu ya Mimi kuishi.
Nakupenda wajina wangu ,,,Mungu akusimamishe siku zote
Miliam Endelea na kuabudu Nabarikiwa Sana ukiwa unaabudu
Ubarikiwe mwana wa Mungu hakika wewe ni sababu ya mimi kuishi
Wewe ni sababu ya mm kuishi ooh haleluya Bwaana ubarikiwe dada
Hongera Sana mamy ,Hakika Mungu ni sababu ya sisi kuishi 🙏🙏
hakika mungu ni mwema, yeye ndo sababu ya sisi kuishi coz ni yeye anayejua kuketi kwetu na kuondoka kwetu. barikiwa sana dada miri
Wewe ni sababu ya mimi kuishi Yesu.More grace.
Wewe ni sababu ya Mimi kuishi ...Asante yesu🙏🙏
Barikiwa na Bwana Yesu
wimbo mzuli San balikiwa sana mtumishi wamungu
Wew ni sababu ya mm kuishi barkiwa sana
Wewe ni Sababu ya Mimi kuishi Yesu
hakika wimbo huu unanibariki asante sana dada
yes.... lord Jesus iz my planner of my destination
2022 still listening to this song and it's as fresh as if it was done today..... Yesu tu ndiye sababu ya kuishi kwangu
We still watching this video...... I love you so much
Yesu wewe ni sababu ya mm kuishi hakika .
Wewe ni sababu ya mimi kuishi....... Oooooh thank u 4 the grace/love n mercy,thank u for paying my debt on the cross
❤❤❤❤❤❤ barikiwa sana
Hakika yeye ni sababu ya uhai wetu🙏
Pamoja sana mmmmh no sababu ndio
Hakika wewe ni sababu MUNGU wangu ya mimi kuishi
Huu wimbo ni fire miaka mia 200 .....nikaaa nakutafakari najua wewe u sababu
YOU are the reason for everything my GOD. stay blessed my sister
Nilipozushwa moyo wangu nilikuona ukiniinua baba
Hakika mungu wetu ni sababu ya sisi kuwa hai
WW nisababu yangu mungu ne blessing sister for the songs
Kweli yesu wewe ni sababu ya Mimi kuishi
ww mungu wangu ni sababu ya mimi kuwa mzma
Barikiwa saana mrs Chris mauki,
Yaani ingekuwa raha basi c.f.
Wewe Yesu ni sababu ya mimi kuishi
oooh hakika Lord your my reason
Mutumishi wa mungu ubarikiwe Yesu kweli ni sababu🙏
Lord you are the reason for my breath
Dec 2023.LORD YOU'RE THE REASON THAT I LEAVE
Yes Lord you're the reason
Nakupenda Yesu wangu
kabisa yeye ni sababu ya sisi kuishi
Love you Sister Miriam
WEWE ni sababu ya mimi kuisha
Yes Lord you're my everything
Wewe ni sababu yesu
Wewe ni 7babu ya mm kuishi YESU
Barikiwa sana
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amen amen
Wewe Bwana nisababu hakika ya mimi kuishi
Hakika nisababu ndio ninaishi
Maisha yangu ni wewe tu e MUNGU
Amen barikiwa
Ameni Jehova,wewe ni sababu Yesu
Hakuna yeye ni sababu
I feel JESUS in my soul
Be blessed
Amen
AMEN
👏👏👏
Here2022
🙏🙏🙏
🙏🏽🙏🏽
❤
Wewe ni sababu ya Mimi kuishi
Hakika yeye ni sababu